Mashaallah nzuri sana nimeipenda sana hizi ndio kasda nzuri zenye mafundisho na utulivu na hakima allah awajaalie hizi ndio ziwe kasda za daima msije mkaghururika na hiyo minanda ya miziki mkaja mkaupoteza uislamu wetufundisheni jamii kwa nguvu zote mashairi yenye thirah allah awanyanyue darja za juu amiin 😍😍😍👌👍
Mashaallaah ndugu zangu hizo ndo kaswada zenye sifa nzuri za mbora wa mitume na mbora wa twabiya na mbora wa viumbe wote.kwa kweli inaladha kwa kweli kaswida sifa nzuri za mtume kaswida kama hiyo huondosha maradhi nyoyo
Mashallah qasida mardadi kabisa. Ila tujaribu kupunguza huu mchezo WA hawa vijana naona kama vinaharibu. Bora wakae tuinuwe mikono kwa duaa ingelipendeza. Hii sio taarab. Nionavyo. Sauti ya dhahabu inaleta utulivu moyoni
Jitahidini tu maana kwenye mambo haya ya ghunna pale Dar es slaam wapo juu sana sanaaa ukiwasikiliza mpaka unapendaaaa. Kama mutakua na Qaswida kama mtindo huu Wallaahi tutatoka Dar kuja Zanzibar kwenye Shughuli.
Mtunzi kafanya kilakitu ila shida kasisi watuwa madufu ninseme Kwa kiswahili fasaha wachezaji awaendani na maneno caswida husika nahisi wange kaachini au kupiga magoti wangefanya kitu kizuri sana waliosimama wote wamealiribu nazaria ya jina linalo tajwa kwenye ujumbe huu inshallah watafanyia kazi hicho kitu itakua mzuri sana
Tuloangalia zaid ya mara moja tujuane .mashallah ina ladha nzuri qasida.
Hakika
kweli
Mashaallah nzuri sana nimeipenda sana hizi ndio kasda nzuri zenye mafundisho na utulivu na hakima allah awajaalie hizi ndio ziwe kasda za daima msije mkaghururika na hiyo minanda ya miziki mkaja mkaupoteza uislamu wetufundisheni jamii kwa nguvu zote mashairi yenye thirah allah awanyanyue darja za juu amiin 😍😍😍👌👍
Ahsante sana Ustadh Juma Faki kwa kasida iliyojaa ujumbe mzito sana haswa kwa wale wasiompenda Mtume Muhammad (saw).
MashaAllah 🇰🇪Allah awatimizie haja zenu qaswida nzuri ya tuliza nyoyo wallahi
Maashallah Maashallah Maashallah
Mashaaallah Allah azidi kuwaongoza kwa kusoma Qaswida nzuri Allah awalipe kwa kumsifu Mtume Muhammadi (saw)
Maa shaa Allah. TUMSWALIE MTUME Muhammad SAW
Manshallah Allah awape maisha marefu mzidi kutukumbusha kupitia kaswida.ameeena.
From Indonesia... MasyaAllah.. Top.. Laziz..
Mashallah Tabarakallah..Qaswida Mujarab Kabisa..Kucheza Namna Hio Haipendezi Tujaribu kuipa Qaswida Hadhii Yake ..shukran
Mashaallaah ndugu zangu hizo ndo kaswada zenye sifa nzuri za mbora wa mitume na mbora wa twabiya na mbora wa viumbe wote.kwa kweli inaladha kwa kweli kaswida sifa nzuri za mtume kaswida kama hiyo huondosha maradhi nyoyo
Allah Akbar mashaallah my brother Allah Akuzidishie
Maanshaalaah Allah awape. Afyanjema
Kazi nzuri kwenye mapungufu mujirekebishe mfano ktk uchezaji haifai ni kuvuka mipaka na baadhi ya maneno but kasida nzuriiii
Kweli yako akhuy, bora umeliona hilo.
Mashallah qasida mardadi kabisa. Ila tujaribu kupunguza huu mchezo WA hawa vijana naona kama vinaharibu. Bora wakae tuinuwe mikono kwa duaa ingelipendeza. Hii sio taarab. Nionavyo. Sauti ya dhahabu inaleta utulivu moyoni
Hata usipoangalia kuisikiliza tuu unahisi moyo unasisimka. Maa shaa TUMSWALIE MTUME SAW
Nikweli
Masha Allah nimeipenda sana allah awazishiye
Kaz 1 matata sana sana JUMA FAKI nakukubal sana allah akujaalie kla la khr ktk maisha yko sut kma ulaya mashallah mashallah
Masha allah sheikh allah akulinde na hasad za watu wabaya
Penda sana Znz yetu from🇹🇿🇴🇲
Mashaalah qaswida nzuri sana aisee mpaka nataka kulia nikisikiliza
Asanteni ustdh juma faki na wezako woote kwa kazi mzuur Sana Allah atakulipeni ziada ya mnachokifanya.
masha Allah masha Allah Allah akujalie kwa kila la kher insha Allah ak juma kama kaswinda zako ya mafunzo nahisi faraja sana masha Allah
Mashallah allah akulipe kila la kheir kwa kumsif mtume
Mashallah ALLAH awbariki kwenye kazi zenu ❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Kwel 🤝🤝🤝🤝🥰🥰🥰🥰🥰🥰
👍👍
Mashallah. NYIE hamna mpizani munajua mpaka munakera wallahi
Masha Allah mung azidishe kipaji chenuu Masha Allah Masha Allah,👌
mashallah mnajua sana masheikh wangu. Allah awalipe kwa hili mumeturdisha kwenye kasda za kizamani za wazanzibar.
Allahumma swalli wasallim wabarik alayhi
S.A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE ❤❤❤🤲🤲🤲
Mashaallah sheikh juma allah akup umri mrefu
Mashaallah allah awape umri mrefu naawafanyia wesi katika kazi zenuu🙏🙏🙏🙏😘
Mashaalah Allah akuzidishie umri mrefu
Mashallah ustadh juma faki mungu akujaalie uzima uzidi kutuelimisha
Qaswida nzuri sana shekh Juma Allah akujalie kheri Inshallah na akuepushie hasadi na mahasidi katika kazi Zako Inshallah
@Pemba Online waalaikumu salamu vipi naww
Mashaallah kasweda. Imeniliza
Zikitajwa swifa za mtume Mohammad s.a.w.lazma mwili usisimke ❤❤❤ mashallah mashallah
Mashaa Allah kaswida nzur sana Juma faki
Maaashaaallwa mungu awaongoze
Allahumaswali wasallim alaih
Big up wana wa yuri heshima kwenu aiseee nimemalza maneno mashallah
Bonyeza utizame hii 👇...
th-cam.com/video/_Hh_-rtaF64/w-d-xo.html
Maashaallah napends qaswida zako akhy jumaa
Mashallh mung awaongoz zaid
Shukran waaslamu wenzetu kwa kuihifathi utamaduni wa zanzibari endeleeni kumsifu kipenzi cha mungu from Yemen
Bonyeza utizame hii 👇...
th-cam.com/video/_Hh_-rtaF64/w-d-xo.html
@@rosemelechaupepokidoa2365 ahsant dada yangu kwa uslaam ila nlihuzunika NA kuliya
Maa shaa Allah ,Allah awape umri mrefu wenye faida In shaa Allah
Qadia juu juu juu zaidi😍😍😍👌👌👌👌
Mashallah. Ladha halisi ya kaswida
Harufu ya misk jasho lake tumwamwema.tena misk safi .ilove this qaswdaa
Jitahidini tu maana kwenye mambo haya ya ghunna pale Dar es slaam wapo juu sana sanaaa ukiwasikiliza mpaka unapendaaaa. Kama mutakua na Qaswida kama mtindo huu Wallaahi tutatoka Dar kuja Zanzibar kwenye Shughuli.
