Kijana Joram umelelewa vyema...ukajaliwa Hekima na bashasha kemkem za kimantiki.. Wewe ni Hazina .. Hakika siku zote Mwenyezi Mungu hakosi kuwa na watumishi wake. Ni suala la muda tu ila itoshe kusema wewe ni hazina ya nchi na ulimwengu
Maarifa mengi yapo kwenye vitabu, ili tuwe na viongozi bora lazima watu wajifunze kuwa na utamaduni wa kusoma. Joram ni mfano wa maisha wanayotakiwa kuyaishi viongozi. Hongera Joram.
Kichwa kizuri, Joram hongera Sana..Mungu azidi kukupa uzima na nguvu. Kuna siku utapata jukwaa kubwa zaidi hata kuhutubia kwenye Maadhimisho ya siku ya Mwalimu Nyerere
God bless you Joram. Your are good, your mind is very clear. Kwa kifupi CCM ime waharibu vijana kuwa machawa wake, vijana hawa machawa hawataki kabisa kutumia akili zao wanataka vilivyo vilaini tu, ndio maana wengi wao wanaongea utumbo kama vile ' mimi ni chinja chinja, mambo ya maporini, polisi ipo na itawa dhibiti n.k.' Lakini vijana wengi wange kuwa kama Joram hata wizi wa kura usinge kuepo katika uchaguzi, rushwa inge kuwa haramu, utekaji watu usinge kuepo. Baada ya vyuo vya CCM kufa, basi na akili za vijana wao zikafa na wamebaki na akili za chawa na wana jiita machawa. God bless you Joram. Let the mercy,favour and grace of our God be upon you. You are good and smart in your head!!
Hongera kwako, ila umeongea yote umeshau elimu na malezi ya kipindi cha mkoloni yalikua tofauti, elimu ya mkoloni japo walikuwa wana nyima nyima walikuwa wana wafua haswa wanafunzi wao wakitaka ndo waje wawe wanawasaidia kushawishi weusi wezao kukubali kutawaliwa. Hivyo ilikuwa wanafundishwa vizuri, mkoloni alipo ondoka akaondoka na elimu yake, weusi waka ng'ang'ana na elimu ya mkoloni huku hawajui jinsi ya kuifundisha, ikaja elimu na kalilishwa vitu ufaulu mtihani na sio kutumia akili yako kuelewa kile unacho fundishwa, kukihoji na kukichunguza na kukijaribu.
Roho imeniuma sana ni kweli kabisa sisi panya tusipojitambua na kuungana kamwe Hawa paka wetu hawawezi kijifunga kengere Kila siku ni wao TU na familia zao
ndio hiyo hiyo tabora boys hakuna utofauti, Sema watu huwa hawapend kuiita tabora school, kwahiyo yuko sawa tabora skul na tabora boys ni sawa tu , tabora skuli lilikua linatumika zamani
Najivunia baba wa taifa...najivunia kuwa mtanzania najivunia lugha yangu ya taifa"KISWAHILI" ...najivunia kuona mtanzania mwenzangu anakipaisha Kiswahili na kulitangaza taifa langu
Vijana hao walioongoza taifa kipindi hiko wapo hadi sasa wanang’ang’ania madaraka na kuwaweka watoto wao na Ndugu zao kwenye madaraka mbalimbali, hawakutaka kuwafundisha vijana hekima ya uongozi, badala yake wakatuaminisha wazee wana busara ya kuongoza taifa, na ndo wametufikisha hapa tulipo, wakasaini mikataba mibovu ambayo imetufanya masikini mpaka leo. Yatupasa kuubadili mfumo waliouweka.
Mm naww joram saiv tumekuwa machawa, kazi ni kusifia watawala bila kukosoa pale wanapoenda kinyume, tunajitambua vijana wa leo lkn tuna tamaa na njaa sana, tunaona bora kusifia na kutoonya lolote baya ili tuchaguliwe ukuu wa wilaya.
