SHUSHO ''WATU WENGI MAISHA YANGU HAWAYAJUI/KIMWANAUME GANI HIKI NAJUUTA/KUNIVUA NGUO''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2020
  • #mchezakwao #christinashusho #mahusiano
    Fatilia mahojiano maalum yakwake Christina Shusho kupitia kipindi cha Mcheza kwao ambapo ameweka wazi juu ya taarifa zilizopo mitaani kuhusiana na ndoa yake pamoja na kile kinachoendelea cha ndoa na mahusiano ya waimbaji wa mziki wa injili ambayo yamekuwa yakiingia katika sintofahamu, Sasa hayo ni machache kati ya mengi ambayo Shusho yote katupa majibu yake.

ความคิดเห็น • 450

  • @ANNAMLAKI
    @ANNAMLAKI 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mshukuru mungu atauliolewa mdogo ni mungu alitaka iwe ivo naalikuwa na sababu pengine usinge kuwaapo alikupa mume watoto ukamjuwa mungu umekuwa sta sema mungu asate na mungu anasababu tena jivuniye wapo wazuri awana kitu atamungu awamjuwi muweshimu mume wakoo kunaneema sana mkiwa wawili utengano ni zaifu majina sikitu kitu ni yesutu

  • @jameskipara711
    @jameskipara711 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Alisha muasi Mungu kitambo sana tamaa yamafanikio imempoteza

  • @adeladaudi2047
    @adeladaudi2047 2 หลายเดือนก่อน +3

    Urudi kwa mmeo, acha kujiuza mitandaoni dada! Umelitukanisha jina la BWANA😢😢

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe tumekujua umalaya ,wako,mawaziri,wanaume mpaka mume kukukamata,leo unadai Mungu amekuita ,siyo Mungu ni shetani ,acha kudanganya.Amen

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 2 หลายเดือนก่อน

      Dah😢😢😢😢 ctaki kuamn

    • @sylviahslyelvo7942
      @sylviahslyelvo7942 2 หลายเดือนก่อน

      Husiukumu husije kuhukumiwa

    • @polokotomwalusamba1132
      @polokotomwalusamba1132 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu ni kahaba tu hana lolote afu muongo tuu

  • @mercymeriy7851
    @mercymeriy7851 2 ปีที่แล้ว +3

    shusho tuimbie ..nimapito..tunayo pitia song..ii maisha ya siku hixi weeee.......

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa mm ushauri wangu mama nakuomba urudi kwa mumeo na watoto wako kwa kuwa ni sawa na kwamba umemvua YESU KRISTO Utukufu wake na kumkanyaga chini ya miguu yako

  • @meyasadavid9801
    @meyasadavid9801 3 หลายเดือนก่อน +4

    Christna umekengeuka sana kumuacha mmeo huna bei duniani rudi kwa shusho haraka umepotea tamaa za dunia zina mwisho ucje kufa kibudu mama

  • @HappyAnord-fb9nq
    @HappyAnord-fb9nq 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kristina mnamlaumu tu Bure na kumtukana Ila ninachojua shetani Yuko nyuma yake sio yeye kabisa, Mimi na wewe tumuombee Mungu Sana, mwenzenu kakamatwa

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 3 หลายเดือนก่อน +11

    Dada napenda sana nyimbo zako ila tabia yaco ya usaliti Mungu anakuona

  • @EsauBanda-cw3cf
    @EsauBanda-cw3cf 3 หลายเดือนก่อน +3

    Unapendeza Sana kuwa changu doa Una mwili mzuri utapiga hela Sana Kwa kina harmonia diamond

  • @BeatriceSwai-fd6mn
    @BeatriceSwai-fd6mn หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana dada Christina, Mungu akutunze,napenda kukufuatilia sana, endelea kubarikiwa.

  • @user-tu9zm1jh3n
    @user-tu9zm1jh3n 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akusaidie nimambo yakutisha kama hujampa YESU maisha nivema ungeokoka Itakusaidia kutambua mema na mabaya YOHANA 1:12 wote waliompokea walifanyika Wana wa MUNGU

    • @12345678938129
      @12345678938129 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani ukitimaza comments za wanawake wengi hapa , utapigwa na butwa. Yaani imani na neno la mungu nawaweka pembeni. Interview wanaielewa kiAkili za mwili tu . Neno takatifu linasema je ?

