Kakangu nyimbo zako zinaupako.. Na mungu ana sababu uyapitie haya... Jipe moyo mungu yuko nawe na hautakufa bali utaishi usimulie aliyokutendea Bwana yesu
Amina ❤❤❤ mtumishi wa Mungu Na Mungu akutie Nguvu Na Mungu akulinde Na Mungu akuongoze katika mambo yote, 1Yoh,5:19-21, Yoh,6:63, 14:27, ahsante sn amen.
Asante mungu nyimbo imenifanya niyawaze mengi ya wanadamu kaka Pascal endelea kusimama na mungu wako hakika yeye ndie ajuae nani hatakuwa karibu yako # mungu naomba nisamehe nilikuwa naipita hii nyimbo sikujua kama nilioyapitia ipo cku mtumishi wako atayaimba kupitia kipaji ulichompa endelea kumshika kwa mkono wa kuume wako na kumuweka chini ya mbawa zako
God bless you any time.... Paschal ni ww ndie uliyetuma mpaka na Mimi kipaji changu chawimbaji kifunguliwe... Mimi ninaitwa kwajina la Philip Cassian ndivyo nitwavyo......❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💓💓💓❤
Kaka paschal pole saaaana lakini ,jitie nguvu hakuna jambo gumula kumshinda mungu baba kwakupigwa kwake sisi tumepona mshike yesu hutakufa,maadamu ulisema kweliya waovu ulitumika ameni ng,an,g,ania kwa yesu
Mnasubiri Msiba wangu Muupambe" Oooooh Mungu wangu wa Mbinguni Munyooshee Mkono wako wa Uponyaji apate kupona na kuendelea kulitangaza Neno lako" Amina.
Nimeshindwa kustahimili huu wimbo natukio halisi lilivyo pole sana mtumishi wamungu Ee mungu ukowpi baba mponye mtumishi wako nasimama kinyume nahila za shetani nakata kufa mtumishi wako kabla yawakati wake nahatakufa bali Ataishi ameeeni
Nimegundua gunawasaport wanaoimba nyimbo za injili lkn wao wanaroho mbaya mara elfu yetu, mungu nisamehe kama nimehukum lkn sijaona sapoti yao hata kwa kuhamasisha tu watu wamchangie mwenzao Daaa mungu tusamehe
Pole sana mtumishi wa mungu kwa majeraha uliyopata , hakika adui shetani anakutafuta kukuuwa , kwa sababu unasema kweli , Mungu wa mbinguni atakuponya kwa jina la Yesu kristo na mapambano yataendelea hadi yesu atakaporudi kutuchukua wateule wake.
Nimelia sana.thank you God because you said what is impossible before man is POSSIBLE with God.this man serves you from his heart,heal him totally and protect him from any satanic attacks in Jesus Name.Amen
Poleee sana kaka Mungu akutangulie,kuna sehemu ulikosea ndo maana umepata pigo kiasi hicho kumbuka MAGU upikuwa dini gani,na sas uko wap kuwa makini,na usiangamie kwa kukosa maharifa,MUNGU hayoko radhi na wapumbavu,acha upbavu mjue Mungu,na kuwa makini sanaaa
Polee sana mtumishi wa Mungu utapona hizo nichangamoto tu, na pia usimpe nafasi shetani hata kidodo muombe sana Mungu atakusaidia kwakila atua unayo pitia
Huwezi kufa mtumishi wa mungu mungu bado anakupenda mtegemee sana mungu mateso unayo pata ipo sikuyatakwisha na zuluma za wanadam zitaisha t bali mungu ndoatae kuponya sina chakukusaidia maombi yangu kwa mungu naomba yakutetee ulud ktk hali yako eemungu yaskie maombi yangu na kilio cha paschal
Pole sana kaka tunaamini ya kwamba hamn linaloshindikana kwa mungu tuzidi kumwomb daima wew nimtumishi wake naanakilasababu yakukuumba katika ulimwengu huu be blessed
Imenikumbusha mbali hii nyimbo nimejikita nalia sana nikikumbuka bibi angu mzaa mama alienilea tokea mdg alipatwa na shida km hii aliteseka kwa miaka 11 bila kupata majibu na mpk kumpelekea kifo lkn hakuwahi kukata tamaa pamoja na mateso yke yote aliyoptia hakuwah kumkufuru mungu alizifi kulitukuza jina la bwana mungu wake alisimama mpk pumzi yke ya mwisho
Mungu azidi kukupa afya njema mtumishi wa Mungu hayo yameshapita Mungu ni mwema sana japo ilikuwa ngumu kwa akili za kawaida lakini Mungu katenda Ubarikiwe kwa viwango vya juu sana
Pole sana mtumishi Pascal Cassian ninazikibali sana kazi zako na hakika nimeamini unapoanzisha vita na shetani(freemasons) jua umeingia kwenye bita kubwa sana. Ningekuwa nina uwezo ningetoa hiyo fedha yote ya matibabu yako lakini ndio hivyo tena uwezo wangu ni mdogo. Lakini naahidi kukuchangia mtumishi kama si leo basi siku za hivi katibuni.
