Hii squad ya Msondo Ngoma ilikuwa tishio kwa bendi za mziki wa dansi Tanzania, Mungu azipumzishe kwa Amani roho za hawa ndugu( Tx Moshi, Jose Maina, Athumani Momba,Suleiman Mbwewe na Kamanda Gurumo).
Jamani Huyu TX moshi alikuwa ni shida sana,Alitunga nyimbo ambazoo hata kitukuu changi kikija kusikia nyimbo kama hiza Ana pata fundisho ,nilikupenda sana tx lakini Mungu alikupenda kabla sijakuona live,
🌍sikiliza | mamela | teerera ku | lalela | feti si | ge nti na ~ PLAYLIST💖 bit.ly/2qI8t23 listen | escucha | hör dir | ascolta | cuça PLAYLIST💕 🔉🎶"Msondo Ngoma Music Band TRADI-MODERN MUZIKI-WA-DANSI afr-tanzani BAND OR'Ch,Qu'EST'r'A Official Labels & YT Medias Videos PLAYLIST lovinair AFRICA😍🙏
Moshi Tx Sulemani mbwembwe Josee maina momba ngulumo batherazali mabela maneno uvuluge romani mng'ande kwaufupi tu wahenga wenzangu tujuane like
Saut ya jagwani sda
@@abinelyamos6302 0
❤❤😢😮😊🎉🎉🎉🎉@@abinelyamos6302
Kanda bovu kutoka mafia mkoa wapwani
Allah awape makazi mema Inshaallah sote tutakwenda huko Inshaallah.
me nakumbuka enzi izo 📻 radio zambao na zamani kiukweli walikuwa Wana imba uhalisia kabisa wa maisha
Hizi nyimbo hata mara mia hamu ya kuisikiliza haiishi daaaah.
Hakika hawa nduguzetu walikuwa mahiri sana na walikuwa zawadi kwetu
Kama kunamtu ameuwelewa huu ujumbe acomment
Zama haziludi tena jamani nakumbuka mbali saana
Hii squad ya Msondo Ngoma ilikuwa tishio kwa bendi za mziki wa dansi Tanzania, Mungu azipumzishe kwa Amani roho za hawa ndugu( Tx Moshi, Jose Maina, Athumani Momba,Suleiman Mbwewe na Kamanda Gurumo).
inalilah wainailah rajiun
Hakika unadhifu wenu tu katika uvaaji ulifanya muziki wenu uwe mzuri
Hii ndio miziki bhana
List yote iliyoimba hu wimbo hawapo tena duh” Suleiman Mbwembwe, Momba, Mahina , TX Moshi, na Maalim Ngurumo hakika tutawakumbuka majemdari hawa”
huyo jamaa alieshika tarumbeta yupo, kimsingi ndio kiongozi wa hio msondo kwa sasa
Anaitwa Roman mng'ande AU romalii
nyimbo kali sana
Kweli kaka cjui nifanye nn kuludisha furaha yangu ya zamani.
Nyimbo kalisana 🙅🏿♂️🙅🏿♂️🙅🏿♂️
❤babu kubwa
Mbwembwe,Momba,Maina,Moshi,Ngurumo. Daaaaah basi tu hatutabadili mapenzi ya Mungu
Unalisikia solo la doctor Mabel's?
Ahaaaaaa achokaaaaaa sana na sili itwayo kifo hasa nnapomsikia mshikaji wangu sana Mkubwa wa mtungi ktk kiitikio cha nyimbo zangu kipenzi
Mume nikumbusha officers mess Masaki ❤
Huu kwangu ndio muziki kwenye ladha ya kitaifa!
izi ngoma daah nakumbuka mbali sana aisee
walio tangulia mungu awalaze pema peponi
ase nishida
The last resounding success of Msondo ngoma as crew before one after another died. May their soul rest in perfect peace Ameen.
