Allahu akibaru innalilaah wainaa ilayh raajiun yaa rabbii tunakuomba ifanye qabr ya shekh wetu muhammad bin ayyoub iwe iwe miongon mwa mashimo ya pepon aaamiiin
Ktk tarekh yake Sheikh Mohammad bin Ayoub wkt yupo mdogo baba yake mzazi alimpeleka pwani kumchapa bac wkt anamuadhibu mwanae akatokea Khidhri w zama zileeee akamuombea msamaha kw baba yke Mzee Ayoub Sheikh mwnyewe akamwambia bac kashajifunza hyu,na ktk jambo lingine Sheikh Walid Alhad kaimu Sheikh mkoa aliombewa dua sikio lake lilikuwa linamsumbua kila siku akaenda kw Sheikh Mohammad Ayoub akamwambia natumia dawa lkn sikio bado bac Sheikh aliongea na sikio tu mpk leo limepona na hakupata tena ugonjwa w sikio,na ktk maajabu yke mengine ya Sheikh alikuwa kuna siku anakuja kijana darasni na siku anakuwa mzee kwny kwny umbo lke lkn alikuwa mpk atake umuone,Allah amrahamu Sheikh wetuna azidi kitufaidisha zaid ya elimu yke. #Amini
*✍قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى :* AMESEMA shaykuhul ISLAAM IBNU TAYMIYYAH ALLAH AMREHEMU *" من ظن أنه يأخذ من الكتاب والسنة بـدون أن يقـتَـدي بالصّـحابـة ويتبِع غَـيــر سَبيلهم ، MWENYE DHANA YA KWAMBA ANAWEZA KUCHUKUA MAFUNZO YA DINI KWENYE KITABU CHA ALLAH NA SUNAH PASI NA KUWAFUATA MASWAHABA NA AKAWA ANAFUATA NJIA ISIO KUA YAO ((MASWAHABA)) فَـهو من أهل البدع " .* HUYO ATAKUA NI MIONGONI MWA WATU WA BIDAA *📚 المصدر : مختصرالفتاوى المصرية ص(٥٥٦) .*
Allahu akibaru innalilaah wainaa ilayh raajiun yaa rabbii tunakuomba ifanye qabr ya shekh wetu muhammad bin ayyoub iwe iwe miongon mwa mashimo ya pepon aaamiiin
Inshallah shekh wetu
Shukran Sana tunaomba mambo Kama haya ya sheikh Muhammad Ayub tupate faida mola amraham amueke pema pemoni Aamiin
Masha Allah Allah akuhifadhi sheikh wetu
Sema amrehemu...kwa maana alishafariki...
M/mungu akujaalie katika watakao ingia peponi bila hisabu
Ameen nawe pia inshaallah.
Allah Akuhifadhi
Aamin
Allah amuhifadhi
ALLAH lifanye kaburi la sheikh wetu huyu pamoja na wazazi wangu wawili yawe viwanja katka viwanja vya peponi.
amiin
Mashallah ...Sauti hii ya mawaidha naisikia kam Muhamad Ayoub....Tanga.
Ndie yeye huyo Mola amrehem
@@sautiyakiislamu3635 allahumma aamiin kullu muslimun wamuslimati
Ktk tarekh yake Sheikh Mohammad bin Ayoub wkt yupo mdogo baba yake mzazi alimpeleka pwani kumchapa bac wkt anamuadhibu mwanae akatokea Khidhri w zama zileeee akamuombea msamaha kw baba yke Mzee Ayoub Sheikh mwnyewe akamwambia bac kashajifunza hyu,na ktk jambo lingine Sheikh Walid Alhad kaimu Sheikh mkoa aliombewa dua sikio lake lilikuwa linamsumbua kila siku akaenda kw Sheikh Mohammad Ayoub akamwambia natumia dawa lkn sikio bado bac Sheikh aliongea na sikio tu mpk leo limepona na hakupata tena ugonjwa w sikio,na ktk maajabu yke mengine ya Sheikh alikuwa kuna siku anakuja kijana darasni na siku anakuwa mzee kwny kwny umbo lke lkn alikuwa mpk atake umuone,Allah amrahamu Sheikh wetuna azidi kitufaidisha zaid ya elimu yke. #Amini
Mlango wa nne sauti ya shekh yusuf subky baada ya maneno shekh muhammad aiyub
Mashallah
Baba yangu. Alhamdulillah kwa Maisha yake.
Namuomba Mwenyezimungu Amsamehe, Amrehemu na Amtie ktk pepo yake.
*✍قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى :*
AMESEMA shaykuhul ISLAAM IBNU TAYMIYYAH ALLAH AMREHEMU
*" من ظن أنه يأخذ من الكتاب والسنة بـدون أن يقـتَـدي بالصّـحابـة ويتبِع غَـيــر سَبيلهم ،
MWENYE DHANA YA KWAMBA ANAWEZA KUCHUKUA MAFUNZO YA DINI KWENYE KITABU CHA ALLAH NA SUNAH PASI NA KUWAFUATA MASWAHABA NA AKAWA ANAFUATA NJIA ISIO KUA YAO ((MASWAHABA))
فَـهو من أهل البدع " .*
HUYO ATAKUA NI MIONGONI MWA WATU WA BIDAA
*📚 المصدر : مختصرالفتاوى المصرية ص(٥٥٦) .*
Pita huko muov ww
Kwel huyu nguruwe haelewi asema nini
Wewe ni mbwa khasa sijui umefuata nini pahala pasipokuhusu nguruwe mnene we Wa kiwahabi
Ndie khasa sheikh mohamad ayuob
Huyu mwehu Allah kakataza kuwaombea makafiridua
@@allyfundi2931 hujui ni nani unamtukatana!! Ulizia hata kwa hao unaowaamin wakuambie habar za huyu mwamba!!
@@abdallahmkomboz2679 Kwahio kitu km hakifai ktk Dini lkn akikisema mwamba huwa kinafaa sio?
Mmungu amuondolee kiunza mchanga
@@allyfundi2931 tupe aya wapi Allah kakataza???
Aseyewafuata maswhaba ninani?
Chuma hicho
Ndie khaswaa haibadiliki
Hii ndo Tanga....sisi ni waswahili
..wapwani
Tupe DALILI
Wacha wazimu kama siwao hatugeenda hajj.wewe ndio akili yako yakutuma hivyo
@@salumjabir813 ndio zuzu kama wewe na mamako sliyekuzaa
@@salumjabir813 shida masufi hamujasoma
@@salumjabir813 جليل هو جهل
@@salumjabir813 بداية قراءة نعم أنت تعرف أن تتنافس
@@9119-r4t sikujibu tena ..ujumbe umefka.