RC MWANRI AWAVUNJA MBAVU WATU MSIBANI "MUNGU AHOJIWI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #CgOnlineTv #RcMwanriAwavunjaMbavu
    Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe.Aggrey Mwanri amehudhuria mazishi ya mkuu wa Chuo cha Sayansi na Afya Inkinga Robert Masano aliyefariki kwa ajali ya Gari Wilani Manyoni Mkowa wa Singida.

ความคิดเห็น • 150

  • @elymsakuzi6493
    @elymsakuzi6493 5 ปีที่แล้ว +36

    Kuna watu watakua viongoz duniani mbinguni piah maana wako vizur sana big up mkuu we2

  • @shiramchopa5115
    @shiramchopa5115 5 ปีที่แล้ว +23

    Da mungu ametushushia watu sahihi uyu mwanri dk magu majaliwa samia na wanaowafuata mungu awabariki wanatutia nguvu kwa mambo mengi mno.ushauri na maombi yangu wawepo madarakani mirere.

  • @richardwest6771
    @richardwest6771 5 ปีที่แล้ว +39

    my pastor wapi like kwakee

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว

      most pastors r fake as hell,this man is genuine

  • @longinokamuntu1431
    @longinokamuntu1431 5 ปีที่แล้ว +28

    Nanyoosha mkono wangu nikikuombea kwa bwana Mh mkuu wa mkoa kwa maneno ya faraja ujaliwe hekima na Mwenyezi Mungu

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว +11

    love this dude...siri ya huyu jamaa ni mke wake..she is humble n intelligent wise family...

  • @giftlwila9967
    @giftlwila9967 5 ปีที่แล้ว +24

    Asante sana kiongozi wetu kwa neno zuri la faraja mkuuu

  • @timotheojumal894
    @timotheojumal894 5 ปีที่แล้ว +14

    Asante sana mkuu kwa maneno yako hakika yanaleta mwendo mpya 🚶🏿🚶🏿🚶🏿,,,,hakuna atakae ishi milele njia yetu n 1 katangulia mwenzetu bas tumwombee huko aliko akapokelewe salama, R.I.P

  • @misungwisamson9668
    @misungwisamson9668 5 ปีที่แล้ว +58

    hakika wewe nibaba tena umetumwa namungu kuongoza nimekupenda sana tena nakupenda sana

  • @haikamremi4865
    @haikamremi4865 5 ปีที่แล้ว +17

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mungu Akujalie Afya Njema nakuombea upate Urais tuu .

  • @itsvipi
    @itsvipi 4 ปีที่แล้ว +4

    We love you in Kenya RC Mwanri, You are a dedicated, selfless and true leader. I wish we had 42 of you in our 42 counties in Kenya. We would really be a great nation. Tanzania you are lucky to have such a GREAT leader. May God bless you and give you many more years of leadership.
    You deserve to lead Tanzania after Magafuli who is also doing a wonderful job

    • @krewanderson533
      @krewanderson533 3 ปีที่แล้ว

      I dont mean to be offtopic but does any of you know a trick to get back into an Instagram account?
      I stupidly lost the login password. I would appreciate any tricks you can offer me!

    • @nashrussell2215
      @nashrussell2215 3 ปีที่แล้ว

      @Krew Anderson instablaster :)

    • @krewanderson533
      @krewanderson533 3 ปีที่แล้ว

      @Nash Russell I really appreciate your reply. I got to the site thru google and im trying it out now.
      Looks like it's gonna take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @krewanderson533
      @krewanderson533 3 ปีที่แล้ว

      @Nash Russell it did the trick and I now got access to my account again. Im so happy!
      Thanks so much you really help me out!

    • @nashrussell2215
      @nashrussell2215 3 ปีที่แล้ว

      @Krew Anderson No problem :D

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 5 ปีที่แล้ว +7

    huyu mzee yuko vzr sana, mungu amuweke miaka mingi sana.