Huyu hajui kiswahili Huyu anaingizi maneno ya lugha za kienyeji kwa kuokota okota kutoka makabila kadhaa na kudai ni kiswahili Anatumia neno balagha pahala si pake Hii ni kampeni ya kuwavua waswahili halisi na kiswahili
Kiufupi umetoa tu historia lakini ni nzuri. Nimesikitishwa SANA na ulipo sema "Tanzania" mahali pa "Tanganyika". Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kumpongeza na kumnadi kiongozi wa Kiafrika sababu mataifa ya Afrika yamefeli. Mtatumia nguvu nyingi sana kutafuta kwa tochi kubwa sana japo jambo la kuonyesha kuwa Nyerere alifanya vizuri angali Taifa lake na Afrika chini ya jangwa la Sahara ina hali mbaya sana yaani hatuwezi kutengenza hata toothpick. Mimi sioni hoja katika yote mnayoyazungumza, ni suala la muda tu, walioishi kipindi chake wakifa, hiyo siku itapoteza sana umaarufu. Lumumba PLO alisema... Mtu aliefanya jambo haitaji kulielezea, jambo alilofanya litajieleza lenyewe.
Embu mbona hapo hamjazungumzia jambo la uhuhumi uchumi jamani vipi lilikuwaje lilikaje je vipi msimamo wa uhuhumi uchumi ulibaki uku bara ama uliemda Hadi pwani Yan Zanzibar tunapotaka kuchimba historia tuichimbe kila kitu Yani chanya na hasi pia tuichimbe historia yote
Mwl alivyo kuwa anaendesha hii nchi kikomunist, sio kama aliyo waachia nchi kwa sasa wanaongoza kibepari, legezeni misimamo yenu kiuongozi raha sivyo mtasababisha machafuko
Ukiona watu wa nashindwa na njaa wao ndio wapumbafu! Akili ya kushindwa na chakula mtawaza kweli kurusha ndege ? Akili ya kurusha ndege mtatolea wapi si muendelee kutawaliwa tu! Wapumbavu ndy wanaamin Serikali kazi yake ni kuwatafutia chakula, ni hatari sana kuwa na kizazi Kinacho waza akili viazi ,, Ukiwa km wao unakua una akili iliyo kufa, unashindwa na tumbo we si ufe tu! Alipaswa kuwaua wote wanaoshindwa na njaa’ vitu vingine msiwe mnacomment kushindwa na njaa ni jambo la kuongoa ktk ulimwengu wa viumbe binadam wenye akili Timamu?
Saivi ni elimi ya makaratasi sasa mpaka ufike master level ushagusa30 eeh kujutolea ili wenyewe wanasema uzoefu unajikuta una 31/32 so unafikili Nini hapo embu kijana kasome vizuri historia kijana kwa kina mzee saidi ujue vizuri kama unapenda historia eeh kasome wakina Abdul Sykes wakina zuberi mtemvu nenda kasome kisa vya kula tatu kilivoteta mpasuko tanu sababu ya tanu , sababu zilizopelekea Abdul Sykes kujitoa Tanu wahindi waliokuwa wanaisapoti tanu kasome kaka kasome kasome Bado sana
Sio vijana hawatami Joram tatizo ni wazee kung'ang'ania viti na kuto waamini vijana. Angalia kama Steven wasira na uzee wake still anataka madaraka tuu. Watu walioko kwenye mfumo hawataki kung'ooka
Unajuaje kama hajui? Au ulitaka awataje hapo kwenye hafla ya kumbizi ya nyerere? Kisha ungekuja kucomment tena kuwa " yameingiaje ya manabii kwenye hafla ya nyerere? Kifupi unaonekana una wivu na kipaji chake ambacho wewe huna
Ujinga ujinga tuuu thawabu thawabu Yani tusahau mpaka historia zetu kisa dini za kuletwa 😢kizaz kinacho waza kwenda mbinguni tu mnatuangusha sanaa 😢unatunza history ya waarabu then ya mizizi yako una hisahau 😢
Saiz madaraka yanakabwa na wazee na hawataki vijana wapate nafasi... Utasikia huyu bado mdogo Ndio maana tunakosa kasi ya maendeleo .... Tumejaza watu ambao hawana maono au walishamaliza walikijia Dunian
kwani unazani akiwa na miaka 35 hakuna wengine ambao walikua na miaka 40 mpaka 90 na hawakua maraisi? mue mnafikiri kwa kina jaman.. inshort Nyerere alikua mtu wa aina yake ... ila si umri ndo kigezo cha yeye kua vile.
Akili ndogo inaweza kuelew akili kubwa kweli? Sidhani! Wewe na ukoo wenu wote hamwez gusa hiyo kichwa ya jorum mpka ukoo wen wote na makabur yakafufuliwe bado babu Zako ni vilaza na hii ni moja ya mbegu zao waliyo iaacha duniani walipaswa wahasiwe Tatiz ni akili butu ya kurith
Kijana Joram umelelewa vyema...ukajaliwa Hekima na bashasha kemkem za kimantiki..
