kiukweli huu nyimbo umenifariji sana kipindi nilipata matatzo ya ajali na kipindi hicho mke wangu nae kanikimbia kaniacha n watto Sina msaada wowte zaidi ya mungu ... nikikumbuka haya mapitoo jmn Mungu yu mwema
Am watching from Malawi,though I have a problem with language but voice production of this choir (Mt Kizito Makuburi) is very nice almost our continent is only this choir.
My all time Choir......! I wish itengenezwe video nyingine ya wimbo huu ambayo imetumia technologia ya kisasa zaidi..The audio is Super, and I think hakuna wimbo mwingine mzuri kaka huu....Mungu aendelee kuwajaza vipaji
Waooooooooh Hakika kila mudana wakat Mungu akisikia saut nzurnazenye maneno ya mvutoo hufurahii...Na anatusamehe madhambii asee nawapendaa hii kwaya 🤝❣❣
Mimi ni mmoja wapo ambaye mungu ananitimizia maombi yangu hakika sifa ni kwake
So inspiring ❤❤ proud to be a Catholic forever 🥰🥰🥰who is here with me 2024
❤
me
Je confirme
And im listening this back again in 2024 !!❤❤Sifa na heshima nakupa wewe...🙏🙏🙏
choir ya makuburi nyimbo zenu safi❤
Apewe sifa Mungu daima kama umeupenda huu wimbo mwaka huu 2023 like ❤
❤❤
Njooo
Apewe sifa milele❤
My favourite song 2022 who is listening with me......
God Bless.
Am here 🔥🔥🔥🔥🔥
Here I am
Me
Here I am
Mt. Kizito Makuburi is the greatest Catholic choir of all time. 🙌 Love from Kenya. ❤
Mungu aneemeshe hii kwaya na wote wanaosikiliza wimbo huu. Baraka tele🙏
❤amena. Bwana apewe sifa 🎉
Huku ni sifaaa tuuu kwake Rabana 2024 ending in syle.WanaTeam strong piga like.
Utunzi wa hali ya juu Sana,Sauti zilizokomaa,mchezo pia waambatana Na nyimbo,hongera ,Sauti ya Pili tamu Sana,natazama kutoka Jimbo la Eldoret,Kenya.
How to get a new phone
Tunateeembea kwenda 2025,aaaah hallelujah, tunatembea bila vitumbwi🦵🦵🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💝 Ariririiiiiiiiiiiiiiiiii huuuuu huuu uuu. Apewe sifaaaaa MILELE🙏🙏🙏🥰
❤❤❤Amina 🙏
Haiya 😅 ni James 😊I really love the song what a coincidence
2024 sifa na utukufu ni kwa Mungu
I just can't have enough of this song....bahari haiwezi kutuzuia.....na maji yanageuka kuwa ukuta...tunatembea bila vitumbwi.
Anyone from tiktok 😂😂😂😂Ndio kujuaa hii Wimbo.....😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Me also
@@wambedeivan7346p❤
@@wambedeivan7346😊😊😊😅
Anyone here 2024😊🎉
Here we are❤
November 2024
Amen nqbarikiwa sana na nyimbo za injili
God bless Kenya,East Africa, Africa and planet earth.
kiukweli huu nyimbo umenifariji sana kipindi nilipata matatzo ya ajali na kipindi hicho mke wangu nae kanikimbia kaniacha n watto Sina msaada wowte zaidi ya mungu ... nikikumbuka haya mapitoo jmn Mungu yu mwema
Am not a Catholic but this song is my favorite
Welcome to our denomination
Na hakika utukufu, sifa na heshima vyote ni mwenyezi mungu aliye kimbilio letu
Tanzanians u r really blessed..
I'm Catholic damu.
From kenya
Your are very blessed too Kenyans..
Can you please tell me me the meaning of the song
Halleluyah
Amina
2024 apewe sifa
Talanta yako iko juu itunze kwa ajili yake aliyekupa amina
Kwa kweli mnaimba toka vilindi vya mioyo yenu..Mungu azidi kulilinda Kanisa Katoliki Dunia nzima..Barikiwe sana, Amazing Voices I love it.
Zachariah Gerald lymo ....mungu akuzidishie ujuzi aisee
Huu wimbo ulituliza kichwa mkuu
🙏🏼🙏🏼
Eee, Catholic has good songs and am proud of being a Catholic
Huyu aliepiga kinanda duuh Yani km napaa niko mbinguni kabisa
Sifa na Utukufu vyote ni Kwa Mungu……… Eeh Mwenyezi unaweza🙏🙏. Mungu awabariki sana KMK you never disappoint Kwa kweli
Wow! Hiii ni tamu saana
Pokea shukrani zangu kwa kuniwezesha nishinde❤🎉
Bahari haiwezi kituzuia tunapita bila mitumbi, my favorite part
Apparently, The Best Choir in East and Central Africa😍😍
❤❤❤
Proud to be a Catholic. Glory be to God,,,🙏🙏🙏🙏
apewe apewe weee so nice
Am her 31 Dec 2023 sifa na utukufu vyote ni kwa mungu
Sijui Mimi nitoke Kenya niende Tanzania I love their songs
Makuburi twakupenda Sana Mwenyezi Muumba awazidishie na kuwabariki
Utukufu tunampa Mwenyezi Muumba
I am not a Catholic but this song is so sweet
I love this song ❤❤❤
Waooooo so NYC b blsd
Wow!!! Hongera Wana mtakatifu kizito Makuburi 🙏🙏🙏
Hakika sifa na utukufu apewe Mungu wetu wa majeshi.Nimebarikiwa sana na wimbo huu.KMK
Huu wimbo umeniinua. Sifa kwa Mungu
MUNGU MWENYENZI AWABARIKI KABISA NYOTE.MWAAAAA!
