QASIDA NAMBA 1 YA KUMSWALIA MTUME - MASHALLAH TAZAMA NA SIKILIZA LADHA KWENYE VIDEO HII UTAIPENDA TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 386

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 3 ปีที่แล้ว +21

    Mashallah mabint na mabanati wa kinzanzbar mmebarikiwa urembo mashallah
    Kwa hakika mnapendeza sana
    Like zenu hapa mabint

  • @ZeblantanOffer-eo7lg
    @ZeblantanOffer-eo7lg ปีที่แล้ว +5

    Ina lillah waina illah rajiun mungu akupunguzie adhabu za kaburi akupe kauli dhabiti wewe umetangulia na sisi tutafuata kila nafsi itaonja umauti pole sana kwa familia yako kwa kukutwa na msiba wa bint yao. Ni gumu sana kulipokea

    • @rajabu701
      @rajabu701 10 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa nan kwan jaman

    • @rajabu701
      @rajabu701 10 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa nan kwan jaman

    • @Khairat_saleh_
      @Khairat_saleh_ 9 หลายเดือนก่อน

      Ukhty tumu​@@rajabu701

    • @FaridaRamadhani-ng4ns
      @FaridaRamadhani-ng4ns 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani amekufa?

    • @JinaMtwana
      @JinaMtwana 4 หลายเดือนก่อน

      Ukhty tumu

  • @msemokingdom
    @msemokingdom 3 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri Mashallah ila ingependeza zaidi kuweka jina la msomaji/mwimbaji wa Qaswida na Inshallah

    • @SwaumuHussen
      @SwaumuHussen 10 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa ukht tumu ila kwa sasa ni marehem Allah amuweke mahala pepon Amiin 🤲🤲🤲

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 10 หลายเดือนก่อน

      ​INNALILAH WAINNA LILAH RAJUUNNA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA

  • @abdulsheriff5736
    @abdulsheriff5736 4 ปีที่แล้ว +7

    Ma sha Allah qaswida nzuri. Mungu awajazi kheri

  • @AbdulMahede-ne8yv
    @AbdulMahede-ne8yv ปีที่แล้ว +3

    Allah akujalie ukhuti wangu kwa sauti nzuri Masha allah

  • @nahlaabdulhalim2998
    @nahlaabdulhalim2998 ปีที่แล้ว +15

    Inna lilah waina ilaihi rajioun😭Mbele yako nyuma yetu Allah akujaalie kheri kwenye safar yako na sisi atupe Khatma njema Amiin Amiin Amiin 😢🙏🏽

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว +1

      Huyo anae imba su yupo

    • @UKHTYAISHA-r6t
      @UKHTYAISHA-r6t ปีที่แล้ว

      ​@@rukiaiddyyahaya9506Huyo aloanzia kuimba ndie ametangulia 😢

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

      @@UKHTYAISHA-r6t Inna lilah wainna ilaih rajiun napenda sauti yake masha Allah Allah amuhifadhi

    • @rasulimussa491
      @rasulimussa491 9 หลายเดือนก่อน

      ​2922

    • @musanandawula2071
      @musanandawula2071 3 หลายเดือนก่อน

      اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين ❤️ امين يارب العالمين

  • @hassani3452
    @hassani3452 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi Ni msomali kutoka Mogadishu Nimeipenda Sana hii qaswida

    • @mohamedally5672
      @mohamedally5672 3 ปีที่แล้ว

      Mugadishoo my fatherland but me nimezaliwA tz wallka karbu tz bro🇹🇿🇸🇴 one love

    • @issahaji6671
      @issahaji6671 3 ปีที่แล้ว

      Ok

  • @omarsalimali9212
    @omarsalimali9212 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah waina ilayhii rajiuni. Allah s.w.t amtilie nuru kaburi lakee na amsamehee makosa yakee amin 😢

  • @sahilaazka6862
    @sahilaazka6862 2 ปีที่แล้ว +3

    Massalloh anak2 narinya indah banget sampe no ikutan Mari mudah2hàn jadi anak2 solehah amiiin sy indonesiya

  • @AsnathMohamed
    @AsnathMohamed 3 หลายเดือนก่อน

    Allah amfanyie wepesi mtume wetu Muhammad s.a.w. na ammat wake wote amiin inshallah

