BABA LEVO ATAKA KULIA WAZEE HAWAMJUI/MILIONI 2 UMELOGWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2020
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Kazi ya huyu kaka mtangazaji leo imekua ngumu 😂😂😂 Baba Levo nakupenda bure tufikirie kwenye comedy please
hahaaa
😂 😂
😂😂😂😂😂sanaaaa
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: th-cam.com/video/EhmI49JzV28/w-d-xo.html
Elizabeth Paul B levo bna
from🇰🇪🇰🇪🇰🇪Baba levo wa all in all na kujigaralaza tunampenda sana
Baba levo achana na siasa commed inalipa sana na mziki kaa WCB uongoze njia ya maisha yako pamoja sana blood ✌️💯
Baba Level yuko poa sana!!! Ana talent sana! Kila nikiangalia kwenye interview zake anachekesha sana
Jaman nyie mnaeangalia mnacheka kama mimi hebu nipeni like
Operesheni ya ku UNFOLLOW page ya wasafwa iko palepale kama hawatompa motown sanya gari mwez huuu tuna unfollow page zenu zooooote
Yani kwa sauti
Hiki kipindi kwenye tv kinaonyeshwa siku gani?
@@rahmatybakary2414 sijui ndugu mimi ni youtube kwet hatuna video wala sikrini 😂😅😅😂😅😂😅😅
@@RAUNATION poa😂😂
Wasafi Raha Sana Hakuna stress full burudani
Baba levo msenge sanaaa nacheka kwa nguvu sana🤣🤣🤣
Baba levo is a real comedian😂 254 love💯
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Baba Levo you have made my day ... you usually crack my ribs
It’s true
Mo town Sanya nembo za mtaa Leo kajaa mwenyewe BABA levo tunaenda IKULU 😂
Bhan weee Ikulu mwaka huu tunaimgia ndugu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Big up Sana baba levo ni good comedian in Tanzania... Iam one of fans
Baba levo mkali sana. Nyota yake kwa muda huu ipo sawa.piga kazi mwanangu ✌️🇹🇿.
mamb
Unajua hata mimi nilikuwa simjui baba Levo mpaka nilivyomuona WASAFI,nilikuwa nasikia sauti yake tu
kama ulimwona mo town sanya kamaindi yani kachukia afu kapotezea gonga like🤣🤣
Ila baba levo huwa unaongeza siku zakuishi za watu🤣🤣🤣🤣
Yani anawachana live ety ww uwe secretary subutu 😂😂😂😂😂baba levo ni jinga sana
ALIYEBUNI HICHI KIPIND MUNGU AKUWEKEEE🙏🙏🙏🙏@motownSanya #MITANOTENA😁😁😁😁gonga beat ya leo🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah imagine ndo baba yako anahojiwa ivoo dooh !!..😂😂😂💔
Hahahhahha namm nime imagine
😀😀😀😀😀
@@mgishagibson2900 🤣 ila watu
@@halimahashim6768 😆💔
Daaa kwa kwel itanishangaza san
Baba revo umejua kunichekesha wallah😂
hahahahah baba levo bila kumtaja mtani wako msechu huna raha😀😀
Mlio kuwa mnasubili Conga beat tujuane!!!
motown sanya Burundi 🇧🇮🇧🇮 tupo online kwajili yako aise big up
Roho ya baba levo Safi jamani🇰🇪❤❤❤❤ila huyo jamaa kwenye gonga beat..hapo kwa ayeee ayeee karibu anipasue sikio😅😅
Mbona meno yameisha?!🤣🤣🤣🤣 nenda usile chumvi tena 🤣🤣🤣
Huyo Jamaa wa Miwani ya Juu.
Kapangwa na BabaLevo 😂😂😂
Atari
Hawa wanao imba mwenzenu wataniuwa mbavu zangu🤣🤣🤣😹😹🏃🏿♀️😂
This is one of the best show#Baba Levo👍🔥👍
Nimechek Sana Leo jamna baba levo Atari ata kama unaasira unacheka😁😁😆😆😂😂🤣
Nimecheka sanaaaa😂😂 etty ikuluu
Mtagazajiii 😂😂 Leo kawa mpole sana jmn 😂😂 baba levoooo
Aliyenae nichiriku sana
amini kitaa kina mishe kibao kuna wana wanatembea kwa spidi ya treni ya umeme wazee wanatupambania sana all in all baba levo katisha kutoa namba kwa rasi
Nakubali watu wako fasta kusaka maisha
🤣🤣🤣🤣namfatilia sana bb levo namuelewa kinoma yani
Huyu mzee nae akili kama za Baba levo tu,, ngongingo imfanye baba levo aitwe na Magufuli Ikulu?😂😂😂 Dunia simama.
😂😂😂😂 nimewaza the same thing 😂😂
Hatat
we love u BabaleVo all in all ........ one love From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
SEMA YOU LOVE HIM NOT WE LOVE SI WA KENYA WOTE WANAMPENDA .. HATA WEWE HUPENDWI NAKILA MTU
Hahahahaha baba levo nakupenda Sana jamani Hadi naumwa dah ya mm napenda sana kukufatilia
Baba levo we love u ❤🤣🤣🤣🤣
all in all namkubali baba levo🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂 akulete Kenya Baba Levo tunakujua
🤣🤣🤣🤣mtangazaji ana juta kumleta baba levo
Nauza track kama za baba levo 7500 karibuni
Za kike au kama ni za kike nahitaji
@@magrethdaniel7351 za kike au kama ni za kike nahitaji
Hahahahah kabisa yani baba levo njo mtangazaji
Sanaaa
😂😂😂😂😂aii yani Babalevo nimeangalia hii show zaidi ya mara ishirini tangu nianze kufuatilia Motown.We ni Mwehu Og😂😂😂😂
Yani uyu Jamaa kama Mr bean daah gonga like kama na wewe unacheka kama me
Usiite wazee tafuta MTU😂✌
😂😂
Kicheko cha babalevo daaah nimemmis aseé😂😂😂😂
Pwahahaaa hapo kwa huyo mama wala hana habari.. ati nimekua juma necha.🤣🤣🤣🤣🥰
Motown sanya uko vzr jamaaaa
Host leo ndio kabeba kipindi anahoji mwenyewe🤣🤣
Hahahaha, baba Levo wewe ni shidaaa!
