Jinsi Ya Kutatua Matatizo Kwa Haraka - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 131

  • @BADILIKA-e8y
    @BADILIKA-e8y ปีที่แล้ว +1

    MOLA akubarik hakika najifunza mengi kutoka kwako mwalimu Nanauka

  • @hannachamwiyega1630
    @hannachamwiyega1630 5 ปีที่แล้ว +4

    Hata nnapotumia bundle sijutii kwa kuwa napata madini hasaa,mi nataka nishinde hofu zote kupitii hii video sitakuwa naangalia tatizo bt katika kila tatizo nitakuwa naangalia namna ya kutatua tatizo.Barikiwa sana mtumishi

  • @zenahaji6310
    @zenahaji6310 3 ปีที่แล้ว

    Toka nimeanza kuangalia video zako nimejifunza vitu vingi na nimekuwa jasiri Sana na sina tenaa hofu yakushindwa na formula ya Kila unpochelewa kufanya maamuzi ndivyo unvyochelewa kupata mafanikio imenisaidia Sana kuwa mwenye kufanya maamuzi ya haraka Asante sana kk Joel ubarikiwe

  • @abelmwilapwa1111
    @abelmwilapwa1111 5 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kwani kwasasa sina hofu kabsa i na naamin kupitia ww nitafanya mambo makubwa sana ....Jnanauka thnx a lot

  • @uhuruplastics23
    @uhuruplastics23 5 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa Elimu uliyotupatia,Kwa Hakika ninataka kutatua tatizo la kujiamini k.
    ua ninaweza kwa niyapangayo Maishani,licha ya Vikwazo vinavyojitokeza.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Uhuru Plastics safi dana hongera mnooo-Anza kuchukua hatua leo Usighairishe kabisa

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 5 ปีที่แล้ว +2

    Mr.nanauka ahsante sana Abdul halim ap nimerudi kivingine.... Baada ya kupotez cm yang nlinkua nakosa masom ila ss nipo vizur....

  • @deusjohn1107
    @deusjohn1107 4 ปีที่แล้ว

    Habari za leo kiongozi Joel nanauka Mimi ninauwezo sana tokea nimeanza kujifunza mwishoni mwa mwaka jana naweza nikasema wewe Joel nanauka na Ezden juma nne mmebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa pengine mimi nisingefika apa nilipo sasa mwalimu wangu mimi ninatatizo moja tu nashindwa kutuliza nguvu mahali moja nakuwa natapanya sana nguvu zangu na kuwa na haraka sana katika kufanya vitu

  • @rashidkihombo6782
    @rashidkihombo6782 4 ปีที่แล้ว

    Asante mungu akubalik nimejifunza kujiamin maan ninatatizo kama hilo la kuanguka kibiashara na madeni mengi kwa sasa silikimbii tatizo natafuta suluhu ya tatizo langu asante sana

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว

    Kaka sina namna ya kusema lakini umenijenga mnoo mnoo mnooo nilipolega lega umenifanya nikaze na nlipokuwa nakaza basi nimezidisha mkazo.. asanteee sana kaka Joel💪

  • @divinahgesare8842
    @divinahgesare8842 ปีที่แล้ว

    thanks Mr Joel umezaidia Sana kiukweli

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Joel Mungu pekee akulinde nakufatilia sana.

  • @michaelmshana4562
    @michaelmshana4562 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kaka unatusaidia sana kwenye suala la kujiamini.. asante sana Mungu akubariki

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka nataka kuishinda hofu ya kusoma Kwa bidii sababu mara yakwanza niliona kama nitasoma sana itapelekea mm kichoka na kubadilisha maisha yangu ya furaha lakini sasa nitasoma Kwa bidii nasitoogopa lifestyle yangu kubadilika

  • @anithamichael5716
    @anithamichael5716 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kwa Elimu nzur sana

  • @lilianjacobs248
    @lilianjacobs248 4 ปีที่แล้ว

    Asante Ila Mungu anisaidie maana Mimi naona kiyangea matatizo kwa watu ndio nafarijika ilaa naitaji kuponywa

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 ปีที่แล้ว

    Unachosema nkwel kabisa.
    Mimi tangu nimeanza kufuatilia video zako mbalmbal nmekuwa nimtu ninaye jiamin sana tofaut na mwanzo nilivyokuwa.

