ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Walio kuja kwa ajil ya mkojani
Mkojani kaenda namba 2 on trending... MashaAllah nyota njema
Mkali wa kita leo kazi ipo mkojani yani noma I'M FROM TANZANIA 🇹🇿💖♥ WATCHING FROM SOUTH AFRICA 🇿🇦GOOD GOOD 👍
You are right bro
@@kadabramoses8467 number one bro
Yani hii ya mkojani nangalia sitaki hata imalize hii shoo yani burudani mpaka basi 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mkojani A.K.A. KING MAJUTO 👑👏🔥🔥🔥
Huna baya Mo Town sanya na Team yako yote I Appreciate Broh..! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wanao mkubali mkojan like hap 2juane
Mkojan level nyengine yaan kipind kimeenda fresh🔥🔥🔥🔥
Namkubali sana
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤗🤗🤗💯❤️❤️Je l aime lui beaucoup
@@fardboy7043 09bbbb
Kumbe Ng'ombe unijuiii......respect mkojani unajua sanaaaa🔥🔥🙌🙌
Nawaambieni ningekua hapo ningesimama na mimi I love mkojani😀😀😀😀
Daah 😂😂😂 Yan leo nimecheka mpaka bas et nimesikia nyie waendesha pikpik mpaka mkaliwe nyuma Ndo mnapata Hera😂
Team mkojani tujuane nimecheka sana leo bro 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Da niliisubiria sana hiyo da mkojani umeuwa gerezani kwa jonijooo na hii sanya pamoja
hapo sasa kwenye kuingiza voko hapa mbosso khan kule mond Baikoko 🔥🔥🔥🍷
Mkojani like kwake jamani kama anafanya vizuri
😂😂Ivi wee ng'ombe hunijui 😂😂mkojani jamanii umenivunja mbavu zangu 🙌
Nimependa watoto walivyo mtakia kheri😍😍 mpka machozi yamenitoka
Kwakweli anapendwa
Mkojan anajuwa sana
Maashaallah anajua
Love kubwa kwa kweli
Kuna mtoto mmoja alisikika ,, mkojan kapat bahat ya mtende
@wasafi warudie tena kali sanaaa 1 more time 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
Nembo Ya Mtaaa🔥🔥🔥 Mkojani Number one in Tanzani Hutaki Jamba😎
Maskin ftari yangu yangu yoote imenitoka tumboni aiseee🤣😂😃😄🤣 mkojan fujo tu yakheee
🤣🤣🤣🤣🤣 pole
Wanaomkubali mkojani gonga like twende sawa
Dah! yaani kila siku sipati like, wanangu nisaidieni plz🙈🙈✌🏾😍😍
Sasa like itakusaidiya nini
Unapeleka wapi
Njoo UChukuwa zote
WaTanzania wanamkubali saiz mkojani.. like
🤣🤣🤣Nimecheka eti huyu ndo zuchu sema nimemic home huyu alivaa nyeusi kajitaidi kidogo kuimba
Nakupeda sana mkojani ❤️❤️💋
Hatanasisi Online tunamukubali 😂🥰🥰✊
Hi show Kali nimeipenda Mkojan juu
Mkojani noma popote kazi kazi , nakupata vyema Toronto 🇨🇦
Gonga beat s mchezo,u have made my day😃😃😃😃😃
Ng'ombe weweeeee,maliuuuuun.Penda sana Mkojani.
