Lulu: Mimba / Sitaki TENA / Hamisa Mobeto / Nam-BLOCK! / Utoto Utoto!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • EXCLUSIVE INTERVIEW na #Lulu kwenye #ThePlaylist na #LilOmmy ameongea mengi kuhusu MAISHA yake ya GEREZANI, Maisha yake ya Sasa, Mimba ya Majay, Kumchukulia Mwanaume Hamisa Mobeto, Kilichobadilika katika maisha yake, Pete ya uchumba na Ndoa! Pamoja na kampeni yake ya #SaveMyValentine kusaidia watoto wenye uhitaji.
    Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV
    Let's Connect
    / lilommy
    / lilommy
    / lilommyfanpage
    lilommy.com/
    Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

ความคิดเห็น • 338

  • @user-pw2bl4qd8w
    @user-pw2bl4qd8w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lulu wangu ananywele nzuri hakuna atakaekufikia kwa msanii yeyote maana hawawezi kutoka bila mek up bila nywele za gharama love you lulu❤❤❤

  • @annethmichael4085
    @annethmichael4085 5 ปีที่แล้ว +160

    Ee Mungu wa mbinguni naomba mbariki huyu binti popote aingiapo na atokapo, agusacho kikawe baraka kwa utukufu wa jina lako, kama uishivyo Mungu damu ya mwanao Yesu kristo imkinge na kila mtego ambao adui adui ameuandaa kwa ajil yake, katika jina la Yesu Amen. Nakupenda sana mdogo wang

  • @phyinajonathan8082
    @phyinajonathan8082 5 ปีที่แล้ว +44

    hiv kuna mxanii anaweza kwenda kwenye media kuhojiwa akawa kma Lulu kuanzia nywele kasuka za kawaida tu no makeup yaan natural hiv yupo kweli? nakupenda ww dada yaan,,, Mungu akucmamie tu kwa kweli kwa kila jambo

    • @elizapanga9532
      @elizapanga9532 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 5 ปีที่แล้ว +2

      Phyina Jonathan jokate mwegelo ana jitahid kuw natural pia

    • @priscaremmanuel1374
      @priscaremmanuel1374 4 ปีที่แล้ว

      Phyina Jonathan jokate

    • @Dianamoses254
      @Dianamoses254 ปีที่แล้ว

      Daaah, napenda huyu dada ,,kwa ukwel,she is so smart in answering questions and natural from hair to body🇰🇪🇰🇪,🥰🥰🥰🥰

    • @EstherHenry-v5q
      @EstherHenry-v5q 27 วันที่ผ่านมา

      Nakupenda lulu

  • @lion_land_safaris
    @lion_land_safaris 5 ปีที่แล้ว +16

    Huwa nafurahi sana napomuona Lulu, Wolper, Uwoya na wengine wanapoitamka INSHAA ALLAH kwa vizuri na kwa dhati...huwa nafurahi sana... ALLAH atuongoze sote na atusamehe Madhambi yetu. ALLAHUMA AMIIN

  • @zuhuramwalimushabani8836
    @zuhuramwalimushabani8836 5 ปีที่แล้ว +101

    Lulu ni mdogo sana ila akili nyingi Mungu aendelee kukubariki dear

    • @mariamusefu1035
      @mariamusefu1035 4 ปีที่แล้ว

      Maisha yaawa watu bwana mpaka kero uzungu mungi ov

  • @miltonemusumbah2544
    @miltonemusumbah2544 5 ปีที่แล้ว +35

    I never know if LULU is this matured

  • @glorymbaga7714
    @glorymbaga7714 5 ปีที่แล้ว +57

    Nisiposema kitu kuhusu hii interview ntakosea...” Nimejifunza kitu kwako naenda Save kwa diary na kuiapply.🤝🤝
    Kuna kitu Mungu ameweka ndani yako.Utafika Mamy keep praying 🙏

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 ปีที่แล้ว +106

    Daah Majizo amepata mwanamke jomon Lulu unajiewa sana 😘😘

    • @greatthinker370
      @greatthinker370 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwahy Wew Mumeo Kapata Hasara ?😊😊

    • @agneskadzo6105
      @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว

      L love you my sweet sister.. keep it up yeah

  • @borryab00
    @borryab00 5 ปีที่แล้ว +12

    I admire more Lulu, she is very intelligent young girl, very focused. Bless her.