Wewe ni Hazina ..
Hakika siku zote Mwenyezi Mungu hakosi kuwa na watumishi wake.
Ni suala la muda tu ila itoshe kusema wewe ni hazina ya nchi na ulimwengu
Daah Very Inspiring Mungu akutunze sana Brother Joram.🙏
Maarifa mengi yapo kwenye vitabu, ili tuwe na viongozi bora lazima watu wajifunze kuwa na utamaduni wa kusoma. Joram ni mfano wa maisha wanayotakiwa kuyaishi viongozi. Hongera Joram.
libarikiwe na tumbo lililokuzaa,hongera sana
Aiseee huyu Joram ni noma sana. Anajua sana kuongea Point za maana..
Ni Hazina kwa Taifa la Tanganyika(Tanzania)
Kichwa kizuri, Joram hongera Sana..Mungu azidi kukupa uzima na nguvu. Kuna siku utapata jukwaa kubwa zaidi hata kuhutubia kwenye Maadhimisho ya siku ya Mwalimu Nyerere
Whenever I see you speak I stop and listen Joram you have never let me down. Very intellectual 🇹🇿🏴🏴💙💙🙏🙏
MzalendoAlisi 💯 Bravo sana
Appriciate you brother, u ar gifted for a nation.
Abakie tu kuwa Mwanaharakati, asiingie kwenye Siasa tutampoteza mapema sana.
Joram keep up ....uko vizuri saana
Jamaa Anajua bana dah
Joram you are the best. God bless you.
I love this Guy for Free 😊
Joram ni mwanaharakati mzungumzaji mwenye kipaji mahiri naona uongozi ndani yake.
yeah of course yuko poa sana pia ana stara👆
@@barakayusuph4617 sana mkuu
Watanganyika tumelaghaiwa sana... Kuaminishwa kuwa msemaji mzuri ndie kiongozi mzuri.. la hasha. Kamwe hauko hivyo.
Plo Lumumba wa bongo
@@hajimnubi4581Strategies za Lumumba ulizijua vyema ?!😎
JORAM! JORAM! JORAM! "I salute you" Glory be to God....
Siku hizi waliokwisha kupanda ngazi na wapo Juu wanatutolea NGAZI Ndugu yangu, Ni vita kali sana 😊
Upo vizuri kijana kazi buti Mungu akuongoze usije badilika
Huyu Joram anafaa sana kukaa na pro kabudi nimempenda bure anaijua histiria ya mwalimu vizuri
🇹🇿Thanks and God bless you🇹🇿🔥
God bless you Joram. Your are good, your mind is very clear. Kwa kifupi CCM ime waharibu vijana kuwa machawa wake, vijana hawa machawa hawataki kabisa kutumia akili zao wanataka vilivyo vilaini tu, ndio maana wengi wao wanaongea utumbo kama vile ' mimi ni chinja chinja, mambo ya maporini, polisi ipo na itawa dhibiti n.k.' Lakini vijana wengi wange kuwa kama Joram hata wizi wa kura usinge kuepo katika uchaguzi, rushwa inge kuwa haramu, utekaji watu usinge kuepo. Baada ya vyuo vya CCM kufa, basi na akili za vijana wao zikafa na wamebaki na akili za chawa na wana jiita machawa. God bless you Joram. Let the mercy,favour and grace of our God be upon you. You are good and smart in your head!!
Tutashinda kwa uweza wa mwenyezi mungu 🫡🇹🇿🌍
Jamaa yupo vizuri sana.
Ila jorum ungesoma bachelor of history, masters, phd ya historia ungekuwa noma sana
Jamaa naampendaga bure tuu
Naomba nikusifie kabla hujakufa
'JORAM MKUMBI wewe ni kiboko, unajua.'
Hawa ndio watu wanatakiwa wawe na followers wengi
Nice presentation joram
JORAM future President of Tanzania🇹🇿, future MAGUFULI🇹🇿😢❤🇨🇩
Kwa kuongea TU maguguli alikuwa na vitu vyake yule alikuwa exceptional may be Tumaini juu ya maono yako
Thank you for your scholarly aideas!
