AWATUMA ASKARI KUMBAKA BINTI BAADA YA KUMCHUKULIA MUMEWE| WAMEMLAWITI NA KUMREKODI VIDEO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa unyama sana huu, ifike hatua wanawake tubadirike twende na kusoma alama za nyakati,wanaume sio watoto wetu,wakitoka nje tujichinguze, pia mwanaume wako akiwa ndani cha mssingi heshima, akiwa mzinzi muombeee, kufaanya maamuzi ya hasira utapata hasara bureee na ukamuacha akiendelea kuienjoy

  • @EfransiaKifaru
    @EfransiaKifaru 2 หลายเดือนก่อน +4

    Waraaniwe jamani mim mpaka nakosa kula maskini mungu ampe wepesi uyu binti mwenzetu dah serikali yetu tunaomba aki ya uyu binti tumeumia sana

  • @monicambarikiwa9532
    @monicambarikiwa9532 2 หลายเดือนก่อน +5

    Linasikitisha sanaaa😢😢😢

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nyongeni wote ! Mpaka huyo afande! Ukimya watakuwa wanatafuta namna. Tuna idadi kubwa ya watu!

  • @EstherKipokile
    @EstherKipokile 2 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo mama kama anawatoto wakike awachunge sana vipi kama nao wanatembea na waume za watu

    • @AshuraIssa-p7v
      @AshuraIssa-p7v 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeumia sana kwakweli huyo afande alaaniwe

  • @moreenmethew3156
    @moreenmethew3156 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mmeshasema hao watu ni askari mwenzao si ni kitendo tu cha kuwafata jamaniii bora magufuri 😢angekuwepo aisee huyu mama anajiachia sana utasema hajazaa jamani yeye ni mama vipi angekuwa analawitiwaa yeye au watoto wake pumbavu kabisaa na aonee hii

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana jamani

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน +3

    Daah ningekuwa mimi ndo mkuu wa polisi, hawa wanajeshi wangefia kwenye mahojiano hata mahakamani wasingeenda kabisaa.Ningewaua kabisaa kwa mkono wangu.

  • @PKyando
    @PKyando 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nikikumbuka nalia na upya like tukio, mkono wa Mungu wetu ni mrefu lakini unafika popote🙌🙌💔💔😭😭

  • @TarcisiusTryphone
    @TarcisiusTryphone 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo boss ailiye watuma kabla ya adhabu na yye arekodiwe na Jao vijana wake wamfanyie hvyo ili kutegeneza gender balance

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 2 หลายเดือนก่อน +26

    Jamani wanawake tulio olewa hebu tuombe tupewe roho za kikahaba, yaani tujali ya kwetu, mwanaume anampenda nani au anatembea na nani yasituhusu, tupambane kitafuta pesa na amani ya mioyo yetu. Ukimfuatilia mwanaume mwisho utaathiri maisha yako na watoto wako wakati yeye akiendelea kupatara raha

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kabisa my dear coz mwanaume kma ni maraya maraya tu na hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja

    • @donaldelias2267
      @donaldelias2267 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo la nyie wanawake mlioolewa Hua mnajisahau kwenye tendo mmekua wavivu na visingizio visit visivyo na sababu.mme anataka tendo we unadai umechoka.

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kikahaba?Kama ni hivyo ujue unapata dhambi,hulipe ubaya kwa ubaya ila ukigundua mtu wako ni malaya ambaye hawezi kubadirika na hofu ya Mungu hana huna budi kuachana naye kwa wema;husipo fanya hivyo uenda akakupa magonjwa kibao katika mfumo wako wako wa uzazi na magonjwa ya laana na giza kumbuka hao anaokutana nao kila mtu ana mwili wake na matatizo yake na sio halari labda hakufunga nao ndoa na hapo utajikuta unakumbwa na manukusi ya kila rangi.