  • @mlekwafihanabri4060
    @mlekwafihanabri4060 5 ปีที่แล้ว +70

    huyu dada lulu anatema madini sana tangu nafatilia interview zake. big up kwake

  • @zainamkwenya4454
    @zainamkwenya4454 5 ปีที่แล้ว +31

    waooo Lulu jamani anajielewa adi sio poa 😍😍 interview tamu kama yote huwezi kuchoka kuiangalia kwa kweli amekua 😍😍

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว +33

    Nimekupenda siku hizi uko NATURAL KILA KITU 😘😘😘mwanamke kujiamini.

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 5 ปีที่แล้ว +30

    You are so intelligent Girl, May our Almighty God keep you shinning. I can see something inside you, trust in God.

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 5 ปีที่แล้ว +59

    Lulu jamani,mbona nakupenda ivi

  • @chicaleta759
    @chicaleta759 2 ปีที่แล้ว +1

    Kasuka zake Kilimanjaro ya buku mbili na kapendeza aseee mzuri mzur tuu

  • @julianamakau8742
    @julianamakau8742 5 ปีที่แล้ว +9

    Lulu mdogo kiumri ila Akili inekomaaa. Nakupenda Lulu

  • @hawaarai2703
    @hawaarai2703 5 ปีที่แล้ว +51

    Of ol tz actress,she is young but anajielewa zaidi...

  • @veronicalelo332
    @veronicalelo332 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu apa kipenzi chetu sisi hapa lululovers tunacomment wapi

  • @stelangowi3420
    @stelangowi3420 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimekuelewa sana lulu.hakika umenifunfisha kitu ,Mungu akuongeze zaid na zaidi

  • @fettymohd8496
    @fettymohd8496 5 ปีที่แล้ว +124

    Kwan kumpenda lulu shi ngapi? Nakupenda mpendwa

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 5 ปีที่แล้ว +29

    That's my girl, she never disappoint me.
    love ya baby sis.

    • @dorinerenatus4221
      @dorinerenatus4221 2 ปีที่แล้ว

      Always en ur September queen darlin🥰🤗

  • @ritawakesho4831
    @ritawakesho4831 5 ปีที่แล้ว +1

    Ulivyosema ni kweli wakati mwingine unahitaji watu sio Mali or umaarufu I have been praying for you Elizabeth vyenye ulifungwa sikujui lakini iliniuma ka mwanadamu .I'm happy u came out strong may God bless u

  • @gracejoseph7005
    @gracejoseph7005 5 ปีที่แล้ว +42

    Chaga girl always never disappoint!!!!!!

  • @rukiashoko7528
    @rukiashoko7528 5 ปีที่แล้ว +13

    Jamani lulu unaongea kwa umakini sana nakupendaaa

  • @janethnambuyu4075
    @janethnambuyu4075 4 ปีที่แล้ว +1

    Lulu nimependa kila kitu maneno ata style yako upo normal naumependeza sana love

  • @magerthmage3278
    @magerthmage3278 5 ปีที่แล้ว +18

    Yes hekima ni fungu bora.

  • @janerandu4747
    @janerandu4747 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dada lulu kenyans twakupenda na napenda sana muvies zako . Zidi kuwa na akili yiyo hio na mungu atakutangulia kwa kila jambo.

  • @vickynicho9521
    @vickynicho9521 5 ปีที่แล้ว +19

    mdgo sana bt mwnye akili jamani. lv u lulu .

  • @smwakaglobaltv4010
    @smwakaglobaltv4010 5 ปีที่แล้ว +7

    Nanukuu #Hazina kuu ya mtu ni WATU# /...Peace of Mind...Hekima!#, aisee LuLu umenidatisha, umeni inspire vilivyo. You have grownup. I like you so so so much. Kizazi sana

  • @hellenmongina5810
    @hellenmongina5810 5 ปีที่แล้ว +5

    Waaaat, this gal is very intelligent. Upstairs yuko clean. Love u.

