Makosa sana kuwaweka wanawake watu wazima nyumba moja waume mkijua mnataka kuongeza mke hakikisha una sehem ya kumueka kuepusha shari kama hiz ni ngumu sana kukuaa watu wazma nyumba moja movie inamafunzo makubwa oweni wenye dini wanaume tamaa zinawaponza haya niko hp najifunz
Kidawa umeamia pande izi zamateso 😂
Hata mm nina mke mwenzangu lakini hatujafikia hapa allah azidi kutuhifadhi
😂😂😂😂😂 kwel uyu kitutu kafanana na jina lake ovyoo
Make mkubwa mashaallah heshima adabu mazungumzo alhamdulillah nakupenda sana bikunwa
😂😂😂😂daa ukee wenza huu sijauona mfano wake😊😊😊nimeipenda lakini ❤❤🎉nzuri 😮
mmmmm nataka niwe waine tukamilishe suna😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mke ni moja wa pili dada wa kazi😂😂😂 munipe likes zenu apa❤ 🎉
Mambo
Kabisa maneno kuntu 😂🙏
@@zuhurazabiir3769vp
Kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nani kasema allah au mtume saw au ni mihemko yako tu?
Duu ila huyu dada jaman 😀😃😃😃nimechek nusu kuzimia jaman
😂😂😂😂😂😂Nawapenda sana
Uke wenza balaa😂😂😂
Bola mila mtu akae kwake kuliko kukaa pamoja mtihani sana
Wake zangu mbna hawapo hivi wako bomba kama marafiki❤❤❤
Umeniwekea madawa mlangon ee umeniwekea tego kitutu khaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 mume harogwi kwa mauganga 😂😂😂😂😂😂😂😂
Na hilo jina kitutu limeingia mahali pake 😂😂😂😂😂ila wake wenza kazi mnayo😅😅😅😅
Duh ndoa imani kwakwel❤❤❤
Ila kitutu hapana 😂😂😂 umezidi jina limekuja kwake 😅😅
😂😂dah uyu dd simchezo
Kitutu😂❤
Duuuuh hiv nilivyo huyu tungewezana nae ningempa kichapo cha mwanaukome😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Umeonaee
Tamaa wapunguze tamaa wanaume jamaniii😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Hahaha pasua kichwa wake wadogooo
We sowote
Mm nataka niwee watatu
Hapana chezea uke weza 😂😂😂
Makosa sana kuwaweka wanawake watu wazima nyumba moja waume mkijua mnataka kuongeza mke hakikisha una sehem ya kumueka kuepusha shari kama hiz ni ngumu sana kukuaa watu wazma nyumba moja movie inamafunzo makubwa oweni wenye dini wanaume tamaa zinawaponza haya niko hp najifunz
Juba ilo na miguu nje vp Stara ipo kweli hapo
Kidawa uyo
Poleni wakewenza nauyo mmemoja wakewenza jiongezeni
Nawapenda sana wake wenza south Africa cape town
Duuuuu huyu ndio kitutu
Tamaa sa wanaume sinawaponza wenyewe
Good, good movie 😊
Huyo cyo kuigiza tu hafai ni bonge la shangingi
Wakwaza mm🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakuja mm😂😂😂😂
@@Baitha-i3cutaweza kwl ??
Upewe maua yako
Upewe maua yako
😃😃
We Acha tu ukeweza shida
Kwel uyu nikichef chef🎉
Yani wewe dada kuect move ii wallah ume haribu vibaya sana una ongea sana na jinsi ilivo picha na wewe tofauti
Sasa na ww mume ulipata mke mkubwa mzur mashallah anahekma na kila sifa, haya kiranga gn kilikutuma ukaoe mke wa pili😅😅
😂😂😂😂
Matamanio 😂uja majuto mjukuu
hahahaaa duu hii kali nimecheka jaman
Mm simpendi
😂😂😂😂😂😂😂ukewenza bwana
Yaan coo poa
🎉🎉🎉
Mke mudog am chizi🤣🤣🤣
Mmmh.Mke Pili shetani
Kitutu mchokozi 😂😂😂i
Cyo haki kudhalilishana
Mashaallah bii mkubwa
Kitutuu unajua kuwa huna uzuri heti😂😂😂😂😂
Hiiii ni balaà
😂😂😂 nimecheka kwa sauti
😂😂😂😂 Yaani kitutu
Yanii huyuu kitutu ana uchawii ndn yake syoo buree
kazi ipo kwakwer
Duuuh kaz ipo umebalukiwa kuongea mama
Huy mke kiboko
Mwanam
Dah anakejeli hatar
Anakwambiya ukweli mukewenza mwenzako jifazi
Yan mm mwenzen uke wenza siuwezi ata kdg
Ni kweli jaman wake wenza waskae pamoja
🎉🎉🎉❤❤
Kuna chakujifunza ap😮
Uyo mwanamke muache hafai kabisa
❤🎉
😅😅😅ukewenza rahaaa sana
😂😂😂😂
Mna owa owa mpaka unaenda kuowa machizi 😂
Mwana kulitafuta mwana kulipata kesho aowe tena
Uyukitutu anasura mbaya yakukauka kama ndimu ilioanikwa juwani ixiii😏
😂😂😂😂😂 jamani
Dini inaruhusu
Huyu simwanamke wa kweli n tamaa tuu amejaza
Kakanyando nauku
Duuuuh😢
Uyokaka yakeya kitutu nimushenzi kibaooo❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Never mabalaaa
❤ibadaaa
Ya kuswalia Eid😂😂unaswali kumbe 🤔🤔🤔
Ipo vizuro dda
Uyu ajafudwa mwanamke mwenye laaana
😂😂😂😂
😮😮😮
Mm mke mweza siwezi kwanza siwez kuombana Kisha mapenzi jaman wanaume walizike. Na mwanamke mmoja Kwan shida 35:58
Mwanamke ana nongwa huyu
Maisha ya ukeweza so pw kabisaa nayachukia ilembaya sema nini hakuna namba kupambana mayo chapeke Yako kaburtu
Wewe mwanamke ACHA roho mbaya
Mwambie ukweli wake
Kuimba kwenyewe hajuwi bwana Kazi anayo Kwa make mdogo😊😊😊😊😊😮
Kwani huyu chizi kamtoa wapi hahahahah
Ndio maana uke weza siuwezi😂😂
Kazi ya waislaam poleni
@@ellahjonas4881 Mimi ni muisilam lakini siwezi
Pole ya nini tena, sio lazima tatizo wanaume wa africa sunnah yenye wanapenda ni ya kuoa oa hovyo @ellahjonas4881
Penda sana daa Kitutu❤❤❤
Anakupenda pia
Yani ukewenza na machungwa bola chungwa
Kitutuuuuuu
😂😂😂
@@NYANDE182 nimefurahi kumkuta huku maana nampenda huyu dada,,,aisee movie tamu kazeni Buti mtafika mnapohitaji,,naamini mungu atawabariki
Nawakubali wake wenza
Hhh shemeji amefunga
Napenda sana tamsiliya zenu mzuli ongeleni sana
Mwambiye siyo musarabu
Anasheriya
Yaani mwanamke kamahuyu hafaikuwa mke hatakuwa nduguyako
Maisha ni uvumilivu
Wewewe kitutu
Mke Mkubwa nimke mzur San mashaanllah jmn
Uke wenza shikamoo
😂😂😂
Mbona apo make simuon labda uyo dada mweusi uyo mwingine simuelew
Wewewewewe ushirikina
Mambo ninayozungumza ni sensitive