Kanuni Za Matumizi Ya Fedha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 46

  • @kimbulikambale5150
    @kimbulikambale5150 3 ปีที่แล้ว +10

    Nina mshukuru Mwenyezi Mungu alie ruhusu Mimi kukupata kwenye mtandao, na yule alie pata huu ufunuo wa kuitengeneza simu, na wewe ambaye umeibadilisha maisha yangu kwa 80%, Mungu akuongezee miaka mingi, Nina mengi ya kuandika, basi Mungu akuinue.

  • @badalichauchau6983
    @badalichauchau6983 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka Joel na mtangazaji hapo kwa maongezi ya nidham ya pesa
    NDUGU MTANGAZAJI JITAHIDI UNAPOMUULIZA SWALI MR JOEL ATUFAFANULIE KWA KINA KISHA MUULIZE SWALI JENGINE USIMKATISHE NJIANI mada ni nzurizaidi

  • @philipbunende516
    @philipbunende516 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kwa madini yako

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana coach Joel nimejifunza... barikiwa 🙏🙏

  • @peterkariuki4701
    @peterkariuki4701 ปีที่แล้ว

    Namushukuru mungu kwa anjili ya Joel mungu akubariki sana wewe ni kwa ajili ya wengi kwa kizazi cha sasa kamau Kenya nairobi

  • @NevestWisa
    @NevestWisa 10 หลายเดือนก่อน

    1:09:26 Thank you so much Mr Joel Nanauka...
    I'm blessed and gonna work for your words

  • @manofgod4471
    @manofgod4471 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mtumishi wa mungu

  • @stellasorael4864
    @stellasorael4864 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka Joel kwa ujumbe mzuri ,ninakufatilia sanaa kwenye kila video yako, ki ukweli umebadilisha maisha yangu kimtazamo na kifikra pia , zidi kubarikiwa sanaaa.

  • @mwakisoleanangisye168
    @mwakisoleanangisye168 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa elimu ya kifedha ubarikiwe sana

  • @joniajohn4716
    @joniajohn4716 3 ปีที่แล้ว +2

    May God bless you

  • @alicekasambala1050
    @alicekasambala1050 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa somo nzuri

    • @loyceakuku6019
      @loyceakuku6019 3 ปีที่แล้ว

      Loyce AKuku Nashukuru sana kwa mafunzo yako kwangu mungu akuwezeshe pajubwa zaidi Joel be blest

  • @godlovemussamussa2071
    @godlovemussamussa2071 ปีที่แล้ว

    Nakushkuru sana kaka unazdi kunpanua akili kwa viwango tofauti tofauti miaka 1000 kwako

  • @stevenmwaisunga5090
    @stevenmwaisunga5090 3 ปีที่แล้ว +4

    Love u nanauka umeiva

  • @jkyamba3200
    @jkyamba3200 3 ปีที่แล้ว +4

    Somo lako kila ck linanibadilisha #SeeYouAtTheTop

  • @annouya483
    @annouya483 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaaaani umenijenga saana kibiashara...nikiwa hapa kenya

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Joel

  • @mwamvitakilima4104
    @mwamvitakilima4104 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka naendelea kujifunza kupitia videos zako

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka angu nina imani ipo siku ntakutumia ushuhuda wa mafinikio ya ushauri wako kwangu🙌👏

  • @jayotv2024
    @jayotv2024 3 ปีที่แล้ว +2

    Nanauka ni kukubali nimejifunza mengi sana kutoka kwenye hii video yako thanks

  • @athmanrashid864
    @athmanrashid864 3 ปีที่แล้ว +9

    Uwe unakuja na #wasafifm

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 3 ปีที่แล้ว +2

    Good lesson

  • @millemoyens24
    @millemoyens24 3 ปีที่แล้ว

    Kaka yangu kazi unayofanya ni zaidi ya jinsi unavyo fikiria. Yaani kutoka neno la Mungu ni wewe ndie msaada wangu kuusu mabadiliko yamaisha yangu.
    Najifunia kuwa na wewe kiasi natamani kuzungumuza nawe nikusikie sauti ana kwa ana.

