Hatua Za Kutatua Mgogoro - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @joelnanauka
    @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +24

    #SeeYouAtTheTop
    Naomba Unisaidie Kushare Kwa Watu Wengi Uwezavyo

    • @matabikasuccessline2068
      @matabikasuccessline2068 5 ปีที่แล้ว +1

      sawa ila kaka kigoma vitabu vyako hamuna kuna namba ya wakala wa kigoma uliiweka kila nikimutafuta anasema hajatumiwa mzigo.niko kasuru_makere _kigoma

    • @matabikasuccessline2068
      @matabikasuccessline2068 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka asante,umekuwa msaada mkubwa wa maisha yangu sasa polepole naanza kuwa mtu wa tofauti,na ndo maana natafuta vitabu vyako.

    • @ALAMA_TV_ONLINE
      @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +1

      Mwalimu umenifundisha sana ! Mambo yakiwa vizuri nitaku support kwa ubao angalau mmoja tu!
      Big up ! Sitabaki kama nilivyo.

    • @msleny6767
      @msleny6767 5 ปีที่แล้ว

      I will Mentor

    • @pharesmalwega165
      @pharesmalwega165 5 ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Joel umekuwa chanzo kikubwa sana sana cha mabadiliko katka maisha yangu ni sahihi migogoro mingi sana inatokana na kutokujua chanzo na daima ukijua chanzo huwezi kuingia kwenye matatizo. Kila nikisikiliza video zako kila asubuhi saa kumi napata hamasa sana na kabla ya kulala nikisikiliza nalala vyema Dunia inawahitaji watu wenye mchango mkubwa katka jamii Joel Dunia inasubiri kufanya jambo kubwa kwa ajili yako kwasababu mambo unayoyafanya yanaonana moja kwa moja na mioyo na yanagusa mioyo yao na nikitafakari natamani kusaport juhudi hizi na sitashindwa kufanya hivyo nitakapo pata nafasi.
    Umefanyika baraka sana.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante Kwa Support Yako. #SeeYouAtTheTop

    • @eriquepol5582
      @eriquepol5582 5 ปีที่แล้ว

      Mwl:JOEL sina cha kusema juu ya mchango wako kwetu zaidi ya AHSANTE , mola akjaalie nguvu na afya uzidi kutujenga, lakini nina ombi mwalimu wangu, kama hutojali nasi watu wa bukoba utukumbuke tuko tayari kwa semina.
      Maana nimetazama ulichokifanya mbeya natamani ningekuwepo nami

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

      @@eriquepol5582 ongera Sana kumshauli Joel aje bukoba ,ata Mimi natamani iwe ivyo maana nimefaidika Sana na clip zake,ongera Sana kujifunza na Joel nipo Rubya,

  • @reginakarema8584
    @reginakarema8584 5 ปีที่แล้ว

    Joel waeza kuwa pastor mzuri sana yale yote unazungumza ni kweli na pia una hekima ya hali ya juu

  • @uwimanasauda3448
    @uwimanasauda3448 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaliye kabisa nimegeuka kiyasi kikubwa

  • @josephmsangawale9925
    @josephmsangawale9925 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante saaana Brother Nanauka
    Be Blessed endelea kutowa watu gizani
    Salute

  • @jacklinemjaga1948
    @jacklinemjaga1948 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki nimejifunza vitu vingi nimebadilika sana

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaa! Shukraan sana brother ubarikiwe🙏🙏 nimejifunza kitu apa👏👏

  • @estherkimario2039
    @estherkimario2039 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa kaka joel kwa somo zuri sana

  • @abdutwaha4463
    @abdutwaha4463 4 ปีที่แล้ว

    Unazungumza mambo halisi kwa kweli

  • @ezekiafilbert4896
    @ezekiafilbert4896 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa somo bt ningeomba video uliyofundisha iringa kwenye ongeza kipato chako tour uiweke youtube maana umeweka tu maoni ya watu na siyo video nzima ya mafundish uliyofundisha ni ombi lang 🔚

  • @greceinabuguzi8901
    @greceinabuguzi8901 5 ปีที่แล้ว +1

    Bro be blessed in all

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 ปีที่แล้ว

    Naomba niwe wakala wa vitabu vyako mkoani ruvuma,,songea mjini.

