Huyu dada ako n'a sauti tamu sana, kanikumbusha Enzi za taarab île nyakati ya zamani, endelea ivo ivo Kiswahili yangu si nzuri vile Mimi natoa mke uswahilini🌹 Nakuskiza kutoka ufaransa mimi mkenya 🇨🇵🇪🇺🇰🇪
I wish ungeliendeleza zile kaswida kama katika habari ya kutolewa roho,tutaiacha dunia,shida ya mwenye kutolewa roho.Naona ukiendeleza hivi utaingia wasafi.I have been following your kaswida tangu 2014.Tumuogope Allah na tubaki katika msingi ya dini.Dunia ni yenye mapito.Mziki ni Haram.
Huyu dada ako n'a sauti tamu sana, kanikumbusha Enzi za taarab île nyakati ya zamani, endelea ivo ivo
Kiswahili yangu si nzuri vile
Mimi natoa mke uswahilini🌹
Nakuskiza kutoka ufaransa mimi mkenya 🇨🇵🇪🇺🇰🇪
Wallahi
Mashaallah ukthy dyder nakupenda sana na naikubali sanaaaaa kazi yako Allah akupe kheri na mwanga kwenye kazi zako🤲 wallah raha sana
Mashaallah ukthy dyder nakupeda Sana
@@shuwenahassan1970 hi
Mashallah ukthy dyder naipnda xna
Hi to
Mashallah ukhty dida mtt usojua kununa wallah kazi zako huwa sichoki zitazama nakupenda mtt mzuri Allah akuondoshee husna za watu na majini
Mashaallah Mashaallah anaimba Hana pupaaa katuliaaa 👌👌❤️❤️
Mashaalaa...inapendeza sana😍😘🥰🥰🥰🥰
I wish ungeliendeleza zile kaswida kama katika habari ya kutolewa roho,tutaiacha dunia,shida ya mwenye kutolewa roho.Naona ukiendeleza hivi utaingia wasafi.I have been following your kaswida tangu 2014.Tumuogope Allah na tubaki katika msingi ya dini.Dunia ni yenye mapito.Mziki ni Haram.
Sure, uko sahihi Sasa anapiga taarabu sannah hatar inakuja zaidi zinaporuka kwenye public
Mm harusi yangu nawalika
Machallah Ukhty Dida tunashukuru sana kwa ma kaswida zako, khasatan Mimi kuliko nisikilize niombo afadhali kaswida muendeleye
Hakika hizo ni nyimbo tu na miziki na allah ameharamisha
😮
ahsante sana kwa wimbo mzuri sana kutoka Rwanda
Dyda wandu mshuli nakupend atary I love u dyda Allah akuzidishie kipaji chako Ameen nakupenda mno Kwa kwl by ifa
Nakupenda piaaaa
Da dida siwez kujiung n chuo chen wallah nawapend mpk bas
Ngoma NI Moto 🔥,,wale wa 2024 twende nalo
Dyda jamaniii wallah ww hatar na nusu ....mashallah. ...jicho la hasad lsikuonee......faaaa akeeeeee
💞🤝💃🏼
Amin thumma AMin
Ma sha Allah Swadakta Mungu Akuwezeshee Zaidi Ukhty Dida
7a🙂
Ukhty Didah NAKUPENDA buree.... nice nasheed🤩🤩🤩👌
Hii sio nasheed kipenz
Unatisha xana dada akeee!!!!❤❤ Maashallah
❤❤❤❤❤❤❤ ovyo 🎉
Weuweeeeee dyda hap umetisha kuliko zote mmh yan adi rahaa kitu pambeeee ataryyy
Mmekuw kama siafuuu😂😂😂😂😂
Mashaallah ❤
Epitome of Taarab, uandishi 💯💯💯🔥🔥🔥, mashairi 🔥🔥🔥 I love this 😊
Masha Allah kuolewa raha jaman 😘😘😘😍😍😍😍😍
Ukhty umetish mashallah mola akulinde❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Mashallah nimependa wimbo sana wimbo wako Raha leo raha
Ukhty Dyda mashaallah nakupa sn hapa Dar nisalimie Fakky na juma wote AQaz
From Somalia... Saa hii nina soma Kiswahili.. Nampenda this girl. Sauti yaku ni nzuri sana ❤
Y66ý
Ww unajua vizur kiswahili
⁸7this y5ou😢f😊
@@Cutiehelena ir
Penda sana!
