ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
MAGUFULI-OMKAYA-(Official music video) By Elizabeth MaliganyaElizabeth Maliganya
มุมมอง 966K
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI | Love StoryDONTA TV
มุมมอง 818K
GHAYO MANG'OMBE (Official music video) By Elizabeth Maliganya - Bukombe wa MbeleleElizabeth Maliganya
มุมมอง 263K
#ด่วน คอมเมนต์จีนฉุน!ไทยดับฝัน1400,000,000 คน,วินาทีชนะ(มีคลิป)สาวจีนคลั่งรักวิว-กุลวุฒิบิ๊กแชมป์ F.C.
มุมมอง 544K
อยู่ได้แล้ว - LIPTA feat. Mirrr [OFFICIAL MV]LIPTAofficial
มุมมอง 591K
LISA - ROCKSTAR Special Stage Performance (w/ HolyBang)LLOUD Official
มุมมอง 4.4M
MIUNO YA NGOMA YA LIZOMBE BURUDIKA NA UTAMADUNI HUUSOPHY TOURS TV
มุมมอง 14K
Elizabeth maliganya ndani ya theplatform "nilifurahia nilipo pokea tuzo"NYANZA TV TANZANIA
มุมมอง 2.4K
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIRNjiro SDA Church
มุมมอง 13M
Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official videoMakula Studios
มุมมอง 158K
Elizabeth Maliganya Rais Magufuli /IGEMBE/ (Sukuma Traditional Song) Kalunde MediaKalunde Media
มุมมอง 311K
Bob Haisa - Bhatoja (Official Video)Mashaka Kisusi
มุมมอง 611K
ISIRIA - NAOMI SAIPIMaasai Channel
มุมมอง 36K
NTELEMKO (Official music video) By Elizabeth Maliganya - Bukombe wa Masanja MaduhuElizabeth Maliganya
มุมมอง 54K
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.UDSM CCT MEDIA
มุมมอง 1.9M
คุยเรื่องศาลไม่ให้ 'ทักษิณ' ไปดูไบ l STORY LIVE EP.37Spring News
มุมมอง 215K
"วิว" เผยมองตัวเองเป็นรองทำให้ไร้ความกดดัน ยังไม่มองถึงเหรียญเพราะนี่คือโอลิมปิกStadium TH
มุมมอง 75K
Her Survival skills will Fry 🔪 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehackMarusya Outdoors
มุมมอง 12M
NONT TANONT - ดอกไม้ที่รอฝน (spring) - Reimagined [Live Session]LOVEiS+
มุมมอง 278K
LIVE : AC MILAN vs REAL MADRID | Soccer Champions Tour 2024 | 01.08.24BG SPORTS
มุมมอง 218K
🍌 หิ้วหวี หิวโว้ย EP.18 | หรือนี่ คนไหนคือเชฟอาหารทะเลตัวจริง!Hiwwhee Official
มุมมอง 379K
วันแรกลงทะเบียนรับเงินหมื่นผ่านแอปฯ “ทางรัฐ” มีผู้ลงทะเบียนสำเร็จกว่า 2 ล้านคนสํานักข่าวไทย TNAMCOT
มุมมอง 303K
Kama umeuangalia huu wimbo zaid ya mala 3 Tonga like haa
Mi zinazidi hizo😂
Dah wasukuma mnaimba jamanii hongera Elizabeth huu wimbo naukubali Sana dada🔥🔥🔥🔥 ilifaa upewe tuzo💕
Wasukuma oyeeeeeeeeee tusomeshen
Kutoka maeneo ya Marekani kusini nampata huyu Dada Msukuma mabaka Kisii Kenya 🇰🇪 👌 Nyanza wimbo hata sielewi lakini naona anasema Elimu ni Mzuri kwa mtoto msichana Waacheeni wasome vijana na Wazee msiwaharibie masomo
Dada kweli mungu amekupa neema ya kuiba unaimba vizuri sana wasukuma tunajidai jamani
Mungu akubalk mama angu
❤❤❤❤ wabeja
Hahaha mayo hatar!❤❤❤❤
Upo makini mama kwakuimba mama
Tusomeshe watoto wakike tunatakiwa tujitambue sisi wazaz
Dah wasukuma muko vizur kwa uimbaji
Hii nyimbo nimekumbuka mbali Sana mzee alivyokataa kunilipia Ada yani 😭😭😭nimekumbuka mbali Sana Ila mungu mkubwa nimepata kazi kwa uwezo wake
Vijana wakisukuma wengi tumerudishwa nyuma sana
Polle can mdog wngu dah hata me nmelia 😭😭😭😭
Asante sana dada unatuwakilisha wasukuma
Nimeipenda bure toka kwa wasukumu shemeji zangu
Poa
Natoka Kenya na imenifuraisha kwani ndugu zangu wako huko tz I am looking for them
Hapo Elizabeth umeimba.big up sana Mungu akuongoze
umejitahidi dada japo sijui kisukuma ila nimekubali sana
Bariadi safii
Najivunia kuwa msukuma ❤❤
Best wishes you life of sing
Jamii inatakiwa kupewa fundisho kupitiwa nyimbo kama hizo hongera sana kwa wimbo
Nice song, beat is insane love my tribe the largest ethnic group in Tanzania, wabheja mayu
Nakukubali
Safii Shemela. Utupie kwa kiswahili japo radha na mahadhi yanaweza kubadirika. Nimeipenda. Tulekagi kulekanya
🎉🎉🎉❤ nice song Boniface from Tanzania singida
Nalumba sana Mayu longhuno udambhilija sana abhabhaji abhamo bhadelelagwa....
Honger dada kwa kutoa elim nzur ubarikiwe
We unajua sema kweri you make me happy
😂😂😂 mayuzii chene...👏👏 Mwimbo mzuri ungeuwekea lugha ya kiswahili au ya kingerza ingependeza
Nyiiiee huu wimbo mzur ukuskliza yaliyomo
Hongera eliza nyimbo zako nszikubaliii saaan🥰🥰🥰
I feel so emotional
Asante sana ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Nampenda Sana huyu mama pia napenda nyimbo zake,😍
Nyiiieeee huyo police sasa kumekuchaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mayozi😅😅😅 dogo kilaza kweli mama kwa kingeleza ni mayozi😅
Yan Siga Sana 🌹🌹🌹 Kimba Nagwine ki jaman 🌺🌺
Eliza gokaya
❤❤❤
Nime ipenda sana Dada yangu
Elizabeth maliganya your song is very impressive and enjoyable, keep on moving. God bless
Asante❤
❤❤❤❤❤❤❤
Hongera Kalunde kwa ubunifu,nyimbo nzuri za kisukuma big up sana kwa mwimbaji
Huu wimbo ni balaaaaaaaaaaaaaaa Aiseeee, Yaan dahhhhhhhhhhhhhh Mimi ni mluo lakini huu wimbo ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This song make me cry...since I grow up on such a family.
Ok
😂❤
Mayo nisomishagi 🔥 🔥 🔥
Mambo moto
Asante sana sster kwa kawimbo kazuri
Hakika wimbo umegusa uhalisia wa mambo yalivyo, ubarikiwe sana dada wa kisukuma.Ntuzu kamiligado
Farajaia
Havs
ngoma Kali nimeielewa sana
Simiyu moja dada angu piga Kaz i
Waooo ujumbe mzur penda sana ❤❤
Nyimbo nzuri San nimeipenda maan ni shidaaah
Good
Safi sana ww ni star mkubwa sana.
asante
@@ElizabethMaliganya yani we dada sijawahi juta kusikiliza nyimbo zako uko vizuri mpaka unanipa kisulisuli safi sana,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@@ElizabethMaliganya Dada naomba mawasiliano yako Nina sherehe mwezi wa sita kasamwa geita
Huu wimbo noma sana
Dole Bose bamayo na ba baba
Wasukuma mnawezaaaaaa
Elizabeth Maliganya,hakika wimbo huu unatoa hisia na fundisho kubwa kwa jamii hasa zinazoamini binti hapelekwi shule. Hongera sana dada
Hongera sanaa kwa wimbo mzuri
Obeja dad
Nimeipenda adi imenitoa machozi
Naipata vizur sana pande hiz za dsm
Bonge la wimbo
Kisukuma 0:56 0:57
Woooooow nimemis nyumban
Nyimbo nzuri Sana bigup mama
hongera sana dada wimbo mnzuri......
Wanawake oyeeeeeee
Pouwa saana ,mom wa kisukuma
Sister minaitwa john malinganya bila sha ka tunaweza tukawa ndugu lakini hatujuani
Nimeipenda sana
Hakika wimbo mzuri
Tisha sana sister
Dada nimeelewa sana ujumbe wako.Be blessed
Ulinashilaka mayu kifuku
Safi sana et mama kwa kingereza anaitwaje jamaa anasema mamas na baba ,jamaa anasema babas🤣😁😃😁😁
Naipenda sana kabila yangu
Huyu ndo aliimb bejaga kaya
Kumbe huyu
@@christinantegwa7480 vNnz
Ulisawa gete ntunzu moja 👌👌
sanaDada
Wasukuma wAmezid San bola wapate fundisho kwa wote
Dah had raha kw wimbo huu
pye ganhana duhu ayo uliyomba
Dada naomba kama itawezekana huu wimbo uweke kiswahili ili jamii nzima ielewe....ahsanten sana
Hapa nimsaidie kumjibia alikuwa anaelimisha jamii ya kisukuma kwan kuna wakati ilikuwa nyuma swara Zima la elimu hususani watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele kwenye kuoata
Elim
@@josephtinginya3860 ahsante kwa faida yetu sote binafsi nimekuelewa
Mbona nyimbo za wazungu huwa tunasikiliza tu bila kuelewa kinachoibwa?
@@dollokasuka8131 ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dar safi sana dada wimbo wako unaujumbe munzuri sana
Hii nyimbo tamu harar
Umependeza sana
Utafikambalisana Eliza
Ongera sana
Kwakwel inafundisha wasukuma waelimike
Ujumbe mzur san hongera dada 👏👏
VP sabana kwa majina na itwa juma
Umeolewa
safii Xaan kwa wimbo mzuri
Love it vibe kal sana
Predation life
good societal messages
Safi
Nyimbo nzuli
Simiyu moja hiyo uko vizur dada
Natogwa najigwa jaghukaya. Ila mwanafunzi mwenyewe anakata mauno.. 😂😂😂😂.
Hahahaahahahah umemuona na we kumbe
@@mariamgeofrey6390 nimemuona anakata kabisa. Sasa sijui ndo anahamasisha kuhusu umuhimu wa elimu.
Hatari sana Mungu atusaidie sio kwa mauno yale
Mzuka umempanda!!😁😁😁
😘😘😘
U
Ntuzu mmetisha aise 🤣🤣🤣🤣
Asante😂
😂😂mayuzi bhabhazi