  • @mutheekigwaci4871
    @mutheekigwaci4871 3 ปีที่แล้ว +1

    Christina Shusho big up yourself...unangonga facto tupu..nice words of encouragement🙏🙏👸

  • @elfridaezekiel4478
    @elfridaezekiel4478 2 หลายเดือนก่อน +2

    Christina ulianza vizuri, bt sasa hatubarikiwi na mziki wako.

  • @mage5371
    @mage5371 3 หลายเดือนก่อน +2

    Christina acha manjonjo kiukweri umetuangusha sana kina mama

  • @joshualemayian4647
    @joshualemayian4647 3 ปีที่แล้ว +5

    Thanks alot shusho to me I accept u to be apart of being I singer I ❤ and accept u as a life coach. Out of this u taught me saaana

  • @sifa.mwandetele
    @sifa.mwandetele 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dada kumbuka ndoa ni pingu ya maisha,sasa imekuwaje ww umwache mume,tunavumiliana kwenye shida na raha,rudi kwa mume unapotea

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwenye Karia yangu nimegundua kua usimwamini mwanadamu watu ni wepesi Sana kusahau walikotoka sasa ndo umuacha mumeo kwasababu za kitoto hizo soma umepata kidume Cha bongo freva kimekupa jeuri ya kumuacha mumeo Sasa huko umetoka kwe mikono ya Mungu unamkimbilia shetani Rudi nyuma ujitafakari

    • @eziritawaYesu
      @eziritawaYesu 2 หลายเดือนก่อน

      🎉 kweli sababu hawezi endelea na mmewe ka ako kinyume na hzo chama chake lazima watengane ndio mambo yake yaende sawa light ed darkness can't stay 2getha

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 2 หลายเดือนก่อน +1

      Shut up huwez kuipenda familia yake zaid yake yeye..ebu muache afanye maamuzi yake mwenyewe...

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna kitu napenda kwako Mama kama HEKIMA.❤❤❤ forever Yaan

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana Dada Christina,namshukuru Sana mungu kwaajili yako Kwa jinsi mungu anavyokutumia,nimekusikiliza vyema kwenye mahojiano,umeongea kweli mungu akubariki.

  • @thieriniyorukundo2365
    @thieriniyorukundo2365 3 ปีที่แล้ว +7

    Shusho napenda sana nyimbo zako,zinanijenga,zinaniko marisha asante

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว +4

    Wonderful interview,,, Intelligent woman of God,,, Endelea ku expect vitu vyote, Christina! Mungu anakupanulia wigo:-)

  • @namisiburia3025
    @namisiburia3025 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Lots Christina Shusho, the befitting answer potray the worth you hold

  • @EDETRAUDHUNGU
    @EDETRAUDHUNGU 3 หลายเดือนก่อน +1

    wewe mtangazaji wa startv upo vizuri Sana katika kututafutia taarifa zilizojificha,Asante Sana Ila tuachane masuala ya kusaparate saparate.

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว +5

    "Kazi ya Mungu imenijenga, imenipa kujitambua, kusitawi, kuweka mizizi ..." Heri mume wako, pamoja na wale wote ambao wamebahatika kutumia maisha yao kando yako! Bless!

    • @jesuslover507
      @jesuslover507 3 หลายเดือนก่อน

      Christina nimekupenda sana daima na nyimbo zako pia. Ungekaa kimya kidogo dada.

  • @festuscharo3108
    @festuscharo3108 3 ปีที่แล้ว +3

    Thumbs up to Christina for inspirations .
    She is positive to leadership
    GOD blessings be granted.
    Following her from Qatar Doha.

