VIJANA WAPEWA BAJAJI MPYA NA PESA ZA MTAJI - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2022
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 368

  • @nyotastar102nyota2
    @nyotastar102nyota2 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee nabii mungu akufunike ktk mabawa yake wendelee kutuona na sisi Asante mungu kwa zawadi yaka ya nabii mkuu

  • @levinahmuspeka3227
    @levinahmuspeka3227 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Yesu Mungu wa baba yetu, baba wewe ni kielelezo kilicho bora sana katika kizazi chetu. Imani na matendo zinaenda pamoja, napenda kufuatilia mafunzo na maubiri yako.Mungu akuhifadhi baba

  • @danfordmwangesile9043
    @danfordmwangesile9043 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu wa mbinguni azidi kukubariki baba Kwa moyo wako uliojaa huruma. Nakufatilia saana toka zamani tokea Zanzibar. Najifunza mengi baba toka huduma Yako.

    • @fatimasalum6478
      @fatimasalum6478 2 ปีที่แล้ว +1

      Nabii mkuu naitwa Fatima salumu nilitolewa kizazi changu Nina mtoto mmoja tu na ninaishi na virusi vya ukimwi ninakuomba baba nitamkie neno tu nipokee uponyaji ameen

  • @franciscaaugustino4305
    @franciscaaugustino4305 2 ปีที่แล้ว +5

    Kupitiya hawa hata Mimi nitafungua biashara yangu. Napokea. Ubarikiwe sana Baba

  • @thomasmwangama9014
    @thomasmwangama9014 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kuona Mt wamungu kamawewe mwenye moyo wahuruma,moyo kimungu kabisa,mungu anajivunia,lakini watanzania piatunajivunia kuwa nanabii mkuu kamawewe,baba namimi nimwimbaji wamiaka mingi Ila maishayangu choka mbaya,naomba unitamkie nataka naamin utakalosema utakuwa,Niko mbeya kyela

  • @janetkaingu7038
    @janetkaingu7038 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Babà Nabii Mkuu,kwa msaada unasaidia watu Mungu akuzidishie Baraka tele Aaamen

    • @danielsunzu4793
      @danielsunzu4793 2 ปีที่แล้ว

      Baba prophet Mungu wambinguni azidi kukubariki sana

  • @juliuslema2554
    @juliuslema2554 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana baba kwa kuwainuwa vijana mungu atazidi kukuinuwa wewe ni nabii wa kweli

  • @isaacsylvester4414
    @isaacsylvester4414 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema sana kila iitwapo leo nabii mkuu , mungu azidi kukuinua ubarikiwe milele

  • @lucasnchimbi5159
    @lucasnchimbi5159 2 ปีที่แล้ว +4

    hakika nime kuswa na utumishi wako najikuta natoa machozi na mambo makuu unayo yafanya Baba mungu akuzidishie natamani siku moja nije katika kanisa lako uwezo tu sina Baba ila naamini nita fika katika hekaru lako amina

  • @queenbby92
    @queenbby92 2 ปีที่แล้ว +4

    Naamini siku nikikanyaga katika madhabahu yako na mimi biashara nayo ipenda nitaifungua. Nakufatilia sana baba

  • @ngajulagesalum6127
    @ngajulagesalum6127 2 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni muislam, lkn nimekuwa siachi kumuangalia huyu Baba Nabii. Kiukweli naguswa Sana na huduma zake. Nina neno Moja tu siku nikiweza kukutana nae naweza kumwambia. Liko moyoni mwangu.

