Nyimbo Za Komba Zalipua Ukumbi Mkutano Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • TBC: Ukumbi wa mikutano wa CCM walipuka kwa shangwe na vigelegele baada ya nyimbo za kuisifu CCM kuimbwa;

ความคิดเห็น • 52

  • @alexmlemaga7697
    @alexmlemaga7697 ปีที่แล้ว +1

    Nikisikilizanga huwanakumbuka sana mzee wangu komba,mkapa, hakika kidumu chama tawala

  • @omaryrajabu2970
    @omaryrajabu2970 6 ปีที่แล้ว +12

    Naipenda ccm kwa kuwa kumejaa viongoz makin wenye ueled wa kaz na hamu ya kuwatumikia wananchi wa Tanzania ....nataman na mm siku moja nipate nafas niungane nao kuwatetea wananchi kwa kuwaletea maendeleo,,,,mm ni mwanachuo wa jokuco tawi la makumira na had sasa ni katibu wa uvccm tawi,,,,im proud ov this chama,,,,,ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee gonga like apa kama unakubali kaz inayofanywa na ccm chini ya rais makin wa awam ya tano Dt John Magufuli

    • @pacifiquejuma163
      @pacifiquejuma163 4 ปีที่แล้ว

      Thankyou sana ccm Mungu awabariki pamojanavihongozi

  • @travelbuddy313
    @travelbuddy313 4 ปีที่แล้ว +1

    Kapten had the best golden voice of his generation. RIP john komba.

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unatukumbusha Comred Marehemu Komba ,wakati huo nilikuwa Katibu CCM wilaya ya Pangani Tanga CCM Oyeee

  • @felisterapolnary3917
    @felisterapolnary3917 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulaze mahali pema

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว +3

    Ilikuwa raha sana enzi zetu chama kimoja. Gweride LA CHIPUKIZI 5.2 KILA MWAKA

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 3 ปีที่แล้ว

    Chama kikongwe afrika chenye dira

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +3

    hizi siasa ni mbaya ukipita na utulivu ni mungu asante

  • @rajaairtel7807
    @rajaairtel7807 5 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja daima ccm mbele kwa mbele

  • @raysimkwai200
    @raysimkwai200 6 ปีที่แล้ว +4

    inspiring songs of ccm,r i p mh komba

  • @salehhassan6990
    @salehhassan6990 6 ปีที่แล้ว +5

    Nakipenda sn chama changu ccm naimani cku zote tutashinda
    Hahahahahahahaha !!!
    Ccm noma ushindikwetu lazima oyeeeeeeeeee !!!
    Is me Saleh kigoda from Makunduchi znz cc ndowenye nchi
    Ukitaka kufanikiwa wekeza kura yk kwa ccm daima .

    • @allymkobellah4737
      @allymkobellah4737 6 ปีที่แล้ว +1

      naipenda ccm jamaani ndo chama pekee hapa Tz

  • @selechama244
    @selechama244 6 ปีที่แล้ว +6

    chama dume hichooo CCM oyeeee watapata taabu sana

  • @richardzakaria2270
    @richardzakaria2270 7 ปีที่แล้ว +13

    naipenda sana ccm pia na nyimbo zake!!!

  • @christophermhanzi4672
    @christophermhanzi4672 2 ปีที่แล้ว

    Komba lala salama uliko

  • @mwanambeuissa9683
    @mwanambeuissa9683 6 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo tamuuu

  • @zawaeli3357
    @zawaeli3357 5 ปีที่แล้ว +1

    Miss u comrade Nape

  • @killermbongo8179
    @killermbongo8179 7 ปีที่แล้ว +3

    ccm nichmachangu toka zamani

  • @pamealbinmoshamosha8257
    @pamealbinmoshamosha8257 4 ปีที่แล้ว

    Tot tumekaa kwa zamani

  • @halimatwaha5255
    @halimatwaha5255 5 ปีที่แล้ว +2

    ccm DAIMA na hata milele

  • @tausijohn2569
    @tausijohn2569 7 ปีที่แล้ว +8

    ccm oyeee

  • @ayubumuyoya8875
    @ayubumuyoya8875 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo atar

  • @williammwambokwa3994
    @williammwambokwa3994 5 ปีที่แล้ว +2

    safi

  • @mrishorajabu998
    @mrishorajabu998 4 ปีที่แล้ว

    namuona nape kwA mbaaali 😁😁😁😁

  • @thomassiruri6256
    @thomassiruri6256 4 ปีที่แล้ว

    Yaani upande wa pili wakisikia hizi nyimbo matumbo ya kuhara yanaanza

  • @elizaboster9479
    @elizaboster9479 4 ปีที่แล้ว

    Rip kombo

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว +2

    Du hii ni kulala maskini ukaamka tajiri. Nakumbuka nikiwa F.I Biharamulo, .MAGUFURI AKICHUANA NA KABUYE WOTE WAKIWA.NI.CCM. LAKINI MAGU. ALIKOSA.USHINDI. kama ipo ipo tuuu japo inachelewa.

  • @tausijohn2569
    @tausijohn2569 7 ปีที่แล้ว +4

    chama kubwa

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 7 ปีที่แล้ว +2

    Mi napenda nyimbo na Magu tu

  • @zuwenaharoun2713
    @zuwenaharoun2713 7 ปีที่แล้ว +4

    ccm daima

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 4 ปีที่แล้ว

    Dah?! Utawashinda sangapi hawa jamaa??

  • @eliajonathan5222
    @eliajonathan5222 4 ปีที่แล้ว

    Komba

  • @mathamofulu6127
    @mathamofulu6127 7 ปีที่แล้ว +3

    mbele kwa mbele milele

    • @rehemamoshi2496
      @rehemamoshi2496 4 ปีที่แล้ว +1

      Jaman nakipenda Sana chama Cha mapinduzi nataman siku moja nikitumi kie hichi chama lakin naomba mwenyezi mungu siku moja itaatiMia

  • @stevenisrael5595
    @stevenisrael5595 8 ปีที่แล้ว +5

    nyimbo za ccm

  • @alvinwanzagi7797
    @alvinwanzagi7797 4 ปีที่แล้ว

    Nikwel

  • @lwesyarabeka410
    @lwesyarabeka410 7 ปีที่แล้ว +1

    😝😝 mkajipange

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 4 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @mwanambeuissa9683
    @mwanambeuissa9683 6 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo tamuuu

  • @jescaphilipo5839
    @jescaphilipo5839 7 ปีที่แล้ว +4

    chama kubwa