Mungu azidi kuonekania ktk wakati huu, najua nikuonavyo wewe nakuona kama Ayubu naamini ipo siku utasimama tena kwa ajili ya utukufu wa Mungu ,hakika hachelewi wala hawahi hata wakati AYUBU alipopitia magumu alisema nailaaniwe siku niliyozaliwa ,nakuombea mtumishi tena nguvu ya Mungu izidi kutenda kazi ndani yako .
Mtumaini Mungu naye atakuponya ,amini kuwa huo ni mtihani tu paschal hakika utashinda kama alivyoshinda mtumishi Ayub u,watanzania tunakuombea sana ,usiache imani bali mtazame Kristo YESU.
Pole kaka kweli imenitowa machozi mungu akupiganie ila nakusihi mwone mtumishi wa mungu mwamposa tumaini lako linarudi haraka sana anauwezo wa kimungu mkubwa mno
Pascal God is taking you to another level keep pressing on god want to prove Himself through this situation that he is God he did to job and many many more
Polee Kaka Wimbo Umeniliza Kwa Kweli Daah MUNGU Ni Mwaminifu Ukimtengemea Hakika Utaishi Na Hutakuja, MUNGU Anakusudi Na Yeye Kaka MUNGU Azidi Kukulinda
Daaah mungu mkubwa hutakufa Bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya mungu kila linalompata mwanadamu ni mipango yake na hanakusudi lake utapona kaka mungu yu pamoja nawe
Pole sana ndugu Kasian Pascal, naamini Mungu mwenye nguvu bado anakutetea mpaka sasa na ndiyo maana upo hai. Mungu azidi kukuongoza katika njia zake mpaka uufikie ukweli wake na uzima wa milele katika Kristo Yesu. Soma zaidi neno lake utapata faraja.
nimeshindwa kutizama, inaumiza, nimetizama hali unayopitia, nimevuta taswira ya mtu wa hali ya chini kwenye matatizo makubwa........nimejiuliza ingekuaje kama ingelikua ni mimi?.....ni maombi yangu kusudi la MUNGU lisimame kwako kaka. UPONE kwa jina la YESU lipitalo majina yote AMEN.
