I just came across this channel the other day and I swear I've never followed any other channel like I do to this one. Wema ana sauti nzuri sana hadi natamani tu. Malkia mwenyezi Mungu akujibie maombi yako. Love from Kenya.
Napenda Ndizi jaman mimi na baba paka watu wakawa wananitania olewa na mchaga hili ule Ndizi na siku hizi wanakuja Sana wachaga mwanzo nilikuwa na bahat na wasukuma na watu wa pwani
I love you Lulu and i love you more ukiwa huna makeup, unazidi kua mzuri sana, Ila sasa naona unalazimisha kiswanglish na kinakukataa hujachelewa nenda British Council mama kajipige zako msasa, miezi sita tu unamkalisha hadi Muingereza mwenyewe.
@@islandgirl4578 wanapatikana Dar, Posta.... ingia Google andika British Council Tanzania, utawapata angalia location ukawatembelee itakua vizuri sana, yaan pale pesa yako haiwezi kwenda bure ni lazima tu ujue.
Wema you look good with your new look 🥰🥰..never stop doing what you are doing and don't stop to progress because of people... kindly reply to your love ones comments cause we do support you ...🥰🥰🥰
Kwa nini huwa hamtuonyeshi mkinawa mikono before kuanza kupika? Nafikiri ingekuwa vizuri zaidi. Pia nywele mfunike tuone kabisa reality ya upishi. Usafi kwanza.
We huwa unapikaje jikoni kwako??? Mi napikaga na kichwa waz na sijawah ona mtu ninaymfaham maisha halisi akipika kafunika kichwa maalum ili apike. Ila kwenye movie naona wanafunika i wonder
Nani anampenda wema kama mimi basi piga kelelee moja kwa wema akee!
Weuweeeeeee
Weweeeeeeeee lov u wem😍😍😍😍😍
Oyoooooooooooooo
Weuweeeeeeee
Woyooooooo
The English of this wema is so amazing.......I wish I could flow like her.....kama mzunguu❣️❣️
Yesu anakupenda,yohana3:16,,yeremia4:30,mhubir12:1
I just came across this channel the other day and I swear I've never followed any other channel like I do to this one. Wema ana sauti nzuri sana hadi natamani tu. Malkia mwenyezi Mungu akujibie maombi yako. Love from Kenya.
Nakupenda sana wema masha Allah mungu akufanyie wepesi inshaallah
Ndiz myeyere weweeee watu wa moshi piga kelel moj kwa lulu😘😘😘😍😍
ezi izo Lulu anakaa tabata matumbi jamani acheni mungu aitwe mungu akiamuwa kukubadirishia maisha yako nakukupandisha daraja akuna kipingamizi ongera mdogo etu ❣️❣️🙏
Nawapenda hawa binadamu wawili🥰🥰
Yaani nawapenda sana hawa watoto yaani leo nimefrahi sana
🔥🔥🔥❤
Am frist here from Kenya am 2 best people
Ya hata mimi nimesema wamependeza
Napenda Ndizi jaman mimi na baba paka watu wakawa wananitania olewa na mchaga hili ule Ndizi na siku hizi wanakuja Sana wachaga mwanzo nilikuwa na bahat na wasukuma na watu wa pwani
cook with D platnumz please
Wema na Lulu kweli nawapenda sana leo nimebalikiwa kuwaona mukiwa pamoja jamani😊😊❤
Mfundishe mtoto njia zifaazo,za kumjua Mungu na kamwe hata ziacha hata akiwa mkubwa.
Kanisa ubarikiwe
Wema kamwili kako ukaache hivyo hivyo yaani umependeza sana umerudi kipindi kile cha umiss
Me kizungu chake tu ndo chanimaliza💓wema love na Lulu😘💓
Da wema appron ni muhimu na mashaaallah unatumia ila kofia ya kichwani ni muhimu dear kwa afya ya chakula❤
Wema english yakoo tu mamy ❤️❤️❤️
It's sooo sweet walah🎉
I real love this show❤
Hii lazima itakuwa no 1 on trending 🔥🔥🔥🔥wema & lulu ❤❤
Make ote ni wake wa kanumba
Hhahahaha lulu mpuuz haez kumuita wema dada😂😂😂 kwasb washa share😃😃😃
Next time wema alika rose muhando upika naye tuta furahi sana
Safi sana lulu nawapenda jamani ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jamani Wema umependeza yanii umependeza hatari..... lulu pia katisha 😍😍😍
Lulu ni comedian nampenda!
Sana yaan
How did I miss this one .My best Tanzanian actresses. Warembo ndani na nje
Nawapenda wama na Lulu 🥰🥰💯
Wema Nicee ,kamwili kazuri,inaelekea siku ukiwa na straight Peruvian hair nyeusi utapendeza sna
Nawapenda hawa jamani 😍😍😍😍
I love this show ❤️❤️
I love you Lulu and i love you more ukiwa huna makeup, unazidi kua mzuri sana,
Ila sasa naona unalazimisha kiswanglish na kinakukataa hujachelewa nenda British Council mama kajipige zako msasa, miezi sita tu unamkalisha hadi Muingereza mwenyewe.
Anajua mbon English
@@islandgirl4578 na wewe pia hujachelewa kimbia British Council laki tano tu kwa miezi mitatu ukipiga miezi yako sita basi utawakimbiza kitaa.
