JORAM NKUMBI-Msikilize Mlumbi akiwapa madini mamia ya vijana walioshiriki katika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Katika #NJEYABOXYOUTHTALK iliyoandaliwa na Ufaulu Project Tanzania, Vijana zaidi ya elfu moja na mia tano walipata bahati ya kujifunza mengi kutoka kwa ndugu Joram Nkumbi ambaye ni moja ya vijana mahiri na machachari katika kukuza uzalendo na kuhamasisha matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili sambamba na uongozi mahiri kwa vijana wa Tanzania na Afrika nzima. Katika hotuba yake Ndugu Joram alihimiza vijana kuwa na uthubutu, kujituma na kujijengea mazoea ya kuwaza NJE YA BOX, ili elimu wanayoipata darasani iweze kuwa na manufaa kwao na kwa jamii nzima ya Tanzania na bara la Africa kwa ujumla.

ความคิดเห็น • 25

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana ..
    Umenifurahisha sana kwa hoja nzuri katika lugha yetu ya kiswahili..

  • @Giliad-eab
    @Giliad-eab 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimelipenda somo hili❤❤🎉

  • @ibrahimjumanne3953
    @ibrahimjumanne3953 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana rafiki yangu Joramu Nkumbi na waliondaa hadhara hii kwa Wana chuo, Mungu awabariki. Mimi Mwl Ibrahim Jumanne Mbeya.

  • @hidayaismail-fk1js
    @hidayaismail-fk1js 2 หลายเดือนก่อน

    all the glory comes from the perseverance of the beginners

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 3 หลายเดือนก่อน +2

    Stay blessed Mr. Joram Nkumbi.

  • @iddibaruani5615
    @iddibaruani5615 3 หลายเดือนก่อน +1

    Great speech of all time

  • @FettyWaziri-yk2tv
    @FettyWaziri-yk2tv 3 หลายเดือนก่อน

    All glory comes from daring to Begin🔥🙏

  • @amimuabdalatifu8542
    @amimuabdalatifu8542 3 หลายเดือนก่อน +5

    A moment to remember

  • @venancefredrick549
    @venancefredrick549 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera brother Simon Chamy

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mwalimu

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Shaa Allah

  • @hassanlubola414
    @hassanlubola414 3 หลายเดือนก่อน

    Big up brorher JN

  • @marcoemanuel6892
    @marcoemanuel6892 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good talk

  • @valyagraphicstz799
    @valyagraphicstz799 3 หลายเดือนก่อน +1

    𝑵𝒊𝒄𝒆 𝑻𝒂𝒍𝒆𝒏𝒕𝒆𝒅 𝒎𝒂𝒏

  • @anizethjoseph2914
    @anizethjoseph2914 3 หลายเดือนก่อน +1

    Great speech indeed 🤝

  • @nicksonkajuna450
    @nicksonkajuna450 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemsikiliza mr Jorum kati ya maneno ya kingeleza alio ongea ni mawili t kwenye hotuba yake yote mathematical na excel

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 28 วันที่ผ่านมา

      Yuko vizuri na anaongea Swahili fasaha na ikitokea akaongea kiingereza anatafasiri ila kuna wajinga waliogubikwa na ujinga wanaongea kiingereza kwenye kufundisha tena kwa mitandao

  • @sajidseleman6641
    @sajidseleman6641 3 หลายเดือนก่อน

    Bro unavitu vingi sana kichwani

  • @godichua4457
    @godichua4457 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ana miaka mingapi?