UKHTY DIDA NI NOMA ANGALIA BALAA ALILOFANYA MAULIDINI KWAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • SUBSCRIBE NOW KWA KUPATA HABARI PAMOJA NA MAKALA BONYEZA LINK HII bit.ly/3waxCzh
    KARIBUNI SANA KWA HABARI ZA BURUDANI NJE NA NDANI YA TANZANIA PAMOJA NA KUJUA HISTORIA MBALI MBALI ZA WATU MAARUFU DUNIANI #@FutureMediatz

ความคิดเห็น • 928

  • @MatSia-jn9tt
    @MatSia-jn9tt 8 หลายเดือนก่อน +4

    Lovely song from dida I like this song , when are u dropping us a 2024 hit again

  • @MuhammadHarun-o5u
    @MuhammadHarun-o5u 9 หลายเดือนก่อน +4

    Much love from Uganda❤❤❤ Masha Allah mungu aku zede talent

  • @aisha-t5o3e
    @aisha-t5o3e ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ukty dida mungu akupe shufaa uwendelee kutupa vitu vizuri aminaaa!!!.

  • @zeinabathman4969
    @zeinabathman4969 ปีที่แล้ว +2

    Mshllh nice voice mshllh tabarakallah minaa waminkum mashallah jicho la husda lisikupate dadangu kwa sauti yako mashallah HASBIALLAH WANEMALL WAKILL mashallah

  • @alikibahussein2854
    @alikibahussein2854 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah I like this song 🎵 Alhamdulillah barakal Allah fikum my sister ukhty

  • @nurucinemax
    @nurucinemax 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah ❤❤dida love you so much from Kenya 🥰🥰💋💚

  • @mohammedmuddy4117
    @mohammedmuddy4117 4 ปีที่แล้ว +7

    Mwisho Wana wahidaya twapeleka zetu du'aa napenda kaswida zako ukhty dida na pia nasema shukran khairani kathraan kwa kaswida zako muruwa

  • @zumratibrahim841
    @zumratibrahim841 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashanllah nakupenda saaana dadaangu Anllah akupe umriy mrefu wenye mafanikio duniani na akhera lnshaallah

  • @ramadhanihassani5542
    @ramadhanihassani5542 ปีที่แล้ว +2

    Am like this Qaswida safi sana hongereni pongezi ziwafikie mwalimu wa madrasati yenu inshaallah

  • @zainabubakari1282
    @zainabubakari1282 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah bless you 🙏🏻🙏🏻

  • @damarissaline.2315
    @damarissaline.2315 4 ปีที่แล้ว +15

    Hongera Dida.... Mungu azidi kukuinua hapa duniani bila kusahau kesho ahera..
    Much love from Kenya.

  • @FeysalYare-y5x
    @FeysalYare-y5x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah hi kasida nimzurii saana❤❤❤❤❤

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallaah ujumbe nzur sn Ukht Dida 🌙🕌🕋Ramadhan Qareem wote islama

  • @aimanyussufpoleniwafiwasot4915
    @aimanyussufpoleniwafiwasot4915 ปีที่แล้ว +2

    Hongera uhti dida kwakasida nzuri hi dah tam sama inatoa mawazo

  • @aishamohd6985
    @aishamohd6985 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika ukhty dida ni wa kipekee kbc mashaallah ❤️

  • @kokirukia6796
    @kokirukia6796 4 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah ukhty diyda Allah akuzidishie kipaji 🤲

  • @rukiaabdillah2160
    @rukiaabdillah2160 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Dada dida Allah akupe afya njema na nguvu tele 💓💓💓💓💓💓💓💓💓

  • @PrincessLucky-s7q
    @PrincessLucky-s7q 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lovely song Mash Allah, am from Uganda

  • @faridabakari4376
    @faridabakari4376 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashàallah Mashààllah nawapenda sn jamoni😭😘❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nasrimohammed3156
    @nasrimohammed3156 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah nimependa sana hii qaswida 🥰❤️❤️🤏 na sauti nzuri🥰🥰

  • @jumasalum1904
    @jumasalum1904 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mzuri Sana dida uko vizuri m/mungu akujalie umri mrefu uendelee kutufurahisha

  • @shareefahGomah
    @shareefahGomah 3 หลายเดือนก่อน

    Unaimba vizuri San nakupenda kwaajili yaallah❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mohamedmwinyi563
    @mohamedmwinyi563 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallaah sister dida voice kajiwa mungu akuongezee inshallah

  • @KhadijaKaunda-id7ff
    @KhadijaKaunda-id7ff 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mwenyez mungu akubari❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🙏

  • @khadijasalehe4068
    @khadijasalehe4068 2 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ so much ukhty dyda for your qaswida

  • @sofiagangombe102
    @sofiagangombe102 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ukthy Dida,nice song.

