HISTORIA ZA WALIOANDIKA VITABU VYA BIBLIA.... WALIVYOVIKATAA WANAVITUMIA KWA SIRI HAWATAKI TUJUE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 เม.ย. 2020
  • HISTORIA ZA WALIOANDIKA VITABU VYA BIBLIA.... WALIVYOVIKATAA WANAVITUMIA KWA SIRI HAWATAKI TUJUE
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #ukristo
    #upagani
    #freemason

ความคิดเห็น • 168

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว +10

    amani ya Mungu (ALLAH) iwe nanyi!!! Dah!!! najifunza mengi humu ndani!! umalikiwe uliepata wazo la kuanzisha channel hii!! nimegundua wangu tunampenda sana Mungu ila njia ya kumuendea unachanganya kwani wengine wamechafua ramani!!!

    • @juliusdominic-uk4bu
      @juliusdominic-uk4bu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amina kalibu kwa Mungu wa haki na wema umtumikie

  • @user-xj7on5ho9x
    @user-xj7on5ho9x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka napenda Sana izisili

  • @youngjun8098
    @youngjun8098 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur big up tricod

  • @user-fe1pr1mb7r
    @user-fe1pr1mb7r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kajifunze vzur historia bado hujui kitu mdogo wangu

  • @samuellonudeweythomas8705
    @samuellonudeweythomas8705 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @ufc-ultimatefightingchampi8456
    @ufc-ultimatefightingchampi8456 ปีที่แล้ว +1

    Great Knowledge Thank you.Wale wabishi shauli yao na maisha yao.

    • @ima-fc3fm
      @ima-fc3fm 11 หลายเดือนก่อน

      nitaipata.vip.hiyo.elim.nahitaji.mno

  • @gyankisanga6790
    @gyankisanga6790 4 ปีที่แล้ว

    Mzee big up san ...SALute kwako

  • @dullythegreat3202
    @dullythegreat3202 4 ปีที่แล้ว +5

    Big up bro

    • @abuuhaamidpaulo5506
      @abuuhaamidpaulo5506 4 ปีที่แล้ว

      Dah kk nipo pia nakufatilia San ila nasikitik kwaupande mwingine

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk หลายเดือนก่อน

    Uliza DR SULE

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 ปีที่แล้ว

    Asante TR. M. leo umenikoshaaa..na hasa hilo neno la mwisho kama fumbo fulani hv mwenye macho na mwenye masikio ????
    (wanojifanya kuponya wa2).

  • @ndomimimkaliwadonta5715
    @ndomimimkaliwadonta5715 4 ปีที่แล้ว +1

    Umejitahidi lkn bado soma vizuri kuna watu wanasikia kama wewe ulivyo sikia na ulivyo wahadisia lkn rudi ukasome sasa wewe mwenyewe vizuri sababu Yesu anasema hakusema kitu silini kilakitu alisema hazalani

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 ปีที่แล้ว

    James hakuzaliwa na Mariam,bali alikuwa mtoto wa Yusuf (mmewe na Mariam, kwa mke aliye muoa kabla ya kuwa na Mariam). Rejea maandiko ya Protoevangelion (vitabu vya Biblia ya kale).