Paschal Cassian usivunjike moyo kaka. Mshukuru Mungu kwa kila jambo, usijilaumu wala kulaumu wengine utapona tu hiyo ni moja ya changamoto katika maisha 1Wathesalonike 5:18 shukuru kwa kila jambo Mungu bado anakupenda mpka hapo ulipo ni neema tu imekuokoa, kuna watu wana dhiki zaidi lakini hawajakata tamaa
Duh mungu wangu mponye mtumishi wako, Aki nimelia kwa kweli tunazidi kukuombea mtumishi since tulisikia umepata ajali kwa kweli tuko pamoja katika kila Jambo
pole sana ndg pascal hakika mungu atasimama nawe daima Marko 11:25-15 kwa sababu hiyo nawaambia,Yeyote myaombayo mkisali,amini ya kwamba mnayapokea,nayo yatakuwa yenu. Nanyi , kila msimamapo na kusali , sameheni mkiwa na neno juu ya mtu......"(mstl 25) Amini Mungu hawez kukutupa mkono kama ambavyo anasema katika biblia Yoh.6:37 ".........Yeyote ajaye kwangu sitamtupa Nje kwamwe" Mungu hakutupi bali atakuponya katika maradhi yako. amen
Jamani wachungaji tunomba msaidieni mtumishi huyu au kaka weka namba yako ya simu ili atakae guswa akutumie kwenye simu yako mungu anaweza kufanya muujiza
Mungu wetu aliyeokoa taifa la Israeli katila mikono ya Farao hajawahi shindwa ,maombi yetu utupona na utarudi katika kazi ya Bwana.Mungu akupe nguvu mtumishi
Hautakufa,utapona,Mungu anakuona anakupenda wewe in was thaman sana kwake,ujumbe wako in mzito umenitoa machozi M ungu uko wapi shuka na malaika zako umponye,mtetee mtumishi wako katika JINA LA YESU Ameni
Hakika Mungu atakuponya kukufikisha mpaka leo hii ni kwa neema zake tu amini mungu si mwanadamu ndo aseme uongo,hakuna linaloshindikana.Pokea uponyaji Kwa jina la yesu .Amini ipo siku yako tu kaka angu
Pascal your songs zinanitia nguvu kweli mungu yupo kama unamkubali gonga like tukisongaa
Poleee sanaa kaka pascall mungu ni mwema anakusudilake natumaini atakuwanawe leo na ata milele amina
Huu wimbo ulifanya nikalia sana,lakini njia za mungu sio za mwanadamu..mungu aendelee kukusimamia na nyumba yako...from Kenya much love
Pascal Cassian kiukweli namkubali sana
hautakufa bali utaishi my bro Mungu azidi kukufanyia wepesi
Kibonge wa Yesu official ameen
Amen
Utakufa unajiona nashinda naskiliza hii nyimbo kweli mama Mama yangu unakufa nakuona ee mungu nisaidie mponye mama angu
Pole sana, Mungu akupe nguvu
Dah machoz yamenitoka kwa kweli..eeh Mungu mtazame mtumishi wako umponye maana hakuna Jambo gumu kwako..
Dunia hadaa, umenena mazito mtumishi Wa Mungu,haya n ya kwl ukiwa na shda wte wanajtenga na ww ila Siku ya msba wanjifanya kama wanahuzun sana
Jenipher Mgendi daaaaaa inauma sana ila yupo nawe kaka utapona
Bwana Yesu atukuzwe
Kakangu nyimbo zako zinaupako.. Na mungu ana sababu uyapitie haya... Jipe moyo mungu yuko nawe na hautakufa bali utaishi usimulie aliyokutendea Bwana yesu
Asantee sana mtumishi wa mungu pole sanaa huuu wimboo umenibariki 🙏🙏🙏sanaa
Pole sana kaka mungu amekusikia kilio chako autokufa bali utaishi
Dah!ujumbe mzito sana wakati nausikiliza huu mwimbo machozi yananitoka ewee mwenzi mungu tusamehe makosa yetu tunayokukosea.
Hutakufa bali utaishi uyasimulie matendo ya mwenyezi mungu zaburoi 118:17
Amin
Fact
Ameni ashukuriwe mungu a aliye juu mbinguni kwa kumponya Asante mungu kwa wema wako
Ubalikiwe
Amina
Amina ❤❤❤ mtumishi wa Mungu Na Mungu akutie Nguvu Na Mungu akulinde Na Mungu akuongoze katika mambo yote, 1Yoh,5:19-21, Yoh,6:63, 14:27, ahsante sn amen.