Am watching from Malawi,though I have a problem with language but voice production of this choir (Mt Kizito Makuburi) is very nice almost our continent is only this choir.
Can I be your Swahili teacher?
Salute Malawi guy 👋👋👋
Thiz iz Kenya proud of Malawi
Sifa kwake mungu wangu
Asifiwe kila mara ,tumpe utukufu
My all time Choir......! I wish itengenezwe video nyingine ya wimbo huu ambayo imetumia technologia ya kisasa zaidi..The audio is Super, and I think hakuna wimbo mwingine mzuri kaka huu....Mungu aendelee kuwajaza vipaji
Mungu apewe sifa
Good comment. Mungu anaweza
Kweli apewe sifa kwa makuu yoteee AMINA
Ikiundwa nyingine itapoteza Radha,coz ata video yenyewe Iko katika hali poa,naipea nyota Tano😘
Yes, Mimi ni mmoja najivunia. Kuwa. Mkatholiki.
Nyimbo nzuri sana. Asante sana 🙏 kwa mtunzi.
Ahimidiwe mungu siku zote maana anaweza yote
Ukweliii mnawezaaaaa sanaaaa mungu awanuee ivo ivo
Nawapenda bure
Ani natamani na mm niembe kama nyie
Job well done st. Kizitos .mungu kweli ni mwaminifu.Apewe sifa,heshima na utukufu.
sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu
Asante mungu kwe wama
katolic
Thanks to our Lord to be a Catholic from Namibia
safiiiii sana sana kwaya
Makerubi na maserafi kwepi🙏🙏🙏
Sifa na utukufu apewe Mungu
Nawapenda mmnooo Hadi naumwa MUNGU awainue zaid na zaid,
Nice
Mko sawa kabisa
Mwenyezi aweza yote hakika 🙏🙏💝💝
Apewe Sifa 🙏🙏👌
lm listening the song nikiwa away from Home 🇰🇪🔥
Currently at 🇨🇩💥
Nice Song 👏👏👏🙏🙏
Ok
I like the video qualities you are producing nowadays 👍
Apewe sifa🥰
❤❤❤❤ from kenya
Kwa kwel mungu apewe sifa na utukuf❤❤❤ by joyness
Utunzi wenye utulivu sana ❤❤
Makiburi thank you so much l love you enjoy family lord beautiful the best friend 💖💗💗💞💞🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉 God bless you everyone 🎈💓💓🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Napenda wimbo huu sana....sifa na utukufu kwa mungu milele na milele
Glory be to all members of makuburi choir, melody of this song is so good. Keep up singing beloved fellows
If you are a Catholic and you are not a choir member then you don't know what you are missing
I love this song. ❤️
God did that
Wow! I love the voice production of this choir. Alto mko juu tu sana. Hongera sauti ya pili na wanakuaya wote.
This is a history am a fun of this choir in Kenya make me feel strong in catholic
...Mungu mwenyezi ni mtumbwi wetu tunavuka...🎶🎶Be blessed KMKM.
Much respect to this song, proud to be a Catholic
Hongereni kwa wimbo mzuri , mungu abariki kazi yenu ya utume
Ubariki na mungu
❤❤❤❤ kazi nzuri
Who's listening with me ❤❤❤❤❤❤
Yaani sichoki kuusikiliza huu wimbo,mbarikiwe sana kwa kutuinjilisha kupitia nyimbo zenu
This Apewe part for the male voices is just superb😘
Dah najiskia kuimba nmeguswa sana
The male voices my God!!!Apewe,apewe,sifa mungu....waaaaaa!I love this.
Glory be to God for his Mighty,I feel like if am one of the singers.
My favourite choir I like where I face you be blessed 🙏🙏🙏🙏 keep it up sisters and brothers of Christ
Be blessed st kizito,.proud Catholic..frm Kenya ,.
Mm msabato. Ila kwahi kwaya naikubar sana
Waooooooooh Hakika kila mudana wakat Mungu akisikia saut nzurnazenye maneno ya mvutoo hufurahii...Na anatusamehe madhambii asee nawapendaa hii kwaya 🤝❣❣
Ukisikiliza huu wimbo unahisi kama upo mbinguni vile,hongeren sana kwa wimbo mzur.
Yote ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Sifa nazimrudie Mungu, Amina
so inspiring am proud to be a catholic
Same same
This has got to be the most beautiful song I've ever heard. Simply put its awe inspiring.
😊
😇 Mungu
Kwanga Mungu
Sijawaonea Wapinzani. Nikiskia hii Nyimbo Nashinda siku Nzima Ikiimba kwa kichwa changu,,, Naja Kushuhudi hiyo choir LIVE
Sifa nautukufu zimrudie mungu
🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Tazama MUNGU wewe ni mwaminifu na hakika unatimiza ahadi yako maana wewe ni mtumbwi tunavuka
NAJIVUNIA SANA KUWA MKATOLIKI NYIE,YAAAAANI NAIPENDA SANA IMANI YANGU HADI SIELEWI KITU MTU VENYE MTU ANASEMA.,NAMPENDA KRISTO
Whenever I go thru challenges in life this song comforts me
I can't get enough of this song,, my favourite song so far,, Glory and praise to God for sure
Woow wow we are proud of being Catholics 🙏🏼🙏🏼🙏🏼