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +2

    Haya mambo haya dah 😭😭😭😭 waafrica tunachamganyiwa madawa

    • @alimohammed5127
      @alimohammed5127 3 ปีที่แล้ว +1

      Tumejichanganya wenyewe coz bibilia ipo waz kuna mambo mengi katika bibilia yanaonesha uislam ndo dini hata matendo ya Yesu pia... Pia maneno mengi yameandikwa yana mahusiano na uislam km neno KADHI,SANDA, SINAGOGI, ASALAMU ALAYKUM... so waafrika mlijichanganya wenyewe coz... Hakujawah tokea papa au kiongozi mkubwa wa kanisa duniani akawa mtu mweusi.... Lakin ukweli alioueleza MWENYEZI MUNGU kupitia kinywa cha mtume MUHAMMAD S.A.W... ni kua YESU ALIKUA MWEUSI UZURIWA SURA YAKE MACHO NA NYWELE ZAKE MUHAMMAD ALIVISIFIA KW KUSEMA HAJAWAH KUONA KIUMBE MZURI KM YESU... nyny wakristo mko wap hamjui kmYesu alikua mweusi??? Utu wa watu weus umepotezwa na wazungu wakamfanya Yesu mweupe kw pich ya kutengeza...na si yesu tuu MUHAMMAD S.A.W ktk kumpa sifa njema mtu mweus pia kamtaja ALEXANDER,ABRAHAMU,SOLOMONI,DAUDI NA MUSA kua walikua weusi njooni kwenye dini yenu ya asil UISLAM ndio dini ya MITUME wote.... Haibagu rangi km mnavoona viongoz wa dini weus wanavowaongoza waarabu na wazungu ktk ibada coz ktk uisla mbora ni yule anaejikaribisha kw MUNGU na sio mzungu km mlivotengenezwa na wazungu....

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว

      @@alimohammed5127 Yaani unafaa kuzinduliwa kwenye usingizi wa kifikra km unaamini dini ya watu weusi ni Uislamu..... hao mitume uliowalist apo unaosema weusi walitumwa kwa waafrica ama walitumwa kwa makabila yao husika huko middle East.......... Uislamu ni km dini nyingine tu za kikoloni dini yenye Mungu mwarabu. Dini yenye Mungu anaepiga vijembe na vitisho kuliko dini zote duniani..... Eti Mungu anafurahi kumuangamiza Abu Lahab wakati kamuumba yeye 😅🤣 Wake up buddy..... Muafrica hahitaji dini kumjua Mungu

    • @alimohammed5127
      @alimohammed5127 3 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe ni mekujibu kw adabu ss unanivunjia heshima.... Ila sisi waislam tumeambiwa tufikishe tu kweli na ungongo utakwenda kujua pale tu malaika mtoa roho atapokujia.. hapo ndo utamjua Mungu wa kweli au wa vijembe.. watu km nyny walikutana na mitume pia.... Cku utaulizwa je hakuja muonyaji utasema alikuja ila nilimkadhibisha... Mana km ungekua karibu ningekufahamisha uislam positive km mm nnavoufahamu ukristo positive... Ila nyny wakristo mnanyweshwa uislam negative... Hilo ndo kosa la viongoz wenu coz wanajua wakiwapa maelezo ya uislam positive mtajua ukweli..... Mm naishia hapo.... Mana ukitaka maandiko ntakupa maandiko ya vitabu vyote mpaka utafurahi....

    • @oskawilliam5194
      @oskawilliam5194 3 ปีที่แล้ว

      @@alimohammed5127 I inalilahi soma mwanzo utaona yakobo alizaliwa langi gani na sauli hio elimu tena hicho kitabu cha Koroan siunakiamini unajua hukumu ya kusema Muhammad ni mweusi

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ni mtume ganni aliyesoma na shule gani. wote waliletewa wahai (ndoto) si mussa wala mohamadi

  • @awardenock7173
    @awardenock7173 4 หลายเดือนก่อน

    Mariam mtoto wake wa kwanza ni yesu sio jemsi

  • @fadhirimarko7427
    @fadhirimarko7427 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa.mwenye akili atakuelewa nia yako hasa,,,kuna wengi wanao kusiliza wanakuona huna akili

  • @brillianhappiness167
    @brillianhappiness167 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nawezasama wewe ni nabii wa uongo, umekuja kuua imani ya watu
    Ni kama unajaribu kusema Mungu hana uwezo wa kutenda miujiza
    Naomba mvua iliyonyesha Brazil wakati walipomshitaki Yesu pia ikanyeshe kwako

    • @user-oj9ky8tj9g
      @user-oj9ky8tj9g 3 หลายเดือนก่อน

      Tua tuambiwe habari za wakoroni

  • @francismkenda
    @francismkenda ปีที่แล้ว

    Hii historia n upoyoshaji mkubwa sana

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 3 ปีที่แล้ว

    Siri ya kufanya miujiza ya Yesu Kristo ipo kwenye Biblia ya kawaida wala haipatikani huko mliposema!
    Huu ni uongo ulioelezwa kwa kutumia vitu na matukio ya kweli!