Asante mungu nyimbo imenifanya niyawaze mengi ya wanadamu kaka Pascal endelea kusimama na mungu wako hakika yeye ndie ajuae nani hatakuwa karibu yako # mungu naomba nisamehe nilikuwa naipita hii nyimbo sikujua kama nilioyapitia ipo cku mtumishi wako atayaimba kupitia kipaji ulichompa endelea kumshika kwa mkono wa kuume wako na kumuweka chini ya mbawa zako
The gals are giving the vibe wacha tu 💃💃💃💃💃💃hiii wimbo wacha tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 inachoma hadi maini
pale mungu amekutowa ni ushuhuda kwa wengi glory be to God😍😍always am humble for the message always do make me feel near God na sauti ukabirikiwa nayo
God bless you any time.... Paschal ni ww ndie uliyetuma mpaka na Mimi kipaji changu chawimbaji kifunguliwe... Mimi ninaitwa kwajina la Philip Cassian ndivyo nitwavyo......❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💓💓💓❤
Mungu ameskia kilio chako ndugu,,,,,, Tupendane na tuzaidiane tungali hai ,,,,,
I can't stop crying for you kaka, huwezi kufa ila utaishi kutoa ushuhuda, mungu atakuponya paschal
Kaka paschal pole saaaana lakini ,jitie nguvu hakuna jambo gumula kumshinda mungu baba kwakupigwa kwake sisi tumepona mshike yesu hutakufa,maadamu ulisema kweliya waovu ulitumika ameni ng,an,g,ania kwa yesu
Mungu yeye anajua kesho yako
Umetoka mbali kweli mtumishi wa Mungu endelea kumuubiria mungu ninapozikiza nyimbo zako machozi yanitoka najipea moyo😢😢🙏🙏🙏
Mtumishi wa mungu umetoka mbali lkini mungu alikua na sababu l love ur songs
Mnasubiri Msiba wangu Muupambe" Oooooh Mungu wangu wa Mbinguni Munyooshee Mkono wako wa Uponyaji apate kupona na kuendelea kulitangaza Neno lako" Amina.
Oh pole my brother.mungu ndie tabibu wetu.mungu akakuponye in Jesus Christ. Hutakufa ndugu Bali utapona.na huondio ushuhudà kaka.God is there for you.
Nimeshindwa kustahimili huu wimbo natukio halisi lilivyo pole sana mtumishi wamungu Ee mungu ukowpi baba mponye mtumishi wako nasimama kinyume nahila za shetani nakata kufa mtumishi wako kabla yawakati wake nahatakufa bali Ataishi ameeeni
Nimegundua gunawasaport wanaoimba nyimbo za injili lkn wao wanaroho mbaya mara elfu yetu, mungu nisamehe kama nimehukum lkn sijaona sapoti yao hata kwa kuhamasisha tu watu wamchangie mwenzao Daaa mungu tusamehe
Jamani nimeshindwa kuvumilia machozi yangu yanadondoka Kaka Mungu yupo atakusaidia
Pole sana mtumishi wa mungu kwa majeraha uliyopata , hakika adui shetani anakutafuta kukuuwa , kwa sababu unasema kweli , Mungu wa mbinguni atakuponya kwa jina la Yesu kristo na mapambano yataendelea hadi yesu atakaporudi kutuchukua wateule wake.
Nimelia sana.thank you God because you said what is impossible before man is POSSIBLE with God.this man serves you from his heart,heal him totally and protect him from any satanic attacks in Jesus Name.Amen
Amen in Jesus name 🙏
@@happinesskwamboka1540 vipi
Hae Caro from kenya mungu akubariki Sana huu wimbo ukiimba huwa nalia Sana barikiwa ndugu
Pole sana! Mziki huo una ujumbe mzito sana
Nakupenda mnooo baba
TUTAFIKA TU TUTAFIKA PALE MUNGU ANATAKA TUWE TUSONGE MBELE TU TUTAFIKA💪🤝
Poleee sana kaka Mungu akutangulie,kuna sehemu ulikosea ndo maana umepata pigo kiasi hicho kumbuka MAGU upikuwa dini gani,na sas uko wap kuwa makini,na usiangamie kwa kukosa maharifa,MUNGU hayoko radhi na wapumbavu,acha upbavu mjue Mungu,na kuwa makini sanaaa
Pole sana Kaka hautakufa bali utaishi uyasimlie matendo makuu ya Mungu
Polee sana mtumishi wa Mungu utapona hizo nichangamoto tu, na pia usimpe nafasi shetani hata kidodo muombe sana Mungu atakusaidia kwakila atua unayo pitia
Huwezi kufa mtumishi wa mungu mungu bado anakupenda mtegemee sana mungu mateso unayo pata ipo sikuyatakwisha na zuluma za wanadam zitaisha t bali mungu ndoatae kuponya sina chakukusaidia maombi yangu kwa mungu naomba yakutetee ulud ktk hali yako eemungu yaskie maombi yangu na kilio cha paschal
Hae Caro from kenya mungu akubariki Sana huu wimbo ukiimba huwa nalia Sana barikiwa ndugu 5:33 5:38
Pole sana kaka tunaamini ya kwamba hamn linaloshindikana kwa mungu tuzidi kumwomb daima wew nimtumishi wake naanakilasababu yakukuumba katika ulimwengu huu be blessed
Imenikumbusha mbali hii nyimbo nimejikita nalia sana nikikumbuka bibi angu mzaa mama alienilea tokea mdg alipatwa na shida km hii aliteseka kwa miaka 11 bila kupata majibu na mpk kumpelekea kifo lkn hakuwahi kukata tamaa pamoja na mateso yke yote aliyoptia hakuwah kumkufuru mungu alizifi kulitukuza jina la bwana mungu wake alisimama mpk pumzi yke ya mwisho
Kaka mtumaine Mungu... Yesu ndiye msada wako tu... plzzz usitegemeye watu...
