Asante kaka nafkiri Bungeni watakuwa wamekuelewa ,maana wanachekana kwa lugha ya utumwa ,wako kwenye bunge la Tanzania wanaongea kingereza kumsomea MTU WA nnje, tuthamini lugha yetu ya kiswahili na wao watafute mashine za kuwatafsiria, mbona wao kwao wanaongea lugha zao 🤔? kweli mtumwa ni mtumwa tu.
Hongera sana Kaka.., Hakika Kizungu ni Lugha ya Uwanja wa Vita. Hongera sana kwa Uthubutu wako!!!! Watu kama waandishi wa habari na wasanii wanaharibu sana lugha yetu ya Kiswahili
JORAM, nikikutazama namuona Joseph pombe magufuli kiasi kwamba tanzania 🇹🇿 imebarikiwa waongozi kbs..... Kuna ww na yule mtoto alie mfungisha baba yake kisa shamba.
Asante Sana napenda anavyoongea akicheka bwana na mimi Nacheka ila nimefurahi umetufumbua macho na masikio kumbe kiswahili chetu Kuna vitu vyakutofautisha kama waarabu wanatofautisha akiongea na mwanaume wanamatamshi tofauti na wanavyoongea na mwanamke kumbe na sisi lugha yetu Kuna vitu vya kutofautisha hongeza juhudi tutaelewa tu
Natamani angeweza kukutana na Marehemu Prof. Ken Walibora alikuwa gwiji haswa kwenye kunena lugha ya kiswahili kiufasaha kweli kweli. Naiona kesho yake njema katika uwanja wa lugha ya kiswahili. Nashauri aanze kuandika vitabu mbalimbali vitakavyo tumika kufundishia mashuleni.
Jamaa anajitahidi sana, Lkn binafsi naona ni kiswahili cha pwani hasa Tanga,ukiishi Tanga hasa Tanga mjini kwa Wadigo lazima uathilike na kiswahili chao sana hasa kwa kuongeza maneno yenye asili ya kiarabu na kidigo ndani yake.
Ukikosoa basi ujue umeelewa, Kiswahili cha bara na pwani ni tofauti hasa kirafudhi na wkt mwngn hadi misamiati. Nasema hivyo sababu nizawaliwa Bara na kukulia Bara,lkn sasa nipo Pwani,nashuhudia utofauti ninaousemea.
@@AmosiDeogratius We nawe mvulana wajichanganya kwny shughuli ya wanaume,judge hapa inafuata nini?Kiswahili kina misamiati ya kujitosheleza mizuri hakina haja ya kufanyiwa mseto usio rasmi.
Uyu jamaa angepewaa cheo flan ktk hii lugha ya kiswahili sababu ameweza kutusawishi vjana waleo kupenda kiswahili kuliko hao. Wazee walio kaa uko officen kwenye baraza la kiswahili Tz .
Anajitahidi👍 Sio mbaya saana, anajitahidi. Tunampongeza kwa hilo na kwa kuwakilisha vema kinamna yake. Kipimo cha kiswahili chake tutaifajamu pale atakapozungumza si anachokitaka bali kile ambacho anatakiwa kusikilizwa.
Hahaha! Siku moja naliona kipindi cha kiswahili pale TBC hahaha nilicheka Sana kuona pana wazungu mule wakitondoa utondozi kwa lugha ya kwao na kipindi kinaitwa lugha ya kiswahili
quran 53:32Those who avoid great sins and the immoralities except the small faults; indeed, your Lord (is) vast (in) forgiveness. He (is) most knowing about you when He produced you from the earth and when you (were) fetuses in (the) wombs (of) your mothers. So (do) not ascribe purity (to) yourselves. He knows best (he) who fears.
Huyu jamaa ni watofauti sana ,Mungu aendelee kumtunza,,,tumshukuru Mungu kwakuzaliwa hapa kwetu
Mwaka ujao hapa South Africa, wanaanza kufundisha Kiswahili mashuleni, NAFASI ZA KAZI HIZOOOOOOO.
Elimu unayojipa ni bora kuliko ya kupewa🔥🔥🔥🔥
Asante kaka nafkiri Bungeni watakuwa wamekuelewa ,maana wanachekana kwa lugha ya utumwa ,wako kwenye bunge la Tanzania wanaongea kingereza kumsomea MTU WA nnje, tuthamini lugha yetu ya kiswahili na wao watafute mashine za kuwatafsiria, mbona wao kwao wanaongea lugha zao 🤔? kweli mtumwa ni mtumwa tu.
Naona roho za marehemu wetu Nyerere,na Magufuri iko ndani ya joramu inatenda kazi,Mungu bariki sana
Hongera sana Kaka.., Hakika Kizungu ni Lugha ya Uwanja wa Vita.
Hongera sana kwa Uthubutu wako!!!!
Watu kama waandishi wa habari na wasanii wanaharibu sana lugha yetu ya Kiswahili
Hongera sana kijana you are very smart ....endelea kujiongezea maarifa Elimu haina mwisho. Utafika mbali siku moja
Kwa chata na tamwa itoshe kusema kwamba Joram unaniongezea siku za kuishi..... Uishi sana kaka. 🙏
JORAM, nikikutazama namuona Joseph pombe magufuli kiasi kwamba tanzania 🇹🇿 imebarikiwa waongozi kbs..... Kuna ww na yule mtoto alie mfungisha baba yake kisa shamba.
Magufuli anaingiaje hapa, yeye alikuwa anaiharibu sana Lugha yetu. Kwenye L yeye anaweka R
unamfananisha vp jamaa na watu wa ajabu
Magufuli angejua kuongea hivi tungemkoma
Huyu ana chembechembe za Mwalimu Nyerere kataa au kubari
Napenda ulivyo na furaha kijana mcheshi kweli Mungu akulinde na wachawi
Daaa anashawishi kumsikiliza zaidi na zaidi
Wewe ni wathamani kweli, Joram na unasadifu vyema maana ya jina lako.
Mungu akupe siku nzuri kedekede za kuishi.
Napenda anavyo tumia Misamiati kisha kucheka. Nami huku nataka kutafuta kamusi ya kiswahili.
Asante Joram. Wewe ni kinara. Tutafanya jitihada ili Kiswahili kisipotoweke. 19:47 Mungu akubariki sana.
Asante Sana napenda anavyoongea akicheka bwana na mimi Nacheka ila nimefurahi umetufumbua macho na masikio kumbe kiswahili chetu Kuna vitu vyakutofautisha kama waarabu wanatofautisha akiongea na mwanaume wanamatamshi tofauti na wanavyoongea na mwanamke kumbe na sisi lugha yetu Kuna vitu vya kutofautisha hongeza juhudi tutaelewa tu
Uko vizuri sanaaa. Napenda unatoa tafsiri za misamiati
Hongera Joram Sana
Duh. Nimegundua kabisa sijui kiswahili kama kweli maneno aloongea ni ya kiswahili😀👌 ila napenda pia wanaume weupe jamani. Hiyo rangi👌👌😍
Ahahahaha hatimae wanaume weupe tumefikiwa maana hata wanawake weupe huwa wanatukataa asee niko hapa dada nipo
@@bongorecaps3558 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mimi kwa weusi wangu aisee nyie watu weupe mnanipa uchizi sana nikiwaona. Weusi wenzangu watafute wanawake weupe tu
@@faithjonathan3845 Ahaha nipo hapa najiletaje kwako tusitirianne ahaha
Binafsi nakupenda mno bwana joram
kiswahili ni kitamu, natamani ninge kijua vizuri
Sijuti kukufahamu mwana ulumbi🥰
Ndugu yangu huyu namkubali sana amefanya uthubutu wa kiwango kizuri
Kweli Mungu ambariki mwl huyo
Natamani angeweza kukutana na Marehemu Prof. Ken Walibora alikuwa gwiji haswa kwenye kunena lugha ya kiswahili kiufasaha kweli kweli. Naiona kesho yake njema katika uwanja wa lugha ya kiswahili. Nashauri aanze kuandika vitabu mbalimbali vitakavyo tumika kufundishia mashuleni.
Hongera sana kijana.