Mkojani kashindikana 🙌🏾number 1 kwa comedy 🇹🇿
Bro fanya kipind ukilet na kwa wasanii wa zanzibar kwan kipindi kizur nimependa jinsi watu wanavokutanishwa na wasanii wao hongera mo town sanya
Nyote mnaosoma comments huku mna watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi akawazidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
Amen
@@emmanuelmwakyembe9632 shukran
Amiin
Ameen
Ameen uzidishiwe na wewe pia
Aliyekuja baada ya kuona trending namba 2
Nina vidonge vyangu viko ndani nikivimeza HVO naongea kingereza balaa, mkojani salute
Cute Cute 😍i see you Queen
Mkojani kwa ss ndio msani mkubwa kwa vichekosho hakuna ubishi Hapaaaanaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦aka bachuchu mombasa 001🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na tin white vp
Tin white ndio mkongwe wao lkn kwa ss mkojani ako juu
Kweli anatupuza stress za warabu huku saudia
Woooow kiti cha majuto kimepata mtu 🤗👏👏👏
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥👏👏
😂😂😂😂 Kweli kabisa
Sure
Noma san mkojan ata ukimpelka jeshin angkupga bao mkojan the legend
kama umeskia... kama anavyofanya Abdul gonga like hapa twende sawa
Walio sikie twende mochwari gonga like hap
Uyu jaa kichaaa eti mochwali
🤣🤣😭😭
Tulio jikuta tunacheka baada ya kusikia twende police pale humu tunyooshe kidole ☝️ tujuane.
Nachek adi machoz eti waende adi mochwari
moo town in the building nakubali sana mwanangu unatuletea maujanja kama yote mzee nakucheki kutoka capetown mother city of Africa
😂😂😂😂😂😂😂😂Leo nimekuja hapa kucheka tuuuu
Mi favorite show ❤❤❤🔥#Baikoko ni noma🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃💃
NAZANI MKOJANI INTERVIEW YAKE IMEVUNJA RECORD YA ZUCHU ANAEKUBALI GONGA LIKE HAPO CHINI
Haina maana comedy vs music
Nc mkojan
Record ipi unayozngumzia?
Hatariiii
Iyo ni hatar sana
Alie skia usinivue kofia nnahirizi nan gonga like twende sawa😄😄😄
😂😂😂😂😂 We Sanya mungu anakuona 😂😂😂 niko Rwanda ila nakukubari sanaaaaa 👌
😂🤣🤣🤣 @motownsanya ipo siku watakupiga kwenye hii section ya gonga beat😂😂😁😁😁
Mm kila siku sipati like nipeni jamani japo thu😌😌😌
Kwani like unakula
Like kwake mkojani
Mkojani yupo juu kila sehemu akipewa aicheze anaiweza jmn wanaokubaliana na mm like hata 2
Kama unaamini bongo movie wamebakia kina mkojanitu gonga like twende sawa💯💯💯
Pindi la kijanja Sanaa 👊🇹🇿🇹🇿
Old man he is truly Hero , I don't know him but many knows him
He is just a young man and not old..He is fine comedian
@@12322879 thanks
Nembo Ya Mtaa Vs Mkojani was funny😂😂😂🙌
Mbona mwenge hamumlet mkojan mleten mwenge
Mkojan kakutana na muhun
Mkojani Ng'ooooombe wewe Umetiiiisha. Mo town Sanya ujanja kwiiisha ett ndo Zuchu
Mkojani huyu jamaa anakipanji sana amemridhi mzee majuto nina follow sana nikiwa gulf middle East Qatar
Siyo Tanzânia tu, mpaka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿, tunasikiliza. Anafanha Poá Edelehe hivyo na Rafiki yake whaite
Likes za mkojaniii ni hapa
Ngonga beat TP MAZEMBE LIKE ZETU
Unatisha kaka kila sehemu mpaka uku uwarabuni wanakukubali 🤙🤙🤙🤙🤩🤩🤩
Mkojani 💥💥💥
Mkojan ni noma
Huyu ndo king majuto mwenyewe copy right 😂😂🔥💯❤
Maaaayne...I Like This "Hivi Ni KweLi"...My boY MoTown Knows How doinG His ThanGs...On Top Of That...Pamba KaLi....