Mimi naamini shetani anataka kukuwuwa kwasababu ulitobawa sili yake... ila hajuwi mpango wa Mungu...
Hutakufa bali utaishi.... iyo ni imani tuu unapimwa...
Sawa ila anachokiomba n msaada wa matibabu ila swala la kupona n mapenz mungu yupo sahihi kufanya hv
Pole sana kaka kwa mapito magumu kabla hujafa hujaumbika Daaaah!! Mungu akusimamie
Hii!!! Paschal hivi ukiangalia huu wimbo unajisikiaje dah unaumiza sana
pole sana kaka mungu akuponye kwa Damu yake Yesu kristo ikunenee mema katika mwili wako upone haraka mtumishi wa mungu
Mungu azidi kukupa afya njema mtumishi wa Mungu hayo yameshapita Mungu ni mwema sana japo ilikuwa ngumu kwa akili za kawaida lakini Mungu katenda Ubarikiwe kwa viwango vya juu sana
Leo nimekuwa wa kwanza naomb like 3❤❤ kwa mashabiki
daah seriously nimelia pole sana kaka mungu hawez kukuacha ufe hakika utaish
Utakufa mtumishi bari utaishi. Inauma Mungu sikua kilio Cha mtumishi wako. Ili haendelee kufanya kazi yako
Barikiwa Sana mtumishi🎉
Munguuu yuko pamojaaa nawewee walaa hutakufaa .Maana ugonjwaaa haubebi maishaa yako balii uzimaa uko kwenye Roho yakao by jeco mbwile
Dah inaumizaaa jaman mtu akifa ndo anathaminiwa mungu akusaidie kwa kwel
Unauma sana mtu ambae arikuwaakifanya kazi zake mwenyewe leo Ali tete unauma sa
Pole sana mtumishi wa Mungu mimi binafsi naahidi kuchanga maadam namba za simu nimezipata
Jina la bwana libarikiwe sana kwa mungu hakuna lisilowezekana Amani ya bwana iwe nawe mungu akuponye kaka hakika huruma inaniijia sana broo
Pole sana mtumishi wa Mungu utapona kwa jina la Yesu Kristo Mungu akutie nguvu usimtazame mwanadam ww mtazame Mungu
Pole sana mtumishi Pascal Cassian ninazikibali sana kazi zako na hakika nimeamini unapoanzisha vita na shetani(freemasons) jua umeingia kwenye bita kubwa sana. Ningekuwa nina uwezo ningetoa hiyo fedha yote ya matibabu yako lakini ndio hivyo tena uwezo wangu ni mdogo. Lakini naahidi kukuchangia mtumishi kama si leo basi siku za hivi katibuni.
Aisee Leo nimelia sana nilikuwa bado sijasikiliza ushuhuda wako daa Mungu akutunze
Eeeee Mungu baba uliyeumba Mbingu na nchi tunakumba umponye Pascal kwa jina la mwanao Yesu Kristo tunaomba tukiamini Amen.
Mungu azidi kuonekania ktk wakati huu, najua nikuonavyo wewe nakuona kama Ayubu naamini ipo siku utasimama tena kwa ajili ya utukufu wa Mungu ,hakika hachelewi wala hawahi hata wakati AYUBU alipopitia magumu alisema nailaaniwe siku niliyozaliwa ,nakuombea mtumishi tena nguvu ya Mungu izidi kutenda kazi ndani yako .
