#EXCLUSIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024
- #EXCLUSIVE: MAMA NJAIDI AWEKA WAZI MAPENZI ya MTOTO WAKE PATRICK na NIFFER - ''RAHISA SIMJUI''...
Hidaya Njaidi, mama wa mwigizaji Patrick Kanumba amefunguka kuwa mwanaye huyo yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanadada mjasiriamali, Niffer.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
😁😁aya sasa team Niffer Mama mkwe katukubali
Katukubali walitak kutupanda kichwani wanaojiita watoto wa mjini. Watuache👌
❤❤❤❤
Pambe tu
mimi sina team ila huyu mama anaonekana mswahili sana na anatumia bland ya niffe kuuza Furniture zake ikiwemo vile vitanda anavyo tangaza niffa hivo yupo ki pesa zaidi kwanza kasema yeye mtoto wa mjini hivo akisikia mtu mwingine mwenye bland kubwa zaidi ya niffe anadate na mwanae ni rahisi sana kumtema niffe na ndio mana ad aliamua kumtafuta toka lini mama mkwe akaanza kutafuta mkamwana kabla ya kuletwa na kutambulishwa na mwanae? 🤔
🤩🤩😘😘😁😁😆😆😁
Mashaallah mama kaongea vizuri NIFFER 🔥🔥🔥🔥
Nimefurahi maana gisi walimchamba niffer nimefurahi sana wale wajinga sana
Kuna mama mkwe afu kuna wewe ma mama oj ♥️♥️♥️nimekupenda bure mama,embu niitieni mama dangote ajifunze 🙌🙌🙌🙌
Aky we mchokozi ila aiitwe tu achukue maneno ya busara apa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaaaaa .wapi mama dangoteeee
Si kuwai kujua Mwamba huyu ndo mama Patrick ❤️❤️
Mama yuko pis and love mie nampenda bure wallah ❤️❤️❤️❤️😍
Huyu mama wamuweke jua kali 🥰🥰🥰
Nampenda sana huyu mm
Mama umeongea vizuri sana. 😘👏👏
😅😅😅😅Yani huyu mama kaongea kama mama yangu mkwe tokea amjue mwanae akiwa mtoto ajawahi kumsikia Ana mwanamke siku anasikia kuhusu mimi yani miaka imeenda yeye anasema tuu mkwe wangu furani Hao wengine siwatambui 🤣🤣🤣🤣Mama njaidi kaupiga mwingi mpaka unamwagika👏👏👏👏😃😃😃
Your such a good mother ,l love u mama oj❤️
Mama Njaid anazeeka na urembo wake
Sana Kwa kweli Mungu aendelee kumpigania
Mashaallah mzuri Sana huyu mama. Ni half cast WA kiarabu au?
Team Niffer hoiyeee laysa ni kinyanya
Asante Mama mkwe Niffer wangu kaa chini shushia Pepsi baridiiiiii warogaji wakaroge Tena wabadirishe na mitindo ya kuroga sio kila siku kuruka na Ungo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeonaaa aya watafute mbinu ingine wakubwa lkn akili hawana
Niffer hongera hata mm nimeskia Fiti 💃💃
Mama wa mjini eti nimetoa 4 kwa mkwe utantaka😂😂😂upo vizuri 🥰❤
Safi mama ❤ 💕 💖 💓 nifa umepitishwa
Nampenda sana mama Ochu
Hakuna mama anaetaka mwanae apotee kila mama anafurahi kuona mwanae kupata mke mwenye bidii hongera mama
Ss uyo laisa jmn na Patrick wetu mbona km yanga na feitoto...yan mbalimbali kbs
Naffer mpende sana mama mkwe wako anaupendo wa kweli
Daah mm ochu Leo umenifurahisha sana big up 💪 💯💯💯 Malaya wakae chonjo eti watoto wa mjini hovyoooo 😏 😂😂😂 wametahayari
Wakubwa tushaelewa Mama mwenye Hekima" na Busara" na yuko Straight forward kabisa hana kupindisha😂
Nifee mheshimu mama mkwe
Mama kaongea vizuri safiiiii
Mimi nimekuelewa sana sabab uyo kashakua kijana kua nampenzi nilazima 🥰🥰
Congratulations more lov too u momy nyie ngedere piten kushoto
Wanangu tutafute hela yani mtoto wakike Anajitambulisha yeye mwenyewe kwa Mwanaume Nimeipenda hii
Assallam aleykum mama OJ nakupenda sana from kenya
Maskini Niffa wawatu mkimyaaa!
Leo wabaya wake watawaambia nini watu!! Mama mkwe ndo kashasema👌
Umeona
Naomba contact za mama Njaidi
Aya sasa team mashangingi mjipange
Global mnatatizo la kiufundi sikuizi video zenu haziko sawa kwenye uingizaji wa sauti
Tuseme ukweli huyu mama ni mzuri
Sanaaaaa tu
Me too I like Niffer
🤣😂🤣😂Shikamoo mama Oj
Nimependa alivyomkubali Niffer.
Wapi team niffer kumenoga mama mkwe katukubali so mtoto wa mama mkwe KAZI ndogo sana .piga vigelegele
Mama mkwe waukweli👌🏻👌🏻😍
Waleleeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤩🤩🤩🤩sijui raha anapataje nifer wauwe nifer mkwe wa mama njaid wauwe
Kaongea poit sana mama mkwe mwenye hadhi zake mjin safi kabis
Utatembelea mawakwe wee mpk utachoka, muulize mama Wema kila sura anapelekewa🤗 mmmnnh ndo vile vitanda kumbe anavyoviuza laki na 80 ndo biashara yako tumeelewaaa 😂😂
umeona anatumika maskini ya Mungu watu wanaona wanapata faida ndio mana 😁😁toka lin mama mkwe akaanza kutafuta mkamwana kabla ya kuletwa na kutambulishwa na mwanae 🤪🤭
Mama uongea vizuri
Haya mama mkwe anamtambua NIFFER pambe tu wamezalilika akina laisa😂
Piga kelele kwa Niffer aaakeeee,tupa kule vigang'anizi
@@bettyrugemalila9185 weuweeee 💃
Mpaka wanajisifu eti wanaroga looooh aibu,ukisikia utaira maandazi ndio huo
@@marcynhumbi3534 ndo ivyo wakaroge tn kwani wale nao waolewaji
@@marcynhumbi3534 wapo kimya udugu wangu 👌
Mama mzuri huyu jmn
Niffer nmkwe mzur Tena wampendzan kuwa mtunamkwewe awowengine mashamkupe
Mama asante
Yale mashangingi yatakoma leo🤣🤣🤣
yatakoma yatakoma
Yanaona haya wakaroge
Nmempenda bure huyuu mama katoa black & blue fateni protocol
manshallah ❤️❤️ wewe ni muzazi
Bora hata umeongea kweli maana huyo raisa alijishaua sana mpaka nili mwonea niffa huruma
na akaweka mpka machawa
@@hafswahamisi9685 🤣🤣🤣🤣🤣imekula kwao
Kesi kwisha mama kisha ongea
Asante mamaaaaaaaaaa......
Kweli ww mama wa mjini 😁😁, hy wale warogaji itakuwaje, mamkwe ameshasema
Wanaona haya waende huko mama ndo kashasema
@@amriyalibent5900 🤣🤣🤣 hii interview wanaangali hk masikio wameziba
Huyu mama toka naanza kumuona hajawahi kuchuja kwakweli ni mrembo og Hakuna uturuki hapo
🥰🥰🥰mama othman wote tunaakili Sana jmn maashallah kaongea point
Piga kelele kwa Niffer ake weuwee 😄🤣😂ma mkwe tunakupenda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wazee wa mjini wakae kwa kutulia
Apo xx tena watulize mishono penzi la kiwanga ilo aroooo uliskia wap
🤣🤣🤣
Mashaallah Mama 🥰🥰🥰
Cjui namuonaje huko nifa iyo furaha yake
Safi sana mama
Niffeeerrr🔥🔥❤️❤️
Sasa hayo maandishi mnayoyaweka katikati ndio Nini? Hata sura hazionekani vizuri!!