  • @ellymakere3213
    @ellymakere3213 4 ปีที่แล้ว

    Brother...I really appreciate you...kwa masomo mazuri

  • @timeabdallah2368
    @timeabdallah2368 5 ปีที่แล้ว

    Kaka asante kwa masomo yako kwangu,maana nilikata tamaa kabisa ktk maisha yangu kutokana na matatizo nilikutananayo lkn sasa najiona km ndio maisha nayaanza,ninanguvu mpya kabisa.Nakuomba kwa mungu akuzidishie kili lililolakher kwako..lkn natamani kuhudhulia mkutano wako ata km mmoja niko dar.

  • @samwelfabian1950
    @samwelfabian1950 2 ปีที่แล้ว

    asante kwa mawazo umenipa ujasiri sana naanza sasa

  • @franciscomanyama2424
    @franciscomanyama2424 2 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa sana

  • @herrymadini4656
    @herrymadini4656 5 ปีที่แล้ว

    Unayoyafanya kwetu Mungu atakulipa chief joel

  • @petermhendi4570
    @petermhendi4570 3 ปีที่แล้ว

    Daaahhh!!! An brooo kila nikisikiliza masomo Yako ni kama yote yananilenga mim broo Asante sana. Leo umegusa mfano hai katika maisha yangu maana mim ktk family yetu wazazi wetu ni kama vile wametutoa sadaka na kila afanyalo mwanafamilia hawezi kufanikiwa

  • @joshuajastin5763
    @joshuajastin5763 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalim wangu

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante docta ,somo zuri mafunzo mazuri

  • @farajangwala9748
    @farajangwala9748 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana mafundisho yako ni mazuri sana

  • @rahemahrahemah2719
    @rahemahrahemah2719 5 ปีที่แล้ว +1

    Somo liko makini Sana Kaka Joel, thank u so much teacher Joel Allah bless you 🙏

  • @dudapaschal6547
    @dudapaschal6547 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Bro kwa somo lako

  • @phanuelpaul3785
    @phanuelpaul3785 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks a lot brother nimefurah San kutazama video hii imenitoa tongotongo #SeeYouAtTheTopToo

  • @jacobedmar.yakobo4546
    @jacobedmar.yakobo4546 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa muendelezo wa mafunzo mkuu.soi motivé aussi

  • @giftsam8458
    @giftsam8458 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaka asante kwamafundishooo ila naamini self believe yangu iko sawa ila nahitaji ushahuri ktk mambo flan

    • @mariamuswedy8899
      @mariamuswedy8899 5 ปีที่แล้ว

      Safi kabisa ur the one who given me power

  • @johnluhwa8342
    @johnluhwa8342 5 ปีที่แล้ว

    Shukrana kaka joel tunaenda sawaa

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Brother maana umetibu tatizo langu la hivi karibuni 🙏💎

  • @ambakisyemwakinunu2002
    @ambakisyemwakinunu2002 5 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kaka masomo yako kila siku ni mazuri mnooo

  • @matokeoanania4692
    @matokeoanania4692 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka nitajitahidi kuishinda hofu yangu

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 ปีที่แล้ว +1

    Mr Joel Nanauka, I wish these subjects if it could be as syllabus at secondary levels and Universities , it could have been changed a lot of majority who loosed their dreams due to lack of these subjects , I pray more for the sure and you are able to change peaple's mind set. Nataka serikali iangalie elimu hii mitaala ya life skills iboreshwe na uwe founder for the first ili jamii inusurike. Wengine wanapata mimba mashuleni, au kukata tamaa, kwakuwa hawapati haya, yaani hata wafanyakaz makazini wangekuwa wathaman kama wangekuwa wanakuwa na misingi ya elimu hii. Ubarikiwe

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa sana,nami naamini kuna siku jambo hili litawezekana kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Tuombe uzima,mimi nimedhamiria kwa 100% nitafanya kwa sehemu yangu.

