Assalam aleikum kama umerudi hapa 2024 piga like na umswalie Mtume wetu Muhammad Al Mustafa SAW. Allah awazidishie na atujaalie umaah mzima. "Na walo kuja mwishoni kawashangaza Nabia" ❤❤😢😢
Ohoo yapendeza zaidi kwakweli hapa tumewashinda Indonesia inaburudisha roho twajihisi tuko junnatul fridausi. Mashallah+2Allah awazidishia tupate zaidi kama hizi.,😍😍👍👍👏☺️
Mashallah kasida nzuri mwenyezmungu(s.w) awajaalie kila la kheri vijana hawa duniani na akhera kwa kuzibaini na kuzitangaza sifa za nabii Muhammad (s.a.w)....Amin 🤲
2022 and still one of my favourites 💚. MashaAllah beautiful!!! Mtume wetu hashimu Alikuwa muadhamu Mbele ya Mola karimu Kuliko kila nabiya... Mtu aendeleze please
Wallahi haichoshi kusikiliza hizi sifa za wetu Nabia (SAW) ni bora kutazama hii mara kwa mara kuushibisha moyo kwa mapenzi ya wetu Nabia (SAW). MashaAllah kwa walioghani.
MASHAALLAH sikatiki kiu WALLAH kuiskiliza hii kasida nzur sn hkika MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) amekamika NABIA ❤️❤️❤️❤️MASHAALLAH NAKUPENDA SANA MTUME WETU KIPENZI CHETU NAKUPENDA MOLA WETU PIYA YA RABBY TUHIFADHI NA UTUKUTANISHE NA MTUME WETU MUHAMMAD( S.A.W. ) siku ya mwisho AMIN THUMMA AMIN 🙏🙏 🙏❤️🌹
Wallahi I keep watching this Qaswida 10 times a day .I don't know why. I guess I love this very much.. Imagine I was praying and deeply thinking of how prophet was created and how he looks like..
Mashaa allah Qasida mzuri saana mungu awa bariki waliyo isoma na sisi sotte waislamu mungu atupe Mapenzi yake na ya mtume amiiin amiiin amiiin Yaa allah
MashAllah one of my favourite qaswidas 😊 reminds me wen i was young in madrasa☺.May Allah swt joins us all with him in jannatul firdaus Allahumma Ameen.
Assalam aleikum kama umerudi hapa 2024 piga like na umswalie Mtume wetu Muhammad Al Mustafa SAW. Allah awazidishie na atujaalie umaah mzima.
"Na walo kuja mwishoni kawashangaza Nabia" ❤❤😢😢
Waliorudi kuiskiliza tena qaswida nzuri ya kumsifu mtu 2023 gonga like tujuane allahumma swali alayhi wasallam
Yani kila cku waallahi, Hakuna kama Mtume Muhammad S. A. W
Mashallah inapumbaza mpaka roho😊
2024
❤
Nimeipenda saaana ALLAH awabarik hawo vijana kwa kumsifu mtume wetu MUHAMMAD SWALALAHU ALAIHI WASALAM.
Hongereni sana vijana mumeisoma kwa hisia kubwa mno kama vile bwana mtume muhammad s.a.w yupo mbele munamuona safi sana
Safi sana hii kaswida mungu awazidishie mung awalipe kila laheri 🤲
Kama namuona swalawatullah alyh...❤
Ukiiisikiza unajenga taswira
Mwenyezi mungu atujalie atukutanishe naye peponi mtume wetu muhammad S.A.W na aali zake na masahaba na familiya yake
Swalla llahu alayhi wassalam.... Rehma na amani zimshukie bwana wetu mtume Muhammad
Mashaallah 🥰 muko na sauti nzuri nimeipenda hii qaswida
Ohoo yapendeza zaidi kwakweli hapa tumewashinda Indonesia inaburudisha roho twajihisi tuko junnatul fridausi. Mashallah+2Allah awazidishia tupate zaidi kama hizi.,😍😍👍👍👏☺️
MASHAALLAH TABARAKALLAH mola awazidishie na awajalie kila munalo liomba kutoka kwake
Kiukwel qasda imenilizaa allah akatukutanishe na MTUME wetu
Aamin aamin shukran
This qaswida reminds me madrasatul noor karatu Arusha,waliimba vizuri sana enzi hizo,kwa dufu za kirangi bila ya kurekodia studio
kama na ww umerudi kuiskiliza tena ndani y mwaka 2019 naomba tujuwane.
