ULINZI MKALI ZIWA TANGANYIKA JKT YAZINDUA BOAT, KUKABILI WAVUVI HARAMU “ITAPAMBANA NA WAHALIFU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana JKT Bulombola. Miaka ya 1980 hadi 1990s walikuwa wanavua sana samaki!

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yeah kazi nzuri ila kuna haja ya kuwa na vyombo kama hiki na zaidi ya hiki vya kutosha katika ziwa hili ili kukamata uchumi wa ukanda wa ziwa tanganyika lenye bandari nzuri ya kalema na kigoma.

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 4 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wanazindua mabom ya nyuklia sisi tunapambana na mv BULOMBORA😂

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 3 หลายเดือนก่อน

    Afande mabena nakukumbuka sana tukiwa blombola kumbe bado upo 😂😂 nitafite tukumbushie tena ❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน +2

    Upigaji mtupu hio boat na pesa vitu viwil tofaut

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 4 หลายเดือนก่อน

      Jenga ya kwako ya gharama ndogi

  • @innaenock2074
    @innaenock2074 4 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿 love this coutry

  • @de-solenza5218
    @de-solenza5218 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hiko kitumbwi ni sh million Mia kadhaaa 😢😢😢

    • @harry5395
      @harry5395 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣 hata mm nimeshangaa

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣 Mshangao

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 หลายเดือนก่อน

      Kwakuwa hujui gharama za mfumo wa navigation utasema fedha hiyo ni kubwa. Jaribu uende ukajiulizishe peke yako kimya kimya. Pia hilo ni Mult purpose Boat ambalo linafanya kazi ya Uvuvi, ulinzi na usafirishaji. Imeona pua speed yake si mchezo ndugu.

    • @smallscaleminingsupplies9670
      @smallscaleminingsupplies9670 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@GibsonNtamamilohiyo hela ndefu sana marekebisho ya boti 300m

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 3 หลายเดือนก่อน

      Boti au jahazi😅😅

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 หลายเดือนก่อน

    Mm binafsi nawapongeza jkt blombola mmeonyesha ukongwe wenu

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 4 หลายเดือนก่อน

    Yani inshu ni samak wameenda kina kirefu sio kwamba wameishq

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 4 หลายเดือนก่อน +1

    MSIFUNGE ZIWA JAMAN WATU WATAKUFA NJAAA TUSAIDIWE WAKAZ WA KGM

  • @user-hw1fp6mb4s
    @user-hw1fp6mb4s 3 หลายเดือนก่อน

    Naitaji niamishiwe huko

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 4 หลายเดือนก่อน

    Hampo serious!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 หลายเดือนก่อน

    Duuh hatari 😂😂😂😂

  • @josephkauki6094
    @josephkauki6094 4 หลายเดือนก่อน

    Nzuri iyo

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaona boat ya milion 300 hapo

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 4 หลายเดือนก่อน

    milioni 300 boti hiyo😂😂😂upigaji

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 4 หลายเดือนก่อน

    Milard sasa ametimiza m5

  • @innaenock2074
    @innaenock2074 4 หลายเดือนก่อน

    Jambo Afande 🇹🇿

  • @zamdabakari4906
    @zamdabakari4906 4 หลายเดือนก่อน

    Milioni miangapi😮

    • @harry5395
      @harry5395 4 หลายเดือนก่อน

      300 🤣🤣🤣

  • @user-ow3io1il1g
    @user-ow3io1il1g 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama boti imeezekwa bati😂😂

    • @bilid4128
      @bilid4128 4 หลายเดือนก่อน

      Bati la M-south kabisa 😅

    • @user-ow3io1il1g
      @user-ow3io1il1g 4 หลายเดือนก่อน

      @@bilid4128 ndiyo inaongeza bei kufika 300m

    • @harry5395
      @harry5395 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣 Uncle Mugu Njoo uone vituko

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 4 หลายเดือนก่อน

    Vitu vingine havieleweki. Serikali ina uwezo wa kununua magari ya thamani halafu miundo mbinu ya usalama majini ni zimamoto.

    • @bilid4128
      @bilid4128 4 หลายเดือนก่อน

      Labda engine ndiyo itakuwa gharama kubwa

  • @user-sk1yd4pw1v
    @user-sk1yd4pw1v 4 หลายเดือนก่อน

    Awa wanapenda kutuonaga watanzania atuna ufahamu milioni miatatu wizi mtupu arafu akuna binadam haram watu wapo kwenye shughuli zao kama nyinyi mnavyo kula kwa kuondomola

    • @JK-uq1tv
      @JK-uq1tv 4 หลายเดือนก่อน

      Ulisha wahi kununua boat ww

    • @user-sk1yd4pw1v
      @user-sk1yd4pw1v 4 หลายเดือนก่อน

      @@JK-uq1tv kwa kuwa unanichukuliaje kama amjawai kushika ata milioni mia ya kwako ni wewe tafuta pesa ndio utajua thamani ya vitu

  • @frolencejovenary667
    @frolencejovenary667 4 หลายเดือนก่อน

    Dhu, milion 300?

    • @balltalk2024
      @balltalk2024 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio bei zake mzee...nenda pale ferry kwa wavuvi waulize zile bot kubwa za mbao had inakamlka inacost bei gan

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 4 หลายเดือนก่อน

    821KJ tuliokula doso hapo tujuane

    • @zpsuper78
      @zpsuper78 4 หลายเดือนก่อน

      😂 Op kikwete

    • @DennisMkumbala
      @DennisMkumbala 4 หลายเดือนก่อน +1

      Noma San op uadilifu kama vita 😂😂niki kumbuka,ni mungut