KILIO CHA MCHUNGAJI MOSES MAGEMBE KWA KIZAZI CHA SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Mchungaji Moses Magembe aweka mkakati Kabambe wa kuwa noa Vijana

ความคิดเห็น • 128

  • @patrickchisale8792
    @patrickchisale8792 ปีที่แล้ว +3

    Nainuka ili nihubiri Injili dunia nzima, mataifa yasikie kemeo la Bwana Kristo kutumia mimi Bruce Jimmy Songa katika Jina la Yesu Kristo lililopita majina yote Amina! Amina!! Amina!!!bj

  • @GoodluckMaalumkilyenyi
    @GoodluckMaalumkilyenyi 21 วันที่ผ่านมา +1

    Amen sana baba yangu nimesikia uchungu sana nitasimama

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa maombi yenu watumishi wa Mungu,
    Tunamshukuru MUNGU kwamba kwasasa ameshaanza kumwinua Mtumishi wake kijana Pascal Cassian kwanza ameanza kwa kulionya kanisa la Tanzania

  • @kaziamyself6830
    @kaziamyself6830 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭 Bwana Yesu naomba unisamehe baba sijui niseme nini injili za namna hii hazipo kabisa tumekua watu wakupenda kubembelezwa Jehova shama Mungu wangu nisaidie mimi Bwana nakuomba najiona sistahili mimi 😭😭😭😭 nakukumbuka mchungaji wangu R.I.P PAUL MWANYINGILI😭😭😭😭😭

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen 🙏 mtumishi wamungu,hilo niombi langu,moyo wangu una huzunika jinsi kanisa lime najisiwa,tunakiu cha kumjua mungu ila vikwazo,via wachungaji wanavio yabadili mambo,inahuzunisha tunahitaji ukombozi, Kenya 🇰🇪🇰🇪 nakufati lizia.

  • @nkanilekamgonda2445
    @nkanilekamgonda2445 3 ปีที่แล้ว +2

    Pastor Magembe, Mungu akubariki. God has ministered to me.

  • @pasteuralbertbanyanga8247
    @pasteuralbertbanyanga8247 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe kama hizi zime faa sana kwa kanisa la jioni 🔥

  • @JeremiahArkaswai-nf1gv
    @JeremiahArkaswai-nf1gv 3 หลายเดือนก่อน

    nampenda sana mchungaji magembe

  • @rachelmlingwa8880
    @rachelmlingwa8880 3 ปีที่แล้ว +6

    Baba ulikuwaga wapi zamani mpaka tumedumbukia mahali pagumu, tusaidie baba kwa siku zetu zilizobaki tunakuombea maisha marefu

    • @edwinmbwilo6128
      @edwinmbwilo6128 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi huwaga najiuliza maswali hayohayo mpaka giza linaingia kanisani wachungaji walikuwa wapi au na wao ROHO MT aliwaacha?

    • @ebenezermwita7319
      @ebenezermwita7319 3 ปีที่แล้ว +2

      @@edwinmbwilo6128 hao ndo wachungaji sasa maana wameona uovu na wanasema na watu waache uovu wao hoja sii walikuwa wapi kama wewe ni msomaji wa biblia mzuri utakuwa unajua Soo jichunguze kwa sasa anapohubiri uko upande gani Hilo ndo la msingi

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen.vijana tutasima kwazamu yetu kumteteya bwana Yesu kristo

  • @samwelikileo942
    @samwelikileo942 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeguswa sana Baba mtumishi wa Mungu akutie nguvu

  • @HeslonRubhibhi-bg9ko
    @HeslonRubhibhi-bg9ko 4 หลายเดือนก่อน

    ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @joshuasanga5827
    @joshuasanga5827 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe Sana mzee wetu

  • @lucymsigwa3363
    @lucymsigwa3363 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina namwomba MUNGU anichague Mimi nipo tayari kutumika

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ndugu unataka Mungu aje akwambie Lucy nimekuchagua!? Unachotakiwa ni kuamka uende kazini maadam umeshajua wajibu wako.

