MSICHANA ABAKWA NA WANAUME WATANO WAKIMREKODI, WADAI KAIBA MUME WA AFANDE, POLISI WANENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 471

  • @EtheldredaRitte
    @EtheldredaRitte 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli inaisha sana mwanadamu kawa mnyama??da!Mungu atusaidie Dunia Iko ukingoni ndugu zangu tukimbilie kwa YESU

  • @MonikaRafael-b4c
    @MonikaRafael-b4c 2 หลายเดือนก่อน +7

    Sheria ichukuliwe, serikali iache, hatua ya kusamehe, watu wanaofanya maovu, kama haya Mungu fanya kazi yako baba, wasaidie vijana

    • @KingiMasuka-f2i
      @KingiMasuka-f2i 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jaman huyo afande anyongwe

  • @JosephShuaka-fh5xm
    @JosephShuaka-fh5xm 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mwenyezi Mungu atusaidie!
    Vijana wa kitanzania kwa asilimia kubwa tupo iddle, hatuna kabisa shughuli za kufanya sisi tunasubiri tuajiriwe kufanya uovu.
    Ebu vijana mbadilishe mtazamo wenu, tuungane na serikali yetu tukufu ya Chama cha mapinduzi kuondoa maovu haya katika jamii..

  • @SalhaBakary
    @SalhaBakary 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atusaidie wanawake wengi sas hiv tunaishi kwa wasiwasi sana🙏🙏

    • @johnmas3213
      @johnmas3213 2 หลายเดือนก่อน

      Wasiwasi upi, wakati watoto wakike now days ni maninja kuliko wanaume

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mungu tunusuru😢

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน +30

    Justice for girl

  • @saumjuma3940
    @saumjuma3940 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman huyo mwanamke ahukumiwe maisha yote au auliwe na hao vijana

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 หลายเดือนก่อน +30

    Allah atunusuru na wahalifu kama hao, hatari 2024 bado wapo wahalifu namna hiyo subhanallah

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wallah inaumiza sana kijana mdog wamemfanyia kitendo kibaya sana Allah atawalani hawa watu awape mtihani mikubwa hapa duniani lazma watafutwe na huyo afande wao pamoja

  • @alfakizeru-rw2vy
    @alfakizeru-rw2vy 2 หลายเดือนก่อน

    Inauma sana aisee

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm Samia fukuza kazi hao masherani

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 2 หลายเดือนก่อน +41

    Subhanallah naumia km nimwanangu ama mdogo wangu 😢ya Allah wahukumu ww hawa waliofanya tukio hili usiwaache salama

    • @marthapaul7456
      @marthapaul7456 2 หลายเดือนก่อน +3

      Daaah Yan 😢

    • @Mwanah-cg3ie
      @Mwanah-cg3ie 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hakika😢😢

  • @GRANAFRED-ny6mc
    @GRANAFRED-ny6mc 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wanyongwe hao mashetani ingekuwa dada Yao wangefanya hvyo 😢😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +8

    Subhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun😢😢

  • @ommyjuma-h4s
    @ommyjuma-h4s 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atamlipia malipo hap hap dunia ipo siku watajutia kwa walichokifanya

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 2 หลายเดือนก่อน +40

    Uyo afande akamatwe haraka na hao wabakaji wakamatwe wanyongwe

    • @boazambokile2587
      @boazambokile2587 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 sawa mkuu

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 2 หลายเดือนก่อน

      Wanyongwe kabisa

    • @sarahmwaluko2480
      @sarahmwaluko2480 2 หลายเดือนก่อน

      Wasinyongwe wabakwe kama walivyomfanyia msichana

    • @zynabalreadyi8357
      @zynabalreadyi8357 2 หลายเดือนก่อน

      Mm hata sijaion

  • @SarahMaganga-g1n
    @SarahMaganga-g1n 2 หลายเดือนก่อน

    Duuu!! Mungu tusamehe

  • @GetrudaNyemela
    @GetrudaNyemela 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie 😧😧

  • @RoseMchome-g8p
    @RoseMchome-g8p 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusamehe tumuogope

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +28

    Kaniuma huyu Dada MUNGU amsaidie apate Hak yake 😥😥😥. Wanaume Wenyewe hawasemi kama wameoa 🤦‍♀️.