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Yesu hajaaca bibilia iyo ni maagizo ya wanadam nakuwakejeli watu kwanguvu eti nambie ivi na sema ivi vip kufuta amri za Allh na taurati ya isingekua sijuwi mungeandika nini afu pili kwanini wanafica siri na kwanini mawe mpaka wanayaiba yaloteremshwa eko maneno ya Allah

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว +1

    Biblia ni msingi wa maisha ikiwa utaifwata na ndio maana hawa jamaa wanatumia ili kwa maslahi yao

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Yes nimusingi wa maisha ya kishetwani watu wanamwaga mamiliyoni iwa dini ya fake na dini ya kweli ipo subhanalah

    • @bryson0772
      @bryson0772 ปีที่แล้ว

      @@sawdaasawdaa7903 ww mwenzetu dini ya kweli n ipi tuanzie hapo? Hujielewi na unajipatia dhambi tu huyo muhamed wako mwenyewe anamjua na kumkiri yesu na ujaji wake mara ya pili humo kwenye quran yenu imeandikwa pia haya ww n nan kujifanya wajua dini ya kweli? Jiepushie dhambi ndogondogo

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว

    Paulo alizaliwa miaka mingi ssn baada ya Yesu kuondoka duniani, hapo uliposema alizaliwa kipindi cha Yesu huo ni uzushi na uongo. Fanya marudio vizuri

    • @safeworldwide9929
      @safeworldwide9929 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndiyo haujaelewa ndugu, isome Biblia uelewe.
      Paulo alikuwepo kipindi Yesu alikuwepo duniani na ndio sababu Paulo alipopata maono ya kuwa Mtume wa Yesu alianza kufanya kazi na Mitume wengine ambao NI Kuna Petro.
      Paulo alianza kuwa Mtume baada ya kifo Cha Yesu,hii haimaanishi kuwa wakati wa uhai wa Yesu Paulo hakuwepo

    • @allykeita704
      @allykeita704 3 ปีที่แล้ว +1

      @@safeworldwide9929 mmmmmh na wew umenidanganya hahaha

    • @edwardhoja
      @edwardhoja 2 ปีที่แล้ว

      Paulo (Saul of Tarsus) alitiwa upofu baada ya kuwapiga sana vita wanafunzi na waliomuamini Yesu. Hii inaonyesha wazi aliishi wakati wa Yesu

    • @user-oj9ky8tj9g
      @user-oj9ky8tj9g 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe uli kuwepo

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ninaomba ututajie hata kitabu kimoja

  • @bbablack9080
    @bbablack9080 4 ปีที่แล้ว

    Nimekupata mze

  • @bantwamwasakapiga4941
    @bantwamwasakapiga4941 3 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji kujuwa historia ya Quran pia

  • @flamyoo
    @flamyoo 4 ปีที่แล้ว +2

    Roho yangu ina huzunika toka asubuhi juu ya maongez uliyoyaongea kuhusu Biblia.utapata pesa lakini pepo utaisikia tu si kuhukumu ila kutokana na maongezi yako ya kuipotosha bible.MUNGU WA MBINGUNI AKUSAIDIE MASKINI WA ROHO.KAMA UNA SIKIO NA USIKIE

    • @rogersbarnabas7110
      @rogersbarnabas7110 4 ปีที่แล้ว

      Fungua akili wewe. Wa Africa wameanza kuamka lakini wewe bado unavuta blanket. Bible na Quran izo ni story za wazungu ndio waeze kututawala kirahisi

    • @antonmallya7818
      @antonmallya7818 4 ปีที่แล้ว

      @@rogersbarnabas7110 usituchanganye,yesu Hana kaka.

  • @76update7
    @76update7 2 ปีที่แล้ว

    Isipoteshe watu KUWA Qur-an inaandikwa wakati Mtume akiawa bado yupo hai ila Othman r.a yeye aliipanga kwenye mpangilio wa juzuu baaada ya kufa Mtume

  • @joely58
    @joely58 ปีที่แล้ว

    Usipotoshe watu hadithi za kweye bibilia wagiliki waliziiba nasubiti kwa sasa ni misiri

  • @geradtungu9100
    @geradtungu9100 3 ปีที่แล้ว

    Umechanganyikiwa

  • @lovenesscollings583
    @lovenesscollings583 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu

  • @lamek6808
    @lamek6808 3 ปีที่แล้ว

    Mimi napenda history za siri kama ninge vipata ingekua poa

  • @pascalerick3525
    @pascalerick3525 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu amezaliwa na Bikira huyo kaka yake James ametokea wapi bro😂😂

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  2 ปีที่แล้ว

      Joseph kabla ya kumuoa maria alikua na mke na maria baada ya kumzaa yesu alizaa watofo wengine hahaha

    • @vincentmunyao4911
      @vincentmunyao4911 ปีที่แล้ว

      Labda alikuwa second born

  • @ramazubery8396
    @ramazubery8396 4 ปีที่แล้ว

    Yani wejamaa nimkristo umeonauongo wa bibili nauisilamu huutaki unaonabora kwanza uropoke uvuruge qur an alafu urudi kwenye kusudio lako kama uliona siomada yakuongelea mbonaushangea?ivi uwezi kuita khalifa utaweza kujua qur an ilitoka wapi?

  • @Deeja_Knife
    @Deeja_Knife 2 ปีที่แล้ว +2

    Waislam dhini lao lilitoka kwa warume kupitia Khadija... Mohamed alifanywa kutumiwa kupitia uchawi ambao alirogwa,hata pale pangoni yy Mohamed alisema alichezewa na shetani maana hakukuwa na malaika Gabriel.Mchezo mzima uko na Khadija juu yy pia ndie alisema ni malaika Gabriel

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  2 ปีที่แล้ว +1

      Kuna story huwa inabidi niwe mpole kuzifanya hasa hizi za hawa jamaaa maana wanakuaga na hasira sana

    • @uvitazuvitaz4577
      @uvitazuvitaz4577 ปีที่แล้ว

      acha kuongea kama umevaa pampers hizi taarifa umezipata wapi.?

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 4 ปีที่แล้ว

    Ulitoa angalizo kwamba ukisikilizwa mtu anaweza kwenda kufungua kanisa, hapo kuna nn kipya cha mtu kwenda kufungua kanisa

  • @rehemakatunda6852
    @rehemakatunda6852 3 ปีที่แล้ว +1

    Injili pia alipewa Nabij uzeir kabla ya Isa wa maryam

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Apana injili ilipewa yesu peke isipokua ametabiria wote na yohana na Mutume Muhamad uzeir alirudia emo taurati muda Allah amemuamusha myaka miya akairudia na akaiweza jinsi ilivyo

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว

    Quran ilikua inaandikwa na Waraqa bin hauf alipokufa muhammad alitaka kujiua kwa maana kipindi hicho wasomi kwa waarabu walikua wachache sana

  • @Ahungu
    @Ahungu 4 ปีที่แล้ว

    Naomba Msimlizi wa Tripod asipotoshe ufahamu wa QURAN. Pata ufafanuzi wa wahusika (Maulamaa au wasomi wabobezi wa Kiislam). Uislamu hauna longo Longo. Kila kitu kiko bayana.