    • @edwardluhwago5754
      @edwardluhwago5754 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie tugeuke

  • @samuelotiende5275
    @samuelotiende5275 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Mimi kama kijana nafaa kuamuka eee Mungu nisaiidie niwe mmoja wa vijana ambao unachagua Mungu

  • @mmushi7327
    @mmushi7327 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi mungu akuongezee maisha ulihubiri neno LA mungu

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว +5

    Upo sahihi mno na Mungu aendelee kukifungua kizazi

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 ปีที่แล้ว +6

    Tunakuelewa Mungu atupe neema ya kusimama

  • @njorogegachiri2119
    @njorogegachiri2119 2 ปีที่แล้ว +1

    Muchungaji God bless you.hata Kenya ni kilio

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @bienvent614
    @bienvent614 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe mtumishi Mungu anipe mwisho mwema

  • @keziairene3317
    @keziairene3317 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa mno mtumishi wa Mungu...injili ka ii yko hamna tena

  • @jamesmgonda
    @jamesmgonda 3 ปีที่แล้ว +1

    Very fascinating. Sermon!! Mungu atusaidiee vijana!

  • @SilasKishaluli
    @SilasKishaluli 4 หลายเดือนก่อน

    Anahubiri na kufundisha vizuri sana Kwa kweli huwezi choka kumsikiliza. 4:32

  • @faidhamasud9476
    @faidhamasud9476 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mchungaji Mungu akusaidie sana

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana kwa neno zito

  • @user-kl6zb6so3i
    @user-kl6zb6so3i 3 หลายเดือนก่อน

    Ameena nimebarikiwa sana

  • @joshuabweli6249
    @joshuabweli6249 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki pastor, hakika hili neno limekuja kwangu kwa wakati.

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 ปีที่แล้ว

    Ee MUNGU utusaidie Sana vijana tunapita katika majalibu magumu tutie nguvu sana tukutumikie😭😭😭

  • @naomimunanga6363
    @naomimunanga6363 3 ปีที่แล้ว +4

    My God bless you very much. Us for me through that word am blessed, and I thank God.

  • @isackmatiko5926
    @isackmatiko5926 ปีที่แล้ว

    Ubarkiwe sana mtumishi

  • @christopherduwe6755
    @christopherduwe6755 2 ปีที่แล้ว

    Baba mungu akuongezee miaka

  • @monicamdendemi3491
    @monicamdendemi3491 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kwa Neno lako zuri na anipe nguvu kupitia fundisho hili Jema.👏👏👏👏

  • @HappyDavid-ng2ze
    @HappyDavid-ng2ze ปีที่แล้ว

    Ee Mungu naomba ufufue huduma yako ndani yangu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @tedja8137
    @tedja8137 2 ปีที่แล้ว +1

    Unanibariki sana mchunaji

  • @woldwidegospel5487
    @woldwidegospel5487 3 ปีที่แล้ว +3

    Powerful sermon

  • @necodakagiye5473
    @necodakagiye5473 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akukumbuke baba ❤❤

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 ปีที่แล้ว

    YESU akubariki Saana baba nikikuona wewe yaani namuona moses kulola tuu baba waimani hakuhubili feza aliubili injili yakweli inayo mfanya mtu aachezambi ole wamimi nisipo isikia kweli hii

  • @pastorm.e.mwakalonge7020
    @pastorm.e.mwakalonge7020 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Ni saidie nisamame kwa ajili ya kanisa na Africa kwa ajili kusudi la Mungu

  • @oliversanga1498
    @oliversanga1498 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie

  • @mwl.timothysangayoni2137
    @mwl.timothysangayoni2137 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sanaaa pastor

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndio kabaki tu. Wengine weng shida

  • @jacobjbthomson8449
    @jacobjbthomson8449 3 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidieee tukasimame katika zamu zetuu VIJANA

  • @peterpaschalmaganga6966
    @peterpaschalmaganga6966 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba nipo tayari....

  • @clinton3168
    @clinton3168 ปีที่แล้ว +1

    Da MUNGU AKULINDE PASTOR

  • @njeriimvati2197
    @njeriimvati2197 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua mtumishi

  • @leokadiasoza4300
    @leokadiasoza4300 2 ปีที่แล้ว

    Ana ujumbe sadifu. Analiangalia kanisa katika picha sahihi kama lilivyo.