    • @annyquentic6722
      @annyquentic6722 2 หลายเดือนก่อน +3

      Alaf ukute mwanaume mwenyew n muislamu ndoa nne sunna ndo unapoachika anaolewa huyo

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@annyquentic6722 Yaan huyo mwanamke kfungo kumuhusu Maana n pepo haswaaa.

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@annyquentic6722 Dunia imeisha Sasa aina uwislam wa ukristo fatilia vzr TH-cam utaona Mwanaume wa kikistu kafia kwa mchepuko hao wameruhisiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja ndo ujue uyo hurka tu ya mtu mwenyewe na sio dini yake

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@annyquentic6722mbona kama una chuki na sunnah ya wake wanne! Mpaka unaileta pasipo husika? Kitendo alichofanyiwa huyo binti hakikubaliki kwa namna yoyote ile,aidha tukumbushane kuhusu hatari na ubaya wa Uzinzi.

  • @apolopopilo
    @apolopopilo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel wamekosea Sana aisee, ila angebakwa mwanaume hapo ingeisha kimya kimya dadeki

  • @Happyness-s1r
    @Happyness-s1r 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusamee tu

  • @husseinkassim4405
    @husseinkassim4405 2 หลายเดือนก่อน

    Duhhh huuu ni unyama,

  • @Happyness-s1r
    @Happyness-s1r 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢 uwiii jamani inatisha jamani tisha

  • @nashiybyb
    @nashiybyb 2 หลายเดือนก่อน

    Wauliwe kabisa yani 😢

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 2 หลายเดือนก่อน

    Muuuu ukatili wa juu sana sheria ichukue mkondo wake

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tamaa mbaya sana wanawake

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu amsaidie kwa.hara sana

  • @Shuweamussa
    @Shuweamussa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Subuallah Ewenyezi mungu mjarie mchn uyo ya rabby

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 2 หลายเดือนก่อน +29

    Jamani wakamatwe na kifungo 30 yes iwe fundisho.

    • @taturamadhan5940
      @taturamadhan5940 2 หลายเดือนก่อน +3

      Maisha

    • @barakamassawe2454
      @barakamassawe2454 2 หลายเดือนก่อน

      Wafungwe maisha

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 2 หลายเดือนก่อน

      Wangekuwa panya rod wangekuwa wamesha patikan ila wabakaj mpk.ss

    • @ngashsam7586
      @ngashsam7586 2 หลายเดือนก่อน

      Wauliwe kabisaa

  • @barakamassawe2454
    @barakamassawe2454 2 หลายเดือนก่อน

    Wafungwe maisha

  • @SikujuaMdede-us4qw
    @SikujuaMdede-us4qw 2 หลายเดือนก่อน

    sinapata hakiyangu

  • @neemamassawe1946
    @neemamassawe1946 2 หลายเดือนก่อน

    Hao.maafande hawana hofu ya Mungu kweli

  • @MasheneneMwizarubi
    @MasheneneMwizarubi 2 หลายเดือนก่อน

    Wafungwe maisha wamezalilisha jeshi

  • @ZakKimaro
    @ZakKimaro 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hao ndo wale wasiyojulikana wana roho mbaya mno mnamdhalilisha mtoto kiasi hicho laana ya Mwenyezimungu iwe juu yenu

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน +28

    Wanawake kuna mahali tunakosea.mumeo akichepuka deal na huyu mume wako.unajuaje kama mwanaume wako alisema hana mke?mimi lishawahi kukutana na mwanaume akaniambia mkewe amekufa kumbe ni mziiiimaaaaa!!Pambana huyo mbuzi wako mwenyewe. Ni wasichana wangapi watabakwa kisa huyo mbuzi wako?

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢🎉🎉🎉🎉

    • @awaynaaaa3490
      @awaynaaaa3490 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yan dada soph umesem kweli mm nishaonan nao weng t wanasem hawan wake Ila ukimfatiliy mtu Lina mke na watoto Ila mwanamk mwenzio unamfanyia hivy na mwanamm hatoshek na mwanamk mmoj

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 2 หลายเดือนก่อน

      Akwambie ana mke ili umkatae??