Dhuuu mkojani amekuweza Mon town
Mkojani twakupenda sana kakangu mungu akueke 🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪
Mashaallh mashaallh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌👌💯
Wote wananijua , labda twende police tuone kama wananijua😂
Hii mwana tunataka request tena mochwari n helicopter 😂😂😂😂
Maskini watuwameshaanza kumsahau kingi majuto kwahuyu mwamba mkojani kaza mzee baba Big up 🤝🤝🤝👏👏👏
Acha masiala wewe. Majuto ni Majuto tu
Hey. Let's make it trending number 1 please
huyo mkojani ni bonge WA star ✨✨✨✨
So amazing sana
Mkojani umetisha...kikubwa ongeza bidii tu
Mkojani nakupenda bure🤣🤣🤣🔥🔥
Jamaniii...nampendagaaaa
Wanaomkubali mkojani tupa like
Twende zetu namba moja on trending
Leo kaz imekuwaKubwa sana umeuwa Bwana Motown sanya
Jamaa aliyekuw anaongea kiingereza naye😂😂😂 Sema All in All Mkojan umeua
Mkojani ww noma sana yaani huku zenji tunakupenda sana yaaani dah
😂😃😂😂 hao waimbaji sasa Ila bro hichi kipindi kidumu milele
Ankali, kipindi hici wewe na Zuchu ndo mumefunika🤣
First comedian east Africa
Kwan tukiipeleka trend namba moja itakuaje????
Yaaan katika waagizaji namba moja wanatikisa wanatekenya vizuri kazi zao mkojani n noma
Likuwa naisubiri sanaa hii
How do do you do?
Mo town sanya !!!on trending
Nembo ya Mtaa hii interview umetisha Man ndo maana imefanya vzr
Yan nikiwa na mawazo napenda sana kumuangalia mkojan pa1 na tini ninawapenda san
Kipupwe 👉MkojaniGreat transformation
Mzigo upo namba #2trending
"Oya mariamu nipe namba yako ya simu ww" mkojani nakubali kaka
Daah mkojani katisha sana 😂😂😂 ila hawa wasanii waleo 😂😂😂😂😂🤣
😂😂😂😂Gonga beat @motownsanya unatesa wanangu😂😂😂 Kenya nawakilisha😂😂😂😂
Pindi la kibabe sana hili
@@josephstephen2047 aisee
Wap mkojaniiiii mwane2💪
Zuchu & Mkojani ni Moto 🔥🔥🔥 mmevuja likodi
Nembo ya mtaa hivi nikwer kuna mwingine Kama mo town sanya🤣🤣🤣
Nampend sana Sana huyu kaka nikiwa na stress tu nikimuangalia happy kbs ninazo Cd kama zote jmn za mkojn kila inayotoka hainipit
Umekosa zangu tuu
Walio kuja kwa ajil ya mkojani
Mkojani kaenda namba 2 on trending... MashaAllah nyota njema
Mkali wa kita leo kazi ipo mkojani yani noma I'M FROM TANZANIA 🇹🇿💖♥ WATCHING FROM SOUTH AFRICA 🇿🇦GOOD GOOD 👍
You are right bro
@@kadabramoses8467 number one bro
Yani hii ya mkojani nangalia sitaki hata imalize hii shoo yani burudani mpaka basi 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mkojani A.K.A. KING MAJUTO 👑👏🔥🔥🔥
Huna baya Mo Town sanya na Team yako yote I Appreciate Broh..! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wanao mkubali mkojan like hap 2juane
Mkojan level nyengine yaan kipind kimeenda fresh🔥🔥🔥🔥
Namkubali sana
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤗🤗🤗💯❤️❤️Je l aime lui beaucoup
@@fardboy7043 09bbbb
Kumbe Ng'ombe unijuiii......respect mkojani unajua sanaaaa🔥🔥🙌🙌
Nawaambieni ningekua hapo ningesimama na mimi I love mkojani😀😀😀😀
Daah 😂😂😂 Yan leo nimecheka mpaka bas et nimesikia nyie waendesha pikpik mpaka mkaliwe nyuma Ndo mnapata Hera😂
Team mkojani tujuane nimecheka sana leo bro 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Da niliisubiria sana hiyo da mkojani umeuwa gerezani kwa jonijooo na hii sanya pamoja
hapo sasa kwenye kuingiza voko hapa mbosso khan kule mond Baikoko 🔥🔥🔥🍷
Mkojani like kwake jamani kama anafanya vizuri
😂😂Ivi wee ng'ombe hunijui 😂😂mkojani jamanii umenivunja mbavu zangu 🙌
Nimependa watoto walivyo mtakia kheri😍😍 mpka machozi yamenitoka
Kwakweli anapendwa
Mkojan anajuwa sana
Maashaallah anajua
Love kubwa kwa kweli
Kuna mtoto mmoja alisikika ,, mkojan kapat bahat ya mtende
@wasafi warudie tena kali sanaaa 1 more time 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
Nembo Ya Mtaaa🔥🔥🔥 Mkojani Number one in Tanzani Hutaki Jamba😎
Maskin ftari yangu yangu yoote imenitoka tumboni aiseee🤣😂😃😄🤣 mkojan fujo tu yakheee
🤣🤣🤣🤣🤣 pole
Wanaomkubali mkojani gonga like twende sawa
Dah! yaani kila siku sipati like, wanangu nisaidieni plz🙈🙈✌🏾😍😍
Sasa like itakusaidiya nini
Unapeleka wapi
Njoo UChukuwa zote
WaTanzania wanamkubali saiz mkojani.. like
🤣🤣🤣Nimecheka eti huyu ndo zuchu sema nimemic home huyu alivaa nyeusi kajitaidi kidogo kuimba
Nakupeda sana mkojani ❤️❤️💋
Hatanasisi Online tunamukubali 😂🥰🥰✊
Hi show Kali nimeipenda Mkojan juu
Mkojani noma popote kazi kazi , nakupata vyema Toronto 🇨🇦
Gonga beat s mchezo,u have made my day😃😃😃😃😃
Ng'ombe weweeeee,maliuuuuun.Penda sana Mkojani.
Mkojani kashindikana 🙌🏾
number 1 kwa comedy 🇹🇿
Bro fanya kipind ukilet na kwa wasanii wa zanzibar kwan kipindi kizur nimependa jinsi watu wanavokutanishwa na wasanii wao hongera mo town sanya
Nyote mnaosoma comments huku mna watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi akawazidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
Amen
@@emmanuelmwakyembe9632 shukran
Amiin
Ameen
Ameen uzidishiwe na wewe pia
Aliyekuja baada ya kuona trending namba 2
Nina vidonge vyangu viko ndani nikivimeza HVO naongea kingereza balaa, mkojani salute
Cute Cute 😍i see you Queen
Mkojani kwa ss ndio msani mkubwa kwa vichekosho hakuna ubishi
Hapaaaanaaaa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇦🇸🇦🇸🇦
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na tin white vp
Tin white ndio mkongwe wao lkn kwa ss mkojani ako juu
Kweli anatupuza stress za warabu huku saudia
Woooow kiti cha majuto kimepata mtu 🤗👏👏👏
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥👏👏
😂😂😂😂 Kweli kabisa
Sure
Noma san mkojan ata ukimpelka jeshin angkupga bao mkojan the legend
kama umeskia... kama anavyofanya Abdul gonga like hapa twende sawa
Walio sikie twende mochwari gonga like hap
Uyu jaa kichaaa eti mochwali
🤣🤣😭😭
Tulio jikuta tunacheka baada ya kusikia twende police pale humu tunyooshe kidole ☝️ tujuane.
Nachek adi machoz eti waende adi mochwari
moo town in the building nakubali sana mwanangu unatuletea maujanja kama yote mzee nakucheki kutoka capetown mother city of Africa
😂😂😂😂😂😂😂😂Leo nimekuja hapa kucheka tuuuu
Mi favorite show ❤❤❤🔥
#Baikoko ni noma🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃💃
NAZANI MKOJANI INTERVIEW YAKE IMEVUNJA RECORD YA ZUCHU ANAEKUBALI GONGA LIKE HAPO CHINI
Haina maana comedy vs music
Nc mkojan
Record ipi unayozngumzia?