    • @moreenmethew3156
      @moreenmethew3156 2 หลายเดือนก่อน +1

      Safi kabisa dada angu wanaume wenyewe ndo Hawa Hawa wafilwaji aisee unamkatiri hvy mtoto mwenzio

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 2 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanwilbard8196 kahaba Huwa Hana haja ya kujua mwanaume ana wanawake wangapi, yeye anachojali ametimiziwa haja na pesa amepata, hii itawasaidia wanawake walioolewa kuepuka malumbano ndani ya nyumba, na kuepusha balaa kama hilo, Sasa ona kwasababu alimpenda sana mumewe anaishia kulipiza kisasi Kwa aliyemchukulia mume, na hicho kisasi kinaenda kugharimu maisha yake na watoto wake, lakini asingejali kuhusu huyo mwanaume hayo yote yasingemkuta

  • @omaryissa1821
    @omaryissa1821 2 หลายเดือนก่อน

    Barack sit uko sawa

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nataman niwajue walipo hao inabid watiwe mijiti au kuchunwa ngozi kulalek kuogop maaskar ujinga sana yan angebakwa ndug yangu loo zao zingekua mikonon mwangu hao maaskar

  • @RassyLukumai
    @RassyLukumai 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niliangalia hadi nikalia nilishndwa kumaliza kuiangalia emb fkria kama angekuwa dadayako jaman. Ungefanyann ila sijakufru Mungu nisamehe ilawauwawe.2 iwemfano

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani Mimi nilitafuta sijaiona by naumia

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali inafeli wapi?

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mujibu wa sheria Kaz ya polis ni kulinda raia na mali zake lakin mara nying sana polis wetu wamekuwa wanafanya kinyume chake yaan kuhatarisha usalama wetu pamoja na kuharibu mali zetu. Sasa cjui shida iko wapi ni ujinga ama ni kitu gani hata cjui

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wayongwe tu washezi sana

  • @MydaMussa
    @MydaMussa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiii kesi kweli ni rahis kabisa ipo wazi kabisa

  • @denismasao520
    @denismasao520 2 หลายเดือนก่อน

    Wanajiamini sana hawajaficha sura wana uhakika hawakamatwi

  • @MinihajMdoe
    @MinihajMdoe 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mama shuhulikia majitu kama haya tena kwa adhabu kali sana

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi wengi waoga sijui kisa askar au nani nd mtu afanye uchokolaa aogopwe kisa askar sijui mm sifagilii ujinga siku ajichanganye mtu kufanya ujinga kama huo anga zangu ataelewa yan hao inabid waletwe kwangu niwachune ngoz alaf niwatie mijiti

  • @ShakiraMwinjuma
    @ShakiraMwinjuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kakosa kazi kakosa mume najela anaingia hana hayaaa yaaan mijibaba ovyoooo yaaan alafu ilikuwa inafurahia kabisaaaa na wanajionesha yaaan hii kes nyepesi sana

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yani yeye alie watuma anawajua akamatwe awataje hao watu aliye watuma sio sawa na yeye anawatoto hajui watakuwa na makuzi gani.

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hanafaa kufuzwa kazi cheo sawa na nguo ya kuzima

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 2 หลายเดือนก่อน

    Bila Shaka mwanamke ndo mtumaji wa hao waliofanya .uyo madam akamatwe na afukuzwe Kaz na kifungo kwa wote washirik .Ila najua Sheria apo haitamtia hatiani uyo aliewatuma sbb atakataa

  • @ElishaMakuza-i2p
    @ElishaMakuza-i2p 2 หลายเดือนก่อน

    Nawao wafanyiwe ivyo ivyo

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao maaskar waniletee mm niwaoneshe show daaah yan mm ndug yang abakwe hatakam na mwanajeshi kulalek natoka na roho yake mm ningedil nao mmoja baada ya mwingine natoka na roho zao