  • @user-kf6ox4pe5b
    @user-kf6ox4pe5b 2 หลายเดือนก่อน

    Wow Baba ata Kama niko mbali nakuvuatilia fundishow lako mungu yupo nawe kila Makati watching from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bensonlaize9574
    @bensonlaize9574 ปีที่แล้ว +1

    Akika mungu nimwema pasta na mungu azidi kukupa upeo uyo uyo wa kuwasaidiya wasio nacho kiukweli maisha yanaitaji moyo kama wako kwakuwa sina kaz sina chochote chakukupongeza ila naamini mungu yuko pamoja nawe thank you Jesus🙏🙏🙏🙏

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtu wa mungu nabii kweli wewe ni mlezi wa watoto wa kimaskini kanisani kwako

  • @idrisayusuph4420
    @idrisayusuph4420 2 ปีที่แล้ว +4

    BABA UMEWAFANYIA VIJANA JAMBO KUBWA SANA LA KUWASAPOTI BAJAJI ZA KUFANYIA KAZI WAINGIZE KIPATO CHA KUENDRLEZA MAISHA YAO ASANTE , MHESHIMIWA NABII MKUU DOCTOR GEOR DAVIE

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba Mungu akubariki sana,hili ni fundisho kubwa sana Kwa watumishi wote,nimepokea

  • @efraziapaul3818
    @efraziapaul3818 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah! Nimehisi kutoa machozi Mungu anakutumia nabii una moyo wa kutoa sana Mungu azidishe Mara nyingi

  • @peterdismas7480
    @peterdismas7480 2 ปีที่แล้ว

    Shaloom baba, ninafuatilia huduma yako kweli Mungu yupo ulipo. Nitajitahidi kuja kusali na kupokea upako. Ombi ni sala kutoka kwako za kunibadili tabia nilizonazo zisizo mpendeza Mungu. Niombee mtumishi nipone magonjwa niliyonayo mwilini. Pia niombee kipato ninachopata niwwze kupata maarifa kwa nguvu za Mungu ya kukiongeza kwa kuzungusha katika biashara na miradi. Pia nijaliwe kubwa na hekima na busara ya kumtumikia Mungu na kusaidia wenye mahitaji. Baba niombee watoto wangu wafunguliwe vifungo walivyofunhwa wafanikiwe katika maisha yao yote.

  • @witnesskirusha3084
    @witnesskirusha3084 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtume nakupenda sana baba Mimi naomba unisaidie jambo moja niweze kutulia kwenye ndoa yangu niwe na uvumilivu mungu ampe mume wangu kazi naamini katika nguvu iliyoko ndani yako ataniondolea pia mgonjwa yote niliyo nayo

  • @honnesthonnest5013
    @honnesthonnest5013 ปีที่แล้ว

    Kenya hapa kwetu huwezi pata mtumishi anapeana wao ndio hutegemea kupewa .........mtumishi wa mungu Anikumbuke kwa maombi nikiwa hapa kenya mombasa .....mama yangu amekuwa mgojwa cuncer since 2019..nimefisirika kabisa njuu ya kumtuza mama .....Niombee sana mtumishi wa mungu.

  • @ramadhanissa8855
    @ramadhanissa8855 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akuzidishie mara 1000000 unapotoa akuzidishie sana mzee kuanamoyo huo wenye moyo kama huo nikumi kwa mmoja kabisa

  • @ElizabethNdimbwa
    @ElizabethNdimbwa 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa ajili ya hao vijana kwa hizo bajaji.

  • @festuskorir3546
    @festuskorir3546 ปีที่แล้ว

    God is really good,I'm from Kenya and God bless you nabii wa mungu

  • @royalchannelezzy32
    @royalchannelezzy32 2 ปีที่แล้ว +3

    Prophet of God your real Doing Wonderful! And your real Showing us the way to Heaven Spiritual and physical...
    God Be with More and may God Suprise you More!!! Great Man of God

  • @ElizabethNdimbwa
    @ElizabethNdimbwa 11 หลายเดือนก่อน

    Na mimi kuna siku yangu, itafika. Nimefurahi sana kwa ajili ya hao vijana, machozi ya furaha yamenitoka japo siwafahamu. MUNGU AKUBARIKI sana.

  • @patrickbizuri5976
    @patrickbizuri5976 2 ปีที่แล้ว

    Babangu mtumishi wa Mungu nimeguswa sana na vile unavio shugulikia watu wa Mungu ata namimi najua Siku moja nikija niguse ata mukono wako kwakukusalimu tu nitakua nimebarikiwa babangu

  • @sembasitianayinzaki1253
    @sembasitianayinzaki1253 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana hichi kitendo, vijana ndani ya kanisa ni hazina. Mungu was mbinguni amekutofautisha sana were ni wakipekeee saaana.

  • @milkamwaura9031
    @milkamwaura9031 2 ปีที่แล้ว +4

    Am soo touched by this kind of giving. Daddy you're blessed by God

  • @fredyjulius9553
    @fredyjulius9553 2 ปีที่แล้ว

    Baba hakika wewe yupo mungu kwanza hakuna mtu yeyote anaweza kuwapa saport vijana hakika umenigusa sana

  • @dansiranikuze923
    @dansiranikuze923 2 ปีที่แล้ว +1

    Man of god I wish I could see you but I’m from in USA

  • @daudmwakyusa3415
    @daudmwakyusa3415 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu napendaga sana mafunzo yako yananijenga kiimani

  • @janertmartin3318
    @janertmartin3318 2 ปีที่แล้ว +1

    BABA MUNGU akubariki sana kwa moyo mkuu. Naomba mbaraka wako nimekwama kiuchumi.

  • @FatumaMdagano-hd7em
    @FatumaMdagano-hd7em ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe baba unayetambua wahitaji unaetambua nawe weww umetoka nakuombea uishi maisha malefu mungu akujalie akuongoze pale unapotoa

  • @siahraphael9349
    @siahraphael9349 ปีที่แล้ว

    Hii ni miujiza jaman Ee Mungu niguse namimi Bwana Yesu🙏🏾

  • @user-sq3uo6zp6y
    @user-sq3uo6zp6y 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mungu umeshushwa na mungu uje usaidie mwenye uitaji na wewe ni zaidi ya nabii

  • @mathayoaloyc582
    @mathayoaloyc582 ปีที่แล้ว

    Me naitwa mathayo aloyc ni driver. Mungu.akubariki.sana.nabii.mkuu.mungu.ametupa.mungu.katika safari yangu anijarie niludi salama.nije kanisan nipate baraka zako mtumish

  • @queenbby92
    @queenbby92 2 ปีที่แล้ว +4

    Najiunganisha kwa jina la yesu

  • @janethkinabo3486
    @janethkinabo3486 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki baba, natumaini Mungu alikuleta duniani kwa makusudi, natamani sana siku moja nifike hapo japo uniguse mkono tu naamini yote ninayoyapitia yatatoweka.Mungu akutunze baba

  • @andrebikuba337
    @andrebikuba337 2 ปีที่แล้ว

    hakika wewe ni mutushi wa mwenyezi mungu anaye kumbuka lisha kondoo zako si kama wale wengine husema muchungaji ananyonya maziwa ya kondoo zake atapata maziwa wapi kama haukulisha kondoo zako ? hongera sana baba nabii mwenyezi mungu aendeleye kukutiya guvu akazidishiye na kile haukuomba piya mimi na patikana drc

  • @pendocharopendo9559
    @pendocharopendo9559 2 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana baba kwa ulicho kitua kwa moyo wako wa upendo na kushikaa mkona vijana wako mngu akuzidishiye kabisa kama ulivyo tamka kwa kinywachako kusema umezidishiwa mbinguni🙏🙏

  • @user-su8se8cp1o
    @user-su8se8cp1o 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifike arusha nikuone nakupenda sana baba nabiii mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 ปีที่แล้ว +2

    Am so much touched the way you are giving to people, May God bless you.

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana Baba wa ngurumo

  • @patricktarimo2699
    @patricktarimo2699 2 ปีที่แล้ว +1

    nimebarikiwa sana na msaada wa baba nabii kwa vijana wenzangu,

  • @jacksonkachonta4308
    @jacksonkachonta4308 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia sana maana nayajua maisha ya bodaboda ya Mtu na inakuwa mbovu lakini anataka marejesho yake, ajali familia imepata au laa.... Baba nimelia sana ni Kama Mimi ndo naipokea.

  • @philipomathias4334
    @philipomathias4334 2 ปีที่แล้ว +2

    That is my Dady we love you!!!!!

  • @davidmwanthi654
    @davidmwanthi654 2 ปีที่แล้ว +1

    May God bless you,,nigepata fedha million 3 niaze maisha ya familia yetu ilio sabaratika, from kenya

  • @pascalwanjala7478
    @pascalwanjala7478 2 ปีที่แล้ว +7

    You're real the servant of God and anointed one . May almighty father lord Jesus bless the work of your hand

  • @queenlyimo8626
    @queenlyimo8626 2 ปีที่แล้ว +2

    Yan nataman huyu baba na mm angeniona dah ana moyo wa huruma sana yangu baba mungu aendlee kukulinda utuokoe sis tusiojiweza baba

  • @mathayoaloyc582
    @mathayoaloyc582 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe nabii mkuu japo nipo congo tunajidai mungu ametupa nabii mungu akubariki sana sana nabii

  • @felikyalo8561
    @felikyalo8561 2 ปีที่แล้ว

    Baba kama huyu si rahisi kupatikana, hongera nabii wa mungu. Niko kenya

  • @oggreat5491
    @oggreat5491 2 ปีที่แล้ว +4

    I tap the blessings from you man of God

  • @adamsll7637
    @adamsll7637 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba Mungu akutunze sana Nakupenda sana 🙏

  • @naomijonas6300
    @naomijonas6300 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mungu ni mwema Sana, mungu akubariki Sana nabii mkuu

  • @michaelmotika4477
    @michaelmotika4477 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu unafanya mambo memea sijaona mfano unajali maisha ya watu sana huna wa kufananishwa hakika yo you have a big heart stay blessed!!!🙏🙏🙏🙏

  • @bridgetphiri5663
    @bridgetphiri5663 2 ปีที่แล้ว +4

    May the good God bless you Man of God 🙏🙏🙏

  • @philomenamueni30
    @philomenamueni30 10 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu akubari sana.naomba vile naeza nikufikie nko kenya nasina hera naeza nikufikie nimetezeka sana baba nizahidie nikufikie

  • @Mzena4343
    @Mzena4343 2 ปีที่แล้ว

    Huu ndio utumishi ambo MUNGU anautaka kusaidia watu sio kilasiku kupokea kutoka kwa shilika tuuu ubarikiwe Sana Baba

  • @livinusymkude3097
    @livinusymkude3097 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mchungaji ningetamani na mimi siku moja nifike kanisani kwako 🙏🙏

    • @arenyutenga1052
      @arenyutenga1052 2 ปีที่แล้ว

      Ninamambo mengi ambayo nikikuelezea natumah mchungaji utanisaidia kwa msaada wa Mungu unaweza

  • @kimzytvchannel2413
    @kimzytvchannel2413 2 ปีที่แล้ว +3

    Love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jeanpaulndabirorere5966
    @jeanpaulndabirorere5966 ปีที่แล้ว

    Baba nglumo ya upako mungu azidi kukuinuwa kwakila jambo kbs ningerikuwa nauwezo ningeweza kufika halusha namimi ili unibariki nauniondoreye mambo mengi yanayo nikaribiya maishani mwangu asante sana ungurumo ya upako nimimi jean Paul kutoka Burundi mwaka mupya nawatakiya nyinyi wote waumini wa ungurumo ya upako

  • @user-sf7ew4qf2t
    @user-sf7ew4qf2t 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema god bless you godev

  • @mtenjimjengwa5859
    @mtenjimjengwa5859 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana baba nakufuatilia sana mungu akuzidishie hpo ulipo

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niseme ukweli napenda unavyosaidia jamii tofauti na manabii wengine wao ni michango tu kuwachangisha waumini mi nimekupendea hapo kama nilivyokua nampenda tb Joshua ubarikiwe

  • @marympemba6378
    @marympemba6378 2 ปีที่แล้ว +2

    You touched my life in various way, God keep you Nabii mkuu.Asante sana kwahiyo 🙏🙏💕💕

  • @kennedymwaipopo5812
    @kennedymwaipopo5812 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen may good God bless you Dad u are a blessing to this nation of Tanzania and to the world as large...