Kila nikiisikiliza inanikumbusha mbali kwa bakathir m/mungu amsameh mazambi yake amjaalie kaburi lake kua nimiongoni mwa bustani za peponi amin
Amin
JIna la Mwenyezi Mungu liandikwe kwa ukamilifu wake halina kifupi ni dhambi
Ameen ya rabb
Kweli@@kassimbakari990
Kakamilika namna mfano wake hamna. Mashallah utadhani kajiumba .alhamdulillah kwa kutukumbusha kumkumbuka mtume wetu. Thanks
Mashallah kasida nzuri mwenyezmungu(s.w) awajaalie kila la kheri vijana hawa duniani na akhera kwa kuzibaini na kuzitangaza sifa za nabii Muhammad (s.a.w)....Amin 🤲
V
Nilifundisha wanafunzi Baringo Hii qaswida walikua wakipiga kwenye hafla,mara Kua mara Mashallah tunakupenda saana
MashaAllah kwa ulivyo msifu kipenzi wetu sidhani kama umebakisha kitu.Allah akuhifadhi.
Aamyn aamyn
Yah Allah akuzidishie
Kajitahidi ila hakuna anae eza msifu akamaliza sifa alizo nazo mtume S.A.W
MashaAllah Allahumaswali wasalim ala ashrafulkhalk
masha allah
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته
2022 and still one of my favourites 💚. MashaAllah beautiful!!!
Mtume wetu hashimu
Alikuwa muadhamu
Mbele ya Mola karimu
Kuliko kila nabiya...
Mtu aendeleze please
Wallahi haichoshi kusikiliza hizi sifa za wetu Nabia (SAW) ni bora kutazama hii mara kwa mara kuushibisha moyo kwa mapenzi ya wetu Nabia (SAW). MashaAllah kwa walioghani.
Wanagpi wapo hapa kwa mazazi ya mtu leoo❤️❤️🥺
MashaaAllah mashaaAllah..my alwayz favorite Qaswidah...Allah awahifadhi Amiin
Mswalieni bwana muhammad...... swallu ala nnabyyy Allahu maswalli wasallim aleihi waala alih.... kasida nzuri sanaaa naipendaa hadi machozi yanitoka nikiskia sifa za rasuli... na ww kama waipenda nipe lyk yako👍
Wewe ni kama mimi
545ii .u
❤❤❤❤ same
A5evrgddvd❤😢🎉yrng
@@AbuuZahir2. ggij
it's so good Masha Allah. ..,,.❣❣❤🔥❤🔥❤❤❤💓💓💓💕💞 ma Anaa fiddun ya ills karaakibin ista dhwallat tahta shshajara humma rahaa tarakahaa
MASHAALLAH sikatiki kiu WALLAH kuiskiliza hii kasida nzur sn hkika MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) amekamika NABIA ❤️❤️❤️❤️MASHAALLAH NAKUPENDA SANA MTUME WETU KIPENZI CHETU NAKUPENDA MOLA WETU PIYA YA RABBY TUHIFADHI NA UTUKUTANISHE NA MTUME WETU MUHAMMAD( S.A.W. ) siku ya mwisho AMIN THUMMA AMIN 🙏🙏 🙏❤️🌹
Amiin 🤲🏼
Wallahi I keep watching this Qaswida 10 times a day .I don't know why. I guess I love this very much.. Imagine I was praying and deeply thinking of how prophet was created and how he looks like..
Masha Allah
Me too here more than 10 times..
Mungu awazidishie kipaji marshallwah
I recommend you read a book called Shamaa-il Tirmidhi, you'll find it fascinating
MashaAllah barakallah..such a beautiful nasheed❤
Mashaalah! Allah atujaalie sote kiama tukakutane peponi na mtume wetu
اَللّٰهُمَّ صَلِّ عَلَى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ وَ آلِهٖ وَ صَحْبِهٖ وَ سَلِّمْ
Nini niseme jamani hata pawe na fulani vzuri kuzibaini sifa za wetu nabiya... Allahuma swali wasalim aleeee
Shukran
Asalaam alaikum warahmatullah wabarskatuh like kam bado upo mpak ss ukiiyangaliy 2024
wallah qasida ni ya kitambo lakin utadhani imetolewa leo ..
اللهم صل وسلم وبارك علیه
ma shaa Allah kaswida nzri sana imeingia moyoni mpka mchozi ya furaha kunitoka nimeipnda sana. Allah Awazdshie ufhm na mzidi kutunufaisha.
