NAHITAJI MUDA SITAKI PESA | BABA WATOTO SIMUWEZI | NATUNZA HAYA HELLO MR RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 100

  • @jamilaseif3465
    @jamilaseif3465 7 หลายเดือนก่อน +5

    Eliza unajikuta mzuri lakini hujijui umekaa kama dume kutembea kwenyewe huwezi sauti yani upo kama dume ushukuru mungu ni huo weupe

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 7 หลายเดือนก่อน +5

    Anamajivuno😂😂namudomo waamaneno😂mengi

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Eliza Anafaha kukaa sana Apo studio kuchangamsha kipindi 😂😂😂

    • @reinakamgisha2558
      @reinakamgisha2558 6 หลายเดือนก่อน

      Af anapendezea sana,, aje tu aajiliwe kuwa MC na kina aliyaa MR. Right watakoma 😅😅😅😅😅😂😂

  • @AmosMwamgogo
    @AmosMwamgogo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eliza mbona hauelewi ww eeh
    Jilekebishe bana tatizo lako n jeuri wanaume wanakuogopa kwamba utawapelekesha sana

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Eliza simpendi. Halafu kama alienda amerudi tena

  • @veronicaelias9064
    @veronicaelias9064 7 หลายเดือนก่อน +7

    Saut ya mziki ipo just hatusikii maneno ya wahusika

    • @davidpeter2398
      @davidpeter2398 7 หลายเดือนก่อน

      KBS yaan tunashndwa kuenjoy

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 7 หลายเดือนก่อน +10

    Alia ilo wigi vipi kma sjlielewa msnichambe jaman 😂

    • @ilhamdaud2649
      @ilhamdaud2649 7 หลายเดือนก่อน

      Hata hatukuchambi mahi😂😂wengi hatujalielewa hlo wigi

    • @SerenakaremboDzombo
      @SerenakaremboDzombo 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @VERENICEMICHAELY
      @VERENICEMICHAELY 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ilhamdaud2649😂😂😂😂😂nimecheka kama chizi

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน +3

    Eliza asitolewe anapendezesha....

  • @Khamisalih4g
    @Khamisalih4g 7 หลายเดือนก่อน +2

    Eliza kwanza mbayyyaaaa lisha Zeeeka ilo mekap2 Lakn gozi Isha pinda pinda

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 7 หลายเดือนก่อน +2

    mbona hawa wanawake kama wote vichwani ni pancha sana

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo 7 หลายเดือนก่อน +3

    Guys mufukuzeni Eliza atoke atamaliza drink zenu bule😂😂😂

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio😂😂😂😂😂😂 kila siku anakuja nakunywa tu😂😂😂😂😂😂hapa habanduki😂😂😂😂😂😂

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +6

    Jmn jmn mtoeni Eliza hatumtakiiii mtoeni Eliza hatumtakiiii mtoeni Eliza hatumtakiiii mtoeni Eliza hatumtakiiii mtoeni Eliza hatumtakiiii jmnnnnnnnn

    • @jackrinedugange2888
      @jackrinedugange2888 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amen amen amen 😅😅 huyo atolewe

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน

      @@jackrinedugange2888 😂😂😂😂😂🙌

    • @esternashon4706
      @esternashon4706 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ZitoJose-cl3pt
      @ZitoJose-cl3pt 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @GeorgeCharo-b3k
    @GeorgeCharo-b3k 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyoo Eliza asipate Mr Right maana ywachangamsha kipindi

    • @queensalema5262
      @queensalema5262 7 หลายเดือนก่อน

      Kbsa akitoka tutakosa Cha kukoment😂

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu wala hawezi kuwa mke bora mdomo majivuno hata uzuri hana kuzidi wanzio ww Eliza rudi tu ukajitafute mtaani 😏

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa 3😢😢😢😢

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 6 หลายเดือนก่อน

    Ila gara B dah😂😂😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye attention 😢 ni kweli inatusumbua sana 😢 wakaka badilikeni basi

  • @AthumaniKamau-yi8xf
    @AthumaniKamau-yi8xf 7 หลายเดือนก่อน +17

    Jmn mwenye namba ya huyu mdada jeuli Eliza anitumie

    • @metrineomega1635
      @metrineomega1635 7 หลายเดือนก่อน +3

      Naomba upewe dear.... Ndio umchangamkie jamani

    • @AthumaniKamau-yi8xf
      @AthumaniKamau-yi8xf 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna kitu nataka nimshauli uyo dada

    • @C7Simulizi
      @C7Simulizi 7 หลายเดือนก่อน +5

      Me ninayo ila jeuri sana

    • @AthumaniKamau-yi8xf
      @AthumaniKamau-yi8xf 7 หลายเดือนก่อน

      Nipen tu ​@@C7Simulizi

    • @niymaedwin4297
      @niymaedwin4297 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

  • @RamadhaniHassan-b5h
    @RamadhaniHassan-b5h 3 วันที่ผ่านมา

    Eliza anashida Gani jamani hatumwelew

  • @RamadhaniHassan-b5h
    @RamadhaniHassan-b5h 3 วันที่ผ่านมา

    Eliza anashida Gani jamani hatumwelew

  • @dorcassmarco3425
    @dorcassmarco3425 4 หลายเดือนก่อน

    Embu mtoeni Eliza kwanza ni lishangazi ilo toweni humo

  • @KisetiClément-e8h
    @KisetiClément-e8h 2 หลายเดือนก่อน

    Malizieni jamani

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wow beautiful girls in Tanzania in Europe we follow the program's from Tanzania

  • @jamesmasunyiro8733
    @jamesmasunyiro8733 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu eliza anizd kupotosha bland ya mr light na mwisho wote wanaonekan ni madangaji

  • @HusseinMdeke-fw9uy
    @HusseinMdeke-fw9uy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Eliza anataka wenye hela yeye anahelaaa?

  • @ChazJulias
    @ChazJulias 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja kwa ajili ya eliza kumamaye aondoke steji mr rights

  • @robbennkurunziza47
    @robbennkurunziza47 7 หลายเดือนก่อน +1

    eriza atoke tu tushamchoka. pil hana adabu anajivuna sana

  • @daineszephrinedaineszephrine
    @daineszephrinedaineszephrine 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapost video fupi kwann msitupe full

  • @Khamisalih4g
    @Khamisalih4g 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza kwanza mbayyyaaaa lisha Zeeeka ilo mekap2 Lakn gozi Isha pinda pinda

  • @ellennkota6599
    @ellennkota6599 7 หลายเดือนก่อน

    Itafika mahali Eliza atamtaka mwanaume yeyote subiri ifike muda wa kukataliwà na yeye

  • @asukulubashilwango1907
    @asukulubashilwango1907 7 หลายเดือนก่อน

    Bro Garabi nahisi kwenye whatsaap yako kuna sms yangu aujanijibu please nahomba unijibu🙏

  • @neemapaul9073
    @neemapaul9073 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza et mimi hauna nyota utazekea hapo

  • @neemam5042
    @neemam5042 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba muziki wa background ushushuke sauti au uzimwe wakati mahost wanaongea

  • @EsterLaulent
    @EsterLaulent 7 หลายเดือนก่อน

    Ila Eliza anaboa hapo jamn Kwa nn asitolewe stejini anajiona sanaa KWa staili hii atoboi hapo anakiburii sanaaa na majivuno.

  • @theresamushanga-qc9ep
    @theresamushanga-qc9ep 7 หลายเดือนก่อน

    Swali langu nimoja tu eliza alifata nini apo jamani

  • @FrankMndendejr
    @FrankMndendejr 7 หลายเดือนก่อน

    Inakuaje sis ambao. Hatuna kaz na tunaitaji wanawake wa kuish nao. Tupambane nao kweny maisha.

  • @hassanabdulrazak908
    @hassanabdulrazak908 7 หลายเดือนก่อน

    Sema nini huyu madam Eliza mbona Ana zarau sana mwambieni atazehekea kwenye podiam

  • @neemapaul9073
    @neemapaul9073 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza acha mdomo hauna uzuri wate watu tumekuchoka umekulia makunzi mabaya mwanamke unaongea saaana 8:46

  • @GabreiliNsembushe
    @GabreiliNsembushe 6 หลายเดือนก่อน

    Here mna watotokumbe nyie wazee

  • @MwanangeniAyubu-nn1hw
    @MwanangeniAyubu-nn1hw 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Eliza awe to Mtoa vinywaj hapo atoke anajikuta wakat anasota🙄

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 7 หลายเดือนก่อน

    Amekuja kujiuza lakn analeta zalau mara kipato chake we Eliza unainguza shingapi

  • @gastorsirima5761
    @gastorsirima5761 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza akipata mwanaume dunia itakua imebakia na mwanaume mmoja tu

  • @mickjackson2181
    @mickjackson2181 7 หลายเดือนก่อน

    Ila lizzy anamatatizo sana

  • @linahgibson1344
    @linahgibson1344 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Eliza bhana aje tu aolewe na kakaang maana naona kabisa anazeekea kwenye podium 😂😂

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu Aaliyah she's so matured i really like her

  • @MariamMbaruk-rk3vj
    @MariamMbaruk-rk3vj 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza umezeeka ndio ma'ana unachaguliwa na wazee

  • @Thatscene2024
    @Thatscene2024 7 หลายเดือนก่อน

    aaliya kaona dior fake ana msnich mwana dahhh

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza Angetolewa tuuu hapa anapoteza muda

    • @queensalema5262
      @queensalema5262 7 หลายเดือนก่อน

      Pataboa wacha azeekee hapo na kuchangamsha group bwana😂😂

  • @smartnyengo725
    @smartnyengo725 7 หลายเดือนก่อน

    I don't understand why Eliza is still in the show

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 7 หลายเดือนก่อน

    Flora pia bado yupo hapa

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 หลายเดือนก่อน

    Masaki mbona kunavyumba vya 60.000

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahahah eliza pote mana we ni mgonjwaa ila ujijui tu

  • @MatiasKatoto
    @MatiasKatoto 7 หลายเดือนก่อน

    Uyo mdada ka fuata soda tu

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 7 หลายเดือนก่อน

    eliza jeur sana aisee😢

  • @sarahmtambo7515
    @sarahmtambo7515 7 หลายเดือนก่อน

    huyo Eliza anafanya nini apo amezeka

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaa ila Gara B eti mtu sio mtu hahahaha!

  • @GabreiliNsembushe
    @GabreiliNsembushe 6 หลายเดือนก่อน

    😅😮😮😮😢 wazeeez haoo

  • @BenjaminBugomola
    @BenjaminBugomola 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kama namuona Eliza kwenye kiti cha enziii

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza atoke huyo hana haja na bwana anatafuta umaarufu

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndo wa miion mbii

  • @AgustinoAnthony-e1d
    @AgustinoAnthony-e1d 7 หลายเดือนก่อน

    Ila hiki kipindi duh

  • @skmtotowamama6797
    @skmtotowamama6797 7 หลายเดือนก่อน

    Eliza apo amefuata drinks tu

    • @AminaJuma230
      @AminaJuma230 7 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nimeliona Hilo amefuta soda tu hapo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 7 หลายเดือนก่อน

    huyuu hee analo alolifata hapo sio bwana huenda mpelelezi anazingua ili abaki hapo aendelee na yakwake

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa wadada inaonekana washajiuza sana mtaani.wamechoka sasa wamekuja kuuzwa na madalali

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo mpango mzima ww muone dada anamatatuu hv huyo unaona kuna mke hapo kweli???

    • @himnakhatib1050
      @himnakhatib1050 7 หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @hus-keenwizer679
    @hus-keenwizer679 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo video akipiga magoti iwapi nimeitafuta sijaipata nipeni link please

    • @HegraEid
      @HegraEid 7 หลายเดือนก่อน

      Nenda tiktok utaikut mwaya, hadi aibu

    • @HegraEid
      @HegraEid 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