PART3:MCHAWI WA KASULU KIGOMA AELEZA JINSI ALIVYOKUWA ANAUA NA KUTEMBEA MAJINI BILA KUZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa anajieleza vizuri sana, Congrats Davista

  • @ambassadorkateme5903
    @ambassadorkateme5903 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii dunia Ina mambo ila Mungu anatulinda, kitu Cha muhimu usitende dhambi mwamini Mungu utashangaa xana unazeeka bila kulogwa na unashuhudia virembwe vikifanikiwa

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 ปีที่แล้ว +4

    Mtanhazaji msikilize vinzuri Mzimu ni asili yako toka katika jamii yako na inanguvu sana sasa unajua kabira ni asili yako sasa ndani yake ni Mzimu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni mambo ya kutisha katika ulimwengu wa pili,Du! Yaah Abdalaaaa kwel umepitiaa mazito,,#KilajamboanalopitiaMwanadamukunakusudilaMungu.

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 2 ปีที่แล้ว +2

    eti upepo wa kisulisuli😅🤣🤣🙌🏿

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anaelezea vizuri sana. Siri za shetani zinafunuliwa. ASANTE YESU!!!

  • @estasage498
    @estasage498 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchawi na mganga ni wa agents wa shetani. Mtu mmoja

  • @estasage498
    @estasage498 2 ปีที่แล้ว

    Huum! Davistar is ready smart and intelligent. Why? Because of his questions.

  • @lumleyfury4148
    @lumleyfury4148 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up davistar

  • @binsaid9418
    @binsaid9418 2 ปีที่แล้ว +1

    No 1

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro fanya Back to Back basi hii yakusikilizia inapunguza stim mzee
    #Do Dondosha mzigo

  • @estasage498
    @estasage498 2 ปีที่แล้ว

    Davistar huficha wachawi. Wow

  • @chaminedomingosmanticade2882
    @chaminedomingosmanticade2882 2 ปีที่แล้ว +1

    Together mr everything 🙏

  • @scholamwasi2782
    @scholamwasi2782 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona dada wa tarakea mna mbania Sana

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

    Waganga enyewe awana Maisha mazuri

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

    hahahahahahaaaaa jmn tangu nasikiliza story hzi leo ndo nmepata ufafanuzi mzur kbsa usio na shaka kwann kuna uganga na anaweza mtibu mtu akapona lkn bado huyo mtu yuko kweny falme ya shetan, nmekuelew vzr

  • @Mwakibinga_wisdom
    @Mwakibinga_wisdom 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji upo vizuri unaonekana unaelewa haya mambo
    Lengo la kuwepo waganga sio kusaidia watu hata kidogo
    Lengo ni kuwafanya watu wapige magoti na kumuamudu shetani 😈
    Na baada ya hapo hata wakitibu shida hiyo wanaweka shida nyingi zaidi

  • @bobking481
    @bobking481 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @estasage498
    @estasage498 2 ปีที่แล้ว +1

    Okoka kamili kaka. Yesu Kristu Bwana wa ma Bwana kasema, a kingdom divided against itself can’t resist, ok? Means mganga is a devil agent, mchawi is a devil agent as well. So, if a witch ataloga na mganga kutunza it doesn’t make any sense. Let Jesus Christ of Nazareth remain the only powerful mighty, greatest mighty lord because he is the most perfect and savior

  • @lucyjoseph4216
    @lucyjoseph4216 2 ปีที่แล้ว +1

    🤩🤩

  • @philipmbaabu6169
    @philipmbaabu6169 ปีที่แล้ว

    Davista, please stop unnecessary interruptions 😡😡

  • @saadahiddy8789
    @saadahiddy8789 2 ปีที่แล้ว

    BIG boy's 🥂🇴🇲🇴🇲

  • @joycesycherlwy3835
    @joycesycherlwy3835 2 ปีที่แล้ว

    Atuambie ni vipi anawaficha majini wasio na nguvu

  • @paullwangili2235
    @paullwangili2235 2 ปีที่แล้ว

    Stori unaifaya inakuwa mbaya davi mwache ataje majina

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri kwa kaka..ukisahau verse yoyote ya Biblia. Enda kwenye Google na uandike maneno yale unayoyakumbuka...ila English is better than kiswahili..you get all the verses you need..Google search engine contains the Bible for easy reference. Boom!

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 ปีที่แล้ว +2

    Uwongo msidanganye mganga maanayake mganguzi au lugha rahisi doctor ndo mganga mtu mwenye elmu na anatumia elmu yake vile inavotakiwa na Mungu kusaidia watu na huwezi kumlipa mchawi ni mtu mchafu mwenye elmu anayoitumia kwa tamaa ya matamanio yaroho yake uyo ndo mchawi

  • @Ommylayzah_tz
    @Ommylayzah_tz 2 ปีที่แล้ว

    Aibu hii 😂😂

  • @joshuayusufu4223
    @joshuayusufu4223 2 ปีที่แล้ว

    Nazani Davista mata unahitaji elimu juu ya mizimu na pia naona mtazamo wako juu ya nguvu asili bado ni mdogo inaonesha unaimani ya kilokole ndiomana unashidwa kujua mambo kiundani yakupasa kujua imani ya wa Africa kabla ya kutawaliwa na wazungu ambayo ina wema pamoja na ubaya

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 2 ปีที่แล้ว

    Hapa kuna kampeni ya kidini nimeshajua hii ni ishu maalum kwaajili ya... hakuna sheikhe anayehusika na majini lamda useme mchawi ama mganga na sio sheikhe achana na masheikhe kabisa

  • @tabletennis6296
    @tabletennis6296 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro tunaomba zile stor zetu zq kijasusi na wizi pls

  • @philipmbaabu6169
    @philipmbaabu6169 ปีที่แล้ว

    Stop unnecessary editing. We want full story kabisa.