  • @TimoBoy-k5w
    @TimoBoy-k5w หลายเดือนก่อน

    Wachukuliwe hatua ya kunyongwa😂😂😂

  • @ramamaguno6187
    @ramamaguno6187 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani uyo mama hao vijana Kama ningepewa Mimi mamlaka wakikamatwa waletwe kwangu napiga rungu hao wote mpaka nawapa ulemavu harafu mawapeleka jera uwo ulemavu nitakaowapa ndo itakuwa story ya maisha yao

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Sasa Kama huyo binti mdg kafanyiwa ivo je wngn si Kuna vitu watu wanafanyiwa vitu vkubwa Sana dah jmn tuwe na Hofu ya Mungu😢😢😢

  • @aisharashid3145
    @aisharashid3145 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo serikali ndo inawalinda hawa watu na kwakua ni watu wao kama ingekua nimtu mwingine wangengekua wamesha kamatwa na tungeonywesha ila sisi wanyonge haki zetu zina siginwa na watu tuliowapa dhamana 😢😢

  • @mwasitially0169
    @mwasitially0169 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hivi huyo mama Hana watoto au huwezi kumfanyia hivi mtoto wa mwenzio Tena ni mwanamke kama ww .Alafu Askari anajukumu la kulinda raia wake Sasa hivi ndo jinsi ambavyo unalinda raia wako

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y 2 หลายเดือนก่อน

    Mama alie chukuliwa mume yupo kwenywe haki sheria ya kiislamu ni kifo ila vitu kama serekali wanasababisha hakuna sheria ya mke wa mtu au mume wa mtu nikosa kubwa kubwa sana mama samia liangalie hili eka sheria ya usaliti

  • @MagaliKiswili-bj6yz
    @MagaliKiswili-bj6yz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Itafika wakati kama Shelia aichukui mkondowake wananchi tuchukue Shelia mkononi

  • @JosephMchaki-fy5te
    @JosephMchaki-fy5te 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo story inauzunisha sn maulid acha mbwembwe

  • @ummymussa5380
    @ummymussa5380 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa wakamtwe😢

  • @Chanbreezy
    @Chanbreezy 2 หลายเดือนก่อน

    Yani nimeumia sna daaah anaomba maji hata kumpa jamn 😭😭😭😭😭 nimeumia sana aki yani uyo askar hafai kuwa askar ni muuwaji mtoeni cheo 🥹🥹😩

  • @abdalahmbwana8627
    @abdalahmbwana8627 2 หลายเดือนก่อน

    Aseee washenzi Sana

  • @danieljoram8533
    @danieljoram8533 2 หลายเดือนก่อน

    kila nikiwaza kuandika nasita ...basi itoshe kusema nitafute mwanasheria wa kunitetea kwanza😂 nawaza tu kama wamekamatwa kwa nini hawajawekwa hadhalani tuwajue maana wengine hatujaona huo uchafu waliofanya.

  • @JosephDaniel-u2u
    @JosephDaniel-u2u 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wakikamatwa wanyonge uwo ni uzalilishaji wa wanawake

  • @Gaetano64
    @Gaetano64 2 หลายเดือนก่อน +1

    My name is simba aka Thuglife mentality,kwa kweli imeniumiza sana kwa huyo dada aliefanyiwa hivyo hao jamaa ni washamba sana na sio really nigers yani kama huyo angekuwa ni ndugu yangu basi ningemuuliza dada yangu anionyeshe huyo mama ninge mpa week tu ningemtia voicemail no discussion yani ningemtia gololi moja ya kichwa tu basi biashara iishe kwa kwel imeniuma sana

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao maaskar inabid wafanywe kitu cha mateso watobolewe macho alaf wakatwe pua alaf watiwe mijiti kulalek zao daaah huyo dada Mungu amsaidie lakn maaskar kama hao wajichanganye kwangu kulalek natoka na roho ya askar siogop ujinga mm

    • @SaidiAyubu-of8zt
      @SaidiAyubu-of8zt 2 หลายเดือนก่อน

      Wajichanganye kivipi kwako kivipi ...wakubake au .?