Yupo vzr uht dida mashaallah mng mzdshie mwenyewe
mashallah i always 💖💝 this qaswida congratulations ukty dida
Hongela dada nyimbo nzuli sana ❤❤❤❤
Mashaallah kaswaida imetulia sn nkpnd sn diyda ww kwel kiongoz wa mabanat hilo hkn wa kupingaa
ouzouri wa zanzibar raha nana fasi hamou nyengui oulawa rohoni Marahaba wadjama watoukoufou wami bweni mariama wami oufourahi kabisa nahikiya saouti ndjema kasuida🤲🏻🤍 macha allah saouti yatarabou AAAA🤍🤍🎉🎉🤍🎉💓🤍💖💖🎉🎉💯💯💯🎉🎉🤩🥰🤩🤩💋💋💋🤩🤩💋👍🏾👍🏾💋
Hakuna kaswida ktk Dini yetu .zote hizi namfan wahizi ni nyimbo tu .Allah awaongoze nass pia .
Dida upo juu mashallah Allh akubarik akupe riski za halli inshaallah
Ameen🤲
Munguu nijaliiy na mm nipate mume jamani naona hadii wivuuu😢😢😢😢😢😢😢😢
Kaka yangu yupo nitakupa😅
Hongera sn naikubali sn na imenibamba mno
Nakupenda sana dida na qaswida zako napenda kusikiliza sana allaha akuongoze inshaallaah ktk kipaj chako
MashaAllah hongera ukhty didah...bi harusi hongeraa nmkupenda bureee cute and simple 😍😍😍
apaa.didaa me rohoo yng kituu inapndaa nawaza harus yng.inshallah ukujeee sin shakaa habibty😊😊😊
Mashaallah mashaallah ukhty nakupenda sana allah akuzidishie
Mashaala ukhty dyad
aoq1q
@@athumanimunguakupewepesikw1708 Z. .......
Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kipaji❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ukhaty dida pambeeee 2 haubahatishgi ww, nakupend my sis kaz nzur more bless keep it up
Mashaallah ukhty dida pambeeeee
Mm nimekwama hapa kwa wanao subiri lift hawana element
😁😁😁😁😁
Waooooo jaman love ukhty dida jamn pambeeee weuweeeeeee honger nuwaila
Kaza didaaa watajiju weuweee wanikoshaje naona hafsaaa pambeee wamedamsh ila did umetukwema kimacho naliaaa😭😭 cjaona tabasamuuu lk stejin
Dida💜💜💋
Mashallaah qaswida nzuriiiii saaan
Umebarikiwa sana sauti nzuri Hadi nkatamani kuolewa uswahilini
Mashaallah nzur adi raha😘😘😘
Mmependa San na pia mnaimba vizuri San ten san jmn
❤mashallah dadangu Allah akuzidixhie kipaji chako
Wonderful song. Sisi waswahili toka Rwanda na DRC tunaburudika na Qaswida
Mashallah dada dida Allah akuzidishie kipaji chko🥰🥰
Mashaallahha mumy nakupenda sanaaa. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
wallahi didah itabidi uniozeshe mwanafunzi wako mmoja mwenye sauti kinanda kama yako, nafarijika kuskiza qaswida zako
Great song, great tune and words 👍👍
Mashallah
Naipenda hiyo Ngoma.
Naipenda hiyo Ngoma.
