Hongera sana mtangazaji, Suzy Mackenzie kwa hii interview nzuri, mostly utulivu wako mkubwa wa kutoingilia/ kukatiza mahojiano na mgeni unayemuhoji. Big Up sana kwako.
Huyu kaka sauti yake kwa kweli ni nzuri mno, nilikuwa napenda sana kumsikiliza sana wakati nikiwa bongo wakiwa na marehemu Kibonde,yule kaka aliacha pengo kubwa sana ambayo haliwezi kuzibika.
Hongera sana mtangazaji, Suzy Mackenzie kwa hii interview nzuri, mostly utulivu wako mkubwa wa kutoingilia/ kukatiza mahojiano na mgeni unayemuhoji. Big Up sana kwako.
Tangu kibonde afariki sikusikiliza kabsa kipindi cha jahazi Hadi Leo.. these guys had a combination... Mungu azidi kumlaza mahala pema pepon..AMEN
Great interview Maswali Mazuri Captain anajibu vizuri.
Tishaaaa dadake🙌🏾
Huyu kaka sauti yake kwa kweli ni nzuri mno, nilikuwa napenda sana kumsikiliza sana wakati nikiwa bongo wakiwa na marehemu Kibonde,yule kaka aliacha pengo kubwa sana ambayo haliwezi kuzibika.
Pole sana mr Gardner 😢 Wapumzike Kwa Amani 🙏
Mungu amewapenda Zaidi.
Watu WA mbinguni wataenjoy Jahazi
Nikweli wata enjoy jahazi
Was great interview 👍 rest in peace kibonde and uncle Ruge😭🙏
Nampenda sana Gadna, ni mtundu mtundu, ila kama vile pombe inaharibu sauti
Sahihi kabiiisa
Watangazji wenye akili ndo hatufafuatilii hongera sana dada uko na akili nzr na captain pia n mtu poa anajielewa sana
Unaangalia interview una relaxy unasikiliza kwa umakini hadi raha
moja ya media tamubsana kwa interviewm fmj media
My brother 😘😘
Gardner anaongea KISWAHILI FASAHA SANA
Huwa napenda hata siku nikutane nae nimsikie sauti yake tu moyo wangu utafarijika.
R i p gadner
Nice hairdo
R.I.P Bro
Hamaye nawewe umeenda dooo....Tutaonana baadae sana
Bukoba sisi hatufungui maduka usiku tunafanya biashara kizungu
Hapa 8:55 nimepapenda
Dah kiukweli ulimpa maua yake...bonge la interview
Suzette Unanikosesha Usingizi We Dada☹️☹️🥺
Tafuta hela wewe acha kulia lia mwanaume
😂😂😂
My brother 😘😘