Nyumba zinasiri nzito co kwa wachungajj co kwa waumini na hakuna mjanja kwenye ndoa ni Mungu tu hakuna ajuaye changamoto yao ,na changamoto ya mchungaji ucpocmama imara hata uchungaji unaushindwa ila baba uneweza ,umesimama wala hujatikisika
😂😂😂ila wapenzi watazamaji mna kazi,ishu ni sherehe ya binti yao ile mtu wa kwanza kaanza kukoment juu ya Christina basi wote mnafuata humo humo,daaah!!na mnavyojua kuhukumu sasa😂😂😅
Tamaa ya mwili, Tamaa ya macho na kiburi cha uzima... Dada Christina dadangu! Kupitia wosia wa Baba kwa mtoto; Unajifunza nini lakini!? Aiseee Wanawake!?!?
Enewe kuolewa jambo jema ,ila nina wasiwasi sana huyo binti kwa sababu mama ake cjui kama karudi kwa mume,kama hajarudi na hatarudi siamini kama hyo binti hatakaa kwenye ndoa,enewe kazi ya Mungu ila tunatoa mawazo yetu
Moyo wa ntu ni kisima cha siri kubwa. Na si kila jambo linasemwa. Waachie SHUSHOs' waseme wenyewe maana mimi na wewe mambo ya ndani mwa iliyokuwa ndoa yao ni fumbo kubwa
Kuna siku namuona christin shusho kwwny tv ameshuka uwanja wa ndege kavaa tait na blauz nakikot palepal nikasema ma mchungaji ciku hiz kaingia mjin kabl ht skend zake hazijaanza
Ni send off. She is being sent off from her family into another family.Kigumu hapo nini? Tanzania tuna sherehe 3 ,ya kwanza ni kitchen party,mwali anafundwa na wanawake wenzake,2. send off,upande wa binti wana sherehe ya kumuaga binti yao kabla harusi. 3.Harusi upande wa bwana huwa na sherehe ya kumchukua mke sasa. Usikariri maisha wala kulazimisha uelewa wakwenu hapa mzee
Mbona umuite christina kahaba. Ushawahi shuhudia akifanya ukahaba ama ni zile porojo unazosikia na kuzisambaza bila kujua au kuzielewa. Usihukumu, usije ukahukumiwa.
@@George-jz3jg Astaqafirullah Astaqafirullah tema mate chini wawez kuta hata wewe sio Mtoto halal WA mama yako punguza ukali wa maneno jifunze kunyamaza Acha kushabikia unayoyasikia bila kuwa na ukweli wowote
@@gjlisakwakwel arudi kwa mumewe Sisi mashabiki tunakuomba çhristina arudi alee wajukuu Kesho ataitwa Bibi tunafurahi kuona watu wakiwa pamoja ndoa haiwez fika miaka 40 bila kupitia changamoto dada yetu Christina changamoto ni kitu cha kawad kwenye ndoa umri uliofikia ni umri wa kupuuza mambo hata mumeo akutukane ukishakua mkubwa unayapuuza siku zina songa pia kuna umri WA ndoa kupevuka usipojua hili somo la ndoa kupevuka na usipokua mtu wa maombi unawez kutetereka Mungu awasaidie siku moja mrudiane muishi pamoja Mungu hapendi talaka kuna Raha mkienda kutembea kwa mama na Baba jmn sio mam Yuko kulia mwingine kushoto hainogi Tina Rudi mama usione aibu watu wako tunakupenda
@@ROZITHOMAS-y4q tuandamane Sisi mashabiki wa Christina tumuombe arudi kwa mumewe tunapenda kuona wakiwa pamoja,, majaribu kwenye ndoa NI kitu cha kawad, kuvumilia ndio jibu ,, labda uwe umemfumania km biblia inavyosema isipokua kwa uzinzi ila kama NI mengine popot ulipo dada yetu na mama yetu tunakuomba urudi tafadhali usione aibu
@@masweto we kweli nimegundua kitu kwako.....yani unasema nibonyeze youtube...nikazani unasema nifungue Bible nisome kumbe youtube...Duuh mpaka hapo bas...niishie hapo duh umenishangaza
@frida-oi6kw hiyo biblia inakataza mapambo sana sema ulokole usiokua na Mungu unaruhusu mapambo Hana tofauti na kahaba ataenda mbingu ya nani akiwa na maherni mabangiri malipstiki mawanja mekap kweli harafu mtu akisema mnakuja juu maandiko hata kama mtu akiyatoa kazi ni ubishi tu
Huyu baba yetu Mungu akubariki mi ninafahamu fika wewe ni mtumish wa Mungu kabisa usimrudishe Christina ameshakua kahaba jezebel wa bahari huyo kubadilika ni ngumu lkn usioe mzee wanawake tunasumbua mno 😂😂😂
Mambo ya ndoa waachie wenyewe maana wewe hukuwepo wkt wakibaliana tangia mwanzo. Hivyo ni vigumu kuwa shahidi mwaminifu wakati wa changamoto za ndoa yao. Narudia tena, ndoa yao! You are just an outsider so you have no mandate to speak or judge
Kufundisha mtoto ni kitu kimoja lakini kuishi ulichomfundisha ni kitu kingine. Wazazi wasisulubiwe kwa maamuzi ya watoto wao, mtu mzima anayeenda kuolewa ni wa kufundisha kuvaa kweli jamani?