  • @epifaniamponda4491
    @epifaniamponda4491 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimebalikiwa Sana 🙏🙏🙏🙏💪💪💪

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Karibu Tena #SeeYouAtTheTop

  • @anthonymabondo6670
    @anthonymabondo6670 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmekuelewa kaka

  • @francisbazila1417
    @francisbazila1417 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa kutufanya tuzidi kupanuka kifikra,, much respect to you. Nipo morogoro ila nahtji kupata vitabu vyako, naomba msaada wapi nielekee ili niweze kufanikiwa kuvipata

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa mafundisho.

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sana nahc nmepata suluhu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 ปีที่แล้ว

    Brother asante

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 4 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @asantielmoshi6545
    @asantielmoshi6545 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa yote

  • @jamesandrew5988
    @jamesandrew5988 4 ปีที่แล้ว

    asante kwa ushauri

  • @tatuyussuf7574
    @tatuyussuf7574 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante....

  • @joycemakarius8540
    @joycemakarius8540 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Pia Hongera Kujifunza

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana mwalimu Nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว

      Nakushkuru sana mwalimu Joel nimesoma sana vitabu vyako hata sasa narudia kile cha timiza malengo mara ya 3 na nimepata ufaham mkubwa nimepanua kazi zangu kwa mda mchache nilioanza kukufuatilia naamin nikijifunza kwako mwaka mzima na nikazingatia kama nilivyoanza baada ya kujifunza nitakuwa mmoja wa matajiri wakubwa kwani hata sasa nasogea kwa kasi ..

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks is Enough

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks For Support #SeeYouAtTheTop

  • @rehemajuma4656
    @rehemajuma4656 5 ปีที่แล้ว

    Thank you so much teacher Joel

  • @muzdahomar662
    @muzdahomar662 5 ปีที่แล้ว +2

    Mahusiano

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +2

    THANK YOU BROTHER.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Thanks Too
      #SeeYouAtTheTop

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว

    Haha ati tangu umeanza dharau kwanini hukupokea simu yangu, big up Joel

  • @agnesslyimo5677
    @agnesslyimo5677 5 ปีที่แล้ว +2

    Sawa

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว +1

    Niko kwenye mgogoro wa familia,kuutatua kwangu rahisi,kwa sababu makosa upande wangu ya chanzo yapo kidogo,alieanzisha makosa mengi yapo kwake na yeye hataki kukubali kama ana kosa lolote 😁😁😁anataka makosa yote yawe yangu nionekane mm ndo chanzo na Ndio mwenye shida.Daahh bahati mbaya nikasepa niko nje ya Tz lakin mgogoro umestop eti unanisubiri nirudi upate suluhu 😁😁af mm ndo sina time tena yakuongelea mambo ya miaka miwili nyuma.
    Patamu hapo,nafanyaje sasa jamani?

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Shukrani Pia! Naomba Unisaidie Kushare #SeeYouAtTheTop

  • @sangijamadukwa1486
    @sangijamadukwa1486 5 ปีที่แล้ว

    Dah! Nina mgogoro Na baba ang mdogo, alnisomesha ad chuo kikuu , kumbe yeye alkua Na malengo yake lakn hakunambia,mi nae nmekua nikawa Na malengo yangu, mpaka sasa hanielew Na najtaid kila mbinu kurudsha mahusiano mazur lkn imekua ngumu Na hanipend tena,nifanyeje

  • @prosperkobelo9557
    @prosperkobelo9557 4 ปีที่แล้ว

    Asnt saan nimekuelew kak

  • @johariphilemon8630
    @johariphilemon8630 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi nime Jifunza kumusikiliza mtu na

  • @movies_store01
    @movies_store01 5 ปีที่แล้ว

    Brooo naitaj nambaa ykoo

  • @algulandaalsibani265
    @algulandaalsibani265 4 ปีที่แล้ว

    Mm naomba unisaididie ninamchumbaangu aliniambia nimpe pesa kama milioni 1 ivi ili ampe mtu azifanyie biashara ila mm nikamwambia bora nianzie wewe mtaji lakini anakataa nikambambia bas ziweke bank mpaka ninapo rudi Nyumbani ndipo tupange zaidi hapo sasa kanikasirikia na kunambia hanitaki na huku anapesa zangu je nifanyeje anania nzury kwangu huyu mtu au vipi hebu nieleze

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa kaka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop

  • @paulduta3016
    @paulduta3016 5 ปีที่แล้ว

    Nahitaji sana tufanye biashara ya vitabu vyako nicheki na nahii no 0753 313771