Safii nifa na ochu ni safiii kabisa
MAMA OJ NDO KASHASEMA.NIFFER NDO MKWEWE.MAMA ETU ANAJIELEWA ALLAH AMUWEKE...
GLOBAL TV ONLINE❤❤❤❤❤
Kuna mama zetu nakuna mama Othman
Ndoa tunayo atunaaaaaaaaaaaaaaaa nifar umetishaaaaa
Tunayooii Kwa niffer
ICU Wapelekeeni salam wale wazee wa mjini😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wazee na warogaji wakalale Kwa waganga
Waoooo ving’ast oyeeee, Hv wadada wanaweza kugombana kulea king’ast 😅😅😅 kaz kweli kweli
hata huyo niffe anatumika tu maskini mama huyo ni wa mjini kama alivyosema mwenyewe ko anajua kwenda na upepo hapo kwa niffe anapata faida ya kuuziwa Furniture zake ikiwemo vile vitanda anavyo tangaza niffa
Kitu mama kamaliza kila kitu
Ndo mjue sasa apa mjini watu wako na masponsor wao toka mama ahojiwe aseme ukweli Niffer alikanusha hvo ndo muelewe oj alikua kibenten dah mjini kugumu
Mambo hayoo
Mamkwe mzuri huyu jamani
Sawa Mama Katunzi
Mama laisa sio mtu mzuriiii kbsaa sio kbsaa huyo dada anauwa watoto wa watuuuuuuu jmn huyu laisa anasafirisha watu nchi za nje kuwauzaa sio mtu mziri mshenzi anaangalia maslay
Aya sasa Tim niffer ukweni tume kubalika tuvimbe adi tupasuke
NIFFA,Mama amekukubali ongera tunataka ndoa
Team Niffer hoyeeee thezea mamkwee wewe
mbona ana tuchanganya mala Jeni na Patrick ndugu mala sio ndg mbona awa eleweki
Team niffel jmn
Huyu Oj haki nilimuona akiwa nafikir ana miaka mitatu jamaniii....
Warogaji mkesea kuroga mngeanza na mm mkwe 😂🤣🤣 nyie mmekimbilia kumroga Ochu
Waooooooooooooo mama umeongea
Lazima nimalize itavyuu ya mama mkwe
Warogaji waaaapiiii😀😀😀😀
wanatuambua makondoo ukooo warogajiiiii
Watoto wa mjini nawaangali kwa jicho la hasira pumbavu zao kujidhalilisha mijitu mizima hovyo
Imedhalilika ivyo wakaroge
Othman ni mwananchi
Nimetia nne Tena Kwa mkwe utantaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aii mkwee katishaa
Mambo pambe tu
Mama mkwe kasha kubali jmn
Wahay atuna shoow mbovu nyegera waitu niffer
Nimecheka 😂😍😍😍❤️
Niffer bichwaaa hilooo ila vizur
Kasema ukweli laida utulie tu
🤣🤣🤣🤣 sa akina laisa wataambia nn watu jmn
Mama na mwanaaaaaa
Haaaaaaa mama mkwe mitano tena 😁😁
Ma mkwe ana akili sana hamkatai mkwe mwaya akiona mambo hayaend sawa ana kaa chini na mwanae anamuelekeza
Shoga yng pambe tu
Ha ha ha ha! Team Niffer tujuane
Dada yangu wa ukwee 😍👌 Nakupendaga sn
❤❤❤❤
Laisa Ni mtu mzma haendani kabisa na huyo mtoto