Mungu Hawa rehemu zimebaki sauti na picha dah kikosi kazi
Duniani tunapita
msondo ni kiboko yako. hakunaga tena
njoo Arusha. tunawapenda sana
Baba ya Music Msondo Ngoma ya Watanzania
Jamani Huyu TX moshi alikuwa ni shida sana,Alitunga nyimbo ambazoo hata kitukuu changi kikija kusikia nyimbo kama hiza Ana pata fundisho ,nilikupenda sana tx lakini Mungu alikupenda kabla sijakuona live,
Kwel Tx alikuwa mtunz mahili
Dah noma sana
Huu wimbo unikumbusha enzi za ujana wangu nilipokuwa nalisakata rumba na vijana kama mimi
Wakati ni. Ukuta asante juwata msondo baba ya music
Msondo hii sidhani kama itarudi tena
Haiwi kama hii
mzee wa miba nomaa sana hao wazee hakuna wakulis tena
dream team hakunaga tena
ama kweli wanaume wamefanya kazi
Zilipendwa very good and educative to community
Nice song kwa kweliii
Yamenikuta 2021
Huo ndiyo mziki bwana!! watu na fani zao
YANIKUMBUSHA TARANGIRE NA H SHANDA
Kati ya watu waliouelewa ujumbe huu ni Mimi msondo ilitisha sana
Nakupaaa poleeee sana,
Ni SAMA na sio Sana Ni historia ya Kweli
Sasa hivi mziki hamna wamebaki wabana pua
nimekumbuka utoto nikisikia msondo
Hafidh waziri
Namwona TX, Ngurumo, Momba, Mbwembwe,Romario,Maina, mabela yaan kweli iluwa dream team
Old is gold
Kweli aridhi imekula vingi na bado tutaendelea kuliwa
Wimbo unanikumbusha mbali sana.
Hapa ni wakati Muziki unaitwa Muziki,sio hizi Shuzi za sasa hivi za kina Harmonize na wenzake
Pole sana Sama.Nakupa pole
Safi Sana ujumbe mzuri
20/10/2020 ndo Kwanza imenoga yani ni shiidaaaaaaaàa
Kachukua mke wa mtu na bado anaenda kumroga mwenye mke!
Mmmh ntaipenda ngoma hii Hadi mwisho wa maisha yangu.
Msondo ngoma ya watanzania
Peter Lugomok LKNI WALE WA CKU HIZI WAMEZOEA " NYEGE-NYEGEZI " AU TETEMA KAMA UMEPIGWA RADI sasa hii ndo inafundisha jamii kweli ? Wa-TZ TUBADILIKENI
@@mariyamzuheir6255 brother bless África of América
Noma sn
muzki mzuri saana ,mafunzo mazuri ,ujumbe wa maisha.musaa kachungwa baba lao
Msondo ngoma
Hakunaga tena
Kwakweli hakuna mfano sio ipitishe kwa chini
Ama kweli ilikuwa ni el classico ya music Tanzania
Hilo solo kinavyopigwa linaongea haaaa hadi raha wakongo wanafaidi mziki Aisee Sis tupo na Tetema
Wanamsondo
Nakupa pole slmaaaa
Suleiman Mbwembwe a.k.a Sauti ya dhahabu. Sauti yake ilikuwa ni ya pekee.
hawa ndio viongozi wa mziki mungu awalaze mahala pema
poa sana
Kawawazanzibar
2050 imo tu
Othman momba RIP bro
Hili ni darasa kamili
Matonya
🌍sikiliza | mamela | teerera ku | lalela | feti si | ge nti na ~ PLAYLIST💖
bit.ly/2qI8t23 listen | escucha | hör dir | ascolta | cuça PLAYLIST💕
🔉🎶"Msondo Ngoma Music Band TRADI-MODERN MUZIKI-WA-DANSI afr-tanzani BAND OR'Ch,Qu'EST'r'A Official Labels & YT Medias Videos PLAYLIST lovinair AFRICA😍🙏
Oliva
2020 R. I. P legends
kazi yangu mim ni dereva
Kialachenja
2021 nanikaskiza 👋
July2018 na enjoy music.
2023
Police officer's mess Ccp Moshi 2010-2013
Makondekojazfungavilago
Good
9..
2029 like
Makpndekojaz
msondo ngoma ya watanzania
Kabisa Kaka yani weachatu
Kialachenja