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 5 ปีที่แล้ว +22

    Mkuu maneno yako kweli ni ya faraja na ni ya Busara Sana,
    Mungu akujalie

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 5 ปีที่แล้ว +46

    Huyu RC anafaa kufanya kazi na mchungaji Daniel mgogo

  • @rebecapolesimon3717
    @rebecapolesimon3717 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana Dada yetu kipenzi ulitufundisha maneno mazuri jion ile tukiwa Dodoma Ila alafajili tulipokea habari za msiba wa Mumeo tulijisikia vibaya mno tunakuombea kwa mungu maana wakati uliona ni mgumu pole Beatlisa misano toka kagera

  • @aloycemnyenyelwa9177
    @aloycemnyenyelwa9177 5 ปีที่แล้ว +4

    Maneno yako yanafarij sana mkuu mwenyez Mungu akuzidishie hekima na maisha marefu

  • @meremetasafaris_tz
    @meremetasafaris_tz 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongera saana mheshimiwa kwa maneno yako mazuri

  • @macochieng5872
    @macochieng5872 4 ปีที่แล้ว +2

    Bila unafiki na kumpamba mtu, Rc Mwanri ameongea maneno ya faraja sana yanatia moyo kwa kweli. Mungu akutangulie .

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 5 ปีที่แล้ว +21

    Hakika huyu ni mtumishi WA Mungu

  • @suddiymndeme3840
    @suddiymndeme3840 5 ปีที่แล้ว +5

    Very nice mwanri maneno mazuri ya kufariji!!

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila msiba unauma sana rip baba yangu rip Robert mwenyezi Mungu walaze mahala pema ndugu zetu waliotanglia mbele ya haki na uwape makaazi mema huko walipo nasi utupe mwisho mwema imshallah👏👏👏

  • @edgarkawago2240
    @edgarkawago2240 4 ปีที่แล้ว +6

    THE BEST RC NEVER SEEN BEFORE

  • @andrewmagwila6219
    @andrewmagwila6219 5 ปีที่แล้ว +10

    Baba yetu Agree brkw kwa hekima zako Kama mfalme Suleiman uwe na miaka mingi ya kuishi

  • @wilsonwaziri7969
    @wilsonwaziri7969 5 ปีที่แล้ว +47

    Ukiwa kiongozi wa siasa alafu ukawa unamjua mungu hakika ni jambo jema wewe ni mmoja wa watu wachache sana mliobarikiwa

    • @hellenmgungus1979
      @hellenmgungus1979 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha kabisaaaa

    • @stevenmwasege2877
      @stevenmwasege2877 4 ปีที่แล้ว

      Hakika mungu azidi kukulinda mzee wangu ni kiongozi mwenye upendo wa pekee

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mkuu wa mkoa nampenda sana. Kwa vile anavyompenda Mungu na kutoa maneno ya hekima iliyojaa nguvu ya Mungu. BARIKIWA sana mtumishi wa BWANA mkuu wa mkoa

  • @anselmokidaboma9328
    @anselmokidaboma9328 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuweke juu mtumishi RC Mwanri

  • @lameckokoa2175
    @lameckokoa2175 5 ปีที่แล้ว +27

    Mkuu wa mkoa tabora Mungu akuweke ktk hekima ulio nayo

  • @upendorealestateagentintan190
    @upendorealestateagentintan190 4 ปีที่แล้ว +4

    ndege wafananao huruka pamoja. japo kwenye msafara wa mamba kenge hakosi ndio maana akigundulika tuu kua miongoni mwa viongozi wa Magufuri kuna kenge anatumbuliwa.Hakika tumepata viongozi wazuri sana MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAKE WOTE WA AWAMU YA 5 NA WANANCHI WAKE.

  • @justinenyenga5804
    @justinenyenga5804 5 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akutunze Mheshimiwa.