    • @asilakemilembe2033
      @asilakemilembe2033 ปีที่แล้ว

      Mungu wetu hakika mungu akuzidishie baraka,umri mrefu kwa kuwajali Wana wa mungu.hakuna siku uliyomshangaza mungu ulipowapa vijana bajaji

  • @sarahadamnakintu6893
    @sarahadamnakintu6893 2 ปีที่แล้ว

    Your are great man of God Asante Sana baba all from ug

  • @user-vo4ux3bl6f
    @user-vo4ux3bl6f ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba,siku zotee za maisha yako

  • @irenerweyemam9164
    @irenerweyemam9164 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azid kukupa afya njema na maisha maref ukamtumikie vema nataman kupata maombi yak baba🙏

  • @mariumbrown8854
    @mariumbrown8854 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na huduma yako Mungu akutunze mtumishi wa Mungu

  • @sarahmgaya4870
    @sarahmgaya4870 2 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha nahao namm siku Moja Mungu anisaidie nipate mtaji Ili niweze kuendesha maisha yangu nakujisimamia ktk changamoto nazo zipitia🙏

  • @mireilleirakoze602
    @mireilleirakoze602 2 ปีที่แล้ว +3

    Balikiwa sana mucunganji 🙏♥️🇧🇮

  • @robartlucas3630
    @robartlucas3630 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana yesu

  • @dcpkienyejipoultryfarmerst7211
    @dcpkienyejipoultryfarmerst7211 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Mbarikiwa na Mtume wa Mungu, Kazi yako NI NJEMA TENA NJEMA MACHONI PA WATU NA PA MUNGU

  • @lukasthomas4074
    @lukasthomas4074 2 ปีที่แล้ว

    MTUMISHI WA MUNGU MUNGU WAMBINGUNI AKUBARIKI SANA AKUPENGUVU KATIKA KUIFANYA KAZI YAKE MUNGU KATIKA JINA LA YESU AMINA

  • @dismasmselle9991
    @dismasmselle9991 2 ปีที่แล้ว

    Hakika we ni nabii wa kweli uko ju sana Mzee wa ngurumo

  • @charlesmarende1584
    @charlesmarende1584 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm Charles marende kutka kenya baba niombe baraka baba 🙏🙏ili nikamileshe my dream

  • @joynessmhalila811
    @joynessmhalila811 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarki paster kwa kugusa maisha ya watanzania, Aman ya kristo iwe nawe.

  • @ethelmugodo2037
    @ethelmugodo2037 ปีที่แล้ว

    I love what I watch daily from Nabii Mkuu

  • @elinajoram4738
    @elinajoram4738 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka nimelia baba Mungu atume maraika wake akulinde

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana nabii mkuu wa manabii wote

  • @josephkileo8235
    @josephkileo8235 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na maubiri yako mtumishi

  • @deborapeter9188
    @deborapeter9188 2 ปีที่แล้ว

    Daaah Mungu huleta mtumishi wake ili kuinua wengine na Mungu ajitwalie utukufu wakina lake

  • @msumially7399
    @msumially7399 ปีที่แล้ว

    Hongera nabii mkuu jodevi mimi nimuislamu lkn nakupenda sana kwamoyo ulionao mm nidereva lkn cnakaziyamaana yakuniingizia kipato niweze lea familia yangu lkn naamini maono yako ktk mazabau yako naamini unaweza nibariki kwamaambiyako nanikafanikiwa baba atafunguliwa yule aniaminie baba mm nakuamni sana bwanayesu awenawe

  • @andembwisyekyomo8508
    @andembwisyekyomo8508 ปีที่แล้ว

    Be blessed mtumishi wa mungu kwa kazi kubwa unayofanya kuwasaidia watu kiroho na kimwili,hajapatatokea wewe kweli ni nabii. Mkuu

  • @emmammary3263
    @emmammary3263 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba kwa karma uliyopew na mungu nakuomba uwafungue wanangu godson na dickson kiiucumii

  • @mustafapierrekalume7140
    @mustafapierrekalume7140 2 ปีที่แล้ว

    Papa sikamoh Niko Congo nakosa kasi papa mungu akuingiye tu unisaidiye

  • @Suzi_Ndatulu
    @Suzi_Ndatulu 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongezee neema na cku zakuish mtumishi

  • @sherahinspires1279
    @sherahinspires1279 2 ปีที่แล้ว +4

    Great minister, wonderful choir, God bless u and reward you with more. From Kenya

    • @eunicemusalia3268
      @eunicemusalia3268 2 ปีที่แล้ว

      Asante MUTUMISHI Wamungu ,MUNGU
      Akuongeze mwahaka zahidi .