Umeongea maneno yenye hekima na Nguvu sana..mwenye sikio asikiye...Pesa isikutawale bali Yesu ndo atawale maisha yako...🎉🎉🎉
This man ia a gift of his family,my God lulu hii unaoachaje ata kama kuna shida za ndani,je yesu umemkana mamaaaaa
Kila unachofanya jiulize Yesu amesimama wapi katika hili,hii nimechukua mtumishi wa Mungu!!Barikiwa sana
@@zainabumambe7389 Alivyo mama ndivyo alivyo binti
Hongera sana Babaangu unakitu kikubwa sana ndani yako.hekima kubwa ❤ MUNGU akuinue sana.
Mungu akutunze baba umeongea point mtumishi. Kila la kheri mwanangu ktk maisha Yako ya ndoa
Weee Mzee Shusho amemgonga Christina shusho kwa mifunmbo mikali
Uyu Bwana ni intelligent na lntegrity
May God bless you Mzee Shusho❤
Mzee shusho Mungu akutunze hekima zako ni za juu sana
Ndoa zina siri kubwasn!! Sisi tunaona ya nje lkn hakimu mzuri wa ndoa ni wanandoa wenyewe na Mungu wao tuuuu 🎉
Hongera sana Bishop SHUSHO kwa kushuhudia sherehe ya send off party 🎈 🎁🎉🍾🎁 ya mwanao
Hakika this is man of God kweli sema Mungu amsaidie binti huyu
Amejaa hekima sana, ubarikiwe baba, nimekupenda bure❤❤
Aiseeeee!! Mzee anaongea maneno mazito mnooo. Mwenye sikio na asikie.......
- Tamaa ya macho
- Tamaa ya mwili
- Kiburi cha uzima
🎉🎉Tamaa ya mwili
Tamaa ya macho
Kiburi cha uzima
Malango ya uharibifu
Nami nimebeba vyangu ahsante sana Mzee Shusho
Ahsante kwa hekima yako 🎉🎉🎉
Bless
@@gustavrwekaza802 chtistina shusho arudie mzee wake
Aache tamaa ya mwili na vijana wadogo.
Amina❤ mtumishi wa Mungu mwenyezi Mungu aibariki ndoa hii maneno yako wosia wako ukamzunguke binti yako❤❤
BWANA akutunze sana Mtumishi wa Mungu Mzee Shusho.
Hongera sana nawafaham vizuri wewe nafamilia yako
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa nasaha nzuri
Nyumba zinasiri nzito co kwa wachungajj co kwa waumini na hakuna mjanja kwenye ndoa ni Mungu tu hakuna ajuaye changamoto yao ,na changamoto ya mchungaji ucpocmama imara hata uchungaji unaushindwa ila baba uneweza ,umesimama wala hujatikisika
Acheni maneno binti amependeza sana na Mungu awabariki katika safari yao ya maisha yao ya ndoa.
Mungu atusaidie sana,barikiwa mutumishi
Amina baba nakuelewa sana lazima tujue Yesu anasimama wapi
Mungu akubariki baba
Yaaani shusho kamuacha baba mzuri hivi baba wa watu yuko so humble aiseee sisi wanawake tuko na problem sana😢😢😢😢
TAMAA YA PESA NA KUZURURA DUNIANI, DUBAI USA, N.K
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
Halafu uzeeni bora angekuwa binti,
@@TheCvm229nimechekaa nyieeee 😂😂😂😂😂😂
Musiongee hivyo hamuezi jua ni nini kilicho wafanya waaachane
Amen baba kwa wosia uliojaa hekima ya ki- Mungu
Mahusia mazuri sana kutoka kwa Baba. Ubarikiwe sana mch.