  • @modjazyb3792
    @modjazyb3792 5 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe nikajua kwenye siasa tuu anajua adi biblia et duuh namkubali sana mwanri

    • @josephlema6475
      @josephlema6475 5 ปีที่แล้ว

      Professional yake ni Mchungaji, kwa hiyo biblia anaijua sn,

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mkuu maana unakwenda kwa mujibu wa hali ya hewa!!!

    • @pauloguga6168
      @pauloguga6168 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakika mungu ni mwema kupitia mtumishi wake mwanri watu wamepata Faraja ktk msiba huo,mungu ambariki Sana.

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 5 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Madam Beatrice,binafs nimeguswa kwa namna ya pekee na msiba huu mkubwa kwani nakumbuka support ya Mkuu wangu wa chuo ambae sasa ni marehem, mwaka 2014 alihakikisha ninamaliza chuo , sina lakusema zaidi ya Kukuombea kwa Mungu akutie nguvu na kukufariji katika kipindi hiki kigumu

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 4 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa mume wakwer na Bwana wa kwer ni Bwana Yesu Ubarikiwe Sana mkuu wa mkoa wetu

  • @nagibfarid3330
    @nagibfarid3330 4 ปีที่แล้ว

    talk of wisdom. This guy has it Mashlh. much love frm +254

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli dunda na yesu,maneno ya faraja sana!!ubarikiwe sana kiongozi

  • @frankangumbwisye6624
    @frankangumbwisye6624 5 ปีที่แล้ว +3

    maneno mazur na yanafariji sana..ubarikiwe mkuu wa mkoa wa Tabora

  • @justusgration8695
    @justusgration8695 4 ปีที่แล้ว

    Yaani Baba RC nakupenda Sana.Mungu azidi kutumia.

  • @ezekiellrenard9778
    @ezekiellrenard9778 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana hotuba za mkuu wa mkoa wa Tabora

  • @wardadanda6322
    @wardadanda6322 4 ปีที่แล้ว

    daaah inauma kumuaga mtu unae mpenda pole sana mam mungu akutie nguvu na akucmamie ktk maisha mapya unayo yaanza

  • @gibogb5637
    @gibogb5637 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali kiongoziiii wetu your perfect

  • @nicholausjackson2012
    @nicholausjackson2012 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweliii Mungu haojiwiiii,,,, maneno ya faraja kwa family....r.i.p mr.robert

  • @devotajoel3730
    @devotajoel3730 ปีที่แล้ว

    Rc nakupenda bule baba huwa na Cheka sana

  • @zakariaandrew6976
    @zakariaandrew6976 4 ปีที่แล้ว

    Namani niishi katka maisha ya kuona viongoz kama hawa wakijua jinsi Mungu wa mbinguni ndo tumaini. Upo katika nafas ambayo Mungu anataka uwepooo

  • @stevensimbakila5383
    @stevensimbakila5383 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mh hujawahi kuniangusha

  • @hamismuhile3667
    @hamismuhile3667 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wana Tabora

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu hongera sana kwa USIA huo

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 5 ปีที่แล้ว +8

    JPM Anajua sana kuchagua viongozi wacha Mungu 🔥 🔥 🙏 Ukichunguza vizuri sio JPM huyu anayeonekana, Kiukweli Mungu ndiye Anayeongoza Tanzania, sio JPM JPM yeye anamuwakilisha Mungu tu. 🔥 🙏

    • @danstanmathayo1332
      @danstanmathayo1332 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa yuko vizuri toka enzi za Kikwete na mcha Mungu toka kitambo.

  • @lucassimon9634
    @lucassimon9634 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhe Mwanri hakika ni zaidi ya Mkuu wa Mkoa. Ana kitu cha ziada ndani na hawezi kufananishwa na Mkuu mwingine yeyote wa Mkoa.

