Kafafa nae kiukweli au n pacha wapotevu waliopoteana siku , kwan uyo bba levo hii pombe ndoyamfanyisha aongeee sana au n hulka yke ,coz hafau kuwa mume wa mtu yuachamba mwanzo mwisho
Mwanaume hapigi mkewe.kamuacha mke wake walio kuwa wametoka mbali wanalala chini akamuoa shishi na yule mwanamke kamlaani akamuombe msamaha hakuna awali mbovu
Eti huyu mzee mapua nae ni msanii au mtumwa wa msanii? Leo kakosa shukran kwa Shilole ambae amemfikisha hapo alipo leo amestirika na makombo ya Shilole sasa ana mdomo mchafu kumsanif. Huyu Mungu atamuhukumu siku moja. Mchumia tumbo mkosa fadhila.
Kama umegundua ucheba na baba levo hawana bifuuu gonga like twende sawaa
Huyu ni comedian wa nguvu 😀😀😀napenda the way Uchebe hajakasirika
Baba levo uko sawa kumpenda Uchebe nawapenda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watu wakigoma. Wanaongea balaa, yaan nikiomuona baba levo na brother zangu. Ni sawa kabsa.
😂😂😂😂😂tibia mojaa aki wewe
Hahahaha wamrfungwa motor
Waha ndivyo tulivyo tubishana na radio 😅😅😂😂
Baba levo anaweza comedy
Mwaka wa baba Level huu aisee
Kwel nakubal
Nakupenda sana uchebe!!!! Shilole kapoteza dhahabu ktk shimo la chooo ww bonge la mume''''''''
Mchukue wewe mwenye nyege za vitunguu swaumu
@@belak999 😀😀😀😊
😂😂😂😂
@@belak999 Uwiiii mbavu zangu
Kabisa ❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan babalevo jmn daaaa huyu jamaa n shida hafai yaan anamponda uchebe n Kama hayupo kumbe yupo hapohapo na anaongea fact kabisa daaa
Ukisema umkasilikie inajiumiza kichwa tu
Kalewa uyo anaropoka Siri za kampuni
Kweli ukimusirikiya baba levo utakuwa umekosa kazi yakufanya lei uchebe umesimama nakuongeya na baba levo!! Nihatari
Sana
Uchebe akituliza akili atapiga Pesa sna, kikubwa malengo.
Ndio
Tena baba levo anavyozid kumuongelea ndo anazid kumtengenezea umaaruf sema atulize akil ndo muda wake wakupiga pesa na kua star
Hawa wanatumika kuchukua tension za watu ndo mana unaona wanafanya kazi wote wasafi na vunja bei kitu ambacho hakikwepo Tz hapo awali
ILI KUISHI VYEMA LAZIMA TUPATE WAKUTUPUNGUZIA STRESS
BABA LEVO AMEUMBWA MCHESHI MNOOOOO.....TUISHI VYEMA
Saana yaan nimeshacheka hadi mbavu zimeuma🤣🤣
Baada ya dudu baya kunyamaza sahi Baba levo ndio habar ya mjini anaongea Fact..Wcb wanajua kutafuta hela
Nakweli alienda wapi
Kafafa nae kiukweli au n pacha wapotevu waliopoteana siku , kwan uyo bba levo hii pombe ndoyamfanyisha aongeee sana au n hulka yke ,coz hafau kuwa mume wa mtu yuachamba mwanzo mwisho
@@shebastar3534 😂😂😂
Yaani Uchebe kampiga shishi akapiga dili la ustar papo hapo
Babalevoo unatisha mzeee 😂😂😂😂
Tanzania ukitrend tu..unapata kaz WCB.
😀😀😀😀
Ukijatambuwa unafanya kazi vzuri tna lazima wcb wakutajirisheeeee😂kazi pap papppppp
Ndio maana dai anatusua Sana kila sekta cause anagawa riziki na anawafanya kazi wengi ukiwa mbinafsi maisha haya hata watu wanakususa.
@@heriholder2937 kweli yko
SPONSOR hata mshukuru mnapata Na kazi Na mnalipwa vizur kuliko kutrend haraf unapiga miayo
Unamukera uchebe kweli
Uchebe kimya
Linapenda sifa hili libaba levo
🤣🤣🤣jaman Baba levo nakupenda Sana huwa unanifurahisha sana
Uchebe Fanya kazi huyu baba Levi anataka akuharibie kuwa making nae
Kweli
Lakini huyu baba levo😂🔥
I'm so happy
Anafurahisha, ila mambo ya kuweka hadharani mishahara ya watu sio sawa, awekewe speed limit
Uchebe Reĺax huyoo Falaaa ajibiwiiì😏😏😏😏
Mwanaume hapigi mkewe.kamuacha mke wake walio kuwa wametoka mbali wanalala chini akamuoa shishi na yule mwanamke kamlaani akamuombe msamaha hakuna awali mbovu
Eti huyu mzee mapua nae ni msanii au mtumwa wa msanii? Leo kakosa shukran kwa Shilole ambae amemfikisha hapo alipo leo amestirika na makombo ya Shilole sasa ana mdomo mchafu kumsanif. Huyu Mungu atamuhukumu siku moja. Mchumia tumbo mkosa fadhila.