  • @RithaJames-st8hg
    @RithaJames-st8hg ปีที่แล้ว +1

    Jaman m nampenda san lulu anajibu maswal yake smart

  • @landrinebagalwa5919
    @landrinebagalwa5919 5 ปีที่แล้ว +3

    Heee mungu yani uyu mtoto sijuwi kwa nn namu pendaga 😍😍😍😘😘😘❤❤❤

  • @Amani715
    @Amani715 5 ปีที่แล้ว +2

    I love this girl. I see myself in her. Very wise.

  • @paulinaswalehe5298
    @paulinaswalehe5298 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda buree...

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 4 ปีที่แล้ว

    For fast time lulu nimeskia intervew yako mpaka mwisho nimetokea kukulenda mashallah umetulia mtoto

  • @terrykarey3553
    @terrykarey3553 5 ปีที่แล้ว +3

    She's so wise in answering questions

  • @kanyamakanyama7233
    @kanyamakanyama7233 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongerah....#umekua#

  • @norahmosha9820
    @norahmosha9820 5 ปีที่แล้ว +6

    So smart...i love u lulu..

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 5 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah your very smart Lady

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 5 ปีที่แล้ว +37

    Lulu sasa umekua naona akili yko nikubwaaa sana

  • @camilamosha7539
    @camilamosha7539 5 ปีที่แล้ว +5

    matangazo ni mengi sana loh! Ila interview ni nzur na nimeipenda.

  • @kwizerazainabu3804
    @kwizerazainabu3804 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda lulu Allah akujaliye ufunge ndowa na mchumba wako

  • @khadijamdoe6690
    @khadijamdoe6690 5 ปีที่แล้ว +4

    she is very smart ijust love her😍

  • @ednastrong1313
    @ednastrong1313 5 ปีที่แล้ว +1

    Lulu nakupenda unajielewa sana ua strong woman yan

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 5 ปีที่แล้ว +3

    Team misa gonga like twende sawia

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 5 ปีที่แล้ว +2

    MIONGONI MWA WATU WANGU WA NGUVU WE LULU NI NAMBA MOJA. NAKUPENDA SANA LULU

  • @princemirah3572
    @princemirah3572 5 ปีที่แล้ว +5

    Duh! Uko vizuri lulu hongera sana interview safi majibu safi so wait nije nikuvalishe Pete ya uchumba

  • @julietamileck6663
    @julietamileck6663 5 ปีที่แล้ว +12

    Smart my girl keep going

  • @evelyneernest8854
    @evelyneernest8854 5 ปีที่แล้ว +3

    LULU I LOVE YOU
    DADA
    UBARIKIWE KWA KWELI

  • @saudamanyongo5766
    @saudamanyongo5766 5 ปีที่แล้ว +13

    Lulu umekuwa kweli ongera sana

  • @lucywambura8253
    @lucywambura8253 5 ปีที่แล้ว

    I love you dear coz unajielewa sana unawazidi hata watu wazima akili majizo umepata mke Mungu awajaalie maisha marefu na mema

  • @fatmahamid1029
    @fatmahamid1029 5 ปีที่แล้ว +1

    pongezi kwako Lulu upo vizuri ndoa haitangazwi nimekukubali

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว +7

    Maneno yako ni yakujifunza na kuyafanyia kazi ❤️❤️💯💯mungu akubariki sana

  • @susanrodhes9402
    @susanrodhes9402 5 ปีที่แล้ว +3

    Love Lulu
    Una ujasiri Sana ,,love u from Kenya

  • @deboramhango9154
    @deboramhango9154 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sanaa lulu uoo vizur kiakili na hekima pia penda sanaa