  • @MamyAthuman
    @MamyAthuman 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujaliye sana na sisi pia tuwe kwenye msimamo uwouwo

  • @jamalingwali2879
    @jamalingwali2879 4 ปีที่แล้ว +8

    Ma shaa Allah....Qaswida nzuri sana

  • @mizasharif-tv7cl
    @mizasharif-tv7cl ปีที่แล้ว +1

    Mashllh UKHTY TUMU uko vzur Allah akufnyie wepesi🤲

  • @AbedaMkafu
    @AbedaMkafu หลายเดือนก่อน

    Manshallh allh awalinde awape maisha maref❤❤❤

  • @TwalaaTaib
    @TwalaaTaib 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤MashaAllah Jazakallah kheri Allah kaswida safi sana Love frm Kenya❤❤❤

  • @yasirmtumwa3265
    @yasirmtumwa3265 4 ปีที่แล้ว +10

    Almadrasatul maamur wakiwakilishwa na maukhty pande flani amaizing,, hongeren mabigwa wa kijiji 😘

  • @WardaHamad-x4i
    @WardaHamad-x4i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah watt w kadiria allah awabarik nyote

  • @awazimyombe
    @awazimyombe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ajalie kaswida ipo vizuli

  • @barazamasare8426
    @barazamasare8426 9 หลายเดือนก่อน

    Allah amfanyie wepesi mtume wetu Muhammad s.a.w na ummat wake wote amiina.

  • @ZuberHagilo-gc3mb
    @ZuberHagilo-gc3mb ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mola awatanaulize akhel

  • @HalimaJuma-vd8xc
    @HalimaJuma-vd8xc 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah qaswida nzur san nimeipend na hao watyotyo wap vyem san❤❤❤❤❤❤❤❤ mung akulind vyem katyik safar yang

  • @khalidjumamukhtar6397
    @khalidjumamukhtar6397 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Allah awape jannah yake 🙏

  • @HossenAlly-xr6kb
    @HossenAlly-xr6kb 10 หลายเดือนก่อน

    Jazaka llah khaira ❤

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Qasweeda nzur haina pingamiz Tabarakaallah 🌙🕌🕋

  • @abdiahassan1903
    @abdiahassan1903 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongera!
    Kaswidasafimashaallah

  • @AishaYakini-n5b
    @AishaYakini-n5b หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Allah awabariki

  • @AishaAishayahaya-e3w
    @AishaAishayahaya-e3w 5 หลายเดือนก่อน +1

    😢Inallilah wainailah rajiun allah akupunzishe mahala pema pepon

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah TABALAKAH ALLAH, Allah atujalie mwisho mwema 🙏🙏🙏

  • @leilamacaneyyakub
    @leilamacaneyyakub ปีที่แล้ว +2

    Manshallah ❤️ mungu awalipe

  • @SAADEJuma-p1m
    @SAADEJuma-p1m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupumzishe mahala pema ukhty tumu

  • @firdausali5919
    @firdausali5919 3 ปีที่แล้ว

    Firdaus Masha Allah Allah awahifadhi Qasida nzuri sana..hongereni na walimu wenu.

  • @almashaaribububu1214
    @almashaaribububu1214 3 ปีที่แล้ว

    Hongera UKHTY tum umefanya kazi nzur siku hiii pale ktk viwanja vya mash-aari l-harami bububu tumeikubali sana kazi yako

  • @manansamosir6095
    @manansamosir6095 2 ปีที่แล้ว +3

    Ya Allah yg maha petunjuk,Satukan kami Akhidah kami Marwah kami Islam kami yg warna warni yg kau kehendaki.jauhi kelemahan kami,yg engkau maha petunjuk.amin ya robbal Al-Amin.

