NDOA ILIYOZUA GUMZO TANZANIA, WASIMAMIZI WAZUNGU "UMRI MKUBWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Moja ya ndoa ambayo imezua gumzo ni hii ya muimbaji wa nyimbo za injili Stela Joeli aliyoifunga na Dr Frank Richard ambapo wasimamizi wa ndoa walikuwa ni wazungu huku wakifunga ndoa hiyo kwenye hifadhi ya Manyara ambapo wamejibu suala la umri ambalo limezungumzwa sana.

ความคิดเห็น • 290

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 ปีที่แล้ว +30

    Hoi ndio ndoa safi sana. Watu wanojielewa sio usani wa vijana wanaooana. Leo keaho talaka mungu awabariki harusi wetu

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 2 ปีที่แล้ว +20

    Hii ndoa ni tamu sana. Ujana wenu mmeutendea haki. Umri ni namba tu maisha yanaendelea. Mungu awabariki sana

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 2 ปีที่แล้ว +45

    Mapenzi hayana umri,what matters ni maisha mazuri ya amani heshima

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว +17

    Mapenzi haina umri Mungu awatunze daima mdumu katika upendo na Amani

  • @ednanyangoro924
    @ednanyangoro924 2 ปีที่แล้ว +16

    Watu wivu tuuu...nimewafurahia sana. Kuleni raha wapendwa wangu... Pendananeniiiiii..! Mwenyenzi Mungu aendelee kuwabarikia na kuwaongozaa. Mimi ni miaka 57 na mume wangu ni 59. Ndoa yetu ni miaka 27. Tunarahaaaaa..... Enjoying kabisa kabisaaa

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว

      Wow congrats!!

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 ปีที่แล้ว

      sasa umri mkubwa kwani kuna dini ilokataza kuoana mukiwa wakubwa ina maana aloumbiwa ndoa ni vijana tu ? sasa hao vijana wasemao umri mkubwa km yeye kaolewa ujana wake na baadae Mungu akija akipitisha rehma zake mwenzake akafa au akaachana ndio hatoolewapo tena ?

  • @ebbyescor7614
    @ebbyescor7614 ปีที่แล้ว +1

    Aisee this is very very.... Stella Joel namfahamu toka 2006 aisee Mungu ni mwaminifu sana kwakwel

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +18

    Nimeipenda Sana iyo ndoa mungu ibariki ndoa iyo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongereni sn! Mijitu inaona wivu.mbona Yule babu aligunga ndoa kubwa na mdada,achen wivu,ndoa yenu itadumu milele,nashangaa mijitu ikiona mtu anaoa au kuolewa wivu unayapanda mpaka utosini,Hongereniiii.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 ปีที่แล้ว +9

    All the best, safi sana, hawa watadumu, msisikilze maneno ya watu,

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana na Mungu aibariki ndoa yenu idumu. Waacheni na maisha yao lini waswahili wa Kitanzania mtabadilika kuongelea personal issues za watu

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 2 ปีที่แล้ว +10

    Mimi nakubaliana na nyie 100 kwa 100 nina mdogo wangu wa kiume ana miaka zaidi ya 40 lakini ukimuona utazani ana miaka 25.Hongereni sana.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว +10

    Perfect age na ndoa itadumu bila Matatizo,matured couple

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante nimewapenda sana sana maarusi . Mnaakili sana age is Nothing just a number. Hawa wabichi mwaaaaa

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว +7

    Kwakweli nimefrahi sana na nimependa BWANA YESU aibariki ndoa yenu muishi maisha marefu na yenye baraka

  • @tammysalum5475
    @tammysalum5475 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema,hongereni sana.Mungu wangu uliyemwema nami nijalie baraka ya ndoa yenye heri na mie.nijalie mume aliyetoka kwako Mungu wangu.

    • @queenshomba8412
      @queenshomba8412 ปีที่แล้ว +1

      Amina Mungu atakufanyia njia pasipo na njia

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว +7

    Lika na mimi b.arusi...hongera sana mwenzangu umeolewa niombee nani nioleww nipate wa kuzeeka nae.