  • @tabbymwalukumbi8865
    @tabbymwalukumbi8865 5 ปีที่แล้ว +2

    Lulu your so smart God bless you girl

  • @noellahmakorongo5473
    @noellahmakorongo5473 4 ปีที่แล้ว +2

    I appreciate u sana sis.Lulu❤❤

  • @gladnesswilliam3688
    @gladnesswilliam3688 5 ปีที่แล้ว +1

    safi saana kwa kweli nimejifunza kitu kikubwa sana toka kwako lulu

  • @joyceboniphace4428
    @joyceboniphace4428 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana hii interview, Lulu nakupenda bure Katika suala la hekima ninekuelewa zaidk

  • @aminamkindwi5579
    @aminamkindwi5579 5 ปีที่แล้ว +4

    More big up to you mrs Majizo It just happen to love you unconditionaly

  • @levinaraphael6066
    @levinaraphael6066 5 ปีที่แล้ว +3

    I love you lulu.. Beauty with brain

  • @gearedconsultingengineers6789
    @gearedconsultingengineers6789 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera, nimeipenda akili imekomaa vizuri,

  • @vj8313
    @vj8313 2 ปีที่แล้ว +1

    Watching 2022 lulu 🔥

  • @catherinebazil5162
    @catherinebazil5162 4 ปีที่แล้ว +1

    Wait upp!!!! Lil ommy I can say you are THE BEST host I know so far! So much brainy stuff, one hell of hospitality. BOY! KEEP IT UPPP😘😘😘

  • @salesiaaloyce7512
    @salesiaaloyce7512 4 ปีที่แล้ว

    Love you xixter lulu mungu akuongezeee kwa kila Jambo akuepushe na mabaya yoteeee

  • @losiborand90
    @losiborand90 5 ปีที่แล้ว

    Lulu we ni mutu bora kbs na mungu akupe unacho itaji kwa kira njiya

  • @zachariaglory9625
    @zachariaglory9625 5 ปีที่แล้ว +2

    Lulu your so clever and very smart

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 5 ปีที่แล้ว +3

    LOVE LOVE LOVE LOVE LULU

  • @sarahchares3825
    @sarahchares3825 4 ปีที่แล้ว +1

    Umependeza lulu wangu bila hats mekap

  • @deusdeditmasinde7615
    @deusdeditmasinde7615 5 ปีที่แล้ว +1

    Wangekua wakina sepenga tungekoma mawig yangekua ka yote mikope mekap za kutisha watoto wakalale,,, nice lulu

  • @millicentkirimi8730
    @millicentkirimi8730 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nakupenda❤️. Hamisa fuata tabua za mwenzako Aki.

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 5 ปีที่แล้ว

    Iulu nimekupenda Sana umemzidi mwanaume mzima daimond ataakilala namwanamke anataka kila mtu ajue mtu mzima kiba alitoakadi nakufunga ndoa

  • @emanuelkweka6756
    @emanuelkweka6756 5 ปีที่แล้ว +26

    Duh apo umeongea kichagga kbsaa mmmh ety aisee hv bd hamjajuagaa tyuuu,,,

  • @dominicadominica4976
    @dominicadominica4976 5 ปีที่แล้ว +1

    I just love You soooooo much my sweetest sister I love you a English I love hiyo misemo You are a very smart and a strong woman nakuombea sana Kila na heri greetings from Qatar here

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 ปีที่แล้ว +4

    Umeongea mambo makubwa sn kweli hekima nikitu muhimu kuliko kitu chochote kile hongera sana Elizabeth

    • @annemokami6380
      @annemokami6380 5 ปีที่แล้ว

      Kai lulu u are so intelligent woman love your hair Sura yani mungu alikupendelea sana dah adi raha cjui nkuunganishe na bro yangu uwe wifi yangu jamani ur so cute and wise

  • @nasmasaid405
    @nasmasaid405 5 ปีที่แล้ว +1

    I love u soumach my dear napenda mtu kama ww unajitambua uko vizur sana my love wangu

  • @user-fx9tf1ox3n
    @user-fx9tf1ox3n ปีที่แล้ว

    Nakupenda lulu

  • @paulinemwarungu6224
    @paulinemwarungu6224 5 ปีที่แล้ว +4

    Very matured ❤

  • @magrethkashind4082
    @magrethkashind4082 5 ปีที่แล้ว +6

    Ama kweli MUNGU fundi amekufinyanga vile apendavyo hadi hekima yako nimeipenda hiyo