❤❤❤ baba christina huyu
Nzuri,kamuongelesha binti yake vizuri na kipekee,style.Nzuri sana❣️🍎♥️
Mungu akutunze sans Babs mchungaji Hekima na Busara unazo,huyo Binti sayuni Shusho msamehe bure....Fanya kazi ya Yesu....Nakupenda Baba❤
Mungu akubariki askofu shusho
Baba ni mzuri na Ana hekima Shusho ludi kwa mmeo uombe msamaha .kuhusu kutawaliwa na fedha ni Shusho ndo maana kwenda kwa Jodevi kuomba hela.
😂😂😂ila wapenzi watazamaji mna kazi,ishu ni sherehe ya binti yao ile mtu wa kwanza kaanza kukoment juu ya Christina basi wote mnafuata humo humo,daaah!!na mnavyojua kuhukumu sasa😂😂😅
❤❤❤baraka za baba amechukua zote
Great wisdom ❤❤
Wisdom❤❤❤
Tamaa ya mwili, Tamaa ya macho na kiburi cha uzima... Dada Christina dadangu! Kupitia wosia wa Baba kwa mtoto; Unajifunza nini lakini!? Aiseee Wanawake!?!?
Insightful
Enewe kuolewa jambo jema ,ila nina wasiwasi sana huyo binti kwa sababu mama ake cjui kama karudi kwa mume,kama hajarudi na hatarudi siamini kama hyo binti hatakaa kwenye ndoa,enewe kazi ya Mungu ila tunatoa mawazo yetu
Askofu keshavunja hiyo madhabahu ya mafarakano hivyo binti yuko free
Sio lazima kila binti afate tabia za mama yake
Mungu akupe hekima baba yetu,
Hongera Baba usimrudishe shusho huyo ni kahaba wa kawaida
Kama wewe ulivyo KAHABA
Una hukumu mwenzako ila ww pia bado unaishi
Ole wako
Una kipimo cha kupima ukahaba
Ww malaika mbona hauku baki mbinguni
Mtumikie Mungu bila kuchoka. @ Bila kuchoka🇹🇿💟🙏
Amina baba uko vzr
Ubarikiwe babaang ❤❤
Ameen Baba Umenena Vema sn❤❤❤🙏🙏
Umh mbona kamsema Christine mkewe😢😢
Na yupo hapo😂
Busara nyingi Sana Mzee wetu, mafundisho mazuri kama ana akili timamu keshaelewa .mungu akubariki
Mimi jamani nilivyokuwa nabarikiwa na christina shusho naona aibu uwiii
Mchungaji mungu akutunze kwa yote uliyo pitia ipo bado neema ya Mungu imekubeba kristina wewe utamwambia nini Mungu ukimuona
Moyo wa ntu ni kisima cha siri kubwa. Na si kila jambo linasemwa. Waachie SHUSHOs' waseme wenyewe maana mimi na wewe mambo ya ndani mwa iliyokuwa ndoa yao ni fumbo kubwa
Yaaa baba unaye mungu mungu akushike baba yote uliyopitia
Mungu akubariki.
Amina baba
Mchungaji anabusara sana jmn kabisa lake lipo wapi
I got point from you bishop.
Baba mungu akutunze naa akutibu vidonda vyote ndani ya moyo wako
BwanavYesu asifiwe sana, lakini mtumishi mavazi ya hao wanawake mbona ni ya kidunia jamani au macho yangu
Amehubiri kabisa🙏
Tafadhali jaribuni kubadilisha hilo neno Send off kwa. Harusi
Hata mimi nimeshangaa mbona linatumika kwa harusi?
Mtuelewe hiyo lugha hatuelewi vema ni lugha ya wazungu
Amen amen shauri ni zuri
Kongole kwa Bab shusho
But send off also can be used for the wedding waah i didn't know i thought only in burying???
Limetumika Mahalia siyo pake
@HildaMacharia yaah
@@agnetasikulu4670 ok dear
Inategemea upo Nchi Gani.
Kwa Tanzania Send Off.
Ni sherehe ya kumuaga mtoto wa kike kutoka kwa wazazi wake kwenda kwa mume wake.
❤
Wala ode wetu kadamsh Yan Wala sio mabega wazi, Kuna kitambaa hapo ...!!
Daaa jamani Baba wa watu ameongea maneno yenye hekima na busara ndani yake.Mungu akutunze baba uishi miaka mingi uweze kushuhudia ndoa za wanao wote.
Hiyo nguo mabegani hadi shingoni ni ya rangi ya brown na ime Iba vyema hadi shingo. Ila kwa kuwa mwanadamu wanapenda kuona makosa..........
Hayo mabega yamefunikwa na kitambaa cha less material inayofanana na rangi ya mwili wake hivyo hayuko wazi hata kidogo
Why people divorce coz its affect children too much
Amin amin
Kapendeza
Mwachen bint afurahiye siku yake nguo ipo poa jamani
Sasa hii ni Harusi ama SEND OFF Shem on you mwenye kuandika heading bila kuwaza
I thought someone died!!😅
Sasa kilichomuondoa Christina kwake ni nini aache Tamaa ya macho vyote ving'aavyo si dhahabu
Christina alipojiunga na freemason kisirisiri aliamliwa na wakuu wa freemason aachane na mme wake
Heikima ni busara kwa mungu
Mungu akutien nguvu dani ya uduma yako
Kuna siku namuona christin shusho kwwny tv ameshuka uwanja wa ndege kavaa tait na blauz nakikot palepal nikasema ma mchungaji ciku hiz kaingia mjin kabl ht skend zake hazijaanza
Usimrudishe shusho kwako tena akacheze stage show ya diamond platinum...
😂😂😂😂😂😂😂
Mbona ni mume na nusu christina shusho rudi kwa mumeo
PESA ZA NABII JO DEV AMWACHIE NANI
Its not send off but SENT IN marriage... Lakini Tanzania waaaa
Kiingereza taabu
Ni send off. She is being sent off from her family into another family.Kigumu hapo nini?
Tanzania tuna sherehe 3 ,ya kwanza ni kitchen party,mwali anafundwa na wanawake wenzake,2. send off,upande wa binti wana sherehe ya kumuaga binti yao kabla harusi. 3.Harusi upande wa bwana huwa na sherehe ya kumchukua mke sasa.
Usikariri maisha wala kulazimisha uelewa wakwenu hapa mzee
Kumbe inawezekana kufunga ndoa alafu ndio tufanye sendoff mbona hamkusema😢😢
NDIYO maana ya send off kamili ,hizo zinazotanguliza sendoff kiukweli so utaratibu wa kimungu ni upagani
Kwani si mnapanga wenyewe sio sheria kama munavyo weza funga ndoa siku yoyote watu wamecrem jumamosi
@@superwomen6506 hapan hapo walifany SEND-OFF Kisha ndoa ikafuata nahisi hawa walihelewa kuweka kwenye media Yao
😅😅😅
Hata Mimi nilifunga ndoa then send off baada ya miezi 3 mbele..ni Uamuzi tu
Well said
Yani shusho ao karogwa kumuacha mume wa ekima kama uyu
Jamani mbona Kahaba Christina Simuoni hapo? au aibu imemfanya asije hap
Mbona umuite christina kahaba. Ushawahi shuhudia akifanya ukahaba ama ni zile porojo unazosikia na kuzisambaza bila kujua au kuzielewa. Usihukumu, usije ukahukumiwa.
@@George-jz3jg Astaqafirullah Astaqafirullah tema mate chini wawez kuta hata wewe sio Mtoto halal WA mama yako punguza ukali wa maneno jifunze kunyamaza Acha kushabikia unayoyasikia bila kuwa na ukweli wowote
Christina shusho anaachaje mume mzuri hivi. Namshauri arudi kwa mume wake
Mchukue wewe si yuko single?
@@gjlisakwakwel arudi kwa mumewe Sisi mashabiki tunakuomba çhristina arudi alee wajukuu Kesho ataitwa Bibi tunafurahi kuona watu wakiwa pamoja ndoa haiwez fika miaka 40 bila kupitia changamoto dada yetu Christina changamoto ni kitu cha kawad kwenye ndoa umri uliofikia ni umri wa kupuuza mambo hata mumeo akutukane ukishakua mkubwa unayapuuza siku zina songa pia kuna umri WA ndoa kupevuka usipojua hili somo la ndoa kupevuka na usipokua mtu wa maombi unawez kutetereka Mungu awasaidie siku moja mrudiane muishi pamoja Mungu hapendi talaka kuna Raha mkienda kutembea kwa mama na Baba jmn sio mam Yuko kulia mwingine kushoto hainogi Tina Rudi mama usione aibu watu wako tunakupenda
@@gjlisasio jibu Hilo love
Umalaya unamsumbua muache atembeze ameona mzee sio taipu yake
@@ROZITHOMAS-y4q tuandamane Sisi mashabiki wa Christina tumuombe arudi kwa mumewe tunapenda kuona wakiwa pamoja,, majaribu kwenye ndoa NI kitu cha kawad, kuvumilia ndio jibu ,, labda uwe umemfumania km biblia inavyosema isipokua kwa uzinzi ila kama NI mengine popot ulipo dada yetu na mama yetu tunakuomba urudi tafadhali usione aibu
Tuangalie vizuri mabega hayako wazi kitambaa cha rangi moja kinaonekana kabisa kushoto na kulia kwenye mabega.
Tafuta ndoa mpendwa ili upunguze maneno maneno
This was before marriage i think.
Yesu anahusika wapi katika hili🙌
Ulitakaje wewe. Acha wivu
aime mtumishi wamungh ubalikiwe
Barikiwa sana
Kwani mamake ako wapi
Hii kizungu ina tatanisha send off?
Hakika
Send off ni neno ambalo linatumika kwa mtu alieaga jamani maana hamtamwona tena.
And😊
Baba ameongeya kimuhimu hekima za nguvu
Kwanza huyo binti hajaokoka malembo ni chukizo kwa Mungu
Aya wewe ulieokoka....si ndo unamjua Mungu vizuri....acha mambo yako..unampangia Mungu yupi aokoke yupi asiokoke....Acha kuhukumu..nonsense
@frida-oi6kw unayo simu ya tachi bonya utube mapambo ni dhambi au sio dhambi
@@masweto we kweli nimegundua kitu kwako.....yani unasema nibonyeze youtube...nikazani unasema nifungue Bible nisome kumbe youtube...Duuh mpaka hapo bas...niishie hapo duh umenishangaza
@frida-oi6kw hiyo biblia inakataza mapambo sana sema ulokole usiokua na Mungu unaruhusu mapambo Hana tofauti na kahaba ataenda mbingu ya nani akiwa na maherni mabangiri malipstiki mawanja mekap kweli harafu mtu akisema mnakuja juu maandiko hata kama mtu akiyatoa kazi ni ubishi tu
@frida-oi6kw 1petro 3:3-6yeremia 4:30...1timotheo2:9 mapambo haya makanisa yote yatatoswa jehanam kwa kutokutii neno la Mungu
Uzidi kumuasa asifate nyayo za mama yake
Ndoa ina mambo mengi sana mvumiliane na mumeo wakati wa shida.... Mapito kwenye ndoa lazma kila mtu ayapitie kwakweli. Kaa tayari kuyakabili
Hekima imetawala
Mabega hayapo wazi ila nia aina ya kitambaa alichoshona ukikiangalia vibaya unaweza sema mabega yake yako wazi tazama vzr
Jamaniii wanadamu mna mamboo Baba wa watu kaongea maneno mazuri badala mumpogeze mnaleta vijembe Mwe!
Bint kapendeza. Sana
Shida ya wanadam ni WIVU !
Huyu baba yetu Mungu akubariki mi ninafahamu fika wewe ni mtumish wa Mungu kabisa usimrudishe Christina ameshakua kahaba jezebel wa bahari huyo kubadilika ni ngumu lkn usioe mzee wanawake tunasumbua mno 😂😂😂
Ivi shusho hayupo hapo au
Usihukumu usije ukahukumiwa
Mambo ya ndoa waachie wenyewe maana wewe hukuwepo wkt wakibaliana tangia mwanzo. Hivyo ni vigumu kuwa shahidi mwaminifu wakati wa changamoto za ndoa yao. Narudia tena, ndoa yao! You are just an outsider so you have no mandate to speak or judge
Unauhaki ya uyasemayo dada
Ndoa unamambo mengi,
Kwakweli katungekua nawatumishi kama wewe Bado watutungekua na matumaini
Send off!!!!!????
Huyu ndobyule aliolewa miezi michache iliyopita au huyu bae ni mwingine?
NAmi najiuliza
Labda mwingine
Ni yeye hii ni send off
Maneno ya baraka kabisa kutoka kinywa cha baba! ikawe sawasawa na matamko hayo.
Mfundishe mwanao kuvaa kwa adabu kuvaa mabega nje hivo ni aibu mnamtukanisha Mungu mnakua kama wapagani
Wewe macho yako yatakuwa na shida..
Tamaa za kipumbavu mabega TU yanakupeleka jehanamu si usiyatazame imeandikwa jicho lako likikusea ling,oe ,period
Man of wisdom
Hivi mabega ni kitu cha kumsimangia mtu??? Acheni kujihesabiaga haki!
Kufundisha mtoto ni kitu kimoja lakini kuishi ulichomfundisha ni kitu kingine. Wazazi wasisulubiwe kwa maamuzi ya watoto wao, mtu mzima anayeenda kuolewa ni wa kufundisha kuvaa kweli jamani?