@@queenseptember4640 wallah habinty napenda nijue English kama vile umenijua tu wanapatikan wap mwez wakwanza naenda
@@islandgirl4578 wanapatikana Dar, Posta.... ingia Google andika British Council Tanzania, utawapata angalia location ukawatembelee itakua vizuri sana, yaan pale pesa yako haiwezi kwenda bure ni lazima tu ujue.
@@queenseptember4640 awww thank you gal mwakan naenda Spain wacha ni kasome tu unasemea pale aliposoma shilole ama
Mashallah mmekutana mastar warembo hongerni
Aisee dada wema ulikua mzuri sana on red valantaday..... with kaka kanumba
Mmependeza♥️♥️♥️♥️♥️🙏
Wema you look good with your new look 🥰🥰..never stop doing what you are doing and don't stop to progress because of people... kindly reply to your love ones comments cause we do support you ...🥰🥰🥰
Madam wema
Kwa ushauri wangu ningependa kabla hamjaingia jikoni mnatakiwa kuvaa epron na kofia kuziba nywele
Nawapenda sana hawa watoto yaani leo nimefrahi sana hawa watoto kuwaona
Makeup ya lulu tamuui😍😍😍
Me sikupenda upungue wemaa nampendaa Lulu❤️❤️ na wema pia
Wote wapenz wangu mmejua kunifurahisha!
Dahhh...eti hawaongei saiz....🤣🤣...na Lulu z married...😳😳😳..kweli life can March so fast...
Wakali wakuigiza Hawa apa Kila sector Wanafit safi tu nawapenda sana
Love u wema akeee
How did you go from here to where you brought mama Kanumba?
😂😂and bring stupid question
Nawapenda Sana lulu& wema
Smart mashaallah 😍❣️💕
Lulu makeup iko on point lakini kazidisha unafanana na mdoli
Wema ushaanza kunenepa jiachie qween wetu shavu ilooo linakuja
Woow you look amazing 🔥🔥🔥
Jamani wema huwa mwaongoea Sana,,,afu kipindi chaisha kabla hamjapika..
Download app yake utaona full video
Mmependeza sanaa
Jamani mimi nawapenda hawa.wadada.lulu.wema
You all looks so good I'm so excited 😍
Nakupenda Sana we roh Safi Kama wewe😍😍😍😘😘😘😘
Cute mwalike mama dangoteee
Kati ya mastar 5 wa bongo wakike 1 lazima anakuwa ameshere nae mpenz lakini bado hajawahi kutuchosha
Hongera kwa kipindi chako kizuri!!!ombi.kifanye kifike mwisho kisiishie njiani!!!
Keep going wema sepenga
Nawependa sana lulu na wema jamani
Kwa nini huwa hamtuonyeshi mkinawa mikono before kuanza kupika? Nafikiri ingekuwa vizuri zaidi. Pia nywele mfunike tuone kabisa reality ya upishi. Usafi kwanza.
Wananawa ivi ni vipande tu full ipo app yake ya kulipia dear
kiukweli mimi sijui ni kwanini naamini wema amezaliwa huwo mwaka maana uwa naona bado ni mdogo mdogo
Mrembo sana huyu dada
Nawapenda sana hawa dada wawili
💕💕💕💕💕 so sweet dear
Love u wema sepetu
Wema wangu❤️❤️❤️❤️my kimpenzi
Nawapenda wote jmn lulu+wema
Wewe nakupenda bure wema
I love you guys 🥰🥰🥰🥰
Mimi naona Wema kama hajachangamka vile kawaida yake, ni kama akimwangalia Lulu anamkumbuka Kanumba
kanumba inaniumaga sana ila ndo ivo mipango ya mungu
Wake wenza
😂😂😂
Nawependa Sana wema and lulu
dada wema jaribu kipindi kiwe kirefu zaidi kwakuwa kifupi sana tu
Ana vitumagaa kwenye app yake inaitwa wemaapp nenda playstore
Yani umbea umeshika moto kupika mumesahau😂😂😂💖
Hawajui kupika hawa ndo maana wanaongea sana
Nawapenda bure😘😘😘😘
Wema and lulu i really ❤️❤️❤️❤️ guys
This Lady amekonda Nanini? Amekuwa mzeeee
Wema mtapikia watu nywele!!! Mfunge kichwa mkiwa jikoni
Ni mnyenyele bhna
Mashallah raha mkiwa pamoja
Jamani naomba kuuliza tu ili kujua,tukiwa tunapika tunatakiwa kufunga nywele ama kuziachia hivi????
We huwa unapikaje jikoni kwako??? Mi napikaga na kichwa waz na sijawah ona mtu ninaymfaham maisha halisi akipika kafunika kichwa maalum ili apike. Ila kwenye movie naona wanafunika i wonder
Nawapenda jamani nyie ni faraha sana kwangu
Wow nice one..
Lulu umrnifurahisha sana nakupenda sana
Mashallah uko pw sana
Nampenda wemaaaa, aniite nami one day jomon
Wema we need full episodes mpenzi.
Mie wema nampenda sana.
Love you wema
Nice😍😍
Nawapenda Sana nyie wadada
Just because....
The show is always nice but Wema siyo msikilizaji
Love wem
Sjaona chakula kilofundishwa apa nmeona story t
So beautiful 😍❤️😍
Wema pika na Irene Paul jamn tunampenda Sana...
Yaan wewe upo kama mimi
Watu wa mbeya tunaita mbaragha 😊
Umerudiwa au?
mambo
ilove also ndizzzzziiiiiii❤
Muna pendez ma siz
Love yeah all