Mwamba ana
Kujiamini,
Sauti unyama sana
Madini kichwani
Kiufupi ni full package ya Kiongozi.
Hongera sana KIONGOZI na mtaalam
Hongera,ndugu JORAM
Mnyaturu org Safi sana
Aghalabu, Mlumbi ananifurahisha kwa kicheko chake!
Nimekusikiliza kwa makini sana unaongea kama hayati baba wa taifa mwalimu julius kambarage Nyerere yaani ubarikiwe sana kaka wewe ni faida kwa taifa
hongera sana joram
Huyu jamaa namuona mbali kesho na mtondogoo inshaallah
Mungu azidi kukupa ujasiri zaid ufike mbali❤
Interview nzuri sana gody
Upo vizuri ungalikua muigizaji wa filamu utavuka masafa ya mbali
Hongera sana ndugu yangu nafurahi sana kukuona katika hatua kubwa wewe ni #hiba ya Tanzania
So exciting
Jamaa anajitahidi sana,
Lkn binafsi naona ni kiswahili cha pwani hasa Tanga,ukiishi Tanga hasa Tanga mjini kwa Wadigo lazima uathilike na kiswahili chao sana hasa kwa kuongeza maneno yenye asili ya kiarabu na kidigo ndani yake.
Ukikosoa basi ujue umeelewa,
Kiswahili cha bara na pwani ni tofauti hasa kirafudhi na wkt mwngn hadi misamiati.
Nasema hivyo sababu nizawaliwa Bara na kukulia Bara,lkn sasa nipo Pwani,nashuhudia utofauti ninaousemea.
Ungekua umesoma kiswahili usinge judge!!Ila nakupa kazi nenda katafute kiswahili kimetokana na lugha gani utapata majibu!!
@@AmosiDeogratius We nawe mvulana wajichanganya kwny shughuli ya wanaume,judge hapa inafuata nini?Kiswahili kina misamiati ya kujitosheleza mizuri hakina haja ya kufanyiwa mseto usio rasmi.
Upo sahihi kbs lugha ya pwani nyepesi Ila ya bara ni bara wanagandamizia sana Kama wasukuma
@@benardmapuga5453 hahahah
Boss you're very eloquent in swahili language. 👍
More love your way bro from Kenya.
Kiswahili chako kitamu sana.
Anajua sana, huyu ni mlumbi fusuli
Hongera Sana kijana. Umefanya jambo la nadra kwa vijana wa Tanzania
Safi sana!! Kijana huyu anapenda Kiswahili na elimu Kwa ujumla ,ni kama mie Ninavyo penda tangu ni kiwa kinda.
You deserve bro 👏 👏 👏
Hongera sana Joramu
Hongera kakaaa
Ni hekima ya namna gani Joram ulinayo kuzaliwa miaka ya Karne ya mitume na kuishi mpaka Leo,hongera sana mkuu
Neno gigida Bibi alikuwa ananambia sanaa….. sash salalaaaaa
Vilevile ungefaa uwe mwalimu kwa kufundisha lugha ya kiswahili shuleni
Hongera sana ndugu yetu.Ubarikiwe
Jamaa amemrahisishia host kabisa Yani😂😂👍👍
Jamaa ana cheko km matajir wa kisaudia
Safi kabisa
Yuko vizuri sana
Hahahahaha hataari huyu jamaa noma sana
kaka wewe ni mtu
mwenye elim kubwa sana
Too much appreciate
Baba huitaji wa kukuhoji 😂unaongea saaana na huo ndo utofauti wako Nakupenda sana Mr JORAM NKUMBI
Very smart
Ukifeli unashushwa chini!
Safi sana
Uyu jamaa angepewaa cheo flan ktk hii lugha ya kiswahili sababu ameweza kutusawishi vjana waleo kupenda kiswahili kuliko hao. Wazee walio kaa uko officen kwenye baraza la kiswahili Tz .
hii point kubwa sanaaa
Kabisa yaaani
Ukweli mtupu
Apewe ubalozi wa kiswahili huyu bwana mlumbi na mzee wa sharubati. Atahamasisha wengi sana kujisikia fahari kukizungumza kiswahili fasaha
Umenena mithili ya mfalme mwenye hekima 👏👏
Jonku...classmate
Ukikutana na vibogoyo zungumzia utamu wa nyama ya mifupa!😂
Kikubwa ni wajina wangu hicho2
Salute kaka
Kazi safi bingwa lakini naomba unijuze nomino kwapa inapatika katika ngeli gani?
