#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #EXCLUSIVE: NIFFER ATAKA KUJIUA KISA MAPENZI - "NILISIMAMA KATIKATI ya BARABARA SINZA ILI NIGONGWE NIFE"...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 46

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +4

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +10

    Hongera,unashawishi mabint kujitafakari na sio kupweteka

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว +13

    "Watu Bado hawajajua" Kila mtu awe mwanamme au mwanamke ana mtu wake mmoja tu ambae mungu amempangia kwaajili ya kuwa mke wake au mume wake wa maisha ni kutulia tu na kumwomba mungu muda sahihi ukifika mungu atawakutanisha tu na utaona mnaendana Kwa Kila jambo na tabia unazozipenda anazo.
    Tatizo watu wengi ni tamaa, haraka na kuchagua, ndivyo vinawafanya wadada au wakaka kuangukia Kwa watu ambao si sahihi na katika muda ambao si sahihi na kukamatwa na ibilisi anakuletea mtu wake anaejua mwenyewe.
    Tamaa->ya pesa,utajiri,mwonekano,maisha mazuri,maumbile etc
    Haraka->haraka ya kutaka kuolewa au kuoa,haraka ya mafanikio ya kimaisha etc
    Kuchagua->machaguzi na vigezo husababisha kuangukia Kwa mikono ya ibilisi.
    Utakuta mdada au mkaka anampangia mungu mtu anaemtaka awe mrefu,mweupe,awe smart, awe mzuri hahaaaa😂😂😂😂utaumia shauri yako.

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 ปีที่แล้ว +5

    Una spire san niffer mabinti wajifunze kitu 😊😊

  • @fgrouptv4409
    @fgrouptv4409 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up, Niffer, you are so smart 👍👍

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 ปีที่แล้ว +2

    Your good 👍 👌

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +2

    Hivyoo ulivyo nzur mashaalah hizo ni nywele au wingi kama ni nywele mashaalah mungu akuzidishiye kama huna njoo uchukuwe zangu swa sina choyo mm wala roho mbya ndungu😅

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 ปีที่แล้ว +1

    Anamalezi huyu binti kalelewa kaleleka 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JasintaYesse-bt1tp
    @JasintaYesse-bt1tp 11 วันที่ผ่านมา

    Yani neema ya Mungu ikikutembelea unaweza ukahisi wewe ni mtoto wa mwisho wa Jehova word😢

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana nifa mdogo wangu

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sana mfano wa kuigwa kwa mabinti

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว +1

    Mm nakupenda

  • @hyacinthe313
    @hyacinthe313 ปีที่แล้ว +2

    Nife mzuri ira

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +1

    Binti hongera unajitambua

  • @Zainabuabdalah-vw1xw
    @Zainabuabdalah-vw1xw 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana 🎉

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda xana niffa

  • @ibrahimseif7859
    @ibrahimseif7859 ปีที่แล้ว +3

    Wenge wakipata wanaonekana bora mwawatu ukifeli wanakuzalau

  • @user-tt6jt8pz5m
    @user-tt6jt8pz5m ปีที่แล้ว +1

    Niffer❤❤❤❤❤❤❤

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +4

    Vijana wanajiongoza wenyewe ndo shida

  • @user-fh1ls6yy7r
    @user-fh1ls6yy7r 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda niffer

  • @musa-v3f
    @musa-v3f ปีที่แล้ว +2

    Dada Niffer pole kwa yaliyokukuta nataka mashati mawili ya shs 50,000 nitapata dada?

  • @user-oo9nc6cy4v
    @user-oo9nc6cy4v 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda

  • @albinombungu4294
    @albinombungu4294 ปีที่แล้ว

    Aje kwangu, nampenda sana

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi shikamo💔😭

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzi yanawasumbua sana mabint WA dar,wengi waongo na wanaume wanajua sio waaminifu acha watendwe

    • @lulumasangwa9962
      @lulumasangwa9962 ปีที่แล้ว +1

      Mbona wengi wanaokufa nakuuana kisa mapenzi sio wa dar😂

  • @IshaHussen-l9q
    @IshaHussen-l9q 13 วันที่ผ่านมา

    Aisee naamini ipo siku ntatoboa na mm

  • @subiramkwawa674
    @subiramkwawa674 11 หลายเดือนก่อน

    Mmh mama ake single mother na anawadogo wa primary School aau basi hayanihusuu😂

  • @kundiseleman6670
    @kundiseleman6670 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @esterstaphord5184
    @esterstaphord5184 ปีที่แล้ว +1

    one ya 7 ...... ok ok ok ok

    • @mozuu1260
      @mozuu1260 11 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +2

    Maneno mengiiii...mashauz mengiii

  • @agathandako8816
    @agathandako8816 10 หลายเดือนก่อน

    Natamani niwe na rafiki Kama wew

  • @lilianpuka218
    @lilianpuka218 ปีที่แล้ว +2

    Siunge jiua tu kwani ww wa kwanza acha uwongo

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 3 หลายเดือนก่อน

      mapenzi unayajuwa au unayasikia, au angejiuwa wewe ungefaidika Nini ndo ungeishi mirere

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Hii😢

  • @ndolehamisi5567
    @ndolehamisi5567 ปีที่แล้ว +1

    unaeza lelewa na baba na mama na bado changamoto zikawepo, hata wanaoletewa maua wana changamoto zao banaaa

  • @juliananakwawi6863
    @juliananakwawi6863 10 หลายเดือนก่อน

    Form 6 bt you don't understand English mmh!so funny 😂😂😂😂😂😂

  • @neemaandrew2419
    @neemaandrew2419 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢

  • @nicewatson6264
    @nicewatson6264 ปีที่แล้ว

    Mekupenda bure agement

  • @albinombungu4294
    @albinombungu4294 ปีที่แล้ว

    Aje njombe

  • @AggyBarick-fh9wv
    @AggyBarick-fh9wv 11 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda niffer