Mtumaini Mungu naye atakuponya ,amini kuwa huo ni mtihani tu paschal hakika utashinda kama alivyoshinda mtumishi Ayub u,watanzania tunakuombea sana ,usiache imani bali mtazame Kristo YESU.
Hutakufa kaka jipe moyo mungu Yupo pamoja na wew kila hatua
Pole sana mtumishi wa Mungu kwa haya unayopita hata sasa umeshinda
OOOh my Godness pole sana kakaaetu. Mungu anamakusudi na wewe wala usijali utapona in jesus name. Amen.
pore sana mungu akuponye ili ujekusimulia magumu uliyoyapitia mbanka sasa ushajuwa wema na wabaya mungu yupo tuu akutie nguvu
Pole kaka mungu amesikia kiliochako ashukuriwe mungu alie juu
EMUNGU, nalia peke angu kaka mungu yuko kutenda miujiza juu yako amin unaenda kupona kaka angu hutokufa kwa jina lake
Mes larmes coule 😢😢😢😢.mungu atu saidie Kabisa na ku tu wezecha.
Pole kaka kweli imenitowa machozi mungu akupiganie ila nakusihi mwone mtumishi wa mungu mwamposa tumaini lako linarudi haraka sana anauwezo wa kimungu mkubwa mno
Pole sanaa sanaaa mungu akutie nguvu kaka yangu mpendwa naimani mh . makonda atakusaidia utapona tuu mungu atakusadia
Utakufa Bali utaishi mchungaji wangu mungu yu pamoja na wewe daah pole sana
Pascal God is taking you to another level keep pressing on god want to prove Himself through this situation that he is God he did to job and many many more
Hakika akuna anae jua kesho . Pole Sana Mtumish wa Mungu kwa matatizo ulivyo pitia. Utakufa Bali utaishi Ili usimlie matendo makuu ya Mungu 😭
Polee Kaka Wimbo Umeniliza Kwa Kweli Daah MUNGU Ni Mwaminifu Ukimtengemea Hakika Utaishi Na Hutakuja, MUNGU Anakusudi Na Yeye Kaka MUNGU Azidi Kukulinda
Duh Machozi yamenitoka kwa kweli pole sana kaka Paschal Cassian Mungu yupo na atasikia mahombi yako tu usiwe na hofu Amen.
Poleeee sana PASCAL, MUNGU atakuponya.
Daaah mungu mkubwa hutakufa Bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya mungu kila linalompata mwanadamu ni mipango yake na hanakusudi lake utapona kaka mungu yu pamoja nawe
Pole sana ndugu Kasian Pascal, naamini Mungu mwenye nguvu bado anakutetea mpaka sasa na ndiyo maana upo hai. Mungu azidi kukuongoza katika njia zake mpaka uufikie ukweli wake na uzima wa milele katika Kristo Yesu. Soma zaidi neno lake utapata faraja.
nimeshindwa kutizama, inaumiza, nimetizama hali unayopitia, nimevuta taswira ya mtu wa hali ya chini kwenye matatizo makubwa........nimejiuliza ingekuaje kama ingelikua ni mimi?.....ni maombi yangu kusudi la MUNGU lisimame kwako kaka. UPONE kwa jina la YESU lipitalo majina yote AMEN.
Paschal Cassian usivunjike moyo kaka. Mshukuru Mungu kwa kila jambo, usijilaumu wala kulaumu wengine utapona tu hiyo ni moja ya changamoto katika maisha 1Wathesalonike 5:18 shukuru kwa kila jambo Mungu bado anakupenda mpka hapo ulipo ni neema tu imekuokoa, kuna watu wana
dhiki zaidi lakini hawajakata
tamaa
Kaka yangu hautakufa Mungu yuko nawee uyo chetani hakuwezi 🙏🙏🙏
Pole Sana kaka yangu mungu akutangulie
Daah ama kweli hujafa hujaumbika pole saaaaana paskal kassian
Nasikiza nikipanguza machozi,ningekuwa na uwezo ningejitolea kukusaidia hila najua tu maombi yangu inatosha.get well in Jesus name pascal
Duh mungu wangu mponye mtumishi wako, Aki nimelia kwa kweli tunazidi kukuombea mtumishi since tulisikia umepata ajali kwa kweli tuko pamoja katika kila Jambo
nimejikuta machoz yanatoka dah pole kaka polesana mungu akuponye
pole sana ndg pascal hakika mungu atasimama nawe daima
Marko 11:25-15
kwa sababu hiyo nawaambia,Yeyote myaombayo mkisali,amini ya kwamba mnayapokea,nayo yatakuwa yenu.