    • @massawejacob
      @massawejacob 3 หลายเดือนก่อน

      Usimdanganye....Musa kaitwa na familia yake

  • @sheilamtuweta6769
    @sheilamtuweta6769 2 ปีที่แล้ว +1

    wah feeling inspired. May God bless you mum

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 2 หลายเดือนก่อน

    Mrudie mungu dadangu...siku ni moja tu yakiama ...tena kumbu neno la mungu linasema tuiombee siku hiy isiwe ya barid Wala mvua

  • @frankbenandi8764
    @frankbenandi8764 2 ปีที่แล้ว

    asante dada mi nimekwerewa sanaaaaa sanaaaaaa hakika umeumba kitu kwagu 🙏🙏🙏🙏

  • @user-pt1sc4hc1k
    @user-pt1sc4hc1k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Christina Christina Christina nakuita mara 3 usijifanye mjuaji dada dunia hii duara ukihangaika utahara tuombe uzima Mungu aliekupa mdomo ataunyamazisha acha jeuri

    • @raphaelmwamakimbula9642
      @raphaelmwamakimbula9642 3 หลายเดือนก่อน

    • @12345678938129
      @12345678938129 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sifa za mtu na ndo majaribu yake!!!! Wenye Akili hawana mali na wenye Mali hawana Akili ila wana wa Mungu wanazijua siri za mungu

    • @ambrosealbogast792
      @ambrosealbogast792 2 วันที่ผ่านมา

      Tatizo dawa hazirihusu mharo siku hizi.......

  • @nangiabel2611
    @nangiabel2611 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda..Karibu Tena Zenji Kariakoo

  • @cookwithflozzy2763
    @cookwithflozzy2763 3 ปีที่แล้ว +1

    Christina your wise,i enjoyed listening.

  • @lydialomnyaki2191
    @lydialomnyaki2191 2 ปีที่แล้ว

    Umejaa hekima ssna Christina, yaani umejieleza kwa busara mpaka nimetamani hiyo hekima yako,Mungu akubariki sana

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 2 ปีที่แล้ว

    Kweli tupu my dear. Ubarikiwe saaana my dada

  • @Caroline-mc5ro
    @Caroline-mc5ro 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aki kweli na mungu akupe macho uone unachokifanya

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 3 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful interview

  • @pendezacharly3573
    @pendezacharly3573 3 ปีที่แล้ว +1

    nyimbo zako zaniongezea imani sana

  • @koomecalebs835
    @koomecalebs835 3 หลายเดือนก่อน

    Aki I really love this lady.forever

  • @nancymunyalo8307
    @nancymunyalo8307 2 ปีที่แล้ว +1

    Christine shusho nakupenda sana

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 ปีที่แล้ว +1

    She is brilliant and blessed.

  • @nassontunyande1109
    @nassontunyande1109 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mengi utaongea sana lakini dhambi ya uzinzi inakuhusu!! Acha tuone kama MUNGU ni wa dhihaka!

  • @stevinedson
    @stevinedson 3 หลายเดือนก่อน +2

    Diamond nomaaaaa sana siri imefichuka

    • @ambrosealbogast792
      @ambrosealbogast792 2 วันที่ผ่านมา

      Kumbe na wewe umepaona hapo eeeenh.....

  • @lepa3tv832
    @lepa3tv832 3 ปีที่แล้ว

    Safiiii Sana christina

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 3 ปีที่แล้ว +1

    BWANA ASIFIWE Naomba Tuimbe Colable Wimbo Mmoja GOD BLESS YOU SHUSHO

    • @elvzmak957
      @elvzmak957 3 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakupa ubishop wewe jaman mungu Ana kazi ngumu

    • @mercymeriy7851
      @mercymeriy7851 2 ปีที่แล้ว

      ametufanya tungareee😀😀 wimbo na maringo🥺dah..

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@elvzmak957😂😂😂😂😂😂 wacha nichekee😂😂😂😂😂😂

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana Christina she's always smart na nyimbo zake nzuri

  • @juriuskinkoro9539
    @juriuskinkoro9539 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee TINA Nina kupa (Hai) ukomakini kwa kujibu maswali ya mitego ya ulikuwaa ukihojiana naye hakika ninamegi yakukusifu LAKINI naatukuzwe Mungu unayemtumikia.Aliyekuhekimisha kwa kiwango ulichonacho utakachokuwa nacho kwakadri atakavyokukirimia AMEN

  • @bahatilucie9297
    @bahatilucie9297 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda dada