  • @giftligate7639
    @giftligate7639 3 ปีที่แล้ว

    AMINA Barikiwa BABA

  • @charlesandrea1794
    @charlesandrea1794 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo kubwa mchungaji, mliporuhusu wachungaji kuweka viongozi wa makanisa kwa vigezo vya usomi na fedha badala ya kutizama sifa za kiroho , ni vigumu kufika safari hii tukiongozwa na vipofu ( nieleweke hapa vipofu ni wenye elimu na fedha ) ,

    • @vailethvenant3687
      @vailethvenant3687 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa baada ya kuangalia ukiroho wa mtu wanaangalia mafanikiho ya kimwili awajui yesu alitumika na watu tofauti

    • @andrewmagwila1602
      @andrewmagwila1602 3 ปีที่แล้ว

      Umenena vyema kbs hili ndio tatizo kwa kanisa tena Ni tatizo kubwa Sana tena Sana umenena vzr sanaaaaa watu walio na vipesa na elimu ndio wanapewa uzee wa kanisa na ushemasi watu walio kiroho hawapewi kipaumbele

  • @tunukimela9985
    @tunukimela9985 2 ปีที่แล้ว

    Naelewa sana baba

  • @gideonmaganga1522
    @gideonmaganga1522 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Baba

  • @anithafrank5533
    @anithafrank5533 2 ปีที่แล้ว

    Wezee bwana yesu amewasaza kwa makusudi

  • @silvanusjeremiah8256
    @silvanusjeremiah8256 2 หลายเดือนก่อน

    Fungua macho yetu ewe Yesu tuone giza lililotanda ulimwenguni..
    Tugeuke na tuziache tamaa za mwili
    Mtie nguvu mtumishi wako baba Magembe kama ulivyomtia nguvu Elijah na kutembea siku arobaini jangwani usiku na mchana

  • @apostledanielmwendajuu7200
    @apostledanielmwendajuu7200 3 ปีที่แล้ว +2

    Here I'm use me Lord

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 3 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidia Bila Wewe hatuwezi

  • @gospelassemblyonlinetv1385
    @gospelassemblyonlinetv1385 2 ปีที่แล้ว

    AMINA sanaaaa kabisa Mchungaji

  • @johnayubusaidi4514
    @johnayubusaidi4514 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ampe Mika ya kutosha

  • @richardmisogalya9499
    @richardmisogalya9499 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wewe genuine

  • @deborahlyimo3735
    @deborahlyimo3735 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie jamani sikuizi hatufundishwi jinsi ya kumfahamu Yesu ni mafanikio tu ndio maubiri yaliyoko kanisani Mungu tusaidie

    • @rumininsiarichard7045
      @rumininsiarichard7045 2 ปีที่แล้ว

      Ninaguswa Sana na mahubir yako Mtumishi Mungu anisaidie niyatendee kazi.Mungu akubariki saaana

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless man of God

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 ปีที่แล้ว

    Kweli Kabisa mtumishi wa Mungu.

  • @kihilamasuke6976
    @kihilamasuke6976 2 ปีที่แล้ว

    Mimi Niko tayari

  • @ntevonakabuje7183
    @ntevonakabuje7183 3 ปีที่แล้ว

    Amina baba mungu aturehemu

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi usichoke maana Dini ya Eagt na tag na dini nyingi za kilokole zinahubiri Dini zao zijae Wajue Neno wasijue sio tatzo waishi maisha matakatifu wasiishi sio tatizo tatizo labda kama hawatatoa sadaka zaka na nk

    • @edwinmbwilo6128
      @edwinmbwilo6128 3 ปีที่แล้ว

      Kwa mfano kubatiza watoto wakati siyo agizo la YESU nao ni utakatifu? Kumbuka nguo zilizofuliwa hutunzwa katika kabati Safi. Dhehebu ni lazima lichunguzwe.

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว +1

    TATIZO UCHUNGAJI UMEKUWA RAHISI SANA TAG, UKIENDA DARASA TU BASI, UWE UMEITWA NA MUNGU AU LA! UMAUTI UKO HAPO...

  • @user-if1pz4nm4u
    @user-if1pz4nm4u 11 หลายเดือนก่อน

    👏

  • @saviourkasekwa2042
    @saviourkasekwa2042 3 ปีที่แล้ว

    Aminaa Mungu Niko hapa

  • @boscomutembei2651
    @boscomutembei2651 ปีที่แล้ว

    Mungu tutumie kuguza maisha ya watu

  • @mwaisemba1990
    @mwaisemba1990 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo letu waafrica tuna roho za kaa, Yaani hata tukiona Mungu amemuinua muafrica mwenzetu Bado sisi wenyewe ndio tutakuwa Tunamshusha na kumrushia mawe na Wala hatumsapoti Wala hatufurahii.Yaani Africa Kuna roho za umimi ndio maanaa wahubiri wetu wa Africa wanaonekana Kama hawapo ila wapi Ila sisi wahubiri wenyewe ndio tuna umimi Wala hatusapotiani

  • @judyblummes2930
    @judyblummes2930 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu tusaidie

  • @ndaisengaisaya3112
    @ndaisengaisaya3112 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atukumbuke jamaniiii

  • @eliaskasika3959
    @eliaskasika3959 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe huu ni ukweli wa leo unaohitajika kuliamsha kanisa lililo lala.

