NAIBU SILINDE AELEKEZA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA KUANZISHA VYAMA KTK SEKTA NYINGINE ZA KIUCHUMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Tume ya maendeleo ya Ushirika kwa kushirikana na wadau wengine imeagizwa kuhamasisha uanzishwaji wa vyama vya ushirika katika sekta zingine ukiziacha na kilimo na fedha ambazo zimepiga hatua kubwa.
    Akifungua maadhimisho hayo ,Naibu Waziri Silinde anapongeza Tume ya maendeleo ya ushirika kwa jitihada zake katika kuendeleza vyama vya ushirika ambapo asilimia 84 vipo katika sekta za kilimo na fedha na sekta zingine kuachwa nyuma.
    #tabora #ushirika #naibuwazirisilinde

ความคิดเห็น •