  • @innosentmolel8057
    @innosentmolel8057 3 หลายเดือนก่อน +2

    nyinyi mnalaumu tu ila ndoa inachosha na wengi wamekimbia ila tu kwasababu wengine sio marufu

  • @edinamwalukisa9000
    @edinamwalukisa9000 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Mungu Itoshe

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 3 หลายเดือนก่อน +3

    Daa kweli watu wanabadilika,kweli leo unajua kuongea maneno mawili matatatu unajiona umefika?huyu mume alikubeba wakati ukiwa mweusi hujui kujipaka hizo cream,Huyo mume wako alikubeba sana mpaka umejulikana unamkimbia?kwanini usingemwacha zamani?Mrudie Mungu dada duniani tunapita,nyimbo unazoimba naomba jenga kwanza kwenye nyumba yako,umepoteza mwelekeo sana,Mungu anawabariki mnawakimbia waume zenu?sio ushuhuda kabisa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @ambrosealbogast792
      @ambrosealbogast792 2 วันที่ผ่านมา

      Andiko lako zuri sana. Be blessed Esther

  • @englishwithabdiandsara20
    @englishwithabdiandsara20 ปีที่แล้ว

    If 'Never-air-you-dirty-linen-in-public' was a person. Great interview

  • @mamaaziza110
    @mamaaziza110 3 ปีที่แล้ว +5

    Akika kweli umurudiliye Mungu .Mungu umemufanya kuwa industry

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 3 หลายเดือนก่อน

    Mbele ya mwana damu wote , mbele yaku jiunga na Relationship yote muhulize Mungu Baba. Uyu dada na muelewa sana . Gisi ulimwengu Una badirika ame Ona kwenye ame olewa siyo level yake . Ni mutihani mukubwa sana ume mufikiya . Katika maisha yaki roho uyu dada Ana Oprah ule aliye Musaliti Naomi. Ruth ame kubali kumu fuata Naomi. Aka barikiwa sana kutokana na maandiko Yesu kazaliwa katika kizazi cha Ruth na Boazi

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli mtupu shusho wanguu

  • @frolatimotheo8107
    @frolatimotheo8107 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu.akufungue.macho.ya.rohoni.ujue.wapi.ulitoka.wapi.upo.na.wapi.unakwenda.mchana.umekuisha.usiku.umekuja..ludi.nyimbani.kwa.baba.yako.wa.mbinguni

  • @FeliciaMwanyombole
    @FeliciaMwanyombole หลายเดือนก่อน

    Mungu atakusaidia ukikaa ktk neno lake

  • @mimynzmbo5209
    @mimynzmbo5209 3 ปีที่แล้ว

    Mama sujaha mungu akuone

  • @user-lm3gd8pw7z
    @user-lm3gd8pw7z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kusema mingi Wewe Dada usipigwe na Mungu, kwanini amumu eshimu Mungu

  • @christinaelia9538
    @christinaelia9538 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie

  • @jameskipara711
    @jameskipara711 2 หลายเดือนก่อน

    Siwezi kusikiliza nyimbo zake huyo dada anamtumikia shetani kwasasa alianza na Mungu anamaliza nashetani atubu

  • @EnihakikoleMimo
    @EnihakikoleMimo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mama,maisha, niyako,utajijua

  • @mutesijanet458
    @mutesijanet458 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana christina chucho
    Ur so amazing full of postive vibes may God
    Keep u shining na hujazeeka bado kijana kbsa
    All my love from 🇷🇼

  • @hoseammbaga1357
    @hoseammbaga1357 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama kwa maana siwezi kumwita mtumishi kama mwenyewe anavyojiita. Ameamua kuacha ndoa yake na sasa anawadanganya wengine hasa kwa wale wasiotaka kusoma Neno La MUNGU. HAWA watu walitabiriwa hapo mwanzo. Sasa, kwa watu wanaopenda kusomewa na watu kama huyu, wataangamia. Ukisoma ktabu cha Hosea 4-6 WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..... Wamekosa maarifa na kuikataa sheria ya Mungu hasa swala zima la ndoa.