Hongera kwako, ila umeongea yote umeshau elimu na malezi ya kipindi cha mkoloni yalikua tofauti, elimu ya mkoloni japo walikuwa wana nyima nyima walikuwa wana wafua haswa wanafunzi wao wakitaka ndo waje wawe wanawasaidia kushawishi weusi wezao kukubali kutawaliwa. Hivyo ilikuwa wanafundishwa vizuri, mkoloni alipo ondoka akaondoka na elimu yake, weusi waka ng'ang'ana na elimu ya mkoloni huku hawajui jinsi ya kuifundisha, ikaja elimu na kalilishwa vitu ufaulu mtihani na sio kutumia akili yako kuelewa kile unacho fundishwa, kukihoji na kukichunguza na kukijaribu.
Roho imeniuma sana ni kweli kabisa sisi panya tusipojitambua na kuungana kamwe Hawa paka wetu hawawezi kijifunga kengere Kila siku ni wao TU na familia zao
Joram upo vizuri sana
Shukran aliyosoma Mwalimu Nyerere mkoani Tabora inaitwa Tabora Skul
ndio hiyo hiyo tabora boys hakuna utofauti, Sema watu huwa hawapend kuiita tabora school, kwahiyo yuko sawa tabora skul na tabora boys ni sawa tu , tabora skuli lilikua linatumika zamani
Hongera sana kijana
Unaweza kijana
Najivunia baba wa taifa...najivunia kuwa mtanzania najivunia lugha yangu ya taifa"KISWAHILI" ...najivunia kuona mtanzania mwenzangu anakipaisha Kiswahili na kulitangaza taifa langu
Anapita Njia za PLO
Safi sana kijana
He just speaks like his mentor Lumunba
Vijana hao walioongoza taifa kipindi hiko wapo hadi sasa wanang’ang’ania madaraka na kuwaweka watoto wao na Ndugu zao kwenye madaraka mbalimbali, hawakutaka kuwafundisha vijana hekima ya uongozi, badala yake wakatuaminisha wazee wana busara ya kuongoza taifa, na ndo wametufikisha hapa tulipo, wakasaini mikataba mibovu ambayo imetufanya masikini mpaka leo. Yatupasa kuubadili mfumo waliouweka.
Hii ndo pointi Mungu atusaidie ubinafsi unetujaa Tz
😢Vijana wasasaivi tuko bize na muhindi namikeka yake
Hii ni azina kwa taifa la Tanzania
Huyu jamaa Kuna siku atakuwa mkuu wa nchi hii kwa sasa imeshikwa na wazee
😢😢😢 Time will tell
Nipo paleee😂
Sitoisahau siku hii Maan nilijivunia kuwa mshiriki wa mdahalo huu
huyu mwamba 💥💥
Kongole kwako kaka!
Big up brother..
Keep it up!!!
Intellectually able bodied one
Uishi miaka mingi kaka na hekima uzidishiwe maradufu
akili kubwa
Bora umejijua nyny mliosoma nje ya inchi hakuna mnachokijua zaidi ya uchawa
Mm naww joram saiv tumekuwa machawa, kazi ni kusifia watawala bila kukosoa pale wanapoenda kinyume, tunajitambua vijana wa leo lkn tuna tamaa na njaa sana, tunaona bora kusifia na kutoonya lolote baya ili tuchaguliwe ukuu wa wilaya.
ana kosa gan sasa
Asubirie uteuzi sio muda
TUKIPATA VIJANA KAMA HAWA 100 TU TAIFA LITAKUWA SALAMA SANA.
Joram akiingia kwenye chama Cha ccm TU kapoteaaaaaa😅
😂 shida ndio itaanza hapo, Dah! Hii ina watu wenye akili shida wakiingia tu kwenye karai.. Kwisha habari
Mimi ndo hamna kitu kabisa hasara nikiangalia watu walivyo naakili mimi ni mzigo kabisa tuuze tu maduka kwa kweli
Unaweza bwnmdogo
Huyu hajui kiswahili
Huyu anaingizi maneno ya lugha za kienyeji kwa kuokota okota kutoka makabila kadhaa na kudai ni kiswahili
Anatumia neno balagha pahala si pake
Hii ni kampeni ya kuwavua waswahili halisi na kiswahili
Huyu kijana aandaliwe aje kuwa raisi wa Tanzania kwa miaka ijayo.
Sio miaka ya baadae, miaka ya hivin karibuni, akiwa bado Kijana kama kina Nyerere na wenzake. Waliokuwa vijana.