  • @dorcasmunisi8678
    @dorcasmunisi8678 3 ปีที่แล้ว +2

    Waoh kaka Joel.. sasa najiamini sana,,natazama sana video zako nyingi lkn hii "BABA LAO",,hongera sana sana..natamani kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO.nakipataje?Niko tegeta-dar

  • @eliaskalluvya2285
    @eliaskalluvya2285 3 ปีที่แล้ว

    Oooh thanks broo

  • @Jean74etoile
    @Jean74etoile 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaka Joe naomba Uni jibu mimi nina watoto wa 2 urmi 14 na 8 kwakanuni hizi naona niwanunulie kila mooja na kibubu cake niwafunze kua kila siku ntawapa shilingi mia wawe wanajisevia kwenye hivyo vibubu nawapa pia na maelezo madogo itakua sawa ao nawaharibu Ahsante.

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa upande wangu japo sio Kaka Joe mwenyew Nina mtoto huwa nampa sh elfu moja ya Kula lakn kila siku lazima atoe sh Mia mbili nilishamwambia na wakat mwingine mwenyew anaweka hat Mia tano anajibana mwenyew ko ninachoon Mimi ni kitu kizuri Sana na sio vibaya kumfundisha mtoto jinsi ya kubana pesa

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว

    Bomba. Sana

  • @happyfanialulemi7490
    @happyfanialulemi7490 3 ปีที่แล้ว

    Nashukur kwa ushaur wako

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejiunga Leo nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwako

  • @iconboy8733
    @iconboy8733 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana Coacher...samahani brow...Hivi brow hivo vitabu vyako unaviweka pia katika Mfumo wa Audio...au vipo kwenye mfumo wa maandishi tu peke ake???...Asante

    • @joshuajovin1936
      @joshuajovin1936 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaka joeli mafundisho yako yamenijenga asante natamani kama ningepata namba yako nikupigie kuna kitu naomba unishauli nitashukuru

  • @alisuleiman-d7r
    @alisuleiman-d7r 7 หลายเดือนก่อน

    Jole habari yako kaka nakubali kwa mafuzo yako sana but huyo mwengine mbona ako na sauti yakike sana hivyo Kwani sisi waoni tunasikiliza but anatumboo na sauti yake😢

  • @salehali4saleh19
    @salehali4saleh19 3 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli utakuta majukumu yameongezeka lkn kipato hakijapanda cha msingi hapo ni kutumia plan B ili kujiinua pamoja na kupunguza matumizi yasiyo lazima ili kuweza kupambana na hiyo hali,maana ukisema ndugu wasije nyumbani ni msala na ukisema usizae bado kuna maradhi unahitaji kuwatibu wale unaowamiliki

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 3 ปีที่แล้ว +1

    Masomo yako mazur sana
    Hongera

  • @salumdimoso1027
    @salumdimoso1027 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa namuelewa sana

  • @sharifasuleiman8297
    @sharifasuleiman8297 9 หลายเดือนก่อน

    Financial freedom

  • @piellee1915
    @piellee1915 3 ปีที่แล้ว +4

    👍👍👍👍

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 3 ปีที่แล้ว +4

    💪💪🙏

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 ปีที่แล้ว +1

    kwa kweli hapo kwenye kukopesha watu wengi wameniumiza sana na nimejikuta naingia kwenye madeni kwa ajili yao for sure nimejifunza kitu kuhusu kukopesha mtu wa aina yeyote ile

  • @magnusndunuka1038
    @magnusndunuka1038 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @zenaernest7555
    @zenaernest7555 3 ปีที่แล้ว +1

    naomba namba yako tafadhari

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 3 ปีที่แล้ว

    Loyce Akuku kaka Joel nauliza hivi vitabu zako zaeza kupatikana huku kwetu Kenya? na zikiwa huku kenya Je naeza kuvipata vipi, kaka?

  • @zenaernest7555
    @zenaernest7555 3 ปีที่แล้ว +1

    naomba namba yako tafadhari