    • @kakulemeshackSamuele.
      @kakulemeshackSamuele. ปีที่แล้ว

      Kazi njema nabii mukuu kusaidia wanao onewa,mimi nakufata kutoka RDcongo,mpaka apa n'a uganda luviriha,asante kwakazi,ila namimi nahitaji kazi,majina ni kakule meshack Samuel.

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Nabii aigwe maana vijana tunahitaji support sana tupambane

  • @jonasntumba5161
    @jonasntumba5161 ปีที่แล้ว

    Ni baba kwelu mungu azidi ku bariki peniewe panatoka

  • @atanastv729
    @atanastv729 2 ปีที่แล้ว +3

    Thanks God

  • @mckingmojojo363
    @mckingmojojo363 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimetazama video hii mpaka nimelia Nabii Mkuu naandika haya nikisema wewe Mungu amekuchaguaa uwepo katika muda huu kwa makusudi kabisa unasaidia wengi na wanapokea sawa sawa na imani yao 😭😭😭 Yesu kristo azidi kukutunza Baba Nabii Mkuu, nakupenda sana.
    Ameni.

    • @mckingmojojo363
      @mckingmojojo363 2 ปีที่แล้ว +1

      Natamani nifike japo siku moja mahali hapo niabudu pamoja na Familia ya Nabii mkuu. Nawapenda sana.

    • @mwajumasteven2815
      @mwajumasteven2815 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba za uyu nabii

  • @marymwakisha9551
    @marymwakisha9551 2 ปีที่แล้ว

    Asifiwe nabbi wa mungu naitwa mary mwakisha toka kenya napenda kukufuatilia sana namini mungu wako unavosaidia watu wengi mungu akubariki sana uishi maisha marefu. Naomba unifungue na mashida mingi, matatizo ya ndoa,vita kwa nyumba,magonjwa kila wakati, ufukara akuna maendeleo kupambana tu na maisha nikomboe nabii wa mungu mume wangu mungu amufungulie milango ya kazi .mungu atuondolee madeni tunateseka

  • @peterdominick27
    @peterdominick27 2 ปีที่แล้ว

    Baba umeteuliwa na mungu kusaidia nakuinua sisi watu wa chini kuinuka baba mie natamani hata siku moja nikijaliwa nifike kanisani kwako pia hata uniwekee mkono wa neema! Pia nafatilia Sana mahubiri yako ya kuponya na kulete matumaini ,,,,Asanter baba napenda Sana mahubiri yako mie nipo Mara musoma

  • @sabiachollo8469
    @sabiachollo8469 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @Leketafashionmk9504
    @Leketafashionmk9504 ปีที่แล้ว

    Baba ni ombeye na mimi mungu anijibu maitaji yangu😭 🤲🤲

  • @queenbby92
    @queenbby92 2 ปีที่แล้ว +3

    Ipo siku yangu tuu... na nina amini itafika

  • @peterngonyani5329
    @peterngonyani5329 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Asifiwe Sana . Mungu nii Mkuu. Nimeiona Upako huu karibuni , Namshukuru Mungu kwa hilo . Kweli Mungu anajionyesha Hadharani.

  • @sautiyamungutv4727
    @sautiyamungutv4727 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli Mungu atukanwi mimi nilikujua Geodev kupitia mtu aliyekuwa akikutana nllichomwambia usimseme vibaya tulikosana kabisa na ilipelekea mimi kukosa kuendelea na masomo ya theorogy lakni yeye alipewa kituo baadae alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kupoteza maisha watu msimeme vibaya uyo Nabii amebeba kusudi la Mungu Nina ushaidi wa kutosha