  • @حمدعبدالله-ب2ع
    @حمدعبدالله-ب2ع 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyongwe 😭😭😭

  • @VivianiKessy
    @VivianiKessy 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa sasa kumuamin mtu dar Pole sana nchi imekuwa huru kila mtu anafanya anachojisikia duu hii hatari

    • @SalhaBakary
      @SalhaBakary 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ..Yani😢

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atuepushie Moja tu hoi wanaume wa 5 ningekufa dah 😢😢😢😢😢😢

  • @gretinagabriel3946
    @gretinagabriel3946 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyogwe hao

  • @neemamassawe1946
    @neemamassawe1946 2 หลายเดือนก่อน

    Yaniiii unamtahalilisha binti kwa.sababu ya mwanaume

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo inaitwa mtt kautaka

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman wengine waoga 😢 mnatuharibu kisaikolojia tutakua tunashtuka shtuka 😢 Dunia imeisha huu unyama kabisa

  • @AkilinyoMussanyo-n3x
    @AkilinyoMussanyo-n3x 2 หลายเดือนก่อน

    Dunia ishakua yamoto hii

  • @halifamkindi2102
    @halifamkindi2102 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢Jmn hii video nmeliona Yan mbka huruma😢😢

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan jaman mama Samia naomba Hawa vijana wanyongwe tuu maana hata kama amecheat ila hii sio sawa kwanini watafute kwa huyo dada si atafutwe aseme polisi yupi then huyo mwananamke akaoneshe hao vijana wake anawajua

  • @emmanuelygwilenza4086
    @emmanuelygwilenza4086 2 หลายเดือนก่อน

    Wa uwawe kabisa hawafai katika jamii

  • @GetrudaNyemela
    @GetrudaNyemela 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn mungu atusaidie make ni hatal wahalifu wakamatwe miaka 30 ndani

  • @mickywiyne62
    @mickywiyne62 2 หลายเดือนก่อน

    Wako sawa

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 2 หลายเดือนก่อน +1

    Akome umalaya

  • @emmanuelndahan4879
    @emmanuelndahan4879 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni tamaaa

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 2 หลายเดือนก่อน

    Inna lillah wainnaaa ilayhi rajiun

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 2 หลายเดือนก่อน +15

    Afande na watu wake wanyongwe

  • @CharlesChizo-se2qt
    @CharlesChizo-se2qt 2 หลายเดือนก่อน

    dah wengine hatujaona hiii

  • @hadijahamisi3359
    @hadijahamisi3359 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeona hii video ya huyu dada nimelia wallah nyie sie binadam tunaroho mbaya sana

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ushenzi wa hali ya juu Sana

  • @nero7941
    @nero7941 2 หลายเดือนก่อน

    daah hii sio sawa r,i,p jpm

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo Afande ukwaju akamatwe pia ,yaan ni udhalilishaji wa hali ya juu

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 2 หลายเดือนก่อน

    Dah, amekumbuka PEP.

  • @OttyThomas
    @OttyThomas 2 หลายเดือนก่อน

    Dah unyama huwo jamanii dunia inaenda wapii MUNGU atusamehe

  • @glorysamwel3122
    @glorysamwel3122 2 หลายเดือนก่อน

    Ichi kitu kimeniuma sanaaa jmn 😭😭😭

  • @KuruthumuAlly-o7v
    @KuruthumuAlly-o7v 2 หลายเดือนก่อน

    Dah jamani jamani 😢

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh hawa ni watu wa serikali hukumu yao wanyongwe tu maana niwanyama

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 2 หลายเดือนก่อน

    Daah

  • @MeshiMeshi-zj4iw
    @MeshiMeshi-zj4iw 2 หลายเดือนก่อน

    Yani hapo hakuna cha msamaha has wote wakamatwe wachukuliwe shelia mana uwo ni unyanyasaji

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 หลายเดือนก่อน

    Ina wenyewe hawaogopi hata magonjwa, mweeee.

  • @ScolaAlen
    @ScolaAlen 2 หลายเดือนก่อน

    Daa janeth mama umeacha nimelia

    • @CRAVERYMUYAMBA
      @CRAVERYMUYAMBA 2 หลายเดือนก่อน

      Janeth anaitwa au

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini akome kuingilia mapenxi ya wa2,angetemhea & vijana wenxake.