  • @chumukhalfan4081
    @chumukhalfan4081 5 ปีที่แล้ว +62

    Amazing voice of qaswida zenj DIDA on fleek kna hafidh instruments zinawasiaidia kama unaamin weka like chin hapo

    • @masangasaidi1541
      @masangasaidi1541 4 ปีที่แล้ว +5

      Wewe hafidhi fundi

    • @aishajuma260
      @aishajuma260 3 ปีที่แล้ว +1

      Dida👍🏻💖💟💟❤🌷💝🤲🤲🤲🤲🤲🤲💋💋💋🤲🤲🤔🤔🤔😋💗💓💌😎🌺💟💖🤔

    • @ImanGedh
      @ImanGedh ปีที่แล้ว

      7:18 ​@@aishajuma260

  • @DotoSongwa
    @DotoSongwa 4 หลายเดือนก่อน

    ❤😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉🎉❤asanteni sana did Mungu awalindie awape maisha marefu by nawapenda san

  • @Aslamsebit
    @Aslamsebit 3 ปีที่แล้ว +18

    Ma sha Allah ukhty Dida..watching from kenya..love ur voice .kweli tabasam wajhi love ur smile too

  • @rechiboy-oy6vj
    @rechiboy-oy6vj 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada ipo poa umeuwa Asante sana❤❤🎉🎉

  • @swafaasalim3684
    @swafaasalim3684 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukhtiy dida naomba kua mwanafunzi wako jamn 😍🥰

  • @Habiba-e9o
    @Habiba-e9o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah
    Ustatha

  • @abdoollmohammed1094
    @abdoollmohammed1094 5 ปีที่แล้ว +6

    Maa sha'Allah yaa ukhty Dida qasida mzury xnaa Allahu baarik in shall 'Allah

  • @SulainahMasika
    @SulainahMasika 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarakallah thanks 💃💃💃💃💃💃🕺🕺🕺💃

  • @KingPrince1917
    @KingPrince1917 5 ปีที่แล้ว +3

    mashaAllah my sister dida unajitahidi kabisa Allah akuhifadhi

  • @khuliz
    @khuliz 5 ปีที่แล้ว +14

    MashaALlah she has such a beautiful smile & voice... mungu azidi kukubariki 💯

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 5 ปีที่แล้ว +20

    mashallah Dida ktk ubora wake Allah akujalie heri yaani nimekumiss from USA

    • @othmanawadh3964
      @othmanawadh3964 4 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja tumemmis

    • @hilyteoffice4900
      @hilyteoffice4900 3 ปีที่แล้ว +1

      Halima salum inshaalah

    • @mariameali2595
      @mariameali2595 2 ปีที่แล้ว +1

      Aaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaààaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaààaaaaaaaaaaaaààaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaàaaaààààà

    • @mariamhomar320
      @mariamhomar320 2 ปีที่แล้ว

      Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu naomb mawasiliano dida nimependa kaswida zako

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah wimbo mtam saana sichoki kusikiliza 🇶🇦🇹🇿

  • @sharifayub1367
    @sharifayub1367 5 ปีที่แล้ว +15

    MAASHA ALLAH VERY GOOD ALLAH BLESS YOU ALL AND ISLAMIC RELIGION...........................

  • @abdouahmed6189
    @abdouahmed6189 2 ปีที่แล้ว +2

    machallah Quasuda djema sana

  • @nadhiramohammed567
    @nadhiramohammed567 4 ปีที่แล้ว +3

    Tabasamm sasaa.....didaaa upooo juuu mashaaallahh

    • @jokhakassim6252
      @jokhakassim6252 ปีที่แล้ว

      Maashaa Allah you have à Nice voice jazak Allah khreir big up inapendeza sana from burundi

  • @tinivanny7562
    @tinivanny7562 5 ปีที่แล้ว +5

    kuolewa kumbe raha jamani Dida kapendeza
    MA sha Allah namuhusudu kwa piko tu MA ASHA ALLAH MPAKA *NIMETAMANI KUOLEWA NA MIMI*

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulinde na mahasidi dada Dida 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @aishajuma260
      @aishajuma260 3 ปีที่แล้ว

      Dida🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻🤔🤔🤔🤔🤔😋😋😋😋😋😋😋😋😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻

  • @swalehmasha9777
    @swalehmasha9777 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow ilove it

  • @allyhamza3411
    @allyhamza3411 5 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah, Ukhty Dida kwa Qasda nzuri

  • @daaadeee6072
    @daaadeee6072 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amstiri dada yetu Dida na wenzake

  • @khamiskhamis3580
    @khamiskhamis3580 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah Shem wetu tupo pamoja na ww mwanzo mwisho

  • @VictorLongole
    @VictorLongole 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah jazaka llah mola akupe nguvu kuendelea n hyp nmepnda sana❤❤❤😢😢😂😂😂😂

  • @kibibingao569
    @kibibingao569 5 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah didah kipenzi nakupenda Sana'a my

  • @mashuhudamussa7159
    @mashuhudamussa7159 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Dada unasauti yakipekee Allah akujaalie akuzidishie hp duniani na Akhera pia

  • @hamzasadiq9346
    @hamzasadiq9346 4 ปีที่แล้ว +3

    Dida masha Allah nziri sana🙏🙏🙏

  • @mamtanasibu6891
    @mamtanasibu6891 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah dida Allah akujaze kheri tupo pamoja

  • @zubeidakombo2707
    @zubeidakombo2707 5 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah sister diddah Allah akupe kila hitaji LA moyo wako

  • @Yusra-l1u
    @Yusra-l1u 3 หลายเดือนก่อน

    Lovely dears nawapenda

  • @zulekhajushmy6273
    @zulekhajushmy6273 5 ปีที่แล้ว +9

    mashallah una sauti ya kumtoa nyoka pangoni mashallah😍😍😍😍😍

  • @chebalaphael7311
    @chebalaphael7311 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashall did allah akujaarie kila la kher

  • @maxyaahkitengo872
    @maxyaahkitengo872 5 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akubari uwe na muendeezo mzur

  • @BarakaKamasho
    @BarakaKamasho 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamen dida unaimba vizuri adi Raha ❤❤❤❤❤ you

  • @mudibakari1369
    @mudibakari1369 2 ปีที่แล้ว +3

    Amazing 😍

  • @abdull-maliksaid395
    @abdull-maliksaid395 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah. Nakupenda sana kwa kaswida zako

  • @husseinsalim1945
    @husseinsalim1945 2 ปีที่แล้ว +12

    Kazi nzuri ostadhat, ila Hawa mabinti wamenivutia Sana, nataman niweze kuoa mmoja wao coz mi ni kijana wa kiislam natafuta mke wa kuoa ila kila ninaokutana nao ni wakristo tu, niko Arusha.

    • @maoulidaattoumani3862
      @maoulidaattoumani3862 25 วันที่ผ่านมา

      eu calme donc en n'est pas Intermarché est sont peut-être marié tu s'est alors calme

  • @ashfai3902
    @ashfai3902 5 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja twamswalia kipenzi chake jaliya. Love u guys.

  • @hamadsaidi1859
    @hamadsaidi1859 5 ปีที่แล้ว +4

    did a mashaallah Yuko sawa Allahummabarik na wenzake wote

  • @issahaji-hf5ly
    @issahaji-hf5ly 3 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana ukhty dida nakukubali sana 💕

  • @bintijumaakibibi9776
    @bintijumaakibibi9776 5 ปีที่แล้ว +24

    MashaAllah, Sister Dida may Allah grant you more big love siz❤❤❤❤❤❤❤

  • @mrashsuedi5324
    @mrashsuedi5324 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah 😘 😘 dida

  • @bintiibraahimchannel7029
    @bintiibraahimchannel7029 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah dida ukona sauti ya kuvutia......Mola akubariki u and ur family my dear sister

  • @kudrantegakaje7237
    @kudrantegakaje7237 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 4 ปีที่แล้ว +5

    Dida Allah akujalie kheri hapa duniani na kesho ahera

  • @Warda-i9d
    @Warda-i9d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah❤

  • @aishaabdi5637
    @aishaabdi5637 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah nawapenda sana 😘😘

  • @MariamJamal-t2n
    @MariamJamal-t2n 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ukhty dida may Allah bless you

  • @aishahsalah7646
    @aishahsalah7646 5 ปีที่แล้ว +11

    Maa shaa Allah TabarakaAllah ukthy dida mungu akubarik fill dunia wal akhera

  • @MwanaidiSembaruku
    @MwanaidiSembaruku 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera dida nzurisana❤❤❤❤❤❤❤