Masha allaah mola awalipe ahlal qadiriya
Maashallah ❤️
Mashaalah jaman 💚💚💚💚💚
Mashallh kheri ishaallh kaka angu kpz mungu akuhifadhi nakipajichko takibiiiriii
Ebwanaweeeeeeeee saut ya dhahabuuuuu mashallah mashallah
Umeonaeeeee Mashaaallah
Mashanllah, mashanllah ❤️🤲🤲
Mashallah 💯💯
Hongera Ustadh Juma. Kazi zako hazina DOA hata dogo
Bonyeza utizame hii 👇...
th-cam.com/video/_Hh_-rtaF64/w-d-xo.html
Mashallah viburusisho za kheri kukuleta karibu na Bwana mtume.Tumswali mtume.
MashaAllah MashaAllah barakallahulakum😘 watching from kenya wallahy nimeipenda sana
Kazi nzur
maashaallah kwakweli hii kaada niya Aina yake jazaakumu llahu khaira
Ummu khayra MashaAllah Allah awape umri wenye kheri na nyie
Hakika mnaweza kadiria mungu awape mda mwingi muweze toa burudani Kama hizo mashaalah
Mashaallah hiindo kaswida ss
Dh mashallah💔💔 hii ndio ladha ya qaswda sio mafujo n vurugu mashallah aqaz
Mashallh qwasida zuriiii
Mashaaallah nimepnd ma's hair yen mashalah
Mtunzi kafanya kilakitu ila shida kasisi watuwa madufu ninseme Kwa kiswahili fasaha wachezaji awaendani na maneno caswida husika nahisi wange kaachini au kupiga magoti wangefanya kitu kizuri sana waliosimama wote wamealiribu nazaria ya jina linalo tajwa kwenye ujumbe huu inshallah watafanyia kazi hicho kitu itakua mzuri sana
اللهم صل وسلم عليه❤️❤️
Mashallah naskia moyo wangu umetulia
Mansha Allah wana qadiria Allah awaongoze jaman
Ma sha Allah Tabaraka Allah
❤❤❤❤❤❤Allah awabariki inshaallah
MashaAllah aqaz nawapata kutoka qadiria c kilimahewa zanzibar
Mashallah 💞💗❤️
Watusikie hasaa!! Masha Allah inakonga ndani ya nyoyo zetu
Swadakt mungu anijalie nipate mme mweny kipaji
Mashallah Allah awapemaisha marefu mzidi kutuelimisha
Kwa ninavyowapenda haw na madrasa Yao nataman wangekua dar ningewapeleka watoto wangu Allah awajaalie kwahiki kwakweli🙏🙏
Mashallah pambe sana kaswida
mashallah allahubariki
Qaswida mzuri sana nimeipenda
Naomba kujua cku ya ghafla yenu inshallah niweze kuhudhuria
MashaAllah qaswida tamuu🌹
Mashaallah ❤️
Mashaallh Allah
Mashallah Mashallah Wallah rahaa naskia kulia hasaa
Mashallah mashallah ❤
Mashallah
Producer matata sana ALLY AHMAD asnt
Kama na wewe unakiri hawa ni MASTAA gonga like tungane nami
Mashallaah🎉
Hii kaswida mmepiga mno mashaalah
Mashallah ❤️ 💋 mzuri nimependa 👌
Hii ndo kasida bhana Sio wale wanaotaka kutuletea mziki
@@aishahussein2697 ndio imetulia pambe
Asnten yan nyinyi ni htr na nusu mashallah iko poa sana
Kaxi nzurii 🥰🥰🥰
Jaman inapendeza sana mashalla
Mashallah ❤❤❤
Mashaallh vit
Hongera shekh jumla
Hongera kwa vitu vitamu
Juma hongera Sana fundi wa Aqaz
Hili balaaaa sasa kutoka Mkono mahiri producer anaesumbua tz kwa ujumla ally ahmad
Masha allah ❤❤
Mashallah qaswida nzur sana