  • @mizasharif-tv7cl
    @mizasharif-tv7cl ปีที่แล้ว

    Team yury kutoka AMAJZA HONGEREN mumejitahid kucheza hamukuwaangusha MABANATI wenu Allah Ampe Afya njema UKHTY TUM🤲

  • @sikudhanimpinga1474
    @sikudhanimpinga1474 3 ปีที่แล้ว +1

    Adimwili unasisimka mungu awazidishie nahao watoto wamenimaliza inapendeza sana

  • @shaminakwekwe622
    @shaminakwekwe622 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah ukhty tumu mungu akuzidishie kipaji kaswida nzuri sana

  • @NaimaRamadhani-g1w
    @NaimaRamadhani-g1w 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ukhtyy kaz nzurii asee

  • @patmavuai4256
    @patmavuai4256 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren kaswida ipo vizur sana mungu awabark

  • @OmanSalalah-of7uk
    @OmanSalalah-of7uk ปีที่แล้ว

    Hongereni kwa kazi yenu mungu awazidishie

  • @shariffasaid3605
    @shariffasaid3605 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa'allah qaswida ni nzuri sana

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah watabarakaallah allah akuzidishie kipaji vyenu ❤❤❤❤

  • @mwanaidikhamis8223
    @mwanaidikhamis8223 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah pambe hongereni kwa kasida nzuri mashallah

  • @TwaibuMpepo-cq5lb
    @TwaibuMpepo-cq5lb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman iyi kaswida nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HadijaMsemo-o2j
    @HadijaMsemo-o2j 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah jamn ❤❤❤Ana sauti kama ukhty Dida

  • @MwanamkuuMumbe-q2y
    @MwanamkuuMumbe-q2y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallar ❤❤❤❤

  • @samiraramadhani3297
    @samiraramadhani3297 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni qaswida nzuri Sana iliyojaaa ujumbe sahihi

  • @mashuhudamussa7159
    @mashuhudamussa7159 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah qaswida nzuri Sana

  • @fatimasaid4855
    @fatimasaid4855 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah qaswida nzuri

  • @mustafaalloo81
    @mustafaalloo81 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH, NZURI SANA..NURU YAA NABI

  • @salimomar3186
    @salimomar3186 2 ปีที่แล้ว

    Hongara sana mtunzi na msomaji mashallah

  • @zanishaikhonge7296
    @zanishaikhonge7296 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Kaz nzur

  • @kudraomari685
    @kudraomari685 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤ Ukhty kaimb kasd metuli san 😍

  • @josephmkingi1864
    @josephmkingi1864 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mungu awalie

  • @KarimJuma-wm8oh
    @KarimJuma-wm8oh ปีที่แล้ว

    Mungu amuondolee adhabu za kabr

  • @NeemaShaban-dh1fl
    @NeemaShaban-dh1fl 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mungu awalipe ❤❤❤❤

  • @user-nz7yt9th1q
    @user-nz7yt9th1q ปีที่แล้ว

    Masha Allah hakika mnajua

  • @ABDALLAHMWARAMUNDA
    @ABDALLAHMWARAMUNDA 9 หลายเดือนก่อน

    Allah awazidishie kheri inshaallah.

  • @hamzakombo2347
    @hamzakombo2347 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaswida nzur, pongezi kwenu

  • @mirajiissa4140
    @mirajiissa4140 2 ปีที่แล้ว

    Mashallaah nzuri sana

  • @HafsaMohd-go3tc
    @HafsaMohd-go3tc ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainnailayhi rajiun Allah akusameh makosa yako na alijaalie kaburi lako liwe miongoni mwa viwanja vya peponi

  • @MuhamdHaji
    @MuhamdHaji 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaipenda

  • @ramadhanihassanindevu7294
    @ramadhanihassanindevu7294 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah mtunzi hongera sana

  • @SharifaIbadi
    @SharifaIbadi 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabaliki😊😊❤

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 ปีที่แล้ว

    Mnaziharibu kasida tena hizo ni nyimbo na vinanda

  • @kodraaa7244
    @kodraaa7244 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awajalie kheri ameena

  • @hadijamatola5230
    @hadijamatola5230 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hapa naangaria Qaswida pambe pamoja na mishono

  • @bizoboy8148
    @bizoboy8148 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah MashaAllah Allah baarik

  • @Shoshoo1995
    @Shoshoo1995 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mpo vzr

  • @RukiaJuma-c4q
    @RukiaJuma-c4q 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah❤❤ 11:36

  • @mahamoudraoudhoi1996
    @mahamoudraoudhoi1996 3 ปีที่แล้ว +1

    macha Allah mbaraka dhoihou a dhoihou ma ssali enla nabiyina mohamad inambi lioumiya enla alihi wa soihambatihi adjimayina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @mariammuna6180
      @mariammuna6180 2 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏🙏🙏khaswida nzurii mashallaaa