  • @thedonnybardman7375
    @thedonnybardman7375 5 ปีที่แล้ว +2

    jamaa yko vzur kwny point nimemuelew sana, but polen sana wahucka one way

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 5 ปีที่แล้ว +4

    Kifo bwana daaaaah

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 4 ปีที่แล้ว

    Hakika we ni kiongozi bora.. Mungu akubariki.

  • @thomasmitabile741
    @thomasmitabile741 4 ปีที่แล้ว

    Mzee kapiga neno mpaka nimekubari nakuelewaga sana mkuu natamani uhamishiwe Kigoma

  • @lyangadotcom1687
    @lyangadotcom1687 4 ปีที่แล้ว

    Uzidi kubarikiwa Kiongozi, ahsante kwa ujumbe

  • @alistidesdamian7405
    @alistidesdamian7405 5 ปีที่แล้ว +2

    Inayo yasema muhimiwa niyakweli mungu atakulinda.

  • @mst1studio270
    @mst1studio270 4 ปีที่แล้ว

    Hili lijamaa liko poa. Si liache Siasa lihubirie wa Tanzania waache Dhambi jamani. Hongera Rc Mwanly

  • @mathewmgunda123
    @mathewmgunda123 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi wa mungu hakika wewe ni mtumwa wa mungu

  • @jamilsalanga4193
    @jamilsalanga4193 5 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana mh.mwanry

  • @godlovemrosso8715
    @godlovemrosso8715 5 ปีที่แล้ว

    hakika bwana yuu nawe mtumishi mungu mzee mwanri faraja ikae nao waombolezaji marehemu apumzile kwa amani

  • @anasaratoga5806
    @anasaratoga5806 4 ปีที่แล้ว

    Yesu akubaliki ww ni mwema sana

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 ปีที่แล้ว

    My principal Robert Massano RIP

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 4 ปีที่แล้ว

    MUME WA CHAPUCHAPU NI BWANA YESU! MUNGU AKUBARIKI SANA, RC.

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว

    Amen,poleni sana

  • @bulengamkama4213
    @bulengamkama4213 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika unayaweza yote ktk yeye akutiae nguvu.baada ya majukumu ya kiserkali tumika kumwinua YESU.

  • @danielmashini9244
    @danielmashini9244 3 ปีที่แล้ว

    Aya bhana

  • @utimbehome6650
    @utimbehome6650 5 ปีที่แล้ว +5

    Unafaa kua kiongozi kwakua unawatia watu moyo

  • @victormwakidunda3694
    @victormwakidunda3694 4 ปีที่แล้ว

    Rc Mwanry ubarikiwe na Mungu

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 4 ปีที่แล้ว

    Daaah,upo vzr sn kiongozi,nakukibar sn

  • @nelsonimtaturu8115
    @nelsonimtaturu8115 5 ปีที่แล้ว +2

    poleni sana

  • @verotony147
    @verotony147 4 ปีที่แล้ว

    Mungu haojiwi hahaha heshima yako mkuu 👏

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninaomba number ya RC Mwanri. Niko Michigan USA

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 4 ปีที่แล้ว

    Daaah hii sauti inapaswa kuwa ya mtangazaji walai

  • @elifidowilliumofficial4691
    @elifidowilliumofficial4691 4 ปีที่แล้ว

    Hakika ni moyo wa pekee mkuu wa mkoaa hakikaa una kitu chapekeee ndani yako MUNGU azidi kukutunzaaa

  • @accountingtaxhome7461
    @accountingtaxhome7461 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa wa tabora mungu akulinde

  • @ruthleonard2958
    @ruthleonard2958 4 ปีที่แล้ว

    Hakika Kumtegemea Mungu kuna Faida, Mungu atusaidie tutakapoitwa nasi Tuitike Mara💔

  • @knyndsknyds8687
    @knyndsknyds8687 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mh. Mku wamkoa

