EEH ! KUMBE MUUZA JUICE, MI NILIJUA UNATOKEA SERIKALINI, HUNIFAI - HELLO MR. RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2023
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 149

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 7 หลายเดือนก่อน +3

    Aaauw that's my brother from another mother watu wa hukooooo milimani lushotoooooooooo

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo kijana Mungu anampenda hawezi kumruhusu kuoa huyo dada anaonekana ni mtu wa starehe alijua huyo ni msanii wa bongo. Anataka wasanii

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hiii season awo madada wana masharti kama waganga wa kienyeji show kama ngapi mr right wanakwenda wenyew😅😅😅😅

  • @pantaleomcha1795
    @pantaleomcha1795 5 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu huyu Zarish anatuchukuliaje wauza juice...😂 Hajui mahesabu ya duka la juice nn

  • @godlovemanase3423
    @godlovemanase3423 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dada 😂. Ana Iq ngap..! 😂

  • @jacklinemassanja5256
    @jacklinemassanja5256 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel umezingua blichi na serikali 😂😂

  • @luvuno
    @luvuno 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada anasumbua sana sidani kama atapata mume bora kwenye maisha yake😂😂😂

    • @massatujeli3158
      @massatujeli3158 7 หลายเดือนก่อน

      Hi ni show sizani kama yupo tayali na ndoa ila anatafuta sponsor

    • @sarazacharia
      @sarazacharia 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @sarazacharia
      @sarazacharia 7 หลายเดือนก่อน

      ​@massatujeli3158 😂😂😂

  • @AyushSaid
    @AyushSaid 4 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah wasambaa

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน +24

    Yani uyo dada kajiona mjanja kumbe 0🙄0 ase serikali ipi unawezakuta mtu ana bichi kichwani

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน

      Malaya TU hawaa

    • @EmJesho
      @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน

      Hajielewe😂😂😂😂

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@EmJesho yani unajua Kuna mahali unaweza kwenda ukajifanya mjanja mpaka uka haribu na ndiyo ushamba wako ukaoneka

    • @EmJesho
      @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน

      @@deogratiusyudatadei5658 kabisa

    • @danielnkholoma3416
      @danielnkholoma3416 7 หลายเดือนก่อน

      Musenge sana😂

  • @karimudadi1323
    @karimudadi1323 หลายเดือนก่อน

    Demu bangi sana

  • @user-jf6hz8vl5m
    @user-jf6hz8vl5m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Awa ndio madada wa kizimkazi 😂😂

  • @DativaAnaclet-mw4gf
    @DativaAnaclet-mw4gf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo dada zari ,hakili kichwani hamnazo

  • @JosephLagrone_Autistic
    @JosephLagrone_Autistic 4 หลายเดือนก่อน

    MC Gara B, ningefurahi kupata t-shirt ya Mwamba wao. Nna mtoto ana autism kwenye familia tunamuita Mwamba kwa mambo yake despite him being autistic. Hes 9 years old now😁

  • @saphiamakweta9468
    @saphiamakweta9468 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu zarish ni mzima jamani maan sidhan kam Yuko sawa sema nilivyoziona tuuu nguo alizovaa nilijua mgonjwa😂😂😂😂

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mlevi mwenye matatu bado yupo..anaonekaa anatabia kama za gygy..mapepo hayo..hiki kipindi ni madada poa ndio wanakuja kitafuta waume

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mm ni mwanamke ninaona bora ako na jazi sio mbaya kuliko mtu hana kazi anataka kulelewa

  • @LillianNyaboke-kg3ee
    @LillianNyaboke-kg3ee 6 หลายเดือนก่อน

    Zarishi ajiangalie kwanza kabla cjacomment,anataka hela au mume

  • @user-eu5xt1vb6f
    @user-eu5xt1vb6f 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na nyonyo zake kama zangu😂 chefuuu na sautii inakata kataa nyokoooo

    • @eliamwanamayo3596
      @eliamwanamayo3596 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂 sauti ya konyagi hiyo malaya lililokubuhu jibwa koko hilo😂😂😂

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 6 หลายเดือนก่อน

      Anakunywa 5Gin huyu,ma ambiance,konyagi

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 7 หลายเดือนก่อน

    Serikari ya makachaaa..saluuutee

  • @gasperrobert7036
    @gasperrobert7036 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Demu hapati mwanaume kabsa 😂😂

  • @josephmlimbila5831
    @josephmlimbila5831 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu dada zelo brain wallah

