Maashallah sheikh mselem allah akuhifadhi kwa mafundisho mazuri kwa wenye kukusikiliza na kufanyia kazi na mbao hawamshirikishi allah na kitu chochote na kumpwekesha yeye pekee ndio mjuzi wa yote innshaallah
MaashaaaaA (A)llaahu laa quwwata ilaa bi(A)llah !!!! Hakika sasa hivi ni meelewa vema maana ya A(L)R-Ra-H-maani na A(L)R-RaHiyyym ! Jazaaka(A)llaahu khayran yaa 'Usta'aadh ! Allaah akue khayri nyingi sana na akuruzuqu mwisho mwema !
Hiyo ni fitna tusiiendekeze tuangalie yale yenye maslahi kwetu hayo mengineyo tuwaachie wenyewe...Kila aliyeneemeshwa hakosi wapinzani. .WABILLAHI TTAWFEEQ.
Ahsante Sheikh kuna vitu nilikuwa sivijuwi kama kuhusu بسم الله الرحمن الرحيم kama inaisabiwa aya kwenye surat Al fatiha. Mungu akujaze kheri na umri mrefu. Amin
Ni jambo la kupendeza sana kwa kila jambo jema kuanza kwa kutaja jina la M'MUNGU lakini sasa hivi tunashuhudia baadhi ya waumini wakidiriki kuanza kusoma QUR'AANI katika sala bila kusoma hii BISMILLAHI sijui hii imeanzia wapi
Sasa ikiwa kusema ndo kusajili mbona mambo mengine mnawafundisha watu kua haifai? Mfano kutamka nia ya hicho kitendo unachokisajili? Mfano Nawaitu swauma ghadin,nk.mnatuacha mbali sana wenye Elimu ndogo
Sawa Sheikh wangu Jazaak Allahu Kheiraa lakini wengi wakisalisha hawaitamki hii Bissmillah ukimwambia kwanini Imamu huitamki hii Bissmillah anajibu si lazima lakini mbona ipo imeandikwa hapo anakuja juu utajuta kwanini nimemuuliza.
Maashallah sheikh mselem allah akuhifadhi kwa mafundisho mazuri kwa wenye kukusikiliza na kufanyia kazi na mbao hawamshirikishi allah na kitu chochote na kumpwekesha yeye pekee ndio mjuzi wa yote innshaallah
Maishalwa shekhe wetu Allah akuongezee umri mrefu
Mashallah Allah akupe kila lakhery uzidi kutuwaidhi
MashaaaAlah. Allah akuzidishie kila lakheri dunia waliy akhera
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
SUBHAANA l ALLAH Umetakasika MFALME WANGU 🤲Yaa Allah Nakupenda MFALME WANGU Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina 🤲Yaa Rabbi kwa Kila kitu
Maa Shaa Allah, Tabaaraka Allah. Allah akupe umri mrefu wenye kheir na ww na Umma uendelee kunufaika .
Mashaallah Shekhe wangu mwenye kuelewa ataelewa tu
Mashaallah shekhhodari umetupa faida
MaashaaaaA (A)llaahu laa quwwata ilaa bi(A)llah !!!!
Hakika sasa hivi ni meelewa vema maana ya A(L)R-Ra-H-maani na A(L)R-RaHiyyym !
Jazaaka(A)llaahu khayran yaa 'Usta'aadh ! Allaah akue khayri nyingi sana na akuruzuqu mwisho mwema !
Allah akiifadhili Inshallah
Mashaallah shekhe
Allahumma Ameen
Hakika
Safi kabiisa elimu yenye manufaa Aamin
Aaamiyn Allah atujalie tuipate pepo yke😊
MashaAllah jazaq Allah kheri
Shukran Sheikh. JAZAKALLAH KHEIR
Alafu wanatokea kikundi cha watu Wanasema Shekhe Mselem bin Ali eti hajui kitu, lakini nilijua kua nichoy cha nfsi tu
Mwenyezi akupe maarifa zaidi sheikh wetu ili tuzidi kufaidika na neema ya elimu yako wabillah watawfiq
Hiyo ni fitna tusiiendekeze tuangalie yale yenye maslahi kwetu hayo mengineyo tuwaachie wenyewe...Kila aliyeneemeshwa hakosi wapinzani. .WABILLAHI TTAWFEEQ.
Jaza yako kwa ALLAH
Amin shekhe
Allah akuzidishie kheir inshaallah
Marshallah cheikh wetu
Shukran jazakahallah kheir
Mungu awzidishie Kwa kira cocote
Jazakallah kheri ❤
Shukrani shekh wetu
MashaAllah
Mashaallah
SUBHANALLA
Shukran sheikh
Maashallah Allahu bariki
Ma shaa ALLAH ya shekhe
MashaAllah 🙏
Jazzakallahu kheri
Mashaallah tabakallah mashaallah: Shukran kwamawaitha yako.
Baraqallah,Jazaqallah
Allah aipe mafanikio makubwa AdilTV izidi kutukumbusha mema na Amlipe kheri sheikh wetu sheikh mselem kwa juhudi zake
Shukran jazzilah, insha'Allah
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
Shukran
Alhamdulilah
Ahsante Sheikh kuna vitu nilikuwa sivijuwi kama kuhusu بسم الله الرحمن الرحيم kama inaisabiwa aya kwenye surat Al fatiha. Mungu akujaze kheri na umri mrefu. Amin
Maa Shaa Allah Shehki
Maa sha allah
MashaAllah tabarakaAllahu shukran sheikh
Alhamdulilah
Mashaallah darasa nzur sana
Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏
Kabisaa
Masha Allah Masha Allah
Fatma seif
❤❤❤❤
title haiendani na alichosema sheikh wetu, au nimimi sikuielewa mada vizury. please tufunguane macho kidog
Ni jambo la kupendeza sana kwa kila jambo jema kuanza kwa kutaja jina la M'MUNGU lakini sasa hivi tunashuhudia baadhi ya waumini wakidiriki kuanza kusoma QUR'AANI katika sala bila kusoma hii BISMILLAHI sijui hii imeanzia wapi
Km huanzi mwanzo unasema audhubillahi
Sasa ikiwa kusema ndo kusajili mbona mambo mengine mnawafundisha watu kua haifai? Mfano kutamka nia ya hicho kitendo unachokisajili? Mfano Nawaitu swauma ghadin,nk.mnatuacha mbali sana wenye Elimu ndogo
Barakallah fikum, ni Nina patikana Congo, nahitaji namba ya wattspp ya shekh mselem
Asalam Alaikum hata mm ,naitaji namba zako Niko mombasa
Ku
Mungu akupe Maisha marefu