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 ปีที่แล้ว

    Poleni wafiwa mungu hawasimamia

  • @godfreymhochi6206
    @godfreymhochi6206 5 ปีที่แล้ว

    safi sana baba mkuu wa mkoa tabora

  • @wapoteenmedia4862
    @wapoteenmedia4862 5 ปีที่แล้ว

    Mzee anaongea point sana aisee

  • @delfinamadeghe8670
    @delfinamadeghe8670 4 ปีที่แล้ว

    hakika nikiwa na neema ya mungu nitajidai katika udhaifu yangu

  • @happnescharles613
    @happnescharles613 4 ปีที่แล้ว

    hahaha nampenda baba yetu adi naumwa Mungu aendlee kukupigania baba

  • @rg_digitalnewzonline5770
    @rg_digitalnewzonline5770 4 ปีที่แล้ว

    R.I.P MWL. Robart masano my principal NIHS

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 5 ปีที่แล้ว +3

    Dahh MZEEE wewe KIUKWELI nilitamani sana wakuu wangekwa kama wewe nchi hii ingekuwa vyema sana...nazungumza kuhusu injili anayoizungumza kuhusu waliobaki ....mpate mme wa chapuchapu ..cha ajabu mzee pamoja na ukuu wa mkoa anadhuka magoti chini kumpa pole MMAMA huyu...

  • @mathiasnyambu4727
    @mathiasnyambu4727 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi ni Mkenya lakini huyu mkuu wa mkoa ni mtumishi wa kipekee, sio kwa Mola. wake wala. kwa wanainchi anaowaongoza... shida yetunwaafrika ni kuwa mtu kama huyu hatuwezi kumpa fursa ya kuongoza kenye nyadhifa kubwa zaidi ... hivi ni kwanini?

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 4 ปีที่แล้ว

    NEC ilibidi uyo Jamaa ndie ingempitisha kuwa Raisi

  • @azdatuppazdatupp286
    @azdatuppazdatupp286 5 ปีที่แล้ว +5

    rais wa tabora

  • @paulkennedy5728
    @paulkennedy5728 4 ปีที่แล้ว

    Come on mkuu, wewe ni mtumishi wa Mungu tena umeitwa na Mungu ili kumtumikia, Ongoza kwa hekima na Mungu akujalie hekima zake kama za Suleiman.

  • @twahaabdalla2304
    @twahaabdalla2304 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana wewe mzee

  • @berilyhnaji3623
    @berilyhnaji3623 4 ปีที่แล้ว

    Nelson kutoka Kenya,nakubali na huyo jamaa

  • @thomaskeya4092
    @thomaskeya4092 5 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema mkuu na akulinde

  • @dismaskayombo9488
    @dismaskayombo9488 4 ปีที่แล้ว

    Daaah we mzee wewe nakupenda bule but R.I.p robert

  • @papangoda229
    @papangoda229 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mh

  • @augustinodede7245
    @augustinodede7245 4 ปีที่แล้ว

    Maneno yako ni dawa na tiba hakika mungu ameweka kusudi ndani yako

  • @ignaschengula6116
    @ignaschengula6116 4 ปีที่แล้ว

    Ivi hawa walikuwa wapi toka zamani jaman

  • @kabotezeey8474
    @kabotezeey8474 4 ปีที่แล้ว

    Pastor #mwanri

  • @Excel-Elevation-School
    @Excel-Elevation-School 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu ana tawfiq kama zote.

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 5 ปีที่แล้ว

    huyu m zeee kwakweli ameteuliwa na mungu kuja kuwasaidia watanzania

  • @masumbuko9142
    @masumbuko9142 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiongoz bora

  • @bonifaceambwene1306
    @bonifaceambwene1306 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwar ubarikiwe unafaa ata kuwa waziri.mkuu

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 ปีที่แล้ว

    Daa

  • @benitoboy5330
    @benitoboy5330 5 ปีที่แล้ว

    Saafiii

  • @justusgration8695
    @justusgration8695 4 ปีที่แล้ว

    R.I.P