@@1961nungwi sure, tutapiga hatua sana, af basi tu, Tanzania mambo ya upinzani niya kulazimisha tu, hatuna haja ya vyama vingi na siasa
Hata Mimi naamini kunasiku atakua kiongozi serekalini
Fikra tanduizi (critical thinking)
Kwa maoni yangu, hii akili kubwa isiingie kwenye hizi siasa za sikuhizi, wamuache aendelee kuwa huru.
🔥🔥🔥🔥
Natamani ku comment ila mdomo huponza kichwa ntulie tuli...
Yote kwa yote una sauti ya mamlaka kuliko umri wako
Tatizo rangi tu 😪😪🤒
Kiufupi umetoa tu historia lakini ni nzuri. Nimesikitishwa SANA na ulipo sema "Tanzania" mahali pa "Tanganyika".
Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kumpongeza na kumnadi kiongozi wa Kiafrika sababu mataifa ya Afrika yamefeli. Mtatumia nguvu nyingi sana kutafuta kwa tochi kubwa sana japo jambo la kuonyesha kuwa Nyerere alifanya vizuri angali Taifa lake na Afrika chini ya jangwa la Sahara ina hali mbaya sana yaani hatuwezi kutengenza hata toothpick. Mimi sioni hoja katika yote mnayoyazungumza, ni suala la muda tu, walioishi kipindi chake wakifa, hiyo siku itapoteza sana umaarufu.
Lumumba PLO alisema... Mtu aliefanya jambo haitaji kulielezea, jambo alilofanya litajieleza lenyewe.
Kijana yoramu ameiva
Kwenye story ya paka na panya jamaa kaongea fumbo kubwa na si rahisi wengi kumuelewa
Embu mbona hapo hamjazungumzia jambo la uhuhumi uchumi jamani vipi lilikuwaje lilikaje je vipi msimamo wa uhuhumi uchumi ulibaki uku bara ama uliemda Hadi pwani Yan Zanzibar tunapotaka kuchimba historia tuichimbe kila kitu Yani chanya na hasi pia tuichimbe historia yote
Nchi ya Tanganyika m'na majina ya kimaajabu sana!
Hiki kichwa kinatema madini.vijana wa sasa Ni kubeti na kuwaza wazazi wafe ili wauze wakae viti virefu
Mbona kama Mwigulu Nchimbi
Mwl alivyo kuwa anaendesha hii nchi kikomunist, sio kama aliyo waachia nchi kwa sasa wanaongoza kibepari, legezeni misimamo yenu kiuongozi raha sivyo mtasababisha machafuko
Enzi hizo shida ya chakula hatari
@@Mumewangu ndio kbs naelewa
Ukiona watu wa nashindwa na njaa wao ndio wapumbafu! Akili ya kushindwa na chakula mtawaza kweli kurusha ndege ? Akili ya kurusha ndege mtatolea wapi si muendelee kutawaliwa tu! Wapumbavu ndy wanaamin Serikali kazi yake ni kuwatafutia chakula, ni hatari sana kuwa na kizazi Kinacho waza akili viazi ,, Ukiwa km wao unakua una akili iliyo kufa, unashindwa na tumbo we si ufe tu! Alipaswa kuwaua wote wanaoshindwa na njaa’ vitu vingine msiwe mnacomment kushindwa na njaa ni jambo la kuongoa ktk ulimwengu wa viumbe binadam wenye akili Timamu?
@@Mumewangusa Hivi chakula sio shida ila ikoje
Alisababisha nchi kuchelewa kupata maendeleo kwa huo mfumo wake wa uendeshaji nchi.
VIJANA KM HAWA NI WACHACHE SANA ..TUNA MACHAWAAAAA KIBAO AMBAYO NI HASARA KWETU
👊✌️👍.