  • @nayiganahawu8215
    @nayiganahawu8215 5 ปีที่แล้ว +3

    Am from Uganda but I like u guys

  • @sakeenahraysheed6059
    @sakeenahraysheed6059 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Mungu akuzindishie❤❤

  • @ibrahimomar1544
    @ibrahimomar1544 4 ปีที่แล้ว +3

    Sisters dida god bless in your marriage

  • @mariammiraji8847
    @mariammiraji8847 ปีที่แล้ว

    Allah akupe maisha marefu ukhty dida

  • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
    @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 5 ปีที่แล้ว +4

    Migauni kama kamashagara 😂😂😂😂😂😂😂😂 mashallaah Qaswidah mzuri💞💕

    • @sadaaboss19
      @sadaaboss19 5 ปีที่แล้ว

      Ulitaka wavae surual jiheshim wee kama muislam huwezi ropoka kwani shagara yeye siyomtu fyuuuuu

    • @sadaaboss19
      @sadaaboss19 5 ปีที่แล้ว

      Nic nashid my love dida

  • @soifaouiahamadamarzouk4950
    @soifaouiahamadamarzouk4950 6 หลายเดือนก่อน

    J'aime vraiment cet kassuda même si je comprends pas..
    I like very much but no Say i don't understand. Kassuda IS good ❤.

  • @athumanmnyawi5523
    @athumanmnyawi5523 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimempenda dada bonge
    💖💖💖💖💖

  • @munauwalamusa3778
    @munauwalamusa3778 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah my unajua Allah akulipe kwa ukumbusho wako

  • @rehemaidrisa3717
    @rehemaidrisa3717 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii Qaswida naipenda sana, mashaallah

    • @bakarinyangasa9652
      @bakarinyangasa9652 4 ปีที่แล้ว

      كل ابن أنثى وإن طالت سلامته يوما على آلة حدباء محمول .وقال قائل ومن عاش ألفا أو ألفين ولا بد يوما إلى المقبر يسير .

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2lu 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah.. qasida zuri sana

  • @MounirAbed666
    @MounirAbed666 4 ปีที่แล้ว +3

    Machallah in'apendeza

  • @shariffnassir2136
    @shariffnassir2136 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah keep up

  • @ummulkherfei0602
    @ummulkherfei0602 5 ปีที่แล้ว +33

    Nakupenda sana dida nasitochoka kukupenda ukotofauti sana na wengineo wanaoimba nakupenda haujipodoi kma wengine kma ni wengine wangelikua washapaka ma lipstick na makeup nakupenda yko yote from +254

  • @SabrinaYahaya
    @SabrinaYahaya หลายเดือนก่อน

    Unajua kuimba sana hongera

  • @mdungikhamis2096
    @mdungikhamis2096 5 ปีที่แล้ว +7

    Wewe unajua mungu akuzidishie sauti yako izidi kungara istadhat

  • @fatumaabdallah9674
    @fatumaabdallah9674 4 ปีที่แล้ว

    Hongeraaa xana

  • @mohdhashim6226
    @mohdhashim6226 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah dida umependeze sana zaid ya sana

  • @husseinhassan5536
    @husseinhassan5536 5 วันที่ผ่านมา

    Nampenda dida kaswida zake zinaujumbe mzuri Sana

  • @mohammadhussein5914
    @mohammadhussein5914 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaan Dida nakupenda bure,hongera Dada yangu

  • @ashrajraj8182
    @ashrajraj8182 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah aky npnda San qswida za ukhth guy sjui Waz mpa nmba sku ya hrusi yang nmualikinshaallah

  • @abdounesrine8848
    @abdounesrine8848 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah🥰❤️❤️❤️

  • @abdullahimohammed895
    @abdullahimohammed895 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah sister love more big love

  • @hafsahussien5951
    @hafsahussien5951 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah dida penda sana kaswida zako 💖💖💖

  • @asnathasannhasannsalumshab327
    @asnathasannhasannsalumshab327 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante san dida mungu akupe umri mrefu

  • @nourllahi2779
    @nourllahi2779 5 ปีที่แล้ว +11

    Mimi nampa pongezi mdogo wanugu na asichoke kuwapa waumini raha kwa sauti yake na ALLAH atampa kila kheri INSHAALLH

  • @ruqayahaloraimi4007
    @ruqayahaloraimi4007 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah tabarak alrahman Dida qasida hii ni nzuri Sana na umeitowa kwa ucheshi kabisa kweli nimeipenda na unajitahidi.