Wenzao tuliolewa na mme ambae hajui kuvaa tumemvalisha hao hao walinicheka saizi wabammendea wakimuona wanajichekesha ndio hivyo sasa. Namfunika na maombi hawampati maana nimme wangu hata wamwibe atabaki kuwa wangu so. Wadada mkiishi kwa ndoto hakikisha hamuharibu ndoto zenu sio kama maweruweru tu hapo
Kwanza alimwambia nani hilo shati ni la kwendea mjini 😂😂 na hiyo 23 bado kwakweli halafu akili yake naona haipo matured hata akiongea hana point yani hovyo arudi kwanza ajue kuongea kuvaa ajielewe kidogo na ndo aje tena😂😂😂
mistr rahit Hawa ma Dada kama Hawa sitaki tena wawe hapo please 🙏 ♥️ brown 🙏 sajapenda jama huyo Ana takuwa mpate mke hapo kwako kwagarama coyote mimi Nita Lipa niko marecani siji sifu pesa ninazo nitafute
@@giddie_barnabas nimecheka kwa sauti 😂😂 imagine neno limeandikwa apo kwenye heading kabisa Mr Right (Mister Right) na bado Mtu anashindwa hata Ku copy paste 😩
Anawachora wanaume wa hivyo ndio waume kweli niwewe umeridhia? Utalilax sio wa starehhe wakupanga nae famly siku mojamoja Mnaishi mtakavyo sio watakavyo maisha hayaigwi. Huiga wengi huishia njiani
Dogo langu ana onekana akiwa namtt wakike' wakapemdana nimtu wa burudani sana!
sabitinaaaaaaaaaaaa🥰😍🤩
Hahaha Hahaha Hahaha 😂😂😂 dah Pole sana kijana.
nipo na ex wa bwana bonge apa
anacheka kwa nguvu sana😅😅😅😅😅😅
Yan unakula makombo ya mnigga alaf unajichekesha!
Anacheka nn tuambiane bana
Pole Mr right Hawa wadada watata sana
mwenyewe ajielewi 😊😊
Mm ningemkubali n mcheshi sana ndan n comed kucheka no kununa...af mzur tu hzo kapiga swagger tu
uyu jamaa akipata mwanamke atafulai sana mcheshi alafu mwaminifu tatizo wanawake wanapenda monekano
Kweli ni mkweli jaman
Acha watupende sisi tuwapige dana dana😂😂😂
Niko hapa Leo kwenye katika Mr light 😂😂 awee nipumfuzie dhambii, na wew ulocoment kuwa uko na x wa mr light mweeeh 😂😂😂
Inaonyesha mr right haangalii ata vipindi vya Mr right 😂😂0 kilo mita n comedy kidogo😂😂😂
Au basii😂😂🎉
😂😂😂nimimi naon night dress au
Mchiz mbona km hajielew😂
😂
Nmempenda mr right anajiamini sana😂😂
We Waiting
😂😂😂 anachekesha mr right
Mr right. nim cool
Mbona mr kavaa nguo zakulalia😢
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂ata mim nimewaz kama wew😅😅
@@anithiajohn9209 🤣Ndizo dear
😂😂😂 hio ni matusi
@@kevinoguna3807 kivp
Uyo dogo lamda ataka mke aweza kua mume mzur
Hata siku moja usimjajnmtu kwa mavaz Kuna wat wanavaa hawan maisha
😂😂😂 kwani niulize usmart lazm hapo maan hao mhim wanachotak mwanaume awe na pesaaa
waga ni washenzi wakiona unaela wakutaftia sabb za lazima
Wenzao tuliolewa na mme ambae hajui kuvaa tumemvalisha hao hao walinicheka saizi wabammendea wakimuona wanajichekesha ndio hivyo sasa. Namfunika na maombi hawampati maana nimme wangu hata wamwibe atabaki kuwa wangu so. Wadada mkiishi kwa ndoto hakikisha hamuharibu ndoto zenu sio kama maweruweru tu hapo
Hili nalo kaa senge na nguo zake za kulalia
Mmmmmmmm uyo ata Mimi mwenyew nisingemkubali ningempija chini tu 😂😂😂😂😂sijui anaongea Nini mimi
Jaman
Aaliya umependeza mamy❤
Bado mtoto jamaa kaja kuuza sura
Jamaa kaenda kihali hapo mwanamke anayeweza kukubali hapo huenda ukaenjoy labda anatafuta material 😢😢
Yah n kweliiiii
Jamani
Kuvaa nguo ya kulalia 😂😂😂
😅😅😅😅sema mr right naye kavaa kishamba sana
Nyinyi wanswske mnapenda kufuja wanaume with nyinyi wenyewe maziwa yameanguka kwa kunyonywa ,ukipata mtu shukuru engine mmechezewa mkaachwa
Yaan ata comfidenc ya kujielezea hana jaman jaman ata mm hapana 😂🙌🏼
Mwamba ana mbili kwenye moja😂
Natazama tu 😂😂😂
Naombeni namba za warembo
Nenda tuu hapo walipo😂
😅😅😅😅😅@@Zuuh4286
@@Zuuh4286 kwamba aende hapo walupo😂😂😂😂....??