MashaAllah .very nice haishii utamu....mpk machozi yanitoka kw furaha.
Waallahi tamu sana, Hakuna kama Mtume Muhammad S. A. W ❤❤❤❤
Mmewangu ni mzanzibar ana ipenda sana
Masha Allah. Qsd nzr sana.Allah Baarik.sichoki kuskiza my favorite qsd.twayyib.Amina Rabbi Amina Dua Tutakabalie yaa Rabii
Me too Fatuma Shee@ It's great
Mashaallah Jazakallah kheir
Hata mm naipenda sana Masha Allah
"" vvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvvv vvvv3ui8
Its 1st Rabi ul awwal 1445 mwezi wa mtume tumsifu kwa kila namna I love you Mtume Allah atukutanishe sote jamia islam
Hchbcchchvgsdch h
Bccbechdchvdgch No one day 😅
Ehfhfvuxchcgh🎉hhf
Mashaallah,Allah akuongoze zaidi ktk qaswida
MashaAllah Allah awajalie Rehma na Nehema zake Amiin, nmeipenda Qaswida hii.
Nimeipenda jinsi anavyosifiwa kipenzi wetu swa
One of the best qaswida in the world...Allahumma Swally Wa Sallym Aleihi
Mashair nasauti yamuimbaji mashaallah ,ubaya upo kwenye kutia hayo mamiziki tu .tumche allahu jaman tujue mziki niharam katika dini
Fact
Unavyo msifu alivyokua ni kama namuona wallahi,macho wakubwa,kimo cha wastani,mweupe pe pe pe,Ma shaAllah
Uwislam raha jmni m mungu akikuchaguwa m wislm kakupenda
asante kwa kumsifu mtume wetu hashimu. Baraka llahu fik
Masha Allah mungu akuzidishie kipaji uzifi kumsifu mtume wetu
Ma sha Allah 😍😍
This QASWEEDAH is so beauty, their voices ars so attractive. May Allah bless u all muslim❤
Ameeen
Mashaa allah Qasida mzuri saana
mungu awa bariki waliyo isoma na sisi sotte waislamu
mungu atupe Mapenzi yake na ya mtume
amiiin amiiin amiiin Yaa allah
ashrough hashim and
Mashallah
Twayib shaykh Muhammad maaashaaallah
Naipenda sana hii qaswida maana ina sisi mua sana na inafundisha mungu awape kila la khery kwenye maisha yenu💕💕💕❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰
Mashallah Barakallah. Sauti nzuri sana,unaskia raha kuskiza. Mungu awajazi vijana wetu. Ameen
Wallah huchoki kuisikiza
mashaallah mtume wetu kaumbika kwa sifa zake peekeee Muhammad
Allah amrahamu Maalim Bakathir
Mashallah mungu awazidishie
we used to sing this qawsida back in our Islamic school its just remind me of our late class teacher he used to teach us qaswida
sweet naa kvl
OK
So did I
Is it ustadh Abdulmajeed?
Sichoki kuisikikiza, nakumbuka tukiimbishwa kila siku assemble asubuh pale Madarasut Nnur Ukutani Zanzibar
Yaa allah tunakuomba utukutanishe nae
Aamyn aamyn. Fanya jitihada angalau ukamsalimie pale madina tul Munawwara. Alhamdulillah nimekwenda msalimia rasullullah mimi
Amiinaaaaaaa
Ameen yaarabbi ❤twampenda Mtume Muhammad S. A. W❤❤paka kiama
Mashaallah mashaallah mashaallah mtume wetu s.a.w. Allah awabariki kwa kumsifu mtumi wetu s.a.w
Mashaallah mungu awazidishie kwa kumpenda mtume
Mashaallah Allah barik ur voice is👌👌👌👍mashaallah fantastic
Masha allah wamejitahid sana allah awazidishie insha allah 🙏
Mungu atuwekee VIJANA wetu muitumie sauti yenu ktk khayraat IKIWEMO kumsifia kipenzi chetu Mtume SAW.
Mashallah nakumbuka mengi hapo nikiwa chuoni nikisoma historia ya mtume mwaswaha na maisha yao wallah
MashaAllah nice voice bro 👍👍mzuri mno Nabia 😘😘
MashAllah one of my favourite qaswidas 😊 reminds me wen i was young in madrasa☺.May Allah swt joins us all with him in jannatul firdaus Allahumma Ameen.
Aaamiin
Same to me I really love it 💝
Mashallah 😊❤
sahalesuaadshadyajihanHaniHiani❤🎉
Mashaallah naipenda sana hii kaswida mola akuinue darja kwa baraka za bwana mtume s.a.w
Mashaallah mm machoz yananitoka sijui nahis vip
Waallahi hakuna kama Mtume Muhammad S. A. W ❤❤❤twampenda paka kiama
Mashaallah jazakallah kheri ❤❤
Ma shaa Allah.....kwa ulivyo msifu kipenzi Hashima sidhani kama umebakisha.....Allah akuhifadhi na jamii Isilama
Aamin shukran
@@hdh438 Afwan
Mashallah mupo zanzibar sehem gani naomba tuwasiliane
tunapatikana vikokotoni 0777144 988
Nour Almustafa Zanzibar sawa ahsante tutawasiliana zaid
tafadhali naombeni mnitumie kwan najaribu download inakataa plz
Masha Allah Abdul Hafidh Sauti njema kweli...basi tutole na zingine za kiswahili...
Akafey cyber inshaallah zipo
Favorite qaswida
Subhaanallah...Tabaarakallahu ahsanal khaaliqiin Ametukuka Allah ambae ndo mbora Wa kuumba..
Maa sha Allah
Hii Kaswida ni ya miaka mingi sana lkn ikipata mafundi kama hawa utasema ndio kwanza imetungwa leo yaarabbi mpe wepesi shekh farsiy
Ameen
Masha Allah..kipenzi chetu NABIA...machozi yanitoka
mashaallah nice qaswida, rangi yke ni nyeupe wala c weupe pepe hakika anasifa nyingi nabia
اللهم صل وسلم ويبارك عليه ..
Inshallah mungu awahifadhi kwa sauti zenu,big up guys💕
Ishaalla kwa sifa za mtume haujaacha hats moja mungu akubariki
May Allah bless
simnene simwembamba kakamilika NABIA MASHAALLAH NASHEED NZURI MASHAA ALLAH
Asina Kassim
@@kasimayubu7261 naipenda hii qaswiida yanikumbusha Madrasa nilikuwa nikiipendasanaaa meiimba ayamimoja ya maulid ....
Mashaallah Mungu amzidishie kipaji kijana wetu
Ila tunaomba na nyengine zile za ramadhani
Mashaallah
Mashallah mashallah , Amina ya rabbi amina mola atutakabalie
Yani mm kila asubui lazima nisikize hii kaswida ilivyo nzuri mashalla sina no zenu ninge wapa skuku ya idd
Namba zetu +255777144988
Sawa shukran
Ma shaa Allah mungu awabariki nzuri sanaaaaaaa qssida
2023 alhamndulillah
Masha Allah....... I can't get enough of this.....
MashaALLAH MashaALLAH MashaALLAH.
ALLAHUMMA SWALLI WASALLIM ALAYH
Mashallah mzr qaswid yenu nanyi pia allah awazidishie 💘💘💘👌👌
ALLAHUMMA SWALEY ALLA MUHAMMAD...Ya Ma Sha Allah
Masha Allah kaswida mzur sanaaa hakika imeleta ukumbusho wa uzao wa mtume na jinsi alivo imeipenda sana.
My favourite qaswida alafu mashaallah una sauti nzuri sanaaaaaa
shukraan
Mashallah hadi natamani ashindanishwe na Mohd alhinai aliengia ISC unamjua?? Mashallah but kumbe zanzibar kunavipaji havina vyakuwashika
@@aliy3303 duh asante sna
Mashaallah...Nihifadhie mtume wangu ya Rabb🙏
Uso wake mdawari mzuri sana nabiya,tabia zake ni jema, mwenye adabu, heshima na taadhima alivyoumbwa sayyidna Muhammad (s.a.w)
Masha Allah it is a beautiful Qaswida
Allahu Baarik
Masha'Allah Allah bariki
Maashallah maashallah mungu awape muongozo huohuo
AMIN
+Nour Almustafa Zanzibar ameen
Mashaallah allahuma barik😘😘😘
Masha Allah ❤❤❤❤
Still 2020...Masha Allah. Rehma na amani ziwe juu yake nabiyyullaah...
🤗
Allah awajalie
Mashallah mugu a kubarik
Mashaallah nzuri mno allah awape kher
Mashaallah qaswidaa nzur sana naipenda na sichoki kuickiliza wallah Allah awabariq kaka zangu
2024 june 21stاللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم