UTACHEKA BABA LEVO alivyomtambulisha MCHEKESHAJI MUONGO kuliko WOTE/"Nitamtoa UNDERGROUND kisa MONDI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 มิ.ย. 2024
- _________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp - บันเทิง
Asichokijua ni kwamba yuko vizuri kuliko hata hao ma-comedian wenyewe
Konkara ni balaa
Kweli kabisa
Ndg yangu umesema ukweli, baba levo amewaacha mbali sana macomedian wengi tz,
Inawezekana hata yy hajui hilo😅😂😂
Hajajijua bado
Levo Ba mtaalam sana,.. msela ni Natural Talent, kuchekesha yeye inakuja yenyewe tu, wala hana sijui kuandaa materials
Ila Baba Levo Unajua Kuchekesha Sanaa Kuliko Hao Vijana Wako
Kumbe viewers moja ni sawa na shiling mia mbili dah ckuwahi kujua hii
We kweli?
Si kweli rafiki baba levo kasema tu
Mwamba katisha sana kuliko wotee
BABA LEVO ANAJUA SANA COMEDY
Love from kenya❤🇰🇪
Baba levo anajua sana, Mimi namfananisha na Eliud
Anajua sanaaa🎉🎉🎉❤
Nmefurahi ka nishauti hum kwenye comment the hustle is real
Baba levo ni comedy mzuri
Safi sana
Jamaa anajua
Baba Levo ni asili tu ... Yani vituko vinakuja tu😂😂😂😂😂
Hongera mdogo wetu tunakuombea
Mwalimu lothi
Usinikumbusheeee live hii
Baba levo ni mchekeshaji sanaa
Hata nam pia sikuwah jua
Sema konkara content yake ni moja toka alivyo anza
Hata ya pombe nayo ni moja??
Maana AMEANZA ya shule kamalizia pombe!!
@@isayajoseph14 lazima aitaje chunya lazima ataje matokeo ya form four anahitaji kubadirika sana
Vipi Eliud na mshua wake na rafiki yake Alex kado
@@audiphastangale1893 Bora eliud anazo nyingi nyingi
Baba levo 🔥🔥
Huyu anajua
Kongara fundi sana wazidi kumpa nafasi
Anapenda stori za shule😂😂😂😂😂
Leonardo anajua 😂😂😂😂😂 wafanye kazi moja kali wote
Huyu mwamba namkubali sana
Baba leo ndio Best comedian kwa sasa 😂
Daaaaaah jamaaaa atareee😂😂😂😂
Hahahaha baba levoo ww ni zaid ya comedian
KONKARA🙌🏽😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
M
Coy mzungu kwisha ww Baba Levo kachukua mji😅
Uongo zambi baba levo mi nakukuli sana na usiseme ni bagi 😂sifuti bagi😂😂😂😂
Nimekubali sana uyu 😅😂😂😂
Katika comedian wote Tz huyu jamaa mshenzi sana 😂
Yan nivyoo kibao vyashule nyingi inajitokezaga iyo hhhhh
Hii imeenda😂
Jitahidi kuwa content creator kaka ila uko vizurii
🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
Baba levo kituko sana
Comedy ya tanzania inatisha sanaa. Hapa kwetu kenya kidogo naona tumelegea sana... ila naona mumlete tom daktari am roast txsubaru
TxSubaru yuko busy na Subaru yake 😂😂😂😂😂😂😂 home haonekani analala kwenye Subaru
Bro huezi linganisha comedy ya kenya na TZ, our comedians in Kenya are well packaged
Kiukweli Konkara ni bonge la Comedian
😂😂😂
Aaaaah inaitwa tayalii
Saf sana hii itaenda tu
Mi hapa ndonimecheka 😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Yaan Baba levo mwenyewe anajitosheleza kbsa haitaji mtu 😅😅
Umeona ee😅
Wwe
😅
Mwamba anajuaa huuu
Huyu anatakiwa afanye shoo na SHILA😂😂😂😂
Kumbe view 1 TH-cam ni 200, mziki unalipa sana
Ni kwl jombaa,au umetania2🤔🤔
Mkono mfukoni mda wote 😊😂😂😂
Mwamba we noooma
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga na mashujaa, yanga anakufa tatu😂😂😂
Muite kipotoshi
Konka noma sana😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
😂😂😂😂