Kiswahili sanifu mnyaturu org
Saivi ni elimi ya makaratasi sasa mpaka ufike master level ushagusa30 eeh kujutolea ili wenyewe wanasema uzoefu unajikuta una 31/32 so unafikili Nini hapo embu kijana kasome vizuri historia kijana kwa kina mzee saidi ujue vizuri kama unapenda historia eeh kasome wakina Abdul Sykes wakina zuberi mtemvu nenda kasome kisa vya kula tatu kilivoteta mpasuko tanu sababu ya tanu , sababu zilizopelekea Abdul Sykes kujitoa Tanu wahindi waliokuwa wanaisapoti tanu kasome kaka kasome kasome Bado sana
Tuliorudia kusikiliza zaidi ya mara 2
Vijana wapewe nafasi
Sio vijana hawatami Joram tatizo ni wazee kung'ang'ania viti na kuto waamini vijana. Angalia kama Steven wasira na uzee wake still anataka madaraka tuu. Watu walioko kwenye mfumo hawataki kung'ooka
Kijana ni taifa la leo na sio lakesho
Mimi naona tunaweza kwenye uchawa na hayo mnayo yaongea hapo ili utoboe lazima uwe chawa
Nchi si ilikuwa changa bwana hata wasomi hawakuwa wengi
Halafu huyu anaranda huku na kule kutiririka lengo ni atumie tumie maneno yoooote aliyo jiandaa nayo baada ya kuokota okota
Eti binaadam anaitwa Man'gombe marwa 😏 huyu kweli alipa jina na Wazee wake wanaompenda¿
Kahifadhi historia ya manabii upate thawabu hapo sana utapata sifa
Unajuaje kama hajui? Au ulitaka awataje hapo kwenye hafla ya kumbizi ya nyerere? Kisha ungekuja kucomment tena kuwa " yameingiaje ya manabii kwenye hafla ya nyerere? Kifupi unaonekana una wivu na kipaji chake ambacho wewe huna
Ukiijua wewe story za manabii inatosha
@@tazrywiser5126 kuna watu wagonjwa sana nchi hii, sasa historia ya manabii kwnye kumbukizi ya nyerere wapi na wap? jamaa hajielewi amelewa dini
Ujinga ujinga tuuu thawabu thawabu Yani tusahau mpaka historia zetu kisa dini za kuletwa 😢kizaz kinacho waza kwenda mbinguni tu mnatuangusha sanaa 😢unatunza history ya waarabu then ya mizizi yako una hisahau 😢
@@Indeii_biashara subiri ufe ndo utajua Kama nyerere au mkapa atakusaida
Saiz madaraka yanakabwa na wazee na hawataki vijana wapate nafasi...
Utasikia huyu bado mdogo
Ndio maana tunakosa kasi ya maendeleo ....
Tumejaza watu ambao hawana maono au walishamaliza walikijia Dunian
Tunatamani kupata vijana kama hawa lkn wakishapewa nafasi tuwaombeee wasibadilike ,,waweze kuwasaidia vijana wengine waamke waweze kuibeba ichi yetu
Critical thinker
Balozi, waumojawamataifa, Salim, amedisalimmiyaka24
Hamna kitu nyie.. mbona mmetelekeza kijiji chake na mjini wake!!
Huyo wasira kichaaa tuuuu hana lolote
Ukiongea kiswahili fasaha (kibalagha) mtu anaweza sema wewe ni muarabu mswahili
Je? Wazee waleo wanawaamini vijana kuwaachia majukumu?
shule
Kuna msemo ameusema kaka panya watakuwa wajinga sana wakidhani paka atajifunga kengele pekee yake . Tutasubiri sana
AO NDO WALE HISTORIA NI A TOKA PRIMARY MPAKA UNIVASITI
Kiukweli nime staajabu kumbe mwalimu alikuarais akiwa 4u years leo kijanawa 35 yukosingo ndioanamch8mba😂😂😂
Nyerere alikuwa Raisi akiwa 39 years 1961😂
kwani unazani akiwa na miaka 35 hakuna wengine ambao walikua na miaka 40 mpaka 90 na hawakua maraisi? mue mnafikiri kwa kina jaman.. inshort Nyerere alikua mtu wa aina yake ... ila si umri ndo kigezo cha yeye kua vile.
😂😂😂😂
Upuuze mtupu
Nin ilipaswa kuwa best option ili kuondokana na huu upuuzi
Akili ndogo inaweza kuelew akili kubwa kweli? Sidhani! Wewe na ukoo wenu wote hamwez gusa hiyo kichwa ya jorum mpka ukoo wen wote na makabur yakafufuliwe bado babu Zako ni vilaza na hii ni moja ya mbegu zao waliyo iaacha duniani walipaswa wahasiwe Tatiz ni akili butu ya kurith
Roho mbaya itakupeleka pabaya!
Huelewi unachokiongea aisee
ukijiuliza kwanni umepoteza muda wako kuangalia huo unaoita upuuzi, huoni kama ww ndo unakua mpuuzi, kwa kutojua unachotaka.