  • @mkwizoxsafarisadventures9750
    @mkwizoxsafarisadventures9750 5 ปีที่แล้ว +1

    Yes, Mr JNanauka... Always I talk to myself that I'm bigger than my circumstances... This excels me far away and being positive frequently... Thanks for caring by sharing your brilliant ideas... Mungu akutunze sana mnenaji.
    #SeeYouAtTheTop
    #ComeBackToTriumph...

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Gabriel Nelson Ameen keep shining my friend

    • @mkwizoxsafarisadventures9750
      @mkwizoxsafarisadventures9750 5 ปีที่แล้ว

      Joel Nanauka I'm humble brother... Thanks much for your everything under the sun!!!

  • @salomemtani5687
    @salomemtani5687 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro mimi nataka kushinda hofu ya kutoweza nitaka kufungua Kampuni lakini najiona kama sitoweze msaada hapa bro

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli hofu ni janga linalokwamisha watu wengi kabla ya hapo nilikuwa MTU siwezi kufanya chochote nilikuwa nahisi nikijaribu nitafeli lkn baada ya kujifunza mengi kupitia kaka#joel mafundisho yke nimekuwa jasiri wa kufanya mengi bila hofu yeyote nikiamini nitafanikiwa hofu
    kwangu Haina nafasi
    kabisa.

  • @joemouly7877
    @joemouly7877 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka. We have to break away our comfort zone...

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Mouly Joseph kabisaaa

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aniepushia bali na mabaya yote, mimi family yetu mimi ni wa kwanza kupata social degree I am so happy about.

  • @Joshuamhamasishaji
    @Joshuamhamasishaji 5 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana sijutii mb zangu kupotea bule

  • @muzdahomar662
    @muzdahomar662 5 ปีที่แล้ว

    Thnx somo limenigusa

  • @godifalsafa6956
    @godifalsafa6956 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka usichoke tunakutegemea

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ya Nne na yamwisho naikubali sana binaadam unapokua unalalama sana hii inakupunguzia kuchukua hatua stahiki nautashindwa kujiamini kabisa haipaswi kijana kulia lia sana

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 ปีที่แล้ว

    Bless you

  • @clintonjakob5411
    @clintonjakob5411 5 ปีที่แล้ว

    Good xn my brother umefanya asubuh yangu kuwa nzuli

  • @SandrineNduwimeNduwim
    @SandrineNduwimeNduwim 5 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaa.

  • @veronicawoisso5332
    @veronicawoisso5332 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua kaka

  • @chananjajohn7630
    @chananjajohn7630 5 ปีที่แล้ว

    Shukrani kaka kwa somo zuri Mungu akubariki sana#Seeyouatthetop

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan brother kwa somo nzuri ubarikiwe sana

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 4 ปีที่แล้ว

    Joel..mimi kweli nna hofu ya mambo mengi yoote hayo uloongea ni kweli kabisa nayaishi day by day... kupitia video zako napata nguvu ya kujaribu tena na tena...nilikua naishi katka mzunguko wa yaleyale ...ila hua nasoma kitabu chako na kupitia pages zako sanaa...kuna audio ya yule dada Alietaka kujiua..niliisikiliza mara mbili alafu nikajivalisha viatu vyake..na kujaribu kuamini kua nibadilishe nnavojiona ....Mimi ni Thamani.. asante 🤗

  • @helmanmamai3709
    @helmanmamai3709 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa brother joel

  • @hafsahcletty5968
    @hafsahcletty5968 5 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @antelmmartine9588
    @antelmmartine9588 5 ปีที่แล้ว

    somo liko safii

  • @alihassanhaiba6937
    @alihassanhaiba6937 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana bro ,mm nipo kwenye point ya 3 kuishinda hofu , nataka niende chuo kumfata boss wangu kuomba ruhusa naogopa sijui kwanini ? na hili ndo tatizo langu miaka mingi hofu tuuu

  • @giselamassawe5989
    @giselamassawe5989 5 ปีที่แล้ว

    Hofu yangu nikuongea kiingezera naona kama nikiongea mara zote nitakosea tu....... Ushauri tafadhali

  • @lilianraymond8561
    @lilianraymond8561 5 ปีที่แล้ว +7

    Kiukweli natamani kushinda hofu ya kuongea mbele za watu...Ni kitu ambacho ninakifanyia kazi na ninaamini ninaweza!

