#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว +11

    Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu
    Hongera Irine ubarikiwe 🙏

  • @halimasanga3830
    @halimasanga3830 ปีที่แล้ว +7

    Mama Kanumba na Lulu mmetufundisha jinsi tunapaswa kusameheana. Hakika kwa hili mmemtukuza Mungu.

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba ปีที่แล้ว +7

    Kanumba sasa amepumzika kwa Amani❤️🙏

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 ปีที่แล้ว +7

    Mama nimefulai mpka nimetowa machozi mungu atakupa mengi zaidi

  • @Farida-k4l
    @Farida-k4l ปีที่แล้ว +7

    Nimesisimuka jaman😢mama Mungu akulinde❤❤

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 ปีที่แล้ว +5

    Jaman nimefulai saaaaaana na saaana MUNGU awabaliki mama kanumba ❤❤❤❤

  • @cookingwithphely1538
    @cookingwithphely1538 ปีที่แล้ว +6

    Nimefurahi sana mungu hawape nguvu aki

  • @user-uo6bo3ph6g
    @user-uo6bo3ph6g ปีที่แล้ว +5

    Hyu mama kila nikimuangaliaga roho inaniuma hta sijui kwann😢😢😢😢

  • @gloryshayo9966
    @gloryshayo9966 ปีที่แล้ว +4

    Jamanii watu wa Mungu awasamehee wote tupendane sote tu .

  • @barakahamisi574
    @barakahamisi574 ปีที่แล้ว +3

    Wakati wa Mungu ni sahihi katika JINA la Yesu kristo

  • @azizambise
    @azizambise ปีที่แล้ว +5

    Kweli wakati wa Mungu ni sahihi zaidi

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว +3

    Uyu mama mungu amuongoze kabisa ❤❤

  • @ZaynabMshihir-zp9hv
    @ZaynabMshihir-zp9hv ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah , Allah akulipe khery sana umefanya jambo jema sana kusamehe kwa moyo mmoja ,Allah aendelee kukubariki mama kanumba

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว +10

    Mama ameongea kwa hisia ya ndani kabisa ktk moyo wake tena kwa mapenz makubwa kabisa mpaka machozi yamenitoka😢 lulu mkumbatie tena mama

  • @mwitenezaexavelyne6331
    @mwitenezaexavelyne6331 ปีที่แล้ว +3

    Wasani wa Tanzania musisahawu mama Kanumba…..kumbukeni Kanumba ndio yeye ametuma mjulikane….Mama kanumba pole sanaa!!!! 😢😢😢😢😢uyu mzazi ni wenu nyinyi wasani wote
    Irene Uwoa wewe utazidi kubarikiwa zaidi 🙏🙏🙏

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 ปีที่แล้ว +8

    Mama utapata mwisho mwema milelee

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezimungu akutunze Mama❤️

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wabariki lulu na mm kanumba

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mama❤

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 ปีที่แล้ว +1

    Amina amina mama❤❤❤❤

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +1

    Mpaka nime😢 god bless you mom

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mama❤

  • @Masokabya08
    @Masokabya08 ปีที่แล้ว

    mubarikiwe sana mungu nimwema kilasiku kwetu ❤

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 ปีที่แล้ว

    Hongera mama

  • @user-uo6bo3ph6g
    @user-uo6bo3ph6g ปีที่แล้ว +2

    Bas had hpa Kuna mijitu itatukana😂😂😂😂😂maana Kuna watu hawanaga formular

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 ปีที่แล้ว +2

    Imetamaradi??

  • @sulwajackson6906
    @sulwajackson6906 ปีที่แล้ว

    Asatente Mama umeachilia na Mungu atakubalikai

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel ปีที่แล้ว +1

    Kweli wakati wa Mungu nisahihi mama umusahe tu yaishe najuwa umeumiya sana tu ila samehe ili upate Amani ndani yako nayeye pia.

  • @naomimbonea3106
    @naomimbonea3106 ปีที่แล้ว

    Jamani Mungu ni mwemaaa

  • @mankambise2000
    @mankambise2000 ปีที่แล้ว

    Nime😢 jamani Mungu ambariki huyu Mama

  • @TibaAngelina
    @TibaAngelina ปีที่แล้ว

    Amina❤

  • @mdendamono3311
    @mdendamono3311 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hawa bariki sana😅

  • @noelsaidi7144
    @noelsaidi7144 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitaji namba ya waatssap ya Mala kanumba naitaji musaidoya n'a qhilingi ndogo Niko drc congo

  • @irineassey69
    @irineassey69 ปีที่แล้ว

    Hadi raha

  • @alfredkivuyo2739
    @alfredkivuyo2739 ปีที่แล้ว +1

    Shetani kashindwa kwa kweli

  • @sarahkarimi5390
    @sarahkarimi5390 ปีที่แล้ว +1

    Nimelia walahi 😢😢

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu mama nikamwangalia huwa namuhuliza mungu maswali kwanini ulimchukua kanumba na unajua ni tegemeo la mamake

  • @thabealaizer3313
    @thabealaizer3313 ปีที่แล้ว

    😢 Mungu ametenda maajabu

  • @beratehilatv8953
    @beratehilatv8953 ปีที่แล้ว

    Hadhi rahaaa

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Duh hadi machozi yamenitoka kwa furaha 😢😢😢😢🙏🙏

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik mama lulu muifadh uy nimama yako

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial ปีที่แล้ว

    🙏🔥🙌😍wow

  • @kurthummohamed6290
    @kurthummohamed6290 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 ปีที่แล้ว

    Huyu mama kila mara anasema alishamsamehe, kwa hiyo kila akionana nae au akiulizwa anasema amemsamehe,ina maana akishasamehe mbele za watu,akigeuka anafuta msamaha!!!

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

    Hadi machozi 🇹🇿🇴🇲😭

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว

    Hapa mama ameshafunguka, Asante mama hakika umefunguka vyema Lulu tafadhali muangalie huyu mama hata kwa kidogo jmn nimefrah mno😅😅😅😅

  • @FLORAHANSIBERTY
    @FLORAHANSIBERTY ปีที่แล้ว +4

    Huyu Mama,hajui mwanae alikuwa freemason, Lulu Hana kosa kabisaaaa,fungaeuombe Mtoto wako umnusuru huko kuzimu, yupo hajafa, Omba Mungu akupe Maono nakukufunulia yaliyojificha, Lulu Hana kosa kabisaaaa

  • @shamilahussein5294
    @shamilahussein5294 ปีที่แล้ว

    Natamani Lulu amualike nyumbani

    • @queenshomba8412
      @queenshomba8412 ปีที่แล้ว +1

      Echeni mambo hayo Lulu ni mke wa mtu.

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว

    Sasa lulu usimtume Tena mama kanumba

    • @mwajumamwajuma55
      @mwajumamwajuma55 ปีที่แล้ว +1

      Alikuwa anamtuma wapi

    • @minnahloveiove1074
      @minnahloveiove1074 ปีที่แล้ว

      ​@@mwajumamwajuma55😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      ​@@mwajumamwajuma55Hahaha jmn watu😅😅😅😅😅

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +1

    Utu mana naye na lulu muache lulu bwana alishatumikia kifungo chake bimeisha

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo ปีที่แล้ว

      Amuacheje!? Kwani kamfanyaje lulu? Si amemuondolea kinyongo?

    • @happymarwa4517
      @happymarwa4517 ปีที่แล้ว +1

      Hujazaa ukizaa utaelewa,

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +1

      ​@@happymarwa4517Yaan ata Lulu ameelewa sasa machungu ya mama Kanumba,sbb na yeye amezaa

  • @cookingwithphely1538
    @cookingwithphely1538 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi sana mungu hawape nguvu aki

    • @anesahalnabyani4445
      @anesahalnabyani4445 ปีที่แล้ว

      😢nimefurah sana ummy jmn, Mungu akubalik mama

    • @DoriceAlly
      @DoriceAlly ปีที่แล้ว

      Kiukwel mama hongera kilakitu kinamdawake ninakupenda sana mamakanumba

    • @queenshomba8412
      @queenshomba8412 ปีที่แล้ว

      Hawape au awape!!!

  • @naomiraphael4830
    @naomiraphael4830 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @mukayilagahima4116
    @mukayilagahima4116 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