  • @pesambilimusic3649
    @pesambilimusic3649 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wa Tanzania wenzangu naomba mnisaidie mfanya kazi wa serikalini anatafuta pesa na alie jiajiri anatafuta nn.? mbona hawa wadada wengi wao kama hawa jielewi lakini narudia kusema hawa wadada wengi wao wanauza papa na sio kumtafuta mwanaume wa maisha

    • @SuzanaMlawa-by2vj
      @SuzanaMlawa-by2vj 2 หลายเดือนก่อน

      Uwakika wanajiuza uko wanakoenda wakishindwana inakuwa kwaeli

  • @user-fo4yk5vo1o
    @user-fo4yk5vo1o 7 หลายเดือนก่อน

    Dada wacha ushamba ww ulisoma shule ya wap eti serekalin 😂😂 angalia mtu venye amevaa kichwa ameeka dai wabongo jaman noma sana

  • @immatheboy2831
    @immatheboy2831 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naisubl apa 🤣

  • @user-lt8jn6bk8n
    @user-lt8jn6bk8n 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo mdada anaonekana mtamaa na tamaa imemfanya mwehu na mpumbavu . Hastahili hata kua mke wa mtu huyu.😂😂😂

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 7 หลายเดือนก่อน +1

    Usikute huyuu dada akili zenyewe hanaa 😂😂😂

    • @rhodarichard4494
      @rhodarichard4494 7 หลายเดือนก่อน

      Yaan nmemzid hata Mimi nilieishia la tatu F

  • @user-df5gw2mq2n
    @user-df5gw2mq2n 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mshkaj anamkop calis dah ila awa mademh zetu wanazingua awako makin kweny kumpenda mtu

  • @Paul-nl3wd
    @Paul-nl3wd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Dada hajielewi serikali gani naiyo bleach.. labda serikali ya WCB

    • @najmahhassan7853
      @najmahhassan7853 6 หลายเดือนก่อน +1

      Why WCB🤣🤣🤣🤣

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wa hovyo hapo mmojawapo ni zarish hivi huyu anajikuta yeye nani kima huyu wala hata anogi halafu😂

  • @swedigatogato5196
    @swedigatogato5196 7 หลายเดือนก่อน +3

    Serekali ya WCB

  • @kenedysamwel9863
    @kenedysamwel9863 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada hana akili kabisa nawaambia siyo mzima lakini pia sijui ji vigezo gani vinaangaliwa mpaka mtu kuperkwa hapo aisee

    • @EmJesho
      @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน

      We Acha tu noma

    • @rhodarichard4494
      @rhodarichard4494 7 หลายเดือนก่อน

      Hapo itakuwa wanapelekwa wanywa konyagi tu,,,

  • @montanaprime
    @montanaprime 7 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali Kuu ya Mizuka

    • @EmJesho
      @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa😅😅😅😅

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mshamba eti serekali titi limemshuka kama mtura za Nairobi 😂😂

    • @joyce55727
      @joyce55727 7 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

    • @DoreenDaniel-hd7kv
      @DoreenDaniel-hd7kv 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahah umundani mnanipa raha

  • @yusuphmbandu7317
    @yusuphmbandu7317 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikadhani ni Pacome Zouzoua😅

  • @AishaZubery-dm8vv
    @AishaZubery-dm8vv 5 หลายเดือนก่อน

    Tanga rah❣️

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wanawake wa mister right waacheujinga ,kwani muuza juice sianapewa rizki na Allah na mtakua namaisha magumu kama mnawadharau wanaume wenye maisha yakawaida...mabinti wenyewe washamba...mnakauchi ovyo ovyo na kama niwanawake bora msingekuja mnadani

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo3322 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂em nipishe mim na top yako kama kipepeo serikali gani

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali which mtu Yuko ivi surely 😅😅😅😅

  • @GodlyPaschal-yv8gv
    @GodlyPaschal-yv8gv 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mr right anafanana na pacome sasa ladies wanakwama wapiii

  • @user-wi9ms2zi5q
    @user-wi9ms2zi5q 5 หลายเดือนก่อน

    Wee daa umezidi😮😮😮😮

  • @user-ei1sj2kk1e
    @user-ei1sj2kk1e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila we dada Akili yako ni matope et serikali

  • @dijohbanks4312
    @dijohbanks4312 4 หลายเดือนก่อน

    huyo dada atakesha hapo

  • @bilaliomary8555
    @bilaliomary8555 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo zerish ni malaya jmn kichwani hamna akili 😂 msiteseke

  • @immatheboy2831
    @immatheboy2831 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza Mimi

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoeni huyo dada hapo,,, akipata mtu niiteni mbwa

    • @user-yv4wd5ii8k
      @user-yv4wd5ii8k 7 หลายเดือนก่อน

      Apate wp na ziwa lake saa 12 hana maajabu

  • @FadhilTave-nx5xo
    @FadhilTave-nx5xo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Selikali ya nyoko...