  • @al-bashirclinic3326
    @al-bashirclinic3326 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nmeona hio video mara 5 jinsi wanavyomuingilia nyuma na mbele jaman huu ukatili utaisha lin😢

    • @GabrielWarioba-co8qg
      @GabrielWarioba-co8qg 2 หลายเดือนก่อน

      Tumefika pabaya jaman MUNGU ATUNUSURU KWA KWELI

    • @ikramikra5219
      @ikramikra5219 2 หลายเดือนก่อน

      Ipo sehemu gani nione

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 หลายเดือนก่อน

    Yule Bint huko Yombo Dovya hawamjui watu wamekataa sasa sijui anatokea wapi na yy hajitokezi ili asaidiwe jaman sasa sijui mzima au kafa Subhannallah Allah amnusuru😢😢

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 2 หลายเดือนก่อน

      Sindio apo sijui katulia wapi mm nasem ndgu zake binty pia wametulia

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msiba mzito sana.Ukatili mpaka kwa wanawake.Tulikuwa tunajua ni wanaume tu.

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah yan hao wapumbavu wangebak ndug yangu wangeelewa siogop askar mm wala nani ningewagonga hivyhvyo tena natamn ningewajua hao wapumbavu wote

  • @HappnessKangara
    @HappnessKangara 2 หลายเดือนก่อน

    Mama Toka hazarani towa kauli. Wana nichi. Wana subiri kauli Yako. Kwa maoni yangu waitwe hazarani. Wa pigwexhaba wote. Na mini jexhi. Latanzania. Mama sema Neno. Uchungzi Gani.

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao maaskar wanayo mambo ya kichoko sana waje anga zangu siku natoka na roho zao

  • @Amina-r1g
    @Amina-r1g 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

  • @RichardJosse
    @RichardJosse 2 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la police litende haki

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 2 หลายเดือนก่อน

    Wafungwe kabisa hawa kama wamemuambukuza virusi

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 2 หลายเดือนก่อน

    Ali kiba feat Mario SUMU

  • @HasnaduKope
    @HasnaduKope 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi police anaweza kumkamata mwnajeshi jamani embu angalieni

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ashakosa kazi, Kakosa Mume na Jela kaipata

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanin TCRA wamekaa kimya maongezi yapo kuanzia huyo mama binti na mume pia na wawekwe wazi wanafichwa nin wahalifu

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 2 หลายเดือนก่อน

    What is going on

  • @OttiliaDavid-e8r
    @OttiliaDavid-e8r 2 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kushangaa kesi ikazimwa kimya kimya maaskari pepo hawataiona wanabebeana machafu yao

  • @aploscoder4358
    @aploscoder4358 2 หลายเดือนก่อน

    Awa jamaa wa waishi milele. Wanajua wanachofanya. Hatari sanaaaa

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mkinibakia dada😢 yangu kama hivyo 😮 nitawauwa.

    • @MohHabibu
      @MohHabibu 2 หลายเดือนก่อน

      Dada yako mbn namfila kila siku

    • @m.e.ssofttech2806
      @m.e.ssofttech2806 2 หลายเดือนก่อน

      @@MohHabibu mamae

  • @samwelsanga5339
    @samwelsanga5339 2 หลายเดือนก่อน

    Wakamatwe wote wahusika akiwemo na huyo mama aliewatumwa ikiwezekana wanyongwe wote pumbavu zao

  • @JohnSulle-q6p
    @JohnSulle-q6p 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba niione iyo video kwanz

  • @StevenMramba
    @StevenMramba 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbaka sasa awajatiwa nguvuni kweli