Huyu joram angesoma degree ya kiswahili ingekuwa noma Sana.
Hapana angetamani vitu vingine,waelimishaji Wana fundisha kiswahili kwa kingereza mkuu
Huyu jamaaa anauwelewaaa mkubwaa sanaa na anajifunzaa sana,, yaan cheo pekee anachowezaaa na kinachomfaa sanaa ni Uraisi wa nchi peke yakee
😂😂😂😂😂😂 joramu uuu ulumbi sio wa kawaida
Nimefurahi, kumbe Tanzania tunawatu wazuritu wamejificha
Kweli kabisa RamadhanRamadhan
Huku Zanzibar wazungu wapo wanafundisha Kiswahili.
Na wanasikilizwa kwa umakini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
Nimekupenda
Whacha we Jacqueline, niktumie no zake.
Jack anacheza na fursa ahahahahahaaaaaa
😍😂😂napenda hanavocheka aisee uyu kka ameongea vzr sana watu wanajifanya wazungu na English na kuzarau ruga yao ya kiswairi.
Duh inaonyesha lugha inasumbua kwako pia 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
@@mohamedsaid2882 🤣🤣🤣
Angalia ulivyo andika ....hoovyoo ...spelling zako sizo
😂😂😂😂😂😂 yan wewe hata hujahua tofauti ya R na L . Kazi tunayo dah
JONKU Mswahili 🔥🔥
Kweli kabisa ,uko SAHIHI jeshin wanafundisha kiswahili ,inamaan kubwa sana
Sasa wewe Joram ndugu yangu unaongea interview yote wewe wewe ni hodar
😁😁😁 hataki kuhojiwaaa
Hamkuitendea haki hii interview
Anajitahidi👍 Sio mbaya saana, anajitahidi. Tunampongeza kwa hilo na kwa kuwakilisha vema kinamna yake. Kipimo cha kiswahili chake tutaifajamu pale atakapozungumza si anachokitaka bali kile ambacho anatakiwa kusikilizwa.
Ukifikiri ktk lugha ya kigeni"🙆hapa nimepara ukombozi wa fkra
Hongera.
TBC wanasubiri nini kumpa kipindi cha kiswahili
Hahaha! Siku moja naliona kipindi cha kiswahili pale TBC hahaha nilicheka Sana kuona pana wazungu mule wakitondoa utondozi kwa lugha ya kwao na kipindi kinaitwa lugha ya kiswahili
Very inspiring
Hongera sana
Huyu jamaa kama mtt wa mwiguru, ila binadamu wawili wawili, na wote wasingida.😂😅
quran 53:32Those who avoid great sins and the immoralities except the small faults; indeed, your Lord (is) vast (in) forgiveness. He (is) most knowing about you when He produced you from the earth and when you (were) fetuses in (the) wombs (of) your mothers. So (do) not ascribe purity (to) yourselves. He knows best (he) who fears.
Safi sana daah
Ety kama Tumbili
Joramu una akili nyingi sana
Mkali wa kali
Cheka ya huyu mwamba 🤣🤣🤣🤣🤣
Safi sana joram
Misamiati mingi niya Kiarabu una tumia bos
Mswahili kwenye ubora wake
Namfatilia mnooooooo
Hiko kicheko nimekiiba kuanzia leo
Huyo jamaa anajua kinomaa
Nilivyosijui kiswahili 😂 kuna mda nawaza hayo maneno mengine ni kibantu au ndiyo tuseme kiswahili ni kibantu😂😂😂
Unasom hesabu unakuwa maarufu kwa kiswahili iyo ndio elim yetu
Hahaaaa huyu bwana amesoma shule za kata tu, angesomea kiswahili huyu oooh? Apo ni mathe angesoma kiswahili sujui?