    • @IsmailSaid-v9x
      @IsmailSaid-v9x 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu atukubalie swaumu zetu amiin🤲

  • @epafradeisizo1027
    @epafradeisizo1027 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah ❤❤❤❤

  • @bonifasmalini2703
    @bonifasmalini2703 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah 🙏🙏

  • @NacyliaWayu
    @NacyliaWayu 6 หลายเดือนก่อน

    Maashallah. mmependeza

  • @ibnhamzaonlinetv1603
    @ibnhamzaonlinetv1603 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah hongereni sana mmeosha

  • @ashakhamiss7629
    @ashakhamiss7629 3 ปีที่แล้ว +1

    Marshalls kaswida

  • @rahmayussuf9328
    @rahmayussuf9328 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah.. swalla ghalaaaah

  • @mwajumahajji-bw5iv
    @mwajumahajji-bw5iv ปีที่แล้ว

    Hii kasida inanitoa machozi kwa kweli

  • @MuhamdHaji
    @MuhamdHaji 5 หลายเดือนก่อน

    Mukovizur mashallwaa

  • @sidemnyamwezi8085
    @sidemnyamwezi8085 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaswaida

  • @aliseif8729
    @aliseif8729 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah msomaji umeitendea haki beat ( aqaz studio)

    • @yassirabdallah765
      @yassirabdallah765 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah aliy bin Ahmad mung akulinde na kila hasad ktk utaftaj wako na wana Qadiria kw pamoja

  • @saidmatikti2783
    @saidmatikti2783 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah wamefunika hataree, mashallah Hongera sana😍

  • @pendovictoria1770
    @pendovictoria1770 9 หลายเดือนก่อน

    mashallha jamani mnajuwa sana

  • @josephathalexander7345
    @josephathalexander7345 2 ปีที่แล้ว +3

    Allahuma amiin🙏🙏

  • @latifonuro1925
    @latifonuro1925 3 ปีที่แล้ว +2

    Machaallah

  • @elyasaahmad1277
    @elyasaahmad1277 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kaswda nzur sana

  • @aminaahmed5605
    @aminaahmed5605 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Mabrook

  • @abubakarsalum4855
    @abubakarsalum4855 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah allah awabarik 😍😍😍

  • @salmasulle8932
    @salmasulle8932 3 ปีที่แล้ว

    Mashalla warembo muwe na moyo huo huo

  • @mohammedgawawa2995
    @mohammedgawawa2995 3 ปีที่แล้ว

    Tuswalie mtume swalallah alyh wasalam

  • @khadijakantono190
    @khadijakantono190 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallala Qaida Nzurisana

  • @mawenzimdee9636
    @mawenzimdee9636 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah kwel mnajua hongeran sana

  • @websndh5433
    @websndh5433 3 ปีที่แล้ว +1

    Mainshaallah mungu awape kila lakheri

  • @adidjayousuf7300
    @adidjayousuf7300 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah😍😍😍😍😍

  • @rahmaismail6426
    @rahmaismail6426 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mkovizur siokilasku halus vizul sana

  • @mwajabjuma1846
    @mwajabjuma1846 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ni nzur

  • @faridayussuf4708
    @faridayussuf4708 3 ปีที่แล้ว +2

    😍😍Masha Allah 😘👌

  • @emmanuelmwandambo7065
    @emmanuelmwandambo7065 3 ปีที่แล้ว +4

    jamaniii, naangalia mafundi madogo wa tamayyuri hapo chini ni balaaaa.
    wametishaaaa

  • @halimabinthamisi3818
    @halimabinthamisi3818 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah 🥰🥰nzuri sana

  • @baffashuaibug.2862
    @baffashuaibug.2862 2 ปีที่แล้ว +1

    nice one MAsha ALLAH

  • @kudrayangee5430
    @kudrayangee5430 3 ปีที่แล้ว

    Mashalaaah kaswida nzur san

    • @jokhakassim6252
      @jokhakassim6252 ปีที่แล้ว

      Tumekubali kazi zuri big up kaswida nzuri msha Allah jazzak Allah khreir 💕🎼 number one🙏from burundi