Unaiba majina ya watuu. Kura sio zako unaibaaa,,,, haya sasa iba na hiyo ya belaaa
Mo_town Sanya umeingiliwa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 baba levo kawa hoster tena
Uyu mzee chenga walah kama amjui mondi duhh uswahilin bhn
Jamani Mbavu zangu mie Baba revo bwana Shikamooooooooooooo jamaniiiiii😗😗😗😘😘😘😘 mie wanivunja mbavu mwache mtu achekeee bwanaaaq
Levo kgm mpaka miaka mitano ndio tunakuona tena😂😂
Jmn kama na wewe hutahama bongo nipe like bc
Jmn nimechekaa mpk😭😭 😆😆😆😆
Baba levo namkubali sana anapendwa na kila mtu bila kumsahau MO. town sanya
Baba levo uko vizuri sana kwa comedian
Utamuua baba Levo mo sanya angalia usikute mavi ndani ya gali😂😂
NANI HAJUWI BABA LEVO 🤣😂🤣🤣 254 ) ALL & ALL 😁😁 HE'S THE BEST
😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna siku niliyocheka kama leo dah...babalevo kiboko
Baba levo nomaa sanaa Et Mzeee #Umekufa
Daaah!! Baba levo anafujo wallah 🤣🤣🤣
Hennessy zitamaliza huyu jamaa... sawia na Dudubaya incase WCB ikifirisika!!
Gusanisha Nyama Ya Panya😂😂😂 Yani Gonga BeaT Ni Upuuzi MTupu
Baba levoo dah c poa nimeenjoy🤣🤣🤣anvituko
Baba levo anaupepo l say nampenda Sana more love 4rm kenya🇰🇪
Alie sikia pombe inaitwa mijangwa gonga like😂😂😂
Mujwanga
😂😂😂
ALL IN ALL MZEE WA KINAHA MILE MOJA KATISHA
Mo town sanya penda sana big up sana
Kitambi kinaelekea kwa msechu🤣🤣🤣🤣
Hahahahah kama sijampiga mtangazaji makofi na huyo mzee wake.... Hahahahahahaha daah jamn et anatafuta viziwi
Yaan baba levooo hpn we ni kibokoooooo.
All in All Ila mwamba hana kina Doooh 😂 hata buku hagongei 😂
Jamani nampenda mosanya mpaka aibu😜
Baba Levo namupenda🇧🇮from burundi
Eee bwana moo sanyaaa hii pindi la leo nilinzuri sanaaa baba levooo hatari kaka
🤣🤣🤣 baba levo bora ufanye comedy acha music 🤣🤣🤣🤣🤣 mhanangwa
Umejua kama mimi mnyamwenzi!! Hajaelewa huyu mzee
Hajaelewa kwel
Hahaha eti unawauliza wazee kama wanamjua baba levo nimekuwa Juma nature😂😂😂😂
Baba levo duh mnyama sana
Babalevo ni mjinga kweli hawez kua sehemu usicheke.😂😂😂
Tunamsubili baba levo mtalamu
Kuna wazee wana stress jamani 🤣🤣🤣 mpaka anaimbishwa ngongingo na anaimba !!
Nafatilia toka Spain🇪🇸 gracias mucho😘
mzee alijua mnyamwez kabila😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
@@mosesayubu5012 😂😂🤣🤣
Baba levo multi talented
Baba level kiingereza anachojua ni All in all
Am happy
Moses From DRC mimi pia namukubali sana baba levo
24:21 jamaa adai 200 , Mwezake kwa nyuma ataka aongezee bei😀😃😁😃😅😅😄
KIGOMA itaendelea kua juu 🤣😂😂😂
Leo raha aha nakupenda bure baba levu
B levo nakukubali sana
Huy ndio bba Levo OG🙌🏼😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Hakuelewa kbsa huyu mzee😁😁😁
Waiting
😀😀😀eti nan akupe milion mbili umerogwa🙌🙌🙌baba levo akili huna ww
Baba Levo ni Noma namkubali anaeza aka hit vizuri aki compose nyimbo Tatu mwezi
Nakubali sana hili pindi🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah mmetisha saaana wasafi namba moja
habari zenu wote. naombeni msaada wa kutembelea kwenye CHANEL yangu. nafanya music msani wa Bongo flava. jiskie uhuru ku SUBSCRIBE . hasanteni.
hahaaaa motown sanya pamoja saana sema nini baba levo comedi Sana sema yupo Safi Sana akaze buti .naitwa kassim.kinondoni studio apa wasafi tv show chombo kwa hewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣akiii leo mechekaa,,,,sanyaa umekuwaa mpoleee leo
🤣🤣🤣🤣sasa baba levo umeshindwa kufuata utaratibu ingia kwenye gari
Nawapenda sana mutangazaji and baba levo😘😘😘😘💞💞