    • @rogersbarnabas7110
      @rogersbarnabas7110 4 ปีที่แล้ว

      Bro nakuomba tu fuatalia kuhusu historia ya mwafrica kupitia price katege wa pili kupitia Chanel yake ya TH-cam

  • @Alexander-up5rv
    @Alexander-up5rv 2 ปีที่แล้ว

    Tutajie majina ya ivyo vitabu

  • @hilaliusmusa3657
    @hilaliusmusa3657 4 ปีที่แล้ว +1

    tuchambulie quan

    • @alimohammed5127
      @alimohammed5127 4 ปีที่แล้ว

      Hajui wala hatojua atakudanganya km unataka kujua Quran mtafute dr Sule utaelewa

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk หลายเดือนก่อน

    Quraan inajitetea enyewe
    Ikisema.
    Haina shaka yoyote

  • @josephmosha6921
    @josephmosha6921 3 ปีที่แล้ว

    Nieleweshe kidogo juu ya hiyo Elimu kwa mitume.?

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว +3

    kaka jose!! pengine nigusie kidogo kuhusu vitabu vipo vingi kutoka kwa M MUNGU! ila vikuu ni vi4
    (1) ZABUNI-DAUDI
    (2) TORATI - MUSA
    (3) INJILI -YESU (ISA)
    (4) QURAN- MUHAMAD (SAW)
    KUHUSU QURAN TUKUFU ni maneno ya Mungu (ALLAH) yaliyo hifadhi wa kwenye kitabu!! kutoka kwa maswahiba kutoka kwa mtume(SAW) kutoka kwa malaika( jiblii) kutoka kwa M MUNGU (ALLAH)
    JOSE kuhusu biblia naona ni maoni ya watu kuhusu waliyoyatoa au kuyasikia kwa yesu na nukuu chache sana za yesu!!!
    M MUNGU (ALLAH) NI mjuzi zaidi!!!

    • @omarbakarngwili4775
      @omarbakarngwili4775 3 ปีที่แล้ว

      F77

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว +2

      Quran sio maneno ya Mungu ila muhammad alichanganya maneno ya MUNGU toka kwenye Biblia na maneno yake yeye na vyanzo vingine

    • @alikhamis6326
      @alikhamis6326 2 ปีที่แล้ว

      @@zenassylvester125 toa ushahidi Kama Quran si maneno ya mungu pia toa ushahidi kama muhammad ametoa maneno ktk biblia

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 2 ปีที่แล้ว

      mungu amwambie malaika malaika amwambie Mohammed naye pia awasimulie maswahaba duuuuu hapo kuna mianya ya rushwa

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 10 หลายเดือนก่อน

      Umepotea ndg Quran haipo kwenye historia ni mipango ya watu

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtume paulo😂😂😂😂😂😂
    Kasome tena uwanja huu ni mpana zaid kinyume na hivyo ni kituko.

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Uyo mutume ni escro sana uyo paulo anasema katumwa na shetani ila wanamungangania

    • @edwardhoja
      @edwardhoja 2 ปีที่แล้ว

      @@sawdaasawdaa7903 imesemwa wapi

  • @daniellyimo378
    @daniellyimo378 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwongo.Maria hakuwa na mtoto mwingine.mpuuzi

    • @alukweKopite
      @alukweKopite ปีที่แล้ว

      Alikuwa na watoto na Yusufu soma biblia

  • @pauljumanne5204
    @pauljumanne5204 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha kudanganya yesu hakuwa na kaka wala mdogo wake wa tumbo moja na maria hukuelewa vizuri

    • @janeasuma5238
      @janeasuma5238 ปีที่แล้ว

      Kule mbinguni yesu alikua na brother yake mkubwa lakini duniani akukua na brother lakini tukisoma tunambiwa alikua na brother yake mbinguni

    • @hamisikitwana7957
      @hamisikitwana7957 ปีที่แล้ว

      YESU ALIKUWA NA WADOGO ZAKE WALIOZALIWA NA MAMA MMOJA ALIZAA NA YUSUPH

  • @alimohammed5127
    @alimohammed5127 4 ปีที่แล้ว +1

    Ivi luka kashakua bora kuliko King James ndugu yake Yesu? Au barnaba? Tafta ukweli wa haya....