  • @user-lq6mt5ji4l
    @user-lq6mt5ji4l 5 หลายเดือนก่อน

    Harafu ukienda Kwa wadada unapesa usiseme sema dreva wa boda boda washenzi wanataka mtelemko Mimi nimeuza juice najua faida kubwa kuzidi adi selikalini kaeni mlale washenzi nyie😏😏😏😏

  • @colethakillenga1136
    @colethakillenga1136 7 หลายเดือนก่อน

    Serikalini.... huyu dada 🤭🤭🤭🤭🤭🤭

  • @ZAMB334
    @ZAMB334 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kweli kuna tudada tea hovyo hapo

  • @user-hp8dy8sk7x
    @user-hp8dy8sk7x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yan awa wadad Wana penda wanaume wenye pes ndio maana wapo sig

  • @abbyernest8786
    @abbyernest8786 7 หลายเดือนก่อน

    Na nyonyo Lake kama langu apa na watt 7😂😅

  • @user-wp2uj7wt1i
    @user-wp2uj7wt1i 6 หลายเดือนก่อน

    I swear Zarish😂akili hana.
    Bleach serikalini!?

  • @Immahjr
    @Immahjr 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan huyo dada yeye anakazi gani

    • @Lulucut
      @Lulucut 4 หลายเดือนก่อน

      Mama ntilie na duka la nguo😂😂😂

    • @Immahjr
      @Immahjr 4 หลายเดือนก่อน

      @@Lulucut duh sawa

  • @gaalunangay9500
    @gaalunangay9500 7 หลายเดือนก่อน

    Mamayoo

  • @ombeniismail1140
    @ombeniismail1140 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo binti akili hana mtumishi wa serikali gani awe hivyo hospital tyu unaenda muona mgonjwa km umevaa suruali huingii ndo uwe mfanyakazi wao uweke bleach😂 sisi walimu t-shirts yenye picha huvai wala maandishi jmn watoe sababu za msingi

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 หลายเดือนก่อน

    PAcome

  • @juliethkatusime3844
    @juliethkatusime3844 7 หลายเดือนก่อน

    Na wifi lako na cloptop lko na juma ndala ndefu😏😏😏😏

  • @sophiasimule2182
    @sophiasimule2182 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada kichwani sifuri dah!

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 6 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wanamna hii mwishoni wanaiba waume wawenzao.

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 6 หลายเดือนก่อน

    Ushambaa mzigo kun serikal gani mavii malay tu

  • @user-ls9lc4zu3z
    @user-ls9lc4zu3z 6 หลายเดือนก่อน

    Yan we dd ulikibia hule nahs uko class two. ...ua ao stp... !!!!!wewe hata ute sichukui

  • @pastorandersonleonidas5393
    @pastorandersonleonidas5393 7 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa vema Mr. Right muwe mnaalika watu waliochukuana kupitia show yenu, ambao wameshakuwa na familia, ili tujue kwamba huwa ndoa zao zinadumu?

  • @husseinabubakari3037
    @husseinabubakari3037 6 หลายเดือนก่อน

    Zarishi anapenda mshara aje huku 😂😂😂

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 6 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana akawa serikalini,ni Siri yake .

  • @andreamtafya3989
    @andreamtafya3989 7 หลายเดือนก่อน

    dada kuku kweli huyu

  • @sankarama8320
    @sankarama8320 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo n mpuuzi tu mtoeni apo na anasaut mbaya kama limemeza chura mbaya kama ngozi ya goti pumbav zake

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 7 หลายเดือนก่อน

    Duh sijawahi ona mdada bogus km huyo dharau nyingi kwanza mbona kama mdangaji? Faacccckk sijapenda dharau hafu uko kutafuta mume, mume which, mume my foot, kenge😏

  • @supersafari6548
    @supersafari6548 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Dada hana hakili

  • @joachimbaldwin8511
    @joachimbaldwin8511 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa wadada hakuna hata mke wa kuoa hapa

  • @user-fv1ig6to8p
    @user-fv1ig6to8p 7 หลายเดือนก่อน

    Ao malaya tu mtaishia kujiuza tu unataka mwanaume mwenyewe pesa muda uo hata we msichana kula ni shida mbwa nyie

  • @justinambrose3577
    @justinambrose3577 7 หลายเดือนก่อน

    Zarish usitupange bhana serikali ipi inaruhusu marangi kichwani

  • @salscommunication1910
    @salscommunication1910 7 หลายเดือนก่อน

    Nilichogundua huyo dada ni kilaza

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani watu 2ako serikalini ndio wanaingiza mshahara TU uyu zarish anaringa nini uyu anafaa mkenya kichwa ngumu

  • @FredrickDaudy-sb3cz
    @FredrickDaudy-sb3cz 7 หลายเดือนก่อน

    zarishi anaonekana ni malaya kabisa mavaz gan ayo

  • @lasudnuru4982
    @lasudnuru4982 7 หลายเดือนก่อน

    huyu dada pls mtoeni akatafute wanaume Dodoma, hii sio show ya kutafutia umaarufu

  • @sankarama8320
    @sankarama8320 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo n kati ya wale madada poa waliovunjiwa kule kinondon ndo wanajitafuta saiv matako yake @garaB mtoen huyo

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua pacome nimeshtuka

    • @user-mn4vj3ql7p
      @user-mn4vj3ql7p 7 หลายเดือนก่อน

      Ila wewe et pacome😂😂😂

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 7 หลายเดือนก่อน

    Dada unalazimisha huyu jamaa awe usalama wa taifa....haya twambie usalama gan atajitaja mbele za watu....wee dada hufai kua mke wala mpenzi coz huna akili

  • @SiaSam-pi9zl
    @SiaSam-pi9zl 7 หลายเดือนก่อน

    Yaan juice inafaida we Acha t

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 7 หลายเดือนก่อน

    Dada bwege kwl huyo 🤨🤨🤨

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 7 หลายเดือนก่อน

    Serikalini kuna vitendo vingi hata mashushu pia ni waserikalini

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 7 หลายเดือนก่อน

    Lishamba hili kifua kimelala

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 7 หลายเดือนก่อน

    Zarishi nakushauri tu kuhusu kazi usitake mtu mwenyekuajiriwa kuajiriwa niajira za kuhama hama hazieleweki nakwambia majuice yanafaida hujawahi ona mana hapo mtaji ni water tu na mafriji. Ok

  • @rickierunyota3613
    @rickierunyota3613 7 หลายเดือนก่อน

    Mnae uhakika uyu manzi ako na akili????

  • @hafsamohammed3835
    @hafsamohammed3835 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnaonyesha vipande pande?

  • @mediatz8537
    @mediatz8537 7 หลายเดือนก่อน +1

    😆😆😆

  • @obbyentertainment4303
    @obbyentertainment4303 6 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu huyu dada

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 7 หลายเดือนก่อน

    Shenzi

  • @EmJesho
    @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน

    Labda Serikali ya baba ake

  • @josephmlimbila5831
    @josephmlimbila5831 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa wapuuzi wanajiuza asee uwezi mkataa mtu kisa kazi yake ****

  • @dorahkaruma9299
    @dorahkaruma9299 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani Huyo zari ovyo sana 😏😏
    Ana akili za kuvukia barabara na kupakia make up tu basi!!

    • @juniarjr-ed9ke
      @juniarjr-ed9ke 6 หลายเดือนก่อน

      msamehe bureeee wengine wapo kimasirahi zaidi

    • @juniarjr-ed9ke
      @juniarjr-ed9ke 6 หลายเดือนก่อน +1

      mimi na wewe tunaenda lini tukatishe na sisi?

    • @dorahkaruma9299
      @dorahkaruma9299 6 หลายเดือนก่อน

      Twende 😂

    • @juniarjr-ed9ke
      @juniarjr-ed9ke 6 หลายเดือนก่อน

      tukafanye maajabu@@dorahkaruma9299

  • @nawinahke710
    @nawinahke710 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada ni gold digger

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 7 หลายเดือนก่อน

    Zero brain

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu atakuwa mgogo au wa singinda hawa wadada ni wazuri shida ipo kwenye ubongo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 7 หลายเดือนก่อน

    Malaya kweli hawajielewi elimu ndogo wapo wapo wanarndekeza njaa na kufunuliwa.tamaa mbaya.hao wote hakuna mwanamke

  • @user-ei1sj2kk1e
    @user-ei1sj2kk1e 7 หลายเดือนก่อน

    Ila we dada Akili yako ni matope et serikali

  • @montanaprime
    @montanaprime 7 หลายเดือนก่อน +4

    Serikali Kuu ya Mizuka

  • @-vu2cs
    @-vu2cs 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo wanaokuja hapo ni wadangaji mtupu.... Ndo maana hawapati wanaume

  • @EmJesho
    @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน

    Labda Serikali ya baba ake