  • @itikamlagalila1911
    @itikamlagalila1911 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu dada lazima mumchukie yupo levels nyingine.May God keep you dada angu kipenzi

  • @camillasiwa6506
    @camillasiwa6506 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu......eehhh Mungu .....eeehhh Mungu

  • @janeturio7414
    @janeturio7414 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimefarijika sana na mausia yake, nampenda sana ni mama mwenye hekima na maarifa ya hali ya juu sana. Mungu azidi kukubarikia ktk yote yako. Neno linasema, tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Hallelujah Amen xx

  • @user-lv2fu9ip6h
    @user-lv2fu9ip6h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Diamond kesha mnusa huyu mwanamke tayari,kesha nogewa

  • @annajoshua1848
    @annajoshua1848 ปีที่แล้ว

    Love mom mungu akubariki sana💜💜

    • @massawejacob
      @massawejacob 3 หลายเดือนก่อน

      Amrehemu amsamehe alipoteleza

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiingiwa na roho ya uzinifu ufahamu mwema lazima ukutoke na ufanane na wapuuzi wengine tunaowafahamu hata kama unaegama kwenye NENO la Mungu.

  • @demetriamulenge1786
    @demetriamulenge1786 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akusaidie kama unaweza kufanya kazi na shetani umeisha

    • @raphaelmwamakimbula9642
      @raphaelmwamakimbula9642 3 หลายเดือนก่อน

      🎉

    • @jeniphermyingajeniphermyin8029
      @jeniphermyingajeniphermyin8029 2 หลายเดือนก่อน

      😂kaniacha hapa pakufanya kazi nashetani Madamu wakubaline,,Ila nilichokielewa amemaanisha nimti anayependa sn Mambo yaushetan anapoamua kumfuata MUNGU wakweli.

  • @husseinkibona3277
    @husseinkibona3277 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada mimi binafsi ni mpenzi wa muziki wake sanaaa. Tena kiukweli kwa Tz nampa nafasi za juu kabisaa.
    Ila suala la ndoa yake linanitatiza sana. Kama vile halina ushuhuda mzuri mbela za wanadamu na mbele za Mungu

  • @jonastsokitsongo4667
    @jonastsokitsongo4667 หลายเดือนก่อน

    Hatasiku moja, sita sikia nyimbo zako.

  • @jjmooo4186
    @jjmooo4186 3 หลายเดือนก่อน +5

    Diamond anamega tunda.

  • @GroliaKamugisha
    @GroliaKamugisha 2 หลายเดือนก่อน

    Dada Mungu alikupa kitu cha thamani sana hebu kitunze.

  • @clemencelubungo2883
    @clemencelubungo2883 3 ปีที่แล้ว

    Da christina shusho haujazeheka bado ungali kijana dada Naipenda sauti yako nyimbo zako niko pamoja na wewe
    Bado sauti ikingaliki ya kuimba mimi nikiwa na iyo sauti yako nita furahi sana

  • @kombokombogaston1957
    @kombokombogaston1957 3 ปีที่แล้ว +1

    Christine na kushukuru kwa ekima na busara na kuta kwako,mara ningi watu hapa congodr,kuona Shusho sawa Binti pasipo na position,endelea kumuogopa Mungu,na kuheshimu jamaa yako maana yake Mume se,na Mungu ata kufikisha hâta ono y'a pili,kuwa pastor shusho na kushukuru!

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 ปีที่แล้ว

    True fact:MUDA ni DAWA❤🙏

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Achana na Shusho mtangazaji,ni Malaya wa kiroho na kimwili.Smen

  • @ElizabethNyamai-me2id
    @ElizabethNyamai-me2id หลายเดือนก่อน

    Mama mda wote ulikua kwandoa ukuyaona wangapi wameolewa 15yrs wamezituza ndoa zao uzee umekaribia jirekebishe ikubuke kazi shetani

  • @magrethmwalongo2983
    @magrethmwalongo2983 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndoa,na iheshimiwe na watu wote,uliondoka kwa wazazi wako uliambatana na mumeo,nahuyo uliambiwa na MUNGU umtiii maishayako yoote,vipi mwenzetu,ukowapi

    • @nelsonmtui-ix1yp
      @nelsonmtui-ix1yp 3 หลายเดือนก่อน

      Jamaniii hats yeye ni binadamu tulikumbuke hili sio Malika anapitia maumivu mama sisi 😊

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 3 หลายเดือนก่อน

      Kama siyo malaika, mkristo wa kweli akipotoka au kuanguka lazima akiri hilo kisha atubu na kumrudia Mungu.

    • @user-cn9lh1nl3y
      @user-cn9lh1nl3y 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu wa Mbinguni amuhurumie

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ulianza Kwa roho,unamaliza Kwa mwili

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 2 หลายเดือนก่อน

      We wayaona mapungufu ya wenzio na Yako vip...usituchoshe... Ushawai hubiria mtu hata moja akaokoka ?

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umenena vema kabisa

  • @ambrosealbogast792
    @ambrosealbogast792 2 วันที่ผ่านมา

    Nahisi alikutana na "mahaba niue" akafeli kukaa kwenye ndoa yake na "akadata". Kwa kiasi, habari zake tunazo!

  • @user-zf7kq7tu9j
    @user-zf7kq7tu9j 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naona tatizo shusho ulikubali kuolewa na Mume mtu mzima sana kwa hiyo balance ilikosekana

    • @mohammedjuma7216
      @mohammedjuma7216 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa umeongea brother hiki kitu muhimu sana katika mausiano

    • @ambrosealbogast792
      @ambrosealbogast792 2 วันที่ผ่านมา

      Hahahahaaaaaa!

  • @clarencemikao9708
    @clarencemikao9708 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ooooooh eti sauti yangu haitoki. Umelaaaniwa wewe mwanake. Geuka jiwe

    • @12345678938129
      @12345678938129 3 หลายเดือนก่อน

      Wanawake wenye ndoa semani Ukweli hapa

  • @sallytumain7618
    @sallytumain7618 3 ปีที่แล้ว +19

    Dada Shusho kwenye Swali la pete hapana unatudanganya Dada yetu mtangazaji kauliza swali zuri sana lkini naona umelikwepa kutoa majibu ya kweli.pete ya ndoa haiwez kubadilishwa badilishwa sjawahi ona .Tulikuzoe ukiwa nayo kidolen kwa ss wapenz wako tunaokufatilia.Hapo ilipaswa ujibu ukweli.

    • @EllieSammy-tf4gx
      @EllieSammy-tf4gx 5 หลายเดือนก่อน +5

      This is satanik, separation is no no no.

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 3 หลายเดือนก่อน +2

      Uyu ni magumashi umalaya unamsumbua

    • @YalucLileZairois1643
      @YalucLileZairois1643 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabadilika na muonekano wake unaonesha wazi, kakwepa swali la pete 😂😂😂

    • @davidmurage5194
      @davidmurage5194 3 หลายเดือนก่อน +2

      Christina Shusho nilikuenzi miaka ya mwanzo mwanzo lakini ukweli ni kwamba umebadilika.Pete iko wapi?

    • @ChristopherMlozi
      @ChristopherMlozi 3 หลายเดือนก่อน

      Ongea kiswahili TU,usichanye kiingereza, tunafatilia kusikiliza

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Mtangazaji unajua unachokifanya, unauliza maswali yenye mantiki

  • @thehumphreyfamily3082
    @thehumphreyfamily3082 3 ปีที่แล้ว

    Christian shusho,Mimi ni fun yako kutoka Kenya.nina kukaribisha kwa kanisa lango Kenya

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 ปีที่แล้ว +2

    Hamna kitu shusho unamdharau sana huyo mzee hakuna siku unatoka na mumeo umeshajulikana imekuwa tabu wabembe wote wanakujua

  • @johansenf.mrengimrengi7050
    @johansenf.mrengimrengi7050 2 ปีที่แล้ว

    Nahisi Wewe Mtangazaji umemuhoji maswali Magumu sana Mrs. Shusho! Jitahidi siku nyingine Kuyalegeza kidogo

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 3 หลายเดือนก่อน

    Unahubiria wana wa mungu so please don’t mixed up the words of god almighty and your family also who are important in your life you need to thanks lord for gracefully blessing and may god forgive you sister ❤

  • @africanna5106
    @africanna5106 2 ปีที่แล้ว

    2022# Umekuwa mwalimu wangu wa kipekee mama.
    Nimejifunza mengi kutoka kwako leo.