  • @linturenatus3549
    @linturenatus3549 ปีที่แล้ว

    Kk tufunulie ivo vitabu,,

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

    Sikweli manenoyao

  • @brillianhappiness167
    @brillianhappiness167 ปีที่แล้ว +6

    Watu wa Muhammed msidanganywe eti quran imeandikwa na malaika ni Muhammed ndiye aliandika akiwa pamoja na mashetani zake ndio zilikuwa zinamsaidia, mm nikawa najiuliza swali mbona majini wana ukoo na waislamu? Mtume Muhammed ni mtume wa uongo hakuwa wa kweli

    • @MarzouqOmar-nm4he
      @MarzouqOmar-nm4he 8 หลายเดือนก่อน

      We wajua shingo yako ni halal we fala.Iwapo Huna la kusema nyamaza Maluuni wewe

    • @MarzouqOmar-nm4he
      @MarzouqOmar-nm4he 8 หลายเดือนก่อน

      Sukhala la kumtusi Mtume Muhammad S.A.W Utatuona wabaya waislamu.Waislamu wanapenda Amani ila ukituchafua mutatuona wabaya Ulimwengu unatutambua kwa hiyo chunga kauli zako Nguruwe wewe

    • @simonmakoba85
      @simonmakoba85 5 หลายเดือนก่อน

      😊

    • @tazbmanda759
      @tazbmanda759 3 หลายเดือนก่อน

      Uwaneni kwa ujinga wenu wazungu na walabu wametuvuluga

    • @user-xl6tn8fn1x
      @user-xl6tn8fn1x หลายเดือนก่อน +1

      bangi sio chai

  • @abuuhaamidpaulo5506
    @abuuhaamidpaulo5506 4 ปีที่แล้ว

    Mi nakuomba utupatie khabar ya injir ya barnaab

    • @76update7
      @76update7 2 ปีที่แล้ว

      Hio kitu HATARI SANA KIMEMTAJA AHMAD KUWA NI MTUME WA MWISHO

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      Hiyo sio injili ni Quran part 2

  • @simbajuma9971
    @simbajuma9971 4 ปีที่แล้ว +2

    Injili ya barnaba vip?? Alafu Paulo hakuzaliwa mwaka mmoja na yesu. Acha uongo

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wadogo zake na Yesu aliozaliwa na Maria na yoseph kamwe

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

      Huna unachokijua nyamaza kina Andrea walikua ndg zako? Mariam na yusuph walikaa pamoja bila kukutana kimwili mpk alipomaliza kumnyonyesha yesu akawazaa wadogo zake wngne acheni kukalilishwa ushetani wenu huo wa sanamu

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 ปีที่แล้ว +1

      BIKIRA MARIA hakuzaa mtoto mwingine zaidi ya YESU ndiyo maana tunamwita Bikira MARIA Hadi leo

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 ปีที่แล้ว

      Gosbert munta alizalishwa nani wakati mimba ya YESU ilitungwa Kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU hiyo nyingine ya nani

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 ปีที่แล้ว

      @@audifansisafari5587 alizaaa watot wengn baada ya yesu ban acha ubishi

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 ปีที่แล้ว

      @@hanskidd2290 kazaa wengi Dunia nzima sisi ni watoto wake ukombozi wa ulimwengu ulifanyika kupitia yeye

  • @hamadibabu6384
    @hamadibabu6384 4 ปีที่แล้ว

    Katika history umechemsha

  • @floraezekiel9089
    @floraezekiel9089 4 ปีที่แล้ว

    Eti usije ukaenda kufungua kanisa,wewe unafikiri kanisa ni rahisi kama unavyofikiri,hata sijaelewa hata unaongea nini historia ni ileile.

  • @kakulekagheni516
    @kakulekagheni516 4 ปีที่แล้ว

    Salam swali langu ni. Kweli Jésus alikufa na kufufuka?