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atunusuru

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 หลายเดือนก่อน +8

    Tanzania Tanzaniaaa Nakupenda kwa moyooo wooteee lakini siwapendi viongozi FAKIIII viongozi

    • @ngashsam7586
      @ngashsam7586 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 2 หลายเดือนก่อน +9

    Dhu mbiti pore sana jamani kama ingewenzekana wakikamatwa wamripe vidiya uyo biti nawao wangeukumiwa kunyongwa adi kufa iwe fundisho kwa wengine nimeumia sana 😭😭😭

  • @SamwelMaiga-z7l
    @SamwelMaiga-z7l 2 หลายเดือนก่อน

    dunia simama tushuke siye weny huruma daaaah

  • @djumaally5536
    @djumaally5536 2 หลายเดือนก่อน

    Hii Dunia inamengi maajabu

  • @isamony58
    @isamony58 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana afanda ndowa zinavunjika kisa wao

    • @SinangoaJarufu
      @SinangoaJarufu 2 หลายเดือนก่อน

      Weka akiba ya maneno vipi kizazi chako unahakika nacho

  • @emmanuelmeena6542
    @emmanuelmeena6542 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hao walipaswa adhabu yakunyongwa coz huyo Binti anaweza jinyonga Kwa kitendo alichofanyiwa

  • @HidayaHamisi-q4l
    @HidayaHamisi-q4l 2 หลายเดือนก่อน

    Wamemdhalilisha mno 😢 ameumia sn 😩

  • @hashimposho-ju6nz
    @hashimposho-ju6nz 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mdada kwa yaliyokukuta

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 หลายเดือนก่อน

    Allah ajaalie wakatwe.

  • @agathahasote9894
    @agathahasote9894 2 หลายเดือนก่อน +24

    Sasa wanasubiri nn kunyongwa...😢😢😢 jaman mbn wana ushetani sana

    • @DaheerK
      @DaheerK 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu picha zimesambaa nawanagonga gonga chupa

    • @agathahasote9894
      @agathahasote9894 2 หลายเดือนก่อน

      @@DaheerK so sad😪

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyongweee😭😭😭

  • @Aaqwe-yi6qn
    @Aaqwe-yi6qn 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh mtihan wallah 😢😢

  • @MrsAbbyAsyaMohd
    @MrsAbbyAsyaMohd 2 หลายเดือนก่อน

    Wahukumiwe au wauwawee kabisaaaa

  • @MunaShaibu
    @MunaShaibu 2 หลายเดือนก่อน

    Wakamatwe na wanyongwe kbs nchi imekuwa huru sn hii

  • @gililwise
    @gililwise 2 หลายเดือนก่อน +24

    Hào waliofanya hivyo wanyongwe na huyo afande

    • @flaviankimat5233
      @flaviankimat5233 2 หลายเดือนก่อน

      wachukuliwe hatua kali za kisheria

  • @jumanneally3303
    @jumanneally3303 2 หลายเดือนก่อน

    yaani mimi awa wanyongwe kabisa akuna hatua ya kufungwa

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 2 หลายเดือนก่อน

    Subuhanallah da ubinadam ukoap ya Allah tunusuru na vtendo hivyo

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 2 หลายเดือนก่อน

    Ukatili sio poa,😅

  • @Suleimanmohamed-y4k
    @Suleimanmohamed-y4k 2 หลายเดือนก่อน

    Hao So Kifungo wauuwawe kabisa yan dah

  • @jenifadaud
    @jenifadaud 2 หลายเดือนก่อน

    Waongo hao

  • @ngashsam7586
    @ngashsam7586 2 หลายเดือนก่อน

    Hawao vijana wakamatwe na wao kwa wenyew waingiliane iyo adhabu toshaa

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 2 หลายเดือนก่อน +12

    Inatakiwa kuwe na kiongozi bandidu,,watu wanyongwe hazadhani,mipaka ilindwe,haswa,, majumba ya ibada Wageningen wadhibitiwe nk

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ipo imevuja balaa

  • @neemamassawe1946
    @neemamassawe1946 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tunaenda wapi

  • @FalajaSamba-qw3ir
    @FalajaSamba-qw3ir 2 หลายเดือนก่อน

    Nooo coment maana michepuko wanasumbua sanaa

  • @msalasecurity
    @msalasecurity 2 หลายเดือนก่อน

    kweli mume wa mtu sumu duh

  • @SikujuaMdede-us4qw
    @SikujuaMdede-us4qw 2 หลายเดือนก่อน

    naomba zenu na mm mtotoi wangu alibakwa makama imenionea

  • @bigmachinempower4680
    @bigmachinempower4680 2 หลายเดือนก่อน

    But what's going on

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani binadamu sasa wamekua zaidi ya wanya dah 😭

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 2 หลายเดือนก่อน +9

    Daaah! Inaumiza sana. Tunaomba Haki itendeke.

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna wakati raia tutajichukulia hatua mkononi km wahusika watakaa kimya