Kazi nzuri jeshi la polisi,ni wajibu wenu ndo maana mnalipwa.na hv wale waliotekwa wakapotea wakauwaa hv kuna ukweri wwt au ilikuwa mapichapicha,kama kuna mtz Ana info au chanzo crocheted cha mwisho wa haya,kama walipatikana au anitumie pls.
Hongereni polisi kwa tukio hili, na la Ally kibao lililo fanyika mchana kweupe ,tunataka majibu yake. Muuaji ni muuaji,no matter anatoka wapi. Wote washitakiwe.
Hawa ndugu wa sasa nikukaa mbali nao mm na wao wafanye mamb yao na mm nifanye yangu 🙌
Yaaaani ndgu ni wabayaaaaaa hata ukikaaa nao mbaliii wao hawalali ni mmmm mara mmmmm mara mmmmmm, gugu tuuuuuuu
Wanaroho mbaya kuliko shetani mungu amrehemu mama wa watu
Dah hii dunia mahali inaelekea ni mtihani sana yaani ndugu wanauana juu ya mali mungu atunusuru
Kazi nzuri jeshi la polisi,ni wajibu wenu ndo maana mnalipwa.na hv wale waliotekwa wakapotea wakauwaa hv kuna ukweri wwt au ilikuwa mapichapicha,kama kuna mtz Ana info au chanzo crocheted cha mwisho wa haya,kama walipatikana au anitumie pls.
Dah! yani vijana wamemuua dada yao! 😢
Tamaa mbaya😢😢
Du, Dada yao. 😢
Daaa Yani mtu unaondo uhai wanduyako kisamali
Sasa wakinyongwa kama Kongo si itakua vyema
Saa nne mchana tena
Hongereni polisi kwa tukio hili, na la Ally kibao lililo fanyika mchana kweupe ,tunataka majibu yake.
Muuaji ni muuaji,no matter anatoka wapi.
Wote washitakiwe.
Tamaa ya mali,
Hiyo.imetokea.uko.tegeta.bahari.beach..daa.inauma.sana
Alafu inaonekana marehemu ni ndugu kabisa na watuhumiwa
Wanyongwe tu nawao
Duuuh!!?
Pumzka kwa Amani mama wa watu
Kwa sasa pitisheni sheria tu kama congo mtu anae uwa nae auwawe tu.ni uzuni sana
Na wao wauliwe jamani ili liwe funzo aina haja ya kesi apo
Kuna ndugu hawafanyi kazi wanawaonea wivu waliopata nankuamua kumuua
Damu ya mtu lazima ukamatwe
Duh
Uvivu tu wakulima
Wilaya ya Kinondoni na nchi ya DENMARK? 😂😂 we mtangazaji rekebisha kauli.
Yupo sahihi
Ifike mahali adhabu ya kupigwa risasi hadharani iwepo na itekelezwe. Waarifu hawana hofu kabisa
HAYA SASA WAMEPATA NINI..? MNAOZEA JELA KWA TAMAA FANYENI KAZI HAKUNA UTAJILI WA KILAHISI
Hao mapumbavu wantongwe had kufa
Huu ukatili wamefanya