    • @marochacha8279
      @marochacha8279 4 ปีที่แล้ว

      Nakupenda lulu hongera kwa Pete ya uchumba

  • @atepamashavu6122
    @atepamashavu6122 2 ปีที่แล้ว

    jaman lulu mdogo wangu waoooo! nazipenda sana muvi zako

  • @benignendayizigiye224
    @benignendayizigiye224 5 ปีที่แล้ว

    Lulu amekua kwa kweli..
    Anajua kujibu mpaka nimempenda zaidi...ni kweli kua maarufu haimanishi kuweka maisha yako.yote hadharani.

  • @user-he4fl7md2z
    @user-he4fl7md2z 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera yako dada interview yako haiishi hamu

  • @stanleykagoa6190
    @stanleykagoa6190 5 ปีที่แล้ว

    Lil Ommy ur best representer cjui hayo madini unayotoa wapi vitu unavyotoaga ni konki ukoseagi kiboya boya

  • @eshaomar4131
    @eshaomar4131 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu akuzidisheye

  • @janethmadeghe6941
    @janethmadeghe6941 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana huyu Dada jmn anajielewa vibaya mno

  • @mackrinakayombo6136
    @mackrinakayombo6136 5 ปีที่แล้ว +3

    Interview bora ya mwaka

  • @aminamussaramadhani219
    @aminamussaramadhani219 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekupenda yo smart

  • @mussamkenga5216
    @mussamkenga5216 5 ปีที่แล้ว +26

    unajib maswal mpaka msikilizaj anaona raha

  • @alliancemugisha273
    @alliancemugisha273 5 ปีที่แล้ว +2

    you just inspired me peace of mind indeed

  • @ireneinnocent4128
    @ireneinnocent4128 5 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up mwanangu Lulu nina haki ya kukupenda uko vizuri sana. umeomba mambo ya maana sana utapata na zaidi mwanangu.

  • @jessicanelly3516
    @jessicanelly3516 5 ปีที่แล้ว

    Kweli,we lulu weye ,ushaaga maliza,asante sana dada endeleya ivo,ila isiwe tuh ni maneno y'a mdomo

  • @landrinebagalwa5919
    @landrinebagalwa5919 5 ปีที่แล้ว

    Ww yani Mungu aendelee kukupa yote utakayo, mwanamke ni kichwa una akili ku zidi hata wanamke wengi, niko fan wako sana 👌 wengine wana ji vunia uzuri lakina hawana akili, you're the best 💖💖💖

  • @shayonapatel1408
    @shayonapatel1408 5 ปีที่แล้ว +4

    Its so interesting to listen to her! She is different from most of Tanzanian female celebrities!

  • @hamisamitwan9555
    @hamisamitwan9555 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kwa kujiamini kwako pia nimejifunza mengi kwako asnte .

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +1

    Una akili sana Lulu nimeipenda hii interview 👏👏👏

  • @janefrolakalinga5664
    @janefrolakalinga5664 3 ปีที่แล้ว

    Big up mdog angu lulu nakupenda atary unaakilo sn

  • @pilimwagakitu9234
    @pilimwagakitu9234 5 ปีที่แล้ว +2

    Smart girl masha allah

  • @kibibingao569
    @kibibingao569 5 ปีที่แล้ว +16

    Jamani lulu weww unanikoshanga mpenzi hadi raha

    • @magrethmasimor6067
      @magrethmasimor6067 5 ปีที่แล้ว

      Habari

    • @joanchege2838
      @joanchege2838 4 ปีที่แล้ว

      Daaaaah love you much sister bt majaribu ni mtaji so never give up

  • @doriceobedy6869
    @doriceobedy6869 5 ปีที่แล้ว +2

    So intelligent girl keep it up

  • @minaelmjema8798
    @minaelmjema8798 5 ปีที่แล้ว +2

    beuty with brain😊😍.... i appriciate