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 2 หลายเดือนก่อน

      😳😳😳umejifunza kuachana!!!!!

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 5 หลายเดือนก่อน

    Mwaandishi nimekupenda unajua kuhoji

  • @merie8265
    @merie8265 3 หลายเดือนก่อน

    Bella and shusho please drop one scriptural worship song

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni shida sana.

  • @hyacinthchepkorir9406
    @hyacinthchepkorir9406 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya hekima
    Pure wisdom 💪❤❤

  • @gracemhagama4108
    @gracemhagama4108 2 หลายเดือนก่อน

    Rudi kwa mumewako,unatuaibisha wanawake wa kikristu,hakuna Mungu anayemwambia mwanamke amuache mumewe ili amtumikie ,Mungu wetu hayupo hivyo,wewe ni wakala wa shetani,ombamsamaha kwa mumeo mzee Shusho na urudi ktk ndoa yako na pia omba msamaha kwa Mungu uliyemkosea.

  • @LOGOSNew
    @LOGOSNew 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada yetu hapa amehepa swali kuhusu yeye kujitenga na huduma ya mmewe. Bado hili litabaki swali zito, hata ahepe vipi. Jambo jingine ni kwamba huduma anayoifanya sasa ni Prosperity Gospel, badala ya huduma ya kuelekeza watu kwa Mungu. Wateule tuwe macho!

    • @claudinemaxime936
      @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว

      Huduma anayoifanya ni Gospel ya UFALME. Na haipingi Gospel ya Wokovu. Bali inaleta ujumbe ambao ulikosekana kwa miaka mingi. Na hiyo, dadetu anachokifanya ni Injili kamili:-)
      Mungu wetu sio masikini, na anataka tufanikiwe ! Vinginevyo, asingezidisha mikate !!!
      Na ukiwa unaangalia katika Biblia, the men of God walikuwa matajiri! Kuanzia na Ibrahim,...
      As for the New Testament, Jesus made himself poor for us, rich he was, so that through his poverty, we maght be enriched
      (2 Corinthians 8, 9).
      Wateule, tuna haki ya kufanikiwa! Dhahabu na fedha ni mali yake Bwana! Let's ask God to take us into his treasure! Wengine tushushe nyavu! God shall provide!

    • @janethanania7404
      @janethanania7404 3 ปีที่แล้ว

      wanafanya huduma pamoja wala hajakaa mbali na mume wake

    • @pendoemmanuel8881
      @pendoemmanuel8881 2 ปีที่แล้ว

      Haswa umenena mpenz Catherine. Wateule tuwe macho. Ukweli wa mtu uko moyon mwake. Ahukumuye kwa haki ni Mungu

    • @theophilmakumbuli
      @theophilmakumbuli 4 หลายเดือนก่อน

      Nazani wanaume tuwe macho tumewekeza Sana Kwa wanawake tumewaanimi Sana.mngu mwenyewe amesema tuishinao Kwa akiri hao hawachelewi kubadilika

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 2 หลายเดือนก่อน

      Ukishaanza uzinz wa injee lazma utaona mume akufai kabsaa madharau itaanza badae utatoka kwa hyo ndoaa

  • @mikeorlandomusic3862
    @mikeorlandomusic3862 2 ปีที่แล้ว +1

    You are a blessing to me

  • @williamray7751
    @williamray7751 3 ปีที่แล้ว +4

    Kila nyota angani inashine angani sio lazima wanawake wasisike ili wanaume waonekane,Its time we all fulfill our God given purpose,

    • @chrispinuswambutsi6246
      @chrispinuswambutsi6246 3 ปีที่แล้ว +1

      Thank you lord

    • @stellawangoi1941
      @stellawangoi1941 2 ปีที่แล้ว

      Marafiki wa Kenya waimbaji ndio wameharibia shusho ndoa I naitwa peer pressure iko mpaka na Akina mama iko kwa all stages

  • @IsackJoram-pj3pb
    @IsackJoram-pj3pb 5 วันที่ผ่านมา

    Umepotea sana japo ulianza vizuri ila usiporudi kwa mumewe jehanamu inakuhusu