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว

      @@menalikechildren8836 mimi mjane

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว

      @@menalikechildren8836 tuma namba yako

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว

      @@menalikechildren8836 tuma namba tu utajua maala nilipo

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว

      @@menalikechildren8836 kwangu siioni aipo

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว

      @@menalikechildren8836 ukituma tarakim uwa zina shida.tuma namba kwa kunakili .yan kwa maneno

  • @anastaziashilole2436
    @anastaziashilole2436 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongeren sana mimi kumbe kweli yote yanawezekana kwa Mungu kuna

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว +19

    Acheni wivu waja mlitaka wazini au

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akusema yes ss binadamu nikinani.. enjoy the life in earth 🌎

  • @christinenibampa2675
    @christinenibampa2675 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awadumishie upendo na awalindie ndowa yao

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations, God bless you both 💗Watu wengi hapo Tanzania hawamfahamu Mungu na sheria zake!! Nawaombeni rudini kwa Mungu na heshima kwa Mungu!! Hao couple ni maamuzi ya Mungu na hao ndio wapo na Mungu!! I'm just watchmen‼️

    • @avax5717
      @avax5717 2 ปีที่แล้ว +1

      Weee, Watanzania wengi hawamjui Mungu kivipi? Acha kuropoka.

  • @monicamkoka2840
    @monicamkoka2840 2 ปีที่แล้ว

    Am so interested in this huyo dada namjua kitambooo nikiwa mdogo sana akiwa anaimba kwaya kama sololist Ilala Assemblies of God..very happy for her the rest doesn't matter to me..May God bless their union Amen

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwani kuna Sheria inasema watu wenye unri mkubwa hawafungi ndoa??

  • @winfridantandu2870
    @winfridantandu2870 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki xana umri hausian na mpango wa mungu

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongeren sanaaaaa,,,,,,,,Mungu Awabariki ndoa yenu na idumu🥰🥰🥰🥰🥰❣️❤️❤️❤️

  • @moderaphael3606
    @moderaphael3606 2 ปีที่แล้ว

    Nimemuona mchungaj wangu mpendwa sitta,wa kkkt yoldan nyahingi love you pastor wangu

    • @salummakaveli4366
      @salummakaveli4366 2 ปีที่แล้ว

      Hongela sana mdumu kwenye ndowa MUNGU awalinde sana

  • @abigailbateyunga8187
    @abigailbateyunga8187 ปีที่แล้ว

    I love you be blessed in the mighty name of Jesus of Nazareth Amen 🔥💯❤️🍾👏👏🇹🇿

  • @gystaridah8137
    @gystaridah8137 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpenzi hayana umri Mungu abariki ndoa yenu na ijawe na baraka teletele.💝💗❣

  • @agnesskanuty1463
    @agnesskanuty1463 2 ปีที่แล้ว +1

    waooo nawapenda ndoa Yenu ni mfano mkubwa sana.nawatakia heri na mafanikio makubwa sana kwenye ndoa yenu .

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni chaguo lako 🎶🎵 X 2
    Hata kama ni Mzee
    Hata kama ni mweusi x2
    Huyo no chaguo lako 🎹🎻🎸🎺🎷

  • @hellenshani7881
    @hellenshani7881 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana! Tunawatakia Maisha mema yenye kheri na baraka Tele!

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว +8

    Kiukweli dada mwaka 72 kama ni kweli basi mwenzetu kuna jambo limetokea kwenye mwili wako! Kweli shemeji anaonekana mdogo!

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 2 ปีที่แล้ว

      Mm naona kama ngozi yake imeharibika labda alitumia cream kali ndio maana anaonekana mzee.....bt wanaendana tu hao

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 ปีที่แล้ว +1

      @@hadijasalum6373 alipata ajali ya gari, alikaa hospital miaka 9, so tumshukuru mungu alimponya.

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 ปีที่แล้ว

      @@zuhrazuhra637 Ni kweli nilisikiliza stori yake siku moja kwa kweli Mungu ni Mkubwa

  • @anastaziashilole2436
    @anastaziashilole2436 2 ปีที่แล้ว +6

    Na mimi muda wangu utafika nisikate tamaa

  • @rosetembe3785
    @rosetembe3785 2 ปีที่แล้ว +7

    Mkaka handsome ,afu naona mdada yupo na pesa lkn mdada yupo na sura unique ka Mimi sio kwa ubaya jamani

  • @magrethedson7445
    @magrethedson7445 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana, MUNGU awatunze zaidi na mkawe na Amani zaidi. Nimefurahi kumuona pastor Emmanuel Sitta hapo pembeni yenu.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Wanawake wanazeeka haraka zaidi ya wanaume na ndio vizuri isi wanaume tukaoa wanawake ambao tumewazidi miaka 10

  • @lightymmary22gimailmmarym18
    @lightymmary22gimailmmarym18 2 ปีที่แล้ว

    Hakika nimebarikiwa Sana na hi kitu Mungu azidi kuwabariki Cha muhimu Upendo udumu amen

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 ปีที่แล้ว +8

    Mapenzi shikamoo!Mungu Mbinguni awalinde

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 ปีที่แล้ว +7

    Lilieni bahati jmn msililie uzuri 🤭🤭🤭ndoa idumu milele 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @gracejonh4022
      @gracejonh4022 2 ปีที่แล้ว

      Umeonaa kila binadam ni mzuri ukiona mbaya anakuwa mbaya kwako kila binadam ana baraka zake

  • @sintaibra355
    @sintaibra355 2 ปีที่แล้ว +2

    M/MUNGU Aendelee Kuwapigania 🙏🙏🙏

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana sema huyu jamaa kaona kitu Kwa huyu dada hasa kimarndeleo maan ana maisha yake

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah hongereni sana

  • @dhabiyaalawi3024
    @dhabiyaalawi3024 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwanaume huwa azeki mapema. Lkn mwanamke anazeka haraka

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awafanyie wepesi mkazae na kuwasomesha mtakao wazaa! Ila ujana wenu utawashitaki au kuwatetea

  • @soberhousetv2245
    @soberhousetv2245 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kwao muhimu wanapendana,mengine tuwaachie wao

  • @josephaturassa1262
    @josephaturassa1262 2 ปีที่แล้ว +2

    Sore kipenda rohooo Mungu awabarik

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki jmn, nasisi mtuombee na sisi tupate ndowa.

  • @daniellema175
    @daniellema175 2 ปีที่แล้ว +6

    All the best!, May God bless this Couple!

  • @hellenshani7881
    @hellenshani7881 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwenu. Nawaombea Maisha mema, Yengela khedive na Baraka Tele.

  • @spaice995
    @spaice995 2 ปีที่แล้ว

    Wabongo tuache kufatilia mambo ya watu mapenzi hayana umri age is just a number we Millard hilo gumzo umelizua wewe mbona wengine hatujasikia

  • @mwaijakhalfan7817
    @mwaijakhalfan7817 2 ปีที่แล้ว +5

    Kuolewa bahati namtu anaangalia tabia

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 2 ปีที่แล้ว +1

    Shetani skuzote HAWEZI kuzuia mpango wa Mungu kwenye maisha yamtu ila anachokifanya nikukipiga chenga tu usikipate kwawakati..... hongera kwenu Mungu awape masikilizano😘😘

  • @herself7545
    @herself7545 ปีที่แล้ว +1

    No comment.. than GOD IS GOOD 👍

  • @evangelistmcsarahmvungi3626
    @evangelistmcsarahmvungi3626 ปีที่แล้ว

    Hawa ni mfano wa ndoa njema nawapenda bakupenda dada stella

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Yani watanzania mnashida kweli mmekisa kujadili maisha mmekalia kujadili maisha yawatu shikamoni watanzania na wavulia kofia kweli

  • @edinawilliam2943
    @edinawilliam2943 2 ปีที่แล้ว +2

    waTZ bwana zari akiwa na vijana mnasema mama kawa na baba kasemwa

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 ปีที่แล้ว

    Mungu AWAPE maisha mema na amani itawale🙏🙏

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 2 ปีที่แล้ว +8

    Duh kweli kilanguo inamwenyewe

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว +2

    Inapendadha Salam zangu kutoka USA marekani

  • @mamameddy4408
    @mamameddy4408 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awajalie safali yenu yandoa mzae matunda mema mungu awajalie sana

    • @agnesyjoseph3906
      @agnesyjoseph3906 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli nimebarikiwa nimetiwa nguvu kwa ushuhuda wenu

  • @linahsabaspaul4729
    @linahsabaspaul4729 2 ปีที่แล้ว +19

    Nawapongeza sana ,
    Mimi huwa nawawaambia wanawake na wanaume utaolewa tu au utaoa tu ,tena mke au mme mwema sana,
    Ni wewe tu na akili zako

  • @emmanuelminja6307
    @emmanuelminja6307 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni Sana Hakika Mungu Ni mwema kila wakati.

  • @hiyou9413
    @hiyou9413 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana unanitia moyo Dada

  • @tinamon7913
    @tinamon7913 ปีที่แล้ว +2

    Glory be to God

  • @happynesspalla6116
    @happynesspalla6116 2 ปีที่แล้ว +1

    Umri ni namba tu kikubwa heshima na upendo basii

  • @neemataris3273
    @neemataris3273 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki iwe heri kwenu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +2

    Umri ni number

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 ปีที่แล้ว +1

    Umri ni namba tu enjoy bro

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo jamaa ni mkubwa kuliko mwanamke hamjaangalia tu vizur

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Safi sana pia hongereni sana

  • @monicamkoka2840
    @monicamkoka2840 2 ปีที่แล้ว +1

    I love this couple ❤❤❤❤

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji Samweli sita nime kuona tumekumisi kijitonyama nyama daddy

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmeipenda hyo hongera sana

  • @evamkumbwa1739
    @evamkumbwa1739 2 ปีที่แล้ว

    Nam namwachia mungu ikiwa ameruhusu kuolewa na miaka 50 itakuwa

  • @nasralema2998
    @nasralema2998 2 ปีที่แล้ว +4

    Bibi nimempenda

  • @shosemanjira9015
    @shosemanjira9015 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama kafanana na hi Sandrah mamaake diamond

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +15

    Mkioana mkiwa wakubwa watu wazima ndoa mausiono yanaku mazuri lakini lakini ndoa za vijana mamaaaa vita kila kukicha🙄🤔

  • @nchimbirobert5926
    @nchimbirobert5926 2 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaa
    Mungu awabariki sana kwa tendo hilo jema mlilolifanya. Dada mmebarikiwa

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Hata na Mimi nikimpata mzee wa kunishinda umri naholea n hao watu wazima ndo wanajenga

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 ปีที่แล้ว +2

    Waacheni bhanaa

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 2 ปีที่แล้ว

    Mzungu mwenyewe mmoja tu mnavokuza eti wasimamizi wazungu au mnatafuta KIKI

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 ปีที่แล้ว

    Kaka kachungulia fursa hataki pressure, sukari bye bye, makasiriko Kwa heriiii, yaaani huyu kaka hata kichefuchefu haitaju ndimu Tena, MUNGU awatangulie

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 ปีที่แล้ว +1

    Laaaa usililii uzuri Lilia bahati

  • @stellamushi5306
    @stellamushi5306 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awatunze watumishi wake.

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 2 ปีที่แล้ว

    Assante mama.umli aiyo tija

  • @juliusmugyabuso453
    @juliusmugyabuso453 ปีที่แล้ว

    Ni katika maandiko gani katika vitabu vitakatifu vinakataa kikwazo katika umri.

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongeleni sn

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Akisha huyu mama manshallaah anahakili nyingi

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 ปีที่แล้ว

    Yaani uyu mama anaonekana Mzee

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 2 ปีที่แล้ว

    In sha Allah, NA Mm nitapata wng Ipo cku

    • @marymalesa9194
      @marymalesa9194 2 ปีที่แล้ว

      Hongereni sana! Mungu mnayemtumikia azidi kuwainua.

  • @monicamkoka2840
    @monicamkoka2840 2 ปีที่แล้ว

    Happy happy for u dears

  • @zakhianzuki9348
    @zakhianzuki9348 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana safi sana,na ongereni sana

  • @beatricechillewa2806
    @beatricechillewa2806 2 ปีที่แล้ว

    They are good ppo

  • @amaliweston3963
    @amaliweston3963 2 ปีที่แล้ว +2

    I LIKE THIS COUPLE. THEY SOUND VERY SMART. GOD BLESS THIS UNION. DON'T GIVE UP, BECAUSE OF YOUR AGE. IF YOU HAVE GOOD HEALTH, THEN KEEP LIVING AND CHASING YOUR GOALS. 🙏🏾❤❤❤🤞🏾👍🏽✌🏾✊🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 ปีที่แล้ว

    Kazaliwa 1972 huyo mama muongo ni zaidi
    Labda ana miaka 72

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Wewe ni muongo sana 72 ni mtu mzee zaidi ya huyo , so huyo mama hajafika miaka hiyo ... 72 unaichukulia poa poa

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +1

    Saafiii sanaaaaa ❤️❤️

  • @doricusraphael762
    @doricusraphael762 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyege hazina umri

  • @omarhome2260
    @omarhome2260 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hongera sanaa haki

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 ปีที่แล้ว

    Kuna shida mahali mtaiona, hongereni kwa kuutangaza utalii