Rest in peace Captain,mh Komba.hakika naweza kusema ulikiona kifo chako kuwa kinakuja ila hukuweza kujua ni lini.Hongera kwa mchango wako kwa Taifa na Afrika kwa ujumla
Tulikupenda rkn Mungu amekupenda zaidi.. Daima pengo lako halitazibika.. tutabaki kujiuliza kwann umetutoka na wakat bado Tunakuitaji.. R.I.P Captain John Damian Komba .
I'm freakn' out!!!!!...seriously..just recently i have seen Mkasi with Masoud the full show uploaded...Over a suddenly..It disappeared..whats up???????
Rest in peace Captain,mh Komba.hakika naweza kusema ulikiona kifo chako kuwa kinakuja ila hukuweza kujua ni lini.Hongera kwa mchango wako kwa Taifa na Afrika kwa ujumla
Mzee ulikuwa kichwaaaa sema mwenyezi mungu kakupenda zaidi....&r.i.p
R.I.P john mbele yetu nyuma yako wote ni wa mungu na kwake tutarejea
Hakika shujaa katutoka,eee Mungu mpokee capten Komba na umweke mahali alipajichagulia
Tulikupenda rkn Mungu amekupenda zaidi.. Daima pengo lako halitazibika.. tutabaki kujiuliza kwann umetutoka na wakat bado Tunakuitaji..
R.I.P Captain John Damian Komba .
Haya mwana jeshi,una akili safi
Nuru ya thamani ya upendo iko wapi tuitafute wameichhukuwa wale majasusi😢 shameee tuseme amen komba lala salama😅
Pumzika kwa Amani Baba
Pumzika kwa amani captain. Umetangulia lakini nasi tunakuja. Tangulia kaka.
kweli nimeamini salama unachagua kuna vistory vya hapa na pale vya kitaa mbona ujamuliza au unaogopa usije ukakimbizwa mjini
KAPTEIN KOMBA TUTAKUKUMBUKA DAIMA.KAZI ZAKO HAZITASAHAULIKA.R.I.P.
John komba R.I.P amen
R.i.p komba Mzee wa mgeni
R.I.P captain komba
Swash kifo ni mkosi R I P captain
Lala salama kapteni.
Komba hatutakusahau
2018 ....r.I.p komba lutenand komba
R.i.p captain
RIP captain John, we loved u bt God loved u more!!
Amina
I'm freakn' out!!!!!...seriously..just recently i have seen Mkasi with Masoud the full show uploaded...Over a suddenly..It disappeared..whats up???????
RIP
kaz ya mngu haina makosa mngu ailazr roho yako mahalipema pepon.
Rip Komba
r.i.p
usingingiza ni kama kipara hujuwi saa ngapi utalala.mpaka bungeni unalala Viongozi wetu hawa
Duh!!!aya bhana
salama chizi
R.i.p
R.I.P capten john comba
hhhh we salama umenifurahisha hivyo ulivyomkumbatia mh komba tu
Ha ha ha I like it uwiii mcheshi
Kwa heri nyerere
R.I.P
R I p
hujamuuliza maswali mengi umeogopa salama mbona analala lala sana bungeni
R.I.P john mbele yetu nyuma yako wote ni wa mungu na kwake tutarejea