Hatariiii
Iyo ni hatar sana
Alie skia usinivue kofia nnahirizi nan gonga like twende sawa😄😄😄
😂😂😂😂😂 We Sanya mungu anakuona 😂😂😂 niko Rwanda ila nakukubari sanaaaaa 👌
😂🤣🤣🤣 @motownsanya ipo siku watakupiga kwenye hii section ya gonga beat😂😂😁😁😁
Mm kila siku sipati like nipeni jamani japo thu😌😌😌
Kwani like unakula
Like kwake mkojani
Mkojani yupo juu kila sehemu akipewa aicheze anaiweza jmn wanaokubaliana na mm like hata 2
Kama unaamini bongo movie wamebakia kina mkojanitu gonga like twende sawa💯💯💯
Pindi la kijanja Sanaa 👊🇹🇿🇹🇿
Old man he is truly Hero , I don't know him but many knows him
He is just a young man and not old..He is fine comedian
@@12322879 thanks
Nembo Ya Mtaa Vs Mkojani was funny😂😂😂🙌
Mbona mwenge hamumlet mkojan mleten mwenge
Mkojan kakutana na muhun
Mkojani Ng'ooooombe wewe Umetiiiisha. Mo town Sanya ujanja kwiiisha ett ndo Zuchu
Mkojani huyu jamaa anakipanji sana amemridhi mzee majuto nina follow sana nikiwa gulf middle East Qatar
Siyo Tanzânia tu, mpaka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿, tunasikiliza. Anafanha Poá Edelehe hivyo na Rafiki yake whaite
Likes za mkojaniii ni hapa
Ngonga beat TP MAZEMBE LIKE ZETU
Unatisha kaka kila sehemu mpaka uku uwarabuni wanakukubali 🤙🤙🤙🤙🤩🤩🤩
Mkojani 💥💥💥
Mkojan ni noma
Huyu ndo king majuto mwenyewe copy right 😂😂🔥💯❤
Maaaayne...I Like This "Hivi Ni KweLi"...My boY MoTown Knows How doinG His ThanGs...On Top Of That...Pamba KaLi....
Dhuuu mkojani amekuweza Mon town
Mkojani twakupenda sana kakangu mungu akueke 🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪
Mashaallh mashaallh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌👌💯
Wote wananijua , labda twende police tuone kama wananijua😂
Hii mwana tunataka request tena mochwari n helicopter 😂😂😂😂
Maskini watuwameshaanza kumsahau kingi majuto kwahuyu mwamba mkojani kaza mzee baba Big up 🤝🤝🤝👏👏👏
Acha masiala wewe. Majuto ni Majuto tu
Hey. Let's make it trending number 1 please
huyo mkojani ni bonge WA star ✨✨✨✨
So amazing sana
Mkojani umetisha...kikubwa ongeza bidii tu
Mkojani nakupenda bure🤣🤣🤣🔥🔥
Jamaniii...nampendagaaaa
Wanaomkubali mkojani tupa like
Twende zetu namba moja on trending
Leo kaz imekuwa
Kubwa sana umeuwa
Bwana Motown sanya
Jamaa aliyekuw anaongea kiingereza naye😂😂😂 Sema All in All Mkojan umeua
Mkojani ww noma sana yaani huku zenji tunakupenda sana yaaani dah
😂😃😂😂 hao waimbaji sasa
Ila bro hichi kipindi kidumu milele
Ankali, kipindi hici wewe na Zuchu ndo mumefunika🤣
First comedian east Africa
Kwan tukiipeleka trend namba moja itakuaje????
Yaaan katika waagizaji namba moja wanatikisa wanatekenya vizuri kazi zao mkojani n noma
Likuwa naisubiri sanaa hii
How do do you do?
Mo town sanya !!!on trending
Nembo ya Mtaa hii interview umetisha Man ndo maana imefanya vzr
Yan nikiwa na mawazo napenda sana kumuangalia mkojan pa1 na tini ninawapenda san
Kipupwe 👉Mkojani
Great transformation