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wenye tabia hizi badilikeni ukimjuwa mmoja unamalizia ujinga wako kwanini usidili na mumeo au bwana wako huko nje unajuwa ana wanawake wangapi kuna baadhi ya wanawake malimbukeni ukimuona mumeo au bwana humuelewi katika ndoa au mahusiano ondoka kuliko kufanya haya sheria isimamie haki haraka ili iwe fundisho

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 หลายเดือนก่อน

    Tumezoea kulindana jee? Nahawa wabakaji makatili tuwslinde??😢

  • @LeahdamsonMsigwa
    @LeahdamsonMsigwa 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo mama asiye na haya ameshindwa kudili na mme wake anamfanyia yule binti vile imeniuma mnooo tena sana duuuh alafu hayo mafunzo mnatolea wapi askari hawezi kuwa mjinga kiasi kile huu niuzalilisha hata kwaviongozi wakijeshi mnawapa mafunzo yaaina gan vijana wenu duuuuh pole kwa binti mwenzetu na ndugu zake

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe acha ujinga kwani huyo ni mwanajeshi

    • @vickytango5591
      @vickytango5591 2 หลายเดือนก่อน

      Usimtetee

  • @EvaIpyana
    @EvaIpyana 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa Watuhumiwa tunaomba haki itendeke wakamatwe pia wapimwe akili.

  • @shadrackgwamwanza4987
    @shadrackgwamwanza4987 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman tuwe makin sana na vitu kam hiv unajikuta unaingia kweny matatiz bila kutegemea na hii ndo shida kubwa ya sisi wabongo na inatuponza sana Unakuta mtu yuko siriaz kabisa anasoma comment yangu badala aandike yake😢😢😢😢😢

  • @brianmushi7004
    @brianmushi7004 2 หลายเดือนก่อน

    Hv kwanza hilo limume la huyo polisi nalo lilikuwa haliijui auuu…likazuia

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi ina nuka dhulma

  • @RajabuKhamis-ge6wq
    @RajabuKhamis-ge6wq 2 หลายเดือนก่อน

    kazi ipo hap naona mamb magumu

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maskini binti nimdogo sana alafu wanamfanyia huku wakimshkia chupa waowana furahi tuu 😭😭😭😭

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 2 หลายเดือนก่อน

    Serekali isitutanie

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 หลายเดือนก่อน

    Alafu hajui tuuu mapenzi yananguvu,hajamkomesha bint bali na yeye mama kajikomezha sababu akipona wataliendeeza tena na mume wake na km magonjwa mtapakana tu, huo ni ufala tu

  • @navioma4882
    @navioma4882 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa we mama mshezi kwani usiondoke unamng'ng'ania huo mwanao

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ndo kafaidika nini kumfanyia hivyo huyo bint?

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน

    Kisasi ni Cha mungu atakulipa Kwa mate do Yako wewe mm roho ya kichawi

  • @japhethrogasiano-hp3lj
    @japhethrogasiano-hp3lj 2 หลายเดือนก่อน

    Wapate humum Yao sio kitu kizuri kabisa walicho fanya uyo bosi alie watuma akamatwe navijana wakamatwe iwe funxo kwa watanzania wote

  • @zashiyzashiy7922
    @zashiyzashiy7922 2 หลายเดือนก่อน +5

    Haya polisi mmefikia wapi huko mmekuwa majambazi ni mapolisi wanafanya unyama ndo maan hawataki kusema hii nchi hii inafaa kuwa na kiogonzi mwanaume

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Nani kama mama

  • @YusuphSadallah-um4sp
    @YusuphSadallah-um4sp 2 หลายเดือนก่อน

    Ila police 😅

  • @MuhamedIssa-kw2qh
    @MuhamedIssa-kw2qh 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo askali hayupo kwanini wasimkamate huyo askali

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 2 หลายเดือนก่อน

    MSHTAKIWA WAKWANZA BOSI WA AFANDE NA WAFANDE WOTE WASHIKWE USHUNGUZI WA NINI WAKATI WANAJULIKANA ?

