PADRE KITIMA AIBUA TENA MAZITO| AWEKA HADHARANI MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI, LAZIMA TUPATE TAARIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • PADRE KITIMA AIBUA TENA MAZITO| AWEKA HADHARANI MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI, LAZIMA TUPATE TAARIFA
    KANISA KATOLIKI LAGOMA KUTOKA NGORONGORO, LOLIONDO _HATUTOKI KAMA WATU BADO WAPO_DKT KITIMA AFUNGUKA
    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ameeleza juu ya msimamo wa Kanisa Katoliki kuhusu kuwahamisha wakazi wa ngorongoro, loliondo kuwapeleka kwenye makazi mengine, TEC haitaondoka kwenye maeneo hayo mpaka mkazi wa mwisho atakapo ondoka.
    Aidha amedai kuwa taarifa iliyopo wakazi wanahamishwa kwa hiari , ingawa kuna baadhi ya malalamiko kuwa watu wanaondoshwa kwa lazima, lakini pia wamezuiliwa kufanya uchunguzi.
    #kanisakatoliki #ngorongoro #trending

ความคิดเห็น • 27