She sings well tusimuonee wivu tumpongeze🥰🥰🥰🥰🥰
Pambe
Mashalah
MashaAllah 🤲🇰🇪💕💕💕
Ongera mwaya
Very good
kuna mdada alievaa miwanii nampenda san km kun mty anamfaham anifamishe
Mashalha dida machekooo
Mashallah hongera dada Allah akuzidishie kipaji chako kizidi
Mashallah kazi nzuri xana kipenzi .....I like
Mashallah warembo kweli nawapenda sana ukhi Dida uko juu 👍
Mashaallah mungu akuweke daima dada dida
MashaAllah na me mw/ mungu anijaalie nipate wa halali InshaAllaah
Mashallh jongera. Qaswida mashallh 👌👌👌👌👌👌👌😅
Mashallah mola akujalie n moyo huohuo ...mob lov kwako dyida 🇰🇪
Mashallah umewezaa mpezi!! Mungu akuzidishie kipaji habibty.♥️💯💯💯♥️
mashallah dada napenda sana kaswida zakoo maana zina ujumbe mzur 🌷
Mungu akubariki Dida na akupe kizazi chema
Aaamin
Much love daa ukhty ❤❤❤
❤❤❤ukhty Diyda ahallumtangana from khm shy
Hata me nampenda xn ukhuty d❤❤❤
Hongera Dida❤
Mashallah by ukhut swaumu anakupenda
Shida hujubu coment ila kazi nzurii au vip
Mashallah god blessing you...I love you ma sister
Thanks a lot my dear...👍👍👍
Safi sana ukht dida nakupenda sana kwa kasda zako
Mashallah Ukty Dyda Am always proud of you
Good masalla
Hongera sn Ukht Dyda qaswida njema sn, nisalimie sn Swahiba wng Juma fakky v Fakky mbarouk.
Mashaallah dada dida mungu azidi kukupa nguvu kati kazi zako
qaswida nayo ni kiboko yako pambe Mashallah
Mashallah siz... Inshallah harusi yngu nakualika hku Kenya💖💕❤️
From omán
Napenda qaswida zako dida
Dida we ndo kiboko yao ...Hudhaifa frm Kenya
Mashaallah ukhity dida . Mim nakuhitaj ninaharc ya mtoto Wang naomba mawasilian yako nitakupataje
Piga no hii 0777868264 utapata unacho kihitaji
Kwel mungu azidi kukutia nguvu❤❤❤
Masha allah da dida nakupend mung akulind na kila baya my
Masha Allah nimeipendasana hii kaswida Asante sana dada yetu kipenzi dida
Mashaallah Dyda wallh unajua mpaka unakera nataka kuoa sasa nataka unitungie kitu kimoja kikali ila sijui nakupataje
Mashallah mashallah Zanzibar tuna mambo yetu mashallah
Mashaallah thabarakallah dayda juu sana wallah
Hapa Leo umnkosha ukhty dyda god akuzdshie saut mashallah nkpnd Burr bure
Ila huu wimbo ni mtamu sana yaan hauchoshi kusikiliza hata kutazama 😘🌹 hongera kipenzi kwa kazi nzuri
Yaani mwanamke ana sauti ya upole huyu
MashaAllah Ukhty Dida Mungu akujazi kila la kheri
Nice kasida pambe tup👌mashallah 😘😘😍😍
Dyda wew ni mkali na nusuuu hakun kam wew nan kama dyda hakuna wew ndo jemedari la mabanati
Mchetu anaimba vizuri
Mashallah sana vooo👌🥰❤❤❤
Ma shaallh nakupongeza nikiwa 🇰🇪
Mashallh utaniua ww ukth dyd jamani
kazi nzuri sana nimeipenda msxhaalaaaaa
Mashaallah
Allah akujaaliye 🎉❤
Very nice qaswida. Mashaallah.
Mashaallah kazi nzuri
Nikekupaa chansy Yako offf 100 ni weww or unajaribuu jahazi latakaa kuenda wasubiriwa wew ukotayarii nifanye Sab fast
Mashaallah nzuri cna
Nice mumy❤
Mashaallah Mungu akuzidishie kipaji chko
Mashallah pambee dida huna mbaya
I love you so much my sister yaan huna mbay dadaang