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 3 ปีที่แล้ว +2

    JAmes alikuwa kaka ake😂😂😂😂yesu
    Sasa maria hakuwa bikira ??

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Wamewapoteza kweli nikira maria hakuolewa yussuf alikua mukaribu wake tu

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      Wanayo sema yesu Mungu waje waone bamudogo Mu gu makafiri bana wanamupa mwanadamu wakufanana babayao uugu

    • @brillianhappiness167
      @brillianhappiness167 ปีที่แล้ว

      ​@@sawdaasawdaa7903may God forgive you 😢

    • @brillianhappiness167
      @brillianhappiness167 ปีที่แล้ว

      Kaka wewe muongo sana, kama hujasoma bibila ukaelewa au hujapata elimu kamili kuhusu bibilia
      Kila pale ambapo Yesu alitumia mafumbo baaye alikuwa akitoa maana yake, tena kwa njia wazi kabisa
      Na kusema eti kuna elimu fiche ambayo walitumia kutenda miujiza hiyo sikubaliani nawe
      Kama Mimi naweza kuombea mgonjwa hata akiwa hali mbaya aje na akapona ila hakuna chochote natumia kile ambacho naamini, ni Mungu huwaponya kupitia maombi hayo
      Wacha kudidimiza imani ya watu wewe eee

  • @user-nh5hi7wr4g
    @user-nh5hi7wr4g 3 ปีที่แล้ว

    Cicilia iko Italy sio uturuki

    • @bennjanja2382
      @bennjanja2382 3 ปีที่แล้ว

      iko italia hata naishi huko

  • @francismkenda
    @francismkenda ปีที่แล้ว

    Histiria nzuri ila ina uongo ndani yake.
    Yesu hakuwa na ndugu wa kuzaliwa toka kwa Mama yake kwa hyo kuhusu James kuwa kaka wa Yesu huu ni upotoshaji.

    • @user-dc5hh3do9d
      @user-dc5hh3do9d ปีที่แล้ว

      apana akuna yesu na ukiangalia
      Ata kuumbwa KWA adam na hawa umefichwa
      Adam alikua na wake wa
      2

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 ปีที่แล้ว

      Jomba mariam alizaa watot wengn Na yusuph baada ya yesu

  • @bennjanja2382
    @bennjanja2382 3 ปีที่แล้ว

    wee mzee uku na uongo pia kwa hiii story yako................JESUS HAD NO BROTHERS ....VIRGIN MARY GAVE BIRTH TO JESUS ONLY,,,,,,,,,,,WACHA UONGO WA KI PROTESTANTI

  • @fattahshabani6262
    @fattahshabani6262 4 ปีที่แล้ว +3

    Ungejaribu kuainisha kila kitabu kiliandikwa mwaka gani ?
    Mfano
    Luka mwaka fulan
    Marko mwaka fulani
    Yohana mwaka fulani
    ili tujue vizur
    Na quran mwaka gani mpaka mwaka flani?
    Au bible yote iliandikwa kwa pamoja
    ili history yako iwe imekamilika vizur zaidi

    • @balozichalamila4034
      @balozichalamila4034 4 ปีที่แล้ว +1

      Miaka ni AD yaani baada ya kuondoka kristo lakini biblia iliyafsiriwa na mababa wa kanisa karne ya 4

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +2

      Biblia ilitangulia zamani sana

    • @balozichalamila4034
      @balozichalamila4034 4 ปีที่แล้ว +1

      @@TricodMedia naongelea waliotafsiri kutoka maandiko ya hao waandishi uliowaeleza nakuja katika kitabu kimoja cha biblia ambacho tunatumia kwasasa kumbuka hao waandishi vitabu vyao viliitwa injili nasio biblia,unaposema biblia manake ni mkusanyiko wa vitabu vyote vilivyoandikwa na uliowaeleza na kuekwa pamoja baada ya kutafsiriwa na kazi hiyo ilifanywa na watawala wa kirumi ambao ndio walikua mababa wa kanisa la mwanzo katika karne ya nne ili kufanya waumini wasome waelewe katika lugha zao mfano kigiriki,Hadi,lugha zingine (hapa ni agano la kale nazungumzia)

    • @fattahshabani6262
      @fattahshabani6262 4 ปีที่แล้ว

      Je huyo marko,yohana,luka na Mathayo walio andika hivyo vitabu walikuwa wakati mmoja yaani mfano
      Unaweza kusema hawa wanne waliandika hivi vitabu kuanzia mwaka 2018 mpaka 2019 kwa mfano. Nazani umenielewa?