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 หลายเดือนก่อน

    J makufuli umeondoka mapema

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน

    Masauni ajiuzulu anarembua tu macho

  • @saidiyusuph230
    @saidiyusuph230 2 หลายเดือนก่อน +1

    SIO SIRI HATA MIMI WAMENIJAZA SUMU SANA.

  • @malikeyndotopopote
    @malikeyndotopopote 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi yetu ina unafki mwingi. Hawa polisi nao wazembe

  • @florasauli9030
    @florasauli9030 2 หลายเดือนก่อน

    Ni ukatili wa hali ya juu Mungu aingilie kati unyama huu😢

  • @Hawahozza
    @Hawahozza 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao wanajeshi wanatilinda au ndo wanatubaka sasa hebu hao wenye vyeo wangetumia vyeo vyao kwenye kazi walizo ajiliwa sio kunyanyasa wana nchi kisa wanavyeo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ndo makonda alikua hayachekei ndo mana......

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน

    Wanalindana awawezi kuwakamata hiyo ndio polisi yetu

  • @suleimanidd5517
    @suleimanidd5517 2 หลายเดือนก่อน

    Da aseee

  • @DivNg27
    @DivNg27 2 หลายเดือนก่อน

    Cmon Hando... Muroto ni number nyingne...ni mmoja kati ya Askari ambao walikua wanafanya kazi kwa ueredi wa hali ya juu... Natamani hata apewe ubunge wa kuteuliwa then apewe Uwaziri wa Mambo ya Ndani..

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน

    Muroto anashughulikq na waharabu. Ingekuwa mwarabubtqyari amesha kujankueleza kawakamata

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe ningekuwa namjua huyo mama majina yake tu kesho tungemaliza kazi ya mungu make hana akili kwa tunawaweka kwenye igobyo kwisha habari yake kwa nini asihangaike na huyo bwana yake ngengrli wake

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน +2

    Najiuliza hawa police ambao walienda chuo kwa hiyari zao na wakaapa kwa hiyari zao na mishahara wanalipwa na serekali yao,huyu boss aliwabrainwash vipi mpaka wakasahau kila kitu wakamtii huyo afande surely?yaani wameamua kufedhehesha mpaka sura zao, familia zao, wake zao, na Jeshi la polisi sababu ni bosi kasema?

    • @Taito-brand
      @Taito-brand 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hao ni jwtz sio police jamn kaaah

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu kataka kuwaumbua kwaniwamefanya vibaya

    • @danieljoram8533
      @danieljoram8533 2 หลายเดือนก่อน

      nadhani hata mfumo wa kuwapata ni changamoto ..wale ni wahuni tu.....walimtii afande wao wakaweka utashi wao pembeni....

  • @BrastoKibiki
    @BrastoKibiki 2 หลายเดือนก่อน

    Wanatakiwa wa nyongwe dem adi anasema na aomba maji lakini awampi wanyongwe

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm 2 หลายเดือนก่อน

    Nanyie wadada jama mlishaambiwa mme wa mtu ni sumu muelewe ndugu zangu

  • @mwasitially0169
    @mwasitially0169 2 หลายเดือนก่อน

    Na viongozi nao tunaomba adhabu Kali itolewe ikawe fundisho Kwa mijitu isiyokuwa na akili kama hawa

  • @mwasitially0169
    @mwasitially0169 2 หลายเดือนก่อน

    Ww na hao vijana wako mlaaniwe

  • @ZakariaEdward-eq1gq
    @ZakariaEdward-eq1gq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii nchi ya hivyo sana hapo akamatwi mtu watabebana bebana tu rushwa kibao Tanzania ndo nchi ya hovyo kuliko taifa lolote like aibu lushwa itatembea hapo tu

  • @geraldabel8784
    @geraldabel8784 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mabukusu yupo atawashughulikia hii ndiyo kazi yake