@@sirfabiano767 ndiyo sasa namba ya nn na tangazo liko na kama mke anataka hata anakoishi wapo 😂
Jamaa Muongo huyu😂😂😂😂😂😂😂
Ila wewe hupati mtu hpo hauko serous 😅😅😅😅😅😅😅😅
Yani kaka ni zuguyugu huyu khaaa ovyoooo😂😂😂😂😂
😂😂
Nisubiri kwa ham sana
Mwamba alikuja anavaa kama mcunga ngombe vile🤕😂
Kwanza alimwambia nani hilo shati ni la kwendea mjini 😂😂 na hiyo 23 bado kwakweli halafu akili yake naona haipo matured hata akiongea hana point yani hovyo arudi kwanza ajue kuongea kuvaa ajielewe kidogo na ndo aje tena😂😂😂
mistr rahit Hawa ma Dada kama Hawa sitaki tena wawe hapo please 🙏 ♥️ brown 🙏 sajapenda jama huyo Ana takuwa mpate mke hapo kwako kwagarama coyote mimi Nita Lipa niko marecani siji sifu pesa ninazo nitafute
Mister lite mbona comedian😂😂
Mister lite ndo nn jmn😢
Atakua castle lite😂
@@giddie_barnabas nimecheka kwa sauti 😂😂 imagine neno limeandikwa apo kwenye heading kabisa Mr Right (Mister Right) na bado Mtu anashindwa hata Ku copy paste 😩
@@Sammiebestie Amezingua yan
@@Sammiebestie Mpuuz wew umenichekesha,, kwaio tuwe tuna paste na ku copt😅
Mr right pole
Anawachora wanaume wa hivyo ndio waume kweli niwewe umeridhia? Utalilax sio wa starehhe wakupanga nae famly siku mojamoja
Mnaishi mtakavyo sio watakavyo maisha hayaigwi. Huiga wengi huishia njiani
0:22
Kwann umevaa hilo shati😢
❤❤❤❤❤
😊😊😊😊
Mm ninaswali hatuna wanawake ndio wanachanguwa sio wanaume wanachaguwe nataka nije wawe ndio golden boy
Jamani mwenzenu kavunja kabati lakin mnamwambia nguo za kulalia😂😂😂😂😂😂
Yule msichana mm alikua hanipendi😢😂😂
😂😂😂😂kazi ipo
Leo Eliza hayupo?
Ni mkweli jaman
Nimechoka kujificha me ndio ex wake 😂😂😂
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 😂🤣🤣 njoo apa
😂 Nasra 😅
I wanner know what's AIM of Mr light , is this marriage can sastaine
😅😅😅
Mr right he is too Young he don't know what is doing.
Ana rang mzur
😂😂😂😂😂😂
Sio makosa yake bado umri unamluhusu
😂😂😂
Rafiki yangu Eliza sijamuona leo😂
Yupo kanyamanza yani kama hayupo basi mr right anabahati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@lilianeerica3318 kwakweli anabahati maana Eliza engefungua mdomo wake kingeumana🤣🤣
😂😂😂
😂😂