Martha Baraka - Jina la Yesu ni dawa (Official video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
- / @marthabaraka
Listen to Martha Baraka
Apple Music / martha-baraka
Boomplay www.boomplay.c...
Spotify open.spotify.c...
Audiomack audiomack.com/...
TH-cam Music / martha baraka - topic
Deezer deezer.page.li...
Amazon Music music.amazon.c...
Stay in touch with Martha Baraka
Instagram / marthabaraka_official
Tiktok: / marthabaraka_
Facebook: web.facebook.c...
For Booking WhatsApp / Call +255743502257
The official TH-cam channel of Martha Baraka. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.
#JinaLaYesuNiDawa #Marthabaraka #Gospel
Nani amekuja hapa ili tulitaje jina na corona ipotee
Ameni 🙏yesu ni dawa
Mungu akupe maisha mrefu my sister
Nikumbuka huu Wimborne nakumbuka mbali sana kipindi hii nyimbo inatoka
Mpaka leo hi nyimbo naimpenda mno
Jameni, nipe like wenye kubalikiwa na wimbo huu mwaka huu wa 2024 mwezi september❤
Wau,nice nimeipenda hiyo song❤😂😂😂😂, Bwana Yesu akuzidishie Neema🙏🙏🙏🙏
wimbo huu naupenda sana,Na Huyo mpiga solo Na ridhim wako vizuri
Hakuna jina tulilopewa linalotupasa kuokolewa kwalo zaidi ya jina la Yesu...God bless you Martha.
kweliii kbsaaa hakikaaaa
2023 still here...jina la yesu ni dawa
2020 naendelea kubarikiwa na. Nyimbo hii hakika MUNGU Wa mbinguni anastahili sifa zote
😂😂kwa kweli Martha irudiwe ulikuwa unanibariki mno ulikuwa moto kweli😊
Jmn jina la yesu ni dawa nimebarikiwa sana🥰🥰🥰🙌2021 September 💥
wimbo huu unanibariki sana.....Mungu akubariki sana dada..
👆 with the family up III to get it Ohio your unique
Asante
Barikiwa dada yangu.Jina la Yesu ni dawa jameni halleluhyah
Amina Mtumishi
2020 bado nasikiliza mambo ni moto
2019 bado nausikiliza
Mungu akubariki mama
jina la Yesu ni dawa
Likitaja jina lake kila kitu kinasambaratishwa kama cha Giza
Nakupenda Sana Dada Martha mumgu naendelea kuku baliki
Aisee wimbo mzuri sana Mama
malikiya wa Tanzania balinga balinga tee nakombo na YESU
Yaani humu ndani ni roho mtakatifu tùùùu
Jina la Yesu ni dawa bila upizan nani anayebisha alete jinalake nami nilete jina la Yesu tuone ninani atakayeshida halifananishwi
Aminaaaa mtumishi, nimepona kupitia injlii hii. Barikiwaaa.
Wimbo mzuri sana mtumishi, Mungu azidi kukuinua kihuduma
Sweat
Ubarikiwe dadas
Mungu akubariki sn dada
Bwan yesu asifiwe kwa nyimbo hiii
My favorite song
Kilasiku huwa nausikiliza
Aminaaaaa Sanaaaaa Barikiwaaaaa!!
Courenge
Huyu.yesu.niorijino.☑️
Omar lushoto
𝒘𝒂𝒐...𝒗𝒆𝒓𝒚 𝒂𝒎𝒂𝒊𝒛𝒊𝒏𝒈
Asante ubarikiwe
Mungu akuzidishie
Powerful Song. ubarikiwe sana mtumishi.Mungu akuinue kutoka utukufu hadi utukufu
Roblox Doors SUPER HARD MODE
Who's still 2021
Praise God Asante sana MUNGU kwa kumtoa mwanao akufe kwa ajili yetu sisi wanadamu Asante Yesu kwa kujitolea
Huyundada n tatzo 💃💃💃💃💃💃👌Yan unacheza jaman kwayesu Kuna kila kitu
🇰🇪🙏🙏🙏💖💖💖💖God bless you mumy
Jina la yesu ni ngome imara
Amen Amen Amen
HALLELUJAH!
Mwaitege
Amina Kazi nzuri
Kiukweli nabarikiwa sana nawimbo huu dadangu mungu azidi kukutumia ktk uwinjilishaji kwanjia kuimba.
Lkn naskia umefunga ndoa tena kwa Mara ya pili,naskia x jashuhudia ila naskia ?
2024 on fire 🔥
Ameeeeeen
Huyu dada Ni wa Moto Sana mwenyezi mungu ambariki Sana
❤️❤️🙏🙏😊😊😇😇
Amen❤❤
Naupenda huu wimbo 🙏❤️ 2024💪
Amen
Nampenda Martha Baraka nyimbo zake Zina upako
Martha Baraka you are a super star 🌟 go! go! go! am blessed 🙌 😇 🙏 ☺ 😊 ✨
Wao wimbo mtamu kweli kweli,thn the big msge
❤️❤️❤️❤️
Good job martha
🤗🤗
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Shauma
Hongera sana nabalikiwa sans nahuu wimbo
Amen amen jina lako litukuswe bwana
Barikiwa sana Mtumishi, ni moto
2022 26feb and am here to testify about the name Jesus
Dada mungu akutunze nakupenda
Unacheza sana duuuuu uko czr aiseeee ningekuwa mie ningelazwa kabisa ubarkiwe sna
Ubariwe sana dada
Ubarikiwe dada angu
Kazi nzuri watumishi Nabalikiwa sana
🙏🙏🙏☺️😍
Nzur sana ❤😍🙏🙏
Mubarikiwe. Tunawa penda. Waburundi
Mungu akutangulie uendelee kutuhubir kwa njia ya kuimba
Kabisa jina la Yesu ni dawa
Kazi nzuri mtumishi wa Mungu
Nyimbo ninzuuri sana
Nimeinuliwa kutoka utukufu hadi utukufu
Mwali wangu kipez
Hongera Mather kwa kaz nzuri ya mungu
Mungu akubariki sana mtumishi
Barikiwa na bwana
2024/2 like hapa
AMEN AMEN AMEN
Merci beaucoup ma sœur
Blessed Much
Samatha
Allelua
Sana Dada angu
Félicitations ma soeur que dieu te protège
hizi.yimbo.mtumishi.aaa!!
Hogora
Did Anastacia Mukabwa copied this song?
Amen nakupenda mungo akulinde