'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Ambwene Yesaya @aytanzania Ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kufanya muziki wa hip hop kuwa biashara nchini Tanzania na kufanikiwa kufanya kazi na wanamuziki wakubwa kama @psquareworld, Miss Trinity, Sean Kingston, Romeo na wengine wengi.
    Amezungumza na @rmziwanda_official kuhusu masuala mbalimbali ya muziki
    🎥: @jesswapele @frankmavura
    #bbcswahili #tanzania #muziki
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 17

  • @Caelumkids
    @Caelumkids 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is our Home Grown Jay Z [Abwene Yesayaaaaa] ..God bless you brother . Salute

  • @habyhabib7538
    @habyhabib7538 2 หลายเดือนก่อน +7

    Regina miongon mwa wana habar mashuhuru kabisa,katika uhodar na tashtiti yaaani lugha ni taaaam sana unavyotumia ,Allaha akubariki kwanza ni dhamu na utash mkubwa uliokua nao

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🕴️🕴️🕴️🔥🔥🔥🔥

  • @Rohyteeno
    @Rohyteeno 2 หลายเดือนก่อน +2

    Madam ana kiswahili kizuri kinavutia sana

  • @jebajr
    @jebajr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Regina anakichezea kiswahili kwa utaalam mkubwa sana

  • @mwanetu
    @mwanetu 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii sauti nmekumbuka enzi za kuwahi shule saa 12 asubuhi najiandaa uku nasikiliza amka na BBC

    • @DonSompo
      @DonSompo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Same here

  • @HashimuRashid-e7l
    @HashimuRashid-e7l 2 หลายเดือนก่อน

    Ay,he is real master

  • @Mbaley
    @Mbaley 2 หลายเดือนก่อน

    Nice interview

  • @empafricatv
    @empafricatv 2 หลายเดือนก่อน

    Abwene🎉🎉🎉❤

  • @radojembe7347
    @radojembe7347 2 หลายเดือนก่อน

    Truee

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ay,,,,,Snae Yuko wapi ?

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ktk maisha usiwe bendera ufuata upepo use your brain not someone else brain.

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 หลายเดือนก่อน

    Masta ni Masta kweli

  • @ukwigana7279
    @ukwigana7279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependezwa na hili kutoka kwa AY "kila kitu kinaanzia nyumbani"
    Swali ni kwamba "Unalizungumziaje swala la watu wa nyumbani kukukataza baadhi ya mambo fulani mathalan, muziki na kuambiwa sisi hatuna waimbaji kwenye familia yetu na wakati kaka AY amefanikiwa kwenye hili kwa maadili ambayo hata watu baki wanapendezwa nayo?"

  • @geeva99
    @geeva99 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kuna nyimbo kazifuta tidal, na majani na yeye kafuta bongo records vol 1, why?

  • @PaulStephen-o8l
    @PaulStephen-o8l 2 หลายเดือนก่อน

    The interview is hot.