Nanyi , kila msimamapo na kusali , sameheni mkiwa na neno juu ya mtu......"(mstl 25)
Amini Mungu hawez kukutupa mkono kama ambavyo anasema katika biblia
Yoh.6:37
".........Yeyote ajaye kwangu sitamtupa Nje kwamwe"
Mungu hakutupi bali atakuponya katika maradhi yako. amen
Pole sana . Mwenyezi Mungu yuko na ww mtumishi wa Mungu
Pole Sana Kaka, Mungu akuponye, pokea uponyaji ktk jina la Yesu.
Pole sana.kaka.najuwa unapata maumivu makali sana pole mungu Atazidi kukusimamia 🙏🙏🤲🤲😭😭
Mungu hajawahi kishindwa muamin yey naamin kabisa utp0n
mwenyezi mungu Mponye cassian
Mimi njo nahangalia,hii wimbo lakini machozi inaniuwa,mungueeeee musaidie,mutumishi wako, tupiganie sote kwaujumla baba
Pole sana kaka Mwenyenzi Mungu akupe wepesi upone haraka.
Mungu akuponye ili uendelee kumtumikia vyema amina utapona kwa jina la yesu.
Ndg mtumish wa mungu namin mungu atakuponya pole xn ,
Hutokufa kaka Paschal utaishi ili upate ushuhuda mzuri ukisimama kushuhudia tu....watu wanaokoka Mungu ni mwema Kaka Paschal.Nakupenda sana broh nakuombea mno kaka
Jamani wachungaji tunomba msaidieni mtumishi huyu au kaka weka namba yako ya simu ili atakae guswa akutumie kwenye simu yako mungu anaweza kufanya muujiza
Gladys Alfredy poleeee hutokofaaa mpaka nimetokwa machozii jmn
Nyimbo inahuzunisha jmn .mungu atakusaidia utapona inshaallh
Dyuuu hapa hata kama huna mchozi yatakutoka tyuu pole bor mungu anesikia kilio chako
Mungu ni mwema mtumishi, amekutoa mbali kaka, nakumbuka tangu toka hapa Dodoma hospitali.....Hautakufa kwa Jina la Yesu Kristo
Mungu wetu aliyeokoa taifa la Israeli katila mikono ya Farao hajawahi shindwa ,maombi yetu utupona na utarudi katika kazi ya Bwana.Mungu akupe nguvu mtumishi
Nimeumia nimelia kwa sababu sina kitu mungu akusaidie kaka mungu akupe uponyaji
Hautakufa,utapona,Mungu anakuona anakupenda wewe in was thaman sana kwake,ujumbe wako in mzito umenitoa machozi M ungu uko wapi shuka na malaika zako umponye,mtetee mtumishi wako katika JINA LA YESU Ameni
Hakika Mungu atakuponya kukufikisha mpaka leo hii ni kwa neema zake tu amini mungu si mwanadamu ndo aseme uongo,hakuna linaloshindikana.Pokea uponyaji Kwa jina la yesu .Amini ipo siku yako tu kaka angu
Daaaaah mpaka nackia uchungu
Pole kaka yangu Mungu akutie nguv
Mungu aliyempitisha Ayubu na kumshindia atakushindia na wewe, endelea kuweka tumaini lako kwa Mungu.
Barikiwa sana kaka yangu kwa ushauri unaendelea kutowa katika nyimbo zako
Pole sana mtumishi, Mungu akufanyie wepesi jmn!!
mungu msaidie mja wako kajua alikukosea kaamua akurudie muumba wake!! onyesha ukuu wako mbele ya maadui wanaomwandama hatimaye atangaze mataifa yote ukuu wako!!! amen
Pole sana kaka usikate tamaa mungu awezi kushindwa utapona duniani kuna mapito mengi wimbo unaumizi .jamani
Mungu asimame juu yako kaka mungu akuponye kwa Jina la Yesu pokea