    • @thepresidenttobe5481
      @thepresidenttobe5481 4 ปีที่แล้ว +3

      Nadhani mngerudi kusoma ili mjue akina nani walichambua vitabu. Utawala wa Rumi haukuwahi kupitisha vitabu vya Biblia. Kwa nini mnapotosha? Mjue vigezo vilivyotumika kukikubali au kukikataa kitabu husika. Msidhani biblia ni novel. Upo mkono wa Mungu juu yake. Usipotoshe kwa kutimiza lengo lako. Hakuna mtu yoyote anaweza kupata nguvu ya miujiza kwenye kitabu. Huo ni uongo. Hata leo biblia tuliyo nayo haitoi miujiza simply kwa kusoma. Jifunze ujue kwa nini apocrypha books havikubaliki kama sehemu ya Biblia. Tafuteni Thompson's chain reference Bible itawasaidia kujua mengi pamoja na The New Strong Expanded Exhaustive Concordance of the Bible. Someni mpate kujua ili mtoe taarifa za Kimungu na sio kama mlivyofanya

  • @mauazahor7803
    @mauazahor7803 2 ปีที่แล้ว

    azali kunu fayakunu

  • @alimohammed5127
    @alimohammed5127 4 ปีที่แล้ว +2

    Na huyu paulo c ni yule alieitwa shetani na Yesu? Kisha shetani akawa mtume duh?

    • @jumannemwanga1029
      @jumannemwanga1029 4 ปีที่แล้ว

      Aiseee mhhh kumbe hivyo

    • @ijueimanikatoliki980
      @ijueimanikatoliki980 3 ปีที่แล้ว

      Alikemewa tu Bali hakugeuka shetani na siyo Paulo alikuwa PETRO

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 minawazaga wacristo hawana akili sio yesu tu ata yemwenyewe kajisemeya kuwa ametumwa na shetani ila bada anadatwa kuliko nabi wakweli pope sio kitu rahisi kweli yani uyo jama alikua anabadili maneno ya Allah kwa utalam wa yeye na shetwani hatari sana ni escro mubaya sana

  • @georgejoshua8514
    @georgejoshua8514 4 ปีที่แล้ว

    hizi ni propaganda,, kuna vitu naona ni pumba kabisa,na mambo mengine yaelezwa kinyume na fasili mbovu za kibiblia,,kama huy jamaa anaelewa anachokifanya atakuwa na anganda ya siri bila shaka ;; ona anavyodanga kuhusu miujiza hahaaaaaaa,

    • @rogersbarnabas7110
      @rogersbarnabas7110 4 ปีที่แล้ว

      Kiukweli kwa anavyo adisia ni ngumu kumuelewa. Lakini embu mtafute prince katege wa pili kwenye TH-cam

  • @aldakerobe3853
    @aldakerobe3853 3 ปีที่แล้ว +1

    Very unprofessional

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk หลายเดือนก่อน

    Uliza DR SULE

  • @Alexander-up5rv
    @Alexander-up5rv 2 ปีที่แล้ว

    Tutajie majina ya ivyo vitabu

    • @samiraomar2645
      @samiraomar2645 ปีที่แล้ว

      Karika kuelezea namna yakukusanywa quran baada ya mtumi kufa maelezo yako yana makosa mingi sijui umetegemea vitabu gani kukuilimisha juu yahilo

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk หลายเดือนก่อน

    Uliza DR SULE