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭BWANA tusaidie

  • @nehemiahmwashiuya6149
    @nehemiahmwashiuya6149 ปีที่แล้ว

    Mungu nitumie utakavyo bwana

  • @apostledanielmwendajuu7200
    @apostledanielmwendajuu7200 3 ปีที่แล้ว

    Here iam Lord please Use me

  • @UfunuoSt
    @UfunuoSt 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.

  • @n.dvillagirl3272
    @n.dvillagirl3272 3 ปีที่แล้ว +1

    Ohhh Mungu tusidie🙏🙏

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 3 ปีที่แล้ว +1

    kweli kabisa baba

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu

  • @dorothyoganda7917
    @dorothyoganda7917 3 ปีที่แล้ว

    Niko hapa Mungu 😭😭😭

  • @kappadona3049
    @kappadona3049 3 ปีที่แล้ว +1

    Amna babu balikiwa sana nataman kuwa kama wewe kihuduma

  • @kikotimedia6638
    @kikotimedia6638 3 ปีที่แล้ว +2

    NY TV NAHITAJI MAWASILIANO YENU NAPATAJE

  • @chaleisire5563
    @chaleisire5563 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 10 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Mbalikiwa anapata wapi ujasili wa kuwasema vibaya hawa wazee walio kaa na MUNGU kwa muda mrefu na kushinda magumu.

  • @akimusteven4070
    @akimusteven4070 ปีที่แล้ว

    MUNGU ATAKUMBUKA KILIO CHAKO BABA YUKO KIJANA ATAINUKA

  • @elyotchisanga138
    @elyotchisanga138 3 ปีที่แล้ว

    Ameni and Ameni

  • @daforozazakalia5604
    @daforozazakalia5604 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @emilianakirway840
    @emilianakirway840 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli kanisa limekufa

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 3 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-ef3lx4fg2r
    @user-ef3lx4fg2r ปีที่แล้ว

    Je tunakoelekea tutawapata watumishi kama Hawa?

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว

    TAG,
    FUATENI INJILI YA MTU HUYU WA MUNGU MCH. MOSES MAGHEMBE;
    EAGT,
    FUATENI INJILI YA MTUMISHI WA MUNGU MCHUNGAJI ABIUD MISHOLI!!
    HAWA WATUMISHI WAWILI NI KAMA VINARA VYA TAA KWA HAYO MAKANISA MAWILI MAKUBWA!!
    TUSIKILIZE SAUTI YA BWANA EE KANISA LA TANZANIA

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 3 ปีที่แล้ว +1

    Shida ni kutotambua majira na nyakat....

    • @kmotivation1130
      @kmotivation1130 3 ปีที่แล้ว

      Neno la Mungu halibadiliki , nyakati zitapita, vyote vitapita but word of God never change

  • @francislovemore3858
    @francislovemore3858 3 ปีที่แล้ว

    Amee

  • @maymrope8386
    @maymrope8386 3 ปีที่แล้ว

    Pls 0715057896 mimi nina shida ya kuonana na mtumishi wa MUNGU Moses Magembe🙏

  • @KelvinBoniphase
    @KelvinBoniphase 3 ปีที่แล้ว

    😭

  • @afyayauzazinaurembomadamgr7659
    @afyayauzazinaurembomadamgr7659 2 ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @jacobopeter6204
    @jacobopeter6204 3 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @mosesritoine2320
      @mosesritoine2320 ปีที่แล้ว

      Huwezi kupambana na manabii wa uongo, wapo kisheria, Kama shetania alivyo, nakushauri Onyesha nguvu za Mungu, fundisha, hubiri injili ya Yesu

    • @mosesritoine2320
      @mosesritoine2320 ปีที่แล้ว

      Kumbuka Elia, aliwaambia manabii wale baali na kuonyesha nguvu za Mungu

    • @mosesritoine2320
      @mosesritoine2320 ปีที่แล้ว

      Mathayo 24:4- 14