All n All baba levo umeuaa 😂😂😂😂
😂😂😂😂all in all
Uchebe macho kama mchina
Wallah Baba Levo Mungu anakuona nimecheka mwanzo mwisho 🤣🤣🤣💥💥💥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋 pombe SIYO chaii🚶🚶🚶
Mh... Yan. Hapo. Kwenye kikao ana ongea. Baba levo. Tu🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤦♀️🙆♀️🤦♀️🙆♀️🙆♀️🤦♀️😅😅😂😅
Uyu jamaa sio tuu pombe pamoja na Bangi pia
Sasa muda wote uchebe habari zibgine hakuna mkubwa mwili akili hakuna
👌👌👌
Namkubali baba levo
Raha baba levo
Vunja bei anafuraia sana na ndio mana hawezi mkosa B.levo hata
Nakupenda baba levo😅😅😅😅😅
Yani hapo ni misifa tu basi na hivyo wanavyocheka ndio kabisaaa linapata kichwa
Hassani
Yeah
Yaani baba levo akili zake huwa naburudika kwakweli
Iki kidada kinamtia chakula baba levo kinywani kina surambovu sana, kinafanana na harmorapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅
🤣🤣🤣🤣🤣
Babu sio maneno ya kiume bro @ibrahim kante
Yaan hii baba levo hii🤣🤣🤣
Hhaha baba la baba
Nampenda baba levo anajuwa kuchekesha sana
Hahahahaha 🤣🤣🤣
huyu jamaa akipunguza kuongea sana atafika mbali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uchebe wangu weeeuwe nawapenda sana na babalevo
Yaani Kuna upumbavu unaendelea sana
Nimeipenda Sana iyo wahasimu wamekua marafiki wanataniana adi raha ongera nasibu kwa upatanishi
Uchebe usikasirike tule raha.Watu kama Baba Levo walikuwa wanatukusanya sana shule, nime miss!
Babalevo ana vituko 😂😂😂
Baba levo uta pigwa ngumi na uchebe kiekiekie 😄😄🇨🇩🇨🇩
We baba levo maliza pombe 😂 imebaki mkia tu unaongea sana
😂😂
Bab levo Banaaa
Babalevo kalewa 😂😂😂
Baba levo hatar sanaaaaa !!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Baba levo weeeeeeeh
BABA LEVOOO WE NOMAAAAA
Uchebe na baba levo
Nimecheka sana dah
Baba ra baba nalikubali sana
Baba levo akili zake anazijiwa mwenyewe kwakweli😁
Apo saw baba levo anatiuluma uch b
Appreciate Mh diwani
unatoa siri za kampuni
Kashalewa huyo!
😅😂😅😂😅😂😅🙆♀️😂😂Pombe mbaya jamna
Baba levo🤣🤣🤣
😂😂😂😂 baba levo khaa
Jmn
Baba levo acha sifa 😂😂😂😂
Mm simpi baba levo
Baba Levo 🔥🔥
Uchebe amesha chukua nafasi ya Msechu mbona balaa😂😂😂 Na hivi siyo waongeaji sasa😂😂
R4 na v 8 ina utofaut gan wnng w ki goma like ap
Baba levo mashallah 🤣🤣🤣🤣🤣
Jaman baba levre
😁😁😁😁😁😁
😂😂😂😂😂,baba levo na uchebe mnanichekesha
Baba levo duuuh. Hahahahahaha
Baba levo banaa
Baba levo hahahahahahahahahahaja,nomaaaaa sanaaaa
Huyu jamaa hakupaswa kuwa wasafi akilewa anaongea utumbo tu,anatoa siri za kampuni,anataja mshahara wa uchebe,huyu kweli hamnazo.
Hahah
Hapana m2 apo
Sio serious anatania tu
😁😁😁😁ili jitu ni bangi mno
Maskin mdada wa watu avyoongelewa kwel...ety kanenepa,kma robo ya vunja bei
Logo ya vunja bei ni kontena
Baba Levo chunga mdomo uongeapo kamati ya maadili itawarudisha tena Wasafi Village
😂😂😂😂😂baba levo
ẞaßa lèvø hacha ulongø
Eti milion 100 wapiiii 😄😄😄
Nataka pampano la kuongea kati ya Watu wa Arusha vs Watu wa Kigoma kwa masta tunampanga Janjaro na Baba Levo 😂😂
Nmecheka sana had nmesahsu..Mashida..zangu...🤣🤣🤣
Ila baba levo hatarii uyu jamaaa😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Uchebe is humble
Verry better
Nakupenda tu mshikaj wangu vituko vyko
Kigoma hatoki fala
Wana furahisha sana😂
😂😂😂babalevo
Baba levo pombe itakumaliza unaonesha unaanza kuchanganywa
Makubwa ✌️🤣🤣🇧🇭
Baba levo yaani 🤣🤣🤣🤣
Baba levo😂😂😂😂😂😂😂
Hili lijamaa 😂😂😂😂😂😂😂
Buy beat now