ALMARHUM SHEIKH HEMEDI BIN JUMAA - WASIA WA MWENYEZI MUNGU (MSIFE ILA HALI NYIE NI WAISLAM)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @Chemba67
    @Chemba67 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezimungu amrehemu sheikh wetu kipenzi......nimekumbuka mbali mno enzi za redio Tanzania idhaa ya Taifa, kipindi mawaidha ya kiislam na sheikh Hemed Bin Jumaa

  • @jumambegu1008
    @jumambegu1008 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH amrehemu Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, nanyi mliotuwekea haya mawaidha ALLAH awalipe kheir na awajaalie mwisho mwema. " Allahummah amiyn"

  • @mwaminikilagwa5872
    @mwaminikilagwa5872 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @Fredrickmarinya
    @Fredrickmarinya 4 ปีที่แล้ว +4

    SANA TV Mwenyezi Mungu awaongoze kwa kutuwekea ujumbe wa mkubwa huyu Almaruhumu Mufti Shekh Hemed bin Juma bin Hemed Mwenyezi Mungu amuhifadhi.

    • @SANATVTZ
      @SANATVTZ  4 ปีที่แล้ว

      MASHA ALLAH

    • @SANATVTZ
      @SANATVTZ  4 ปีที่แล้ว

      ALAHUMA AMEEN

    • @keddymakemba5301
      @keddymakemba5301 4 ปีที่แล้ว +2

      Hakika ameacha athali kubwa, ni Aalim ambae anapo hadhri usipopata kitu basi una tatiazo. mwenyezi mungu alifanye kaburi lake kuwa ni sehemu ya viwnja vya pepo, Aamin

    • @donaldmgomba7571
      @donaldmgomba7571 3 ปีที่แล้ว

      Nilikua nampenda sana Mufti Hemed bin Juma bin Hemed,nakumbuka alifariki mwaka 2002,nikiwa kunana mdogo,mwenyezi Mungu ampe pepo njema amin.

  • @matanoomar4066
    @matanoomar4066 3 ปีที่แล้ว +2

    ALL AH AWALIPE PEPO INSHAALLAH

  • @hamadimwechiwa9835
    @hamadimwechiwa9835 2 ปีที่แล้ว +2

    Amiin ya Allah

  • @yahayakayeja8482
    @yahayakayeja8482 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum warahmatullah samahani naomba mtuwekee vidio ya marehemu sheikh HEMED BIN JUMA BIN JEMED

  • @mwajumakapere8727
    @mwajumakapere8727 3 ปีที่แล้ว +2

    Keki

    • @farajhabib5464
      @farajhabib5464 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu alikuwa Muft hasa Mungu amlaze pema

  • @twahaayubu8686
    @twahaayubu8686 4 ปีที่แล้ว +3

    Tuwekeeni na mawaidha mengine yanajirudia yaleyale

    • @SANATVTZ
      @SANATVTZ  4 ปีที่แล้ว

      In Sha Allah, samahani waweza kutujuza ipi inajirudia..? shukran

    • @twahaayubu8686
      @twahaayubu8686 4 ปีที่แล้ว

      @@SANATVTZ yaani muweke mawaidha mengi zaidi ya marehemu mufti yanayo jirudia kila ukifungua unakuta uliyokwsha tazama mfano WASIA WA MWENYEZI MUNGU
      HAKI YA MZAZI KW MTOTO
      FADHILA ZA KUMPENDA MTUME

    • @SANATVTZ
      @SANATVTZ  4 ปีที่แล้ว

      shukran kwa maoni, In Sha Allah, Tutayafanyia kazi Maoni yako, Mungu akubarik.
      wapendelee na wengine kuhusu channel hii kwa kusambaza viungo/links za video zetu katika makundi mbalimbali ili waweze kunufaika na video zetu.
      [In Sha Allah]😇😇😇🙏🤝

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 3 ปีที่แล้ว +1

      @@SANATVTZ nilikuwa natafuta haya mawaidha wekeni mawaidha yake yote na jitangazeni mpo vzuri