    • @herrymadini4656
      @herrymadini4656 5 ปีที่แล้ว +3

      Hey u can go kwenye site inaitwa school of life kuna article inaongelea tatizo la aibu pia hofu its helpfull jaribu.. limetuzuia wengi kufanya makubwa

    • @lilianraymond8561
      @lilianraymond8561 5 ปีที่แล้ว +2

      @@herrymadini4656 Asante sana kwa recommendation, will take a look and learn about it right away! Be blessed!

    • @severinmmassy7627
      @severinmmassy7627 5 ปีที่แล้ว

      Ninashida hiyo pia kusimama mbele za hazara nakuongea hua napata tabu sanaa

    • @hafidhikitala2508
      @hafidhikitala2508 5 ปีที่แล้ว

      Joel mimi nimdau wako
      Nikikufatilia kwamda mlefu naitwa kitala kutokambagala
      Kwaili lahof yamaamuzi nnayo
      Nnakijana wakazi sasa amekuaboss nnachomuelekeza anajibu anachojiskia naomba ushauliwako

  • @richardmnkama4358
    @richardmnkama4358 5 ปีที่แล้ว +1

    the topic is very educative as planned, keep it up brother

  • @kelvinmagath5506
    @kelvinmagath5506 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @victorlaiser1512
    @victorlaiser1512 5 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kushinda hofu ya kuanguka kwa biashara yangu.
    Namna ya kushinda hofu ya deni.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Victor Laiser Anza kuchukua hatua hata kama ni ndogo.hofu yoyote ile utaishinda kwa kufanya

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 5 ปีที่แล้ว

    kwel bro 3&4vinanihusu

  • @imaniathanass1156
    @imaniathanass1156 หลายเดือนก่อน

    Brother we ni mnyama sana najivunia kua na kióngoz kama ww

  • @wilsonnkumba2104
    @wilsonnkumba2104 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri saana.

  • @elvistemba6803
    @elvistemba6803 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kutokujiamini nimekaanapo sana mpaka nahisi pamenizoea Japo watu wananisifu kwenye mambo mengi ila bado sijiamini ninaweza kama wanavyodhani...Tatizo huwa ninapanic sana kila nikihisi nakosea Yani mpaka nakosaga pumzi na kupata kigugumizi cha ghafla....

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Kizazi bro

  • @lilianbenson5774
    @lilianbenson5774 5 ปีที่แล้ว

    Thanks for the inspired lessons. I've learnt to overcome fear and believe on myself.

  • @pambatz2984
    @pambatz2984 5 ปีที่แล้ว

    asante kaka joel

  • @jaxboytv7834
    @jaxboytv7834 5 ปีที่แล้ว

    Thanks bro you are the best!

  • @kassimmhamadi5449
    @kassimmhamadi5449 5 ปีที่แล้ว

    Thanks 🙏

  • @aysharamadhan645
    @aysharamadhan645 5 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kaka ila tatizo liko wapi mimi kama niko mbali ni kweli mwisho nashindwa kutatua matatizo yngu kwa haraka ila kwa Sasa Naanza kuamua kutatua matatizo yngu kwa haraka

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunakusubiria mbeya chuo cha MUST kwa hamu kubwa tupate haya madini

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Charlz ze son Consciousness nashukuru sana nami nina hamu kubwa ya kuwaona

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @ngendakumanasalumdiki4885
    @ngendakumanasalumdiki4885 5 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nakupongezatu.

  • @hamismjeda3942
    @hamismjeda3942 2 ปีที่แล้ว

    Hofu ya kuogopa kusema

  • @amykhalifa2535
    @amykhalifa2535 4 ปีที่แล้ว

    Amani na fulaha vitawale maisha yangu kitu kidogo hofu kibao hofu haina mamlaka kwenye maisha yangu tena sitakufa bali nitaishi

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 ปีที่แล้ว

    Akika ata mm nimeona kama maitaji ya kumpeleka dada angu shule ni tatizo kubwa baada ya kujumlisha ila baada ya kuangalia hiii video imenipa uwezo tofauti,,,na ntailudia zaid na zaid hii adi nishnde hiii ali.

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว

    Hakika umenena Broo, Haya mambo ndicho chanzo Cha kukuza na kuyapa nafasi Matatizo. Thanks Much🤝

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Abel Benedicto kabisa kabisaa

    • @giftsosten2446
      @giftsosten2446 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Naomba namba yako kk nakuelewa sana

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi namba moja inanisumbua

  • @maggiepeter8936
    @maggiepeter8936 5 ปีที่แล้ว

    Nataka kuishinda hofu ya kuanza upya...cz nilianza nikaanguka

  • @gressluhimbo1020
    @gressluhimbo1020 ปีที่แล้ว

    Hofu ya kutojiamin

  • @nyawallyambroce6335
    @nyawallyambroce6335 5 ปีที่แล้ว

    Natak niishinde hof ya kuanza upya

  • @clementvenance1742
    @clementvenance1742 4 ปีที่แล้ว

    Samahani mwalimu mm napenda kingereza lakini kinanishinda nifanyaje

  • @amykhalifa2535
    @amykhalifa2535 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kuwa na amani sitaki hofu itawale maisha yangu kuna sehemu nimesoma kwenye mada zako kuhusu nisijilinganishe na watu wengine sasa nakuwa njisahau najilinganisha ila yote najua hukuwa na maana mbaya kaka hata nikijilinganisha sipatwi na kibaya nataka kuwa na amani mpaka ukikongwe

  • @neemamroso6864
    @neemamroso6864 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nina tabia ya kukata tamaaa.Naanza kitu naachia katikati

  • @joshuakwelimoto6494
    @joshuakwelimoto6494 5 ปีที่แล้ว +1

    Hofu

  • @joshuayohana5998
    @joshuayohana5998 4 ปีที่แล้ว

    Vitabu namna yakuvipata

  • @adelehridecosmas3404
    @adelehridecosmas3404 5 ปีที่แล้ว

    Hofu yangu ni kushinda biashala yangu naninahisia yakuwa tajili na kumpa mfano mume wangu kuwa naweza nasi kama yeye anavyojua mimi siwezi

  • @saidimkubwa5158
    @saidimkubwa5158 4 ปีที่แล้ว

    Mm ninahofu ya kuongea sana mbele za watu sijuiiii nifanye nini

  • @shijamorris8280
    @shijamorris8280 4 ปีที่แล้ว

    Kuongelea tatizo langu na sio suluhisho ila kuanzia sasa nitabadilika

  • @fadhilirobert6169
    @fadhilirobert6169 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi naitwa gody Niko moshi Mimi nilisomea udeleva nikamaliza vizuri kabisa Sasa Mimi nahofu yakweda hatakuogea kwenda hata kuombakazi nimegitaidi lakini nimeshindwa kabi hoofu imenijaa

  • @mahmoudnyamzugu2166
    @mahmoudnyamzugu2166 4 ปีที่แล้ว

    I'll struggle with academic problem

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 5 ปีที่แล้ว

    Ahsant

  • @samwelfabian1950
    @samwelfabian1950 2 ปีที่แล้ว

    changamoto nimtaji

  • @jumannekijombi9376
    @jumannekijombi9376 4 ปีที่แล้ว

    kutojiamin nipo tayal kuishada

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 ปีที่แล้ว

    Npo darasani kujifunza

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 ปีที่แล้ว

    Sijawai jutia kukusikiliza

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 4 ปีที่แล้ว

    broo kiukweli tatizo linalonisumbua ni uvutaji bangi kwa mda mrefu na kila nikijaribu kulitatua hili tatizo linanishinda

  • @bonifacelukoo9040
    @bonifacelukoo9040 5 ปีที่แล้ว

    hofu baada ya kufiwa na mke! nitaishindaje?

  • @ednakimario3970
    @ednakimario3970 5 ปีที่แล้ว

    Bro nakuelew sn napia nkushukul sn umenisaidia meng lkn natatz moja naomb msaada wako wsushaur je? Nawez kuchat naww wasp??

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 5 ปีที่